Slovenia imemtangaza Waziri Mkuu wa Israel, Netanyahu kuwa mtu asiyestahili
Serikali ya Slovenia imetangaza Alhamisi kuwa imeamua kwa kauli moja kumpiga marufuku Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu kuingia nchini humo, ikikumbusha kuwa kesi zinaendelea dhidi yake kwa uhalifu wa…