#TAARIFA YA HABARI YA SAA MBILI USIKU – 03/1/2026
#TAARIFA YA HABARI YA SAA MBILI USIKU - 03/1/2026
#TAARIFA YA HABARI YA SAA MBILI USIKU - 03/1/2026
#HABARI: Zaidi ya watu hamsini waliokuwa wakiburudika katika kumbi za Suzzy Lounge mji wa kibiashara wa Katoro mkoani Geita, wamenusurika kifo baada ya moto ambao chanzo chake hakijafahamika kuzuka na…
🔴HAPA NA PALE KUTOKA SHINYANGA - JANUARI 03, 2026
Siku chache baada ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kutoa taarifa ya makusanyo ya mapato 2025 - 2026 ongezeko la mapato ya serikali, jumuiya ya wafanyabiashara nchini wameipongeza Serikali ya…
Rise of The Planet Of the Apes, ndio mzigo utakaohusika leo saa 4:00 usiku katika movie ya weekend kupitia AzamTWO. Movie hii imetafsiriwa kwa Kiswahili. #AzamTWO
#HABARI: Msanii maarufu na mjasiriamali, @officialshilole amepata ajali ya gari usiku wa kuamkia leo katika eneo la Malagarasi, mkoani Kigoma, alipokuwa safarini akirejea Dodoma baada ya kuhudhuria sherehe za Mwaka…
Wananchi wa Kijiji cha Nyanguge wilayani Bariadi mkoani Simiyu, wameiomba Serikali, kurekebisha Miundombinu ya kujifunzia ikiwemo kukarabati wa vyumba vya Madarasa ambavyo ni chakavu kwa muda mrefu, pamoja na madawati…
Februari 2025 inaweza isisahaulike katika uhai wa dereva Mtanzania, Jumanne Maganga aliyekamatwa na kufungwa nchini Sudan kwa kosa la kumgonga na kumsababishia kifo askari wa jeshi la nchi hiyo. Ilikuwaje?…
Rais wa Marekani Donald Trump amesema Rais wa Venezuela Nicolas Maduro amekamatwa na kuondolewa nchini mwake. Tangazo la Trump limejiri baada ya wanajeshi wa nchi yake kuripotiwa kutekeleza mashambulio mazito…
Ili kuwa na mipango inayokamilika unahitaji kujua unataka nini katika maisha yako. Je, una muongozo wa kufuata katika kufanikiwa malengo yako? Muelimishaji na mshauri mwelekezi wa stadi za maisha Brightness…
Sunland Sunflower Oil Pika kwa mwanga. Kula kwa busara. Ishi kwa afya. @mainlandgrouptz
Katika maisha ya kila siku unahitaji kuwa na mipango ambayo ni muongozo wako wa kila siku wa maisha yako. Ili uweze kuwa mtu wa kuweka malengo lazima ujifunze kuwa mtu…
Leo ni kumbukizi ya siku ya kuzaliwa kwa Chioma wa Side kutoka #NomaSeries ungana nasi kumtakia maisha marefu @ngelikah
Mashavu Kikala maana halisi ya niguse unase 😅
Rais wa Marekani Donald Trump amesema Marekani imefanya “mashambulizi makubwa” dhidi ya Venezuela na kwamba imemkamata Rais wa nchi hiyo, Nicolás Maduro, pamoja na mke wake. Katika taarifa aliyochapisha kwenye…
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, ameliagiza Shirika la Reli Tanzania (TRC) kutanguliza usalama wa wananchi kwa kutoa taarifa mapema pale panapobainika uwezekano…
#HABARI: Rais wa Marekani Donald Trump ametangaza kumkamata Rais wa Venezuela, Nicolas Maduro pamoja na mke wake na kudai kuwa tayari wamesafirishwa nje ya nchi hiyo. Huku pia akidai kuwa…
Rais wa Marekani, Donald Trump ametangaza taifa lake kumkamata rais wa Venezuela, Nicholas Maduro na mkewe.�Kupitia kurasa za mitandao ya kijamii, Trump ameandika kuwa wanajeshi wa Marekani wamefanya mashambulizi makubwa…
Vijana wa watu kila mtu ana mzigo wake 🥹
#HABARI: Waasi wanaohusishwa na Kundi la Islamic State wameua takriban watu 15 katika vijiji vitatu Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, maafisa wa eneo hilo wamesema. Mashambulizi hayo yalitokea…
#HABARI: Rais Nicolás Maduro wa Venezuela ametangaza hali ya dharura katika eneo lote la taifa hilo kufuatia mashambulizi ya Jumamosi yanayoelezwa kufanywa na Marekani. Taarifa ya Serikali inasema hatua hii…
Rais Nicolás Maduro wa Venezuela ametangaza hali ya dharura katika eneo lote la taifa hilo kufuatia mashambulizi ya Jumamosi yanayoelezwa kufanywa na Marekani. Taarifa ya serikali inasema hatua hii ni…
Waasi wanaohusishwa na kundi la Islamic State wameua angalau watu 15 katika vijiji vitatu mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, maafisa wa eneo hilo wamesema. Mashambulizi hayo yalitokea usiku…
Ripoti kadhaa kutoka vyombo vya ndani na nje zimemeripoti kuhusiana na mlipuko katika sehemu mbalimbali za jiji la Caracas, ikiwemo kambi za kijeshi. Mashuhuda wanasema kwamba uwanja wa ndege wa…
#Happybirthday | @jbkazumba #Cloudsmediagroup inakutakia maisha marefu na mafanikio zaidi 2026 #NYOOSHA
#HABARI: Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Florence Samizi, kwa niaba ya Waziri wa Afya Mhe. Mohamed Mchengerwa, ametembelea na kuwajulia hali majeruhi wa ajali ya basi na lori iliyotokea usiku…
🔴#KUMEKUCHA: BIMA YA AFYA KWA WOTE.... . JANUARI 03, 2026
🔴 #MAGAZETI: AJALI MOROGORO, NDUGU WAITWA KUPIMA DNA MIILI MINNE / FEI TOTO ATOA KAULI YA KIBABE....
