Ujerumani yakanusha ajenda ya kisasi kwa kuisaidia Ukraine
Waziri wa Mambo ya Kigeni wa Ujerumani, Johan Wadephul, amekanusha tuhuma za Urusi kwamba uungaji mkono wa nchi yake kwa Ukraine unatokana na kisasi kutokana na kushindwa utawala wa Kinazi…
Kiongozi wa zamani wa Bangladesh ahukumiwa miaka 10 jela
Mahakama moja nchini Bangladesh imemuhukumu waziri mkuu wa zamani aliyepinduliwa kwa maandamano ya umma, Sheikh Hasina, kifungo cha miaka kumi jela kwa ufisadi wa ardhi.
Tetesi za Soka Ulaya Jumanne: Rashford tayari kupunguziwa mshahara kubaki Barcelona
Marcus Rashford anataka kusalia Barcelona kwa mkataba wa kudumu, Raheem Sterling akataa kuhamia Bundesliga, naTottenham yamkosa Maghnes Akliouche.
Wapalestina wachache waruhusiwa kuingia Gaza kupitia Rafah
Idadi ndogo ya Wapalestina wameruhusiwa kurejea kwenye Ukanda wa Gaza kutokea Misri, baada ya kungojea kwa muda mrefu kufunguliwa kwa kituo cha mpakani cha Rafah.
Hatimaye Clinton kutoa ushahidi uchunguzi wa Epstein
Rais wa zamani wa Marekani, Bill Clinton, amekubali kujitokeza mbele ya Bunge kutoa ushahidi kwenye uchunguzi wa muhalifu wa ngono na ubakaji, Jeffrey Epstein.
Urusi yaishambulia tena miji mikubwa ya Ukraine
Majeshi ya Urusi yameishambulia tena miji miwili mikubwa ya Ukraine mapema leo na kusababisha madhara makubwa kwa majengo na miundombinu ya nishati, lakini hadi sasa hakuna taarifa yoyote ya vifo.
Pompeo aanika nafasi ya US katika ghasia za karibuni nchini Iran
Mkurugenzi wa zamani wa Shirika la Ujasusi la Marekani CIA, Mike Pompeo, amekiri kwamba, Washington ilikuwa na mchango wa moja kwa moja katika ghasia za hivi karibuni nchini Iran, akisema…
Kwa nini majibu ya Iran dhidi ya shambulio la Marekani yanaweza kuwa tofauti safari hii
"Wamarekani wanapaswa kufahamu kuwa wakianzisha vita, safari hii haitakuwa vita ya kawaida, bali vita ya kikanda," alisema Khamenei, kwa mujibu wa shirika la habari la Tasnim.
Utafiti: Idadi ya watu Gaza imepungua kwa 254,000 kutokana na vita
Utafiti wa kuaminika uliochapishwa na gazeti la Uingereza la The Guardian umehitimisha kwamba idadi ya watu wa Ukanda wa Gaza imepungua kwa takriban watu 254,000, au 10.6%, ikilinganishwa na makadirio…
Ufaransa yashutumiwa kupanga kuangusha serikali pinzani barani Afrika
Ufaransa inapanga “mapinduzi ya kikoloni mamboleo” katika mataifa mbalimbali ya Afrika kwa lengo la kuangusha serikali inazoziona kuwa “zisizohitajika,” hususan katika eneo la Sahel ambako imepata pigo kubwa katika miaka…
Nazma Khan: Chuki dhidi ya Uislamu Magharibi inalenga kunyamazisha sauti za wanawake Waislamu
Nazma Khan, mwanzilishi wa "Siku ya Hijabu Duniani", ameiambia televisheni ya Al Jazeera ya Qatar kwamba chuki dhidi ya Uislamu katika nchi za Magharibi haiishii tena katika vitendo vya ukatili…
Jinai za kigaidi za majeshi ya Ulaya; Hadithi 5 zilizochaguliwa kutoka mabara 5
Majeshi ya nchi za Ulaya yamefanya jinai barani Ulaya na katika mabara mengine duniani katika karne chache zilizopita.
Jumanne, tarehe tatu Februari, 2026
Leo ni Jumanne tarehe 14 Sha'bani 1447 Hijria, sawa na tarehe tatu Februari 2026.
03.02.2026 Matangazo ya Mchana
Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Matumaini mapya yaangaza Gaza baada ya kufunguliwa kwa kivuko cha Rafah / Miji ya Ukraine ya Kiev na Kharkiv kwa mara nyingine imeshambuliwa kwa makombora…
Diwani wa Kata ya Saranga, mhandisi John Sanga amemuomba Mbunge wa Jimbo la Kibamba ilipo kata hiyo kuisaidia kata hiyo kupata f…
Diwani wa Kata ya Saranga, mhandisi John Sanga amemuomba Mbunge wa Jimbo la Kibamba ilipo kata hiyo kuisaidia kata hiyo kupata fedha za kukamilisha miundombinu ya barabara pindi Bunge la…
Chama Cha mapinduzi (CCM) Mkoa wa Tanga kimesema kitaendelea kuhakikisha kinaisimamia Serikali yake katika kuboresha na kulinda …
Chama Cha mapinduzi (CCM) Mkoa wa Tanga kimesema kitaendelea kuhakikisha kinaisimamia Serikali yake katika kuboresha na kulinda maslahi ya wafanyakazi wote Nchini Ikiwa ni utekelezaji wa Ilani ya Chama hicho.…
Licha ya magumu wakayi wanayopitia ila bado wako imara
Licha ya magumu wakayi wanayopitia ila bado wako imara (Feed generated with FetchRSS)
#RSL: Hakuna mbabe
#RSL: Hakuna mbabe FT: Al Hilal 0-0 Al Ahli Ilikuwa #AzamSports3HD #RoshnSaudiLeague #SaudiProLeague #LigiKuuSaudiArabia #SaudiRabiaPremierLeague #AlHilalVsAlAhli
Ibrahim bado mikononi kwa watekaji. #AzamTWO
Ibrahim bado mikononi kwa watekaji. #AzamTWO (Feed generated with FetchRSS)
LIGI YA MABINGWA: Wachambuzi wa soka Ramadhan Murondo na Salama Ngale wauchambua mchezo wa jana wa Ligi ya Mabingwa Afrika kati …
LIGI YA MABINGWA: Wachambuzi wa soka Ramadhan Murondo na Salama Ngale wauchambua mchezo wa jana wa Ligi ya Mabingwa Afrika kati ya Simba SC dhidi ya Esperance de Tunis ambao…
Zaidi ya wananchi 12,256 kutoka vijiji 43 na vitongoji 379 katika mkoa wa Dodoma wanatarajiwa kuondokana na changamoto ya kukosa…
Zaidi ya wananchi 12,256 kutoka vijiji 43 na vitongoji 379 katika mkoa wa Dodoma wanatarajiwa kuondokana na changamoto ya kukosa umeme baada ya serikali kupokea mradi wa usambazaji umeme vijijini…
#NBCPL: Kocha Zedekiah Otieno wa Tanzania Prisons afurahishwa na timu yake kufunga goli baada ya kukaa kwa muda japo asikitishwa…
#NBCPL: Kocha Zedekiah Otieno wa Tanzania Prisons afurahishwa na timu yake kufunga goli baada ya kukaa kwa muda japo asikitishwa vijana wake kutofuata mpango waliokwenda nao. Kocha Mtibwa Sugar, Yusuf…
Mahakama Kuu Kanda ya Tabora imemuachia kwa masharti ya kutotenda kosa la jinai kwa mwaka mzima Msai Kashindye baada ya kupatika…
Mahakama Kuu Kanda ya Tabora imemuachia kwa masharti ya kutotenda kosa la jinai kwa mwaka mzima Msai Kashindye baada ya kupatikana na hatia ya kumuua kaka yake Charles Kashindye bila…
#NBCPL: Kocha Francis Baraza wa Pamba Jiji hajui kipi kimewasibu vijana wake mpaka wakapoteza mechi dhidi ya JKT Tanzania
#NBCPL: Kocha Francis Baraza wa Pamba Jiji hajui kipi kimewasibu vijana wake mpaka wakapoteza mechi dhidi ya JKT Tanzania. Kocha Ahmad Ally wa JKT Tanzania akoshwa na vijana wake. FT:…
Oburu Oginga Atangaza ODM Hainyemelei Wadhifa wa DP Wake Kithure Kindiki
Oburu amekanusha madai ya kuwepo kwa mashindano na Kindiki, akithibitisha kuwa ODM inalenga maslahi ya taifa kuliko madaraka katika mazungumzo ya muungano na UDA.
#NBCPL: Valentino aliupokea mpira na kugeuka nao na kuuweka nyavuni akiitanguliza JKT Tanzania
#NBCPL: Valentino aliupokea mpira na kugeuka nao na kuuweka nyavuni akiitanguliza JKT Tanzania. Salehe Karabaka hakukubali kuondoka patupu, akaweka goli la pili. Valentino naye hakuridhika, akaweka tena goli linguine na…
Uturuki yapongeza hatua zinazoimarisha amani, utulivu nchini Syria: Erdogan
Kiongozi wa Uturuki asema mikataba ya hivi punde imefungua ukurasa mpya kwa watu wa Syria, na kuonya kuwa yeyote atakayejaribu kudhoofisha hali hii atakandamizwa chini yake.
MSIMAMO: Wenye makazi yao wamerudi juu kileleni
MSIMAMO: Wenye makazi yao wamerudi juu kileleni #NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdates #Msimamo #Standing #LeagueTable
#NBCPL: Alama tatu zote zimebaki kambini
#NBCPL: Alama tatu zote zimebaki kambini. FT: JKT Tanzania 3-0 Pamba Jiji Ilikuwa LIVE #AzamSports1HD #NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdate #JKTTanzaniaVsPambaJiji
Wataalamu wa habari kutoka nchi zaidi ya 10 duniani wameanza kongamano la siku tano la kujadili namna bora ya kutoa taarifa zina…
Wataalamu wa habari kutoka nchi zaidi ya 10 duniani wameanza kongamano la siku tano la kujadili namna bora ya kutoa taarifa zinazohusu masuala ya uhamiaji ikiwemo tofauti ya watu wanaosafiri…
#NBCPL: Valentino Mashaka ni kama amekasirika…kashaweka chuma mbili kambani
#NBCPL: Valentino Mashaka ni kama amekasirika…kashaweka chuma mbili kambani. 75’: JKT Tanzania 3-0 Pamba Jiji LIVE #AzamSports1HD #NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdate
MATOKEO#RSL
MATOKEO#RSL FT: Al Riadh 0-1 Al Nassr Saa 2:30 usiku ni Al Hilal dhidi ya Al Ahli LIVE #AzamSports3HD #RoshnSaudiLeague #SaudiProLeague #LigiKuuSaudiArabia #SaudiRabiaPremierLeague #AlRoadhVsAlNassr
Ujenzi wa shule mpya ya sekondari Ruhuhu mwambao mwa ziwa Nyasa, unatajwa kuwa huenda ukawa mkombozi kwa wanafunzi kufuatia adha…
Ujenzi wa shule mpya ya sekondari Ruhuhu mwambao mwa ziwa Nyasa, unatajwa kuwa huenda ukawa mkombozi kwa wanafunzi kufuatia adha walizokuwa wakizipata awali ikiwemo mimba zinazotokana na kubakwa wakiwa njiani…
Mradi wa kupeleka umeme katika vitongoji 9,009 Awamu ya Pili B (HEP 2B), unatarajiwa kuwanufaisha wateja wa awali 290,300 katika…
Mradi wa kupeleka umeme katika vitongoji 9,009 Awamu ya Pili B (HEP 2B), unatarajiwa kuwanufaisha wateja wa awali 290,300 katika mikoa 25 ya Tanzania Bara huku vitongoji 581 mkoani Shinyanga…
Kuresoi: Simanzi Binti wa Miaka 10 Akipata Maiti za Mamake na Babake Nyumbani
Janga limekumba eneo la Kuresoi Kaskazini baada ya wanandoa kupatikana wameaga dunia kutokana na kiel kinachoshukiwa kuwa mzozo wa kinyumbani......
Kuresoi: Simanzi Binti wa Miaka 10 Apata Maiti za Mamake na Babake Nyumbani
Janga limekumba eneo la Kuresoi Kaskazini baada ya wanandoa kupatikana wameaga dunia kutokana na kiel kinachoshukiwa kuwa mzozo wa kinyumbani......
#LIVE:TAARIFA YA HABARI YA SAA MBILI USIKU – 2/02/2026
#LIVE:TAARIFA YA HABARI YA SAA MBILI USIKU - 2/02/2026
#NBCPL: JKT Tanzania kifua mbele ndani ya dakika 45 za kipindi cha kwanza
#NBCPL: JKT Tanzania kifua mbele ndani ya dakika 45 za kipindi cha kwanza. HT: JKT Tanzania 1-0 Pamba Jiji LIVE #AzamSports1HD #NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdate
Photos from AzamSports’s post
70’| #RSL Al Riadh 0-1 Al Nassr LIVE #AzamSports3HD #RoshnSaudiLeague #SaudiProLeague #LigiKuuSaudiArabia #SaudiRabiaPremierLeague #AlRoadhVsAlNassr
#NBCPL: JKT Tanzania wapo mbele kwa goli moja
#NBCPL: JKT Tanzania wapo mbele kwa goli moja. 35’: JKT Tanzania 1-0 Pamba Jiji LIVE #AzamSports1HD #NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdate
Jinsi ya kuchunguza njia za China kujipatia maendeleo endelevu! Mtaalamu Mkenya akichambua kitabu
Kitabu hicho hakielezei tu mafanikio, bali kinatoa mfano wa jinsi China ilivyoweza kudumisha mwelekeo wa maendeleo na uthabiti wa utawala licha ya changamoto.
Misingi ya ununuzi yasisitizwa katika utekelezaji wa miradi
Mafunzo hayo ni hatua muhimu katika kuhakikisha ufanisi, uwazi na uwajibikaji wa miradi...
#NBCPL: Ilianza Tanzania Prisons kwa mkwaju wa penati kupitia George Mpole, kabla ya Mtibwa Sugar nao kusawazisha kwa penati kup…
#NBCPL: Ilianza Tanzania Prisons kwa mkwaju wa penati kupitia George Mpole, kabla ya Mtibwa Sugar nao kusawazisha kwa penati kupitia Magata Fredrick. Dakika ya 87, Ismail Mhesa akapiga shuti la…
Uhaba wa miundombinu, wataalamu vikwazo mapambano dhidi ya saratani
Ofisa wa Usimamizi wa Programu kutoka Shirika la Kimataifa la Nishati ya Atomiki (IAEA), Amal...
Nassoro Hamdani afariki dunia
Tabora. Mjumbe mstaafu wa Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa kutoka Mkoa wa...
Kenya: Ukame waathiri mifugo, afya za watoto zatetereka
Mamlaka ya Kitaifa ya Kudhibiti Ukame (NDMA) imetoa tahadhari kwenye takriban kaunti tisa, huku Kaunti ya Mandera ikiwa katika hatua moja kabla ya kutangazwa rasmi kuwa inakabiliwa na hali ya…
Araghchi na Witkoff kukutana kwa mazungumzo
Shirika la habari la Iran Tasnim, limesema waziri wa mambo ya nchi za nje wa taifa hilo Abbas Araghchi, anatarajiwa kukutana na mjumbe maalum wa Marekani Steve Witkoff kwa mazungumzo.
Chama cha wanasheria Tanganyika TLS kimepongeza mahakama Kanda ya manyara kw namna ambavyo imekuwa ikitekeleza mahukum yake ya u…
Chama cha wanasheria Tanganyika TLS kimepongeza