#KIPIMAJOTO: Wafugaji waliojichukulia sheria mkononi kuvunja, kujeruhi na kujirejeshea mifugo iliyokamatwa kutokana na kuvunja sheria. Je, wachukuliwe hatua kali za kisheria ili iwe fundisho kwa wenye tabia hizo?
🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI...JANUARI 03, 2026
Mwewe amefika Mbezi Mwisho amekutana na wenye nyumba waliofungua maji kwenye Bomba wakati yalipokatika na kuliacha wazi kisha wakaenda zao vacation mwisho wa Mwaka. Maji yamerudi na sasa yanamwagika na…
Watu wenye ulemavu ambao ni wakazi wa mkoa wa njombe wametaja changamoto tano zinazowapa ugumu wa maisha ikiwemo kutengwa, masharti magumu ya mikopo ya asilimia kumi, Kutoshirikishwa katika vikao vya…
Waongozaji sherehe, matukio ya burudani na hafla mbalimbali maarufu kwa jina la 'Wasema Chochote' (MC) wamesema hatua ya Barazala Sanaa la Taifa (BASATA) la kuwataka kuwa rasmi kwa kupata vibali…
Iwapo ungesimuliwa hili 'kijiweni' huenda ungebishana na kupinga hadi msimuliaji naye angeanza kujiuliza kama alichosimulia ni kweli lakini 'Panya wanastaafu kazi na wanakula pensheni yao'. Huamini? Ungana na Theresia Mwanga…
Wakazi wa Mamlaka ya Mji Mdogo Katoro mkoani Geita wameiomba serikali kuwasaidia kupata huduma za zimamoto na uokoaji kutokana na mji huo kuwa na biashara nyingi na shughuli za uchumi.…
Wataalamu wa masuala ya fedha na uchumi wameiomba serikali kufanya maboresho ya sera za uchumi ili kutoa nafasi zaidi ya matumizi ya fedha kidijitali huku dunia ikishuhudia ukuaji wa biashara…
Serikali imetangaza mpango wa kutoa ripoti ya utekelezaji wa ahadi zilizoahidiwa kufanyiwa kazi ndani ya siku 100 za kwanza za muhula wa pili wa serikali ya awamu ya sita. Ripoti…
Shangazi Mwaija imebidi awasalimie kidogo wanawe 😅
#LIVE:TAARIFA YA HABARI YA SAA MBILI USIKU - 02/01/2026
#HABARI: Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Mhe. Hajati Fatma Abubakar Mwasa, ametoa onyo kali kwa vijana mkoani humo kuacha tabia za wizi na udokozi wanapopewa fursa za ajira. Akizungumza wakati…
Nawanda jamani anahitaji msaada wa afya ya akili 🥹
Chichi akipata tu kaupenyo huyo kwa wataalam 😅
🔴TAARIFA YA HABARI YA JANUARI 02, 2026 - MIILI MINNE AJALI YA MORO YATAMBULIWA
#HABARI: Watu wawili wamefariki na wengine wanne kufunikwa na vifusi baada ya kuporomoka kwa jengo la ghorofa 16 South C jijini Nairobi nchini Kenya. Powered by #MCHEZOSUPA JINSI YA KUSHIRIKI…
Happy Birthday Mcloudsania @sabbymrope #Nyoosha
🔴HAPA NA PALE KUTOKA RUKWA - JANUARI 02, 2026
Wakazi wa mkoa wa njombe wamesherekea mwaka mpya na siku ya vikasha kwa kupanda miti katika kijiji cha Lusitu, ikiwa ni jitihada za kukabiliana na uharibifu wa mazingira. Zoezi hilo…
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya Mlimba, Jamary Abdul amewataka vijana kote nchini kujiunga na mafunzo ya ufundi stadi. Jamary amesema hayo huo leo Januari 2, 2026 alipotembelea banda la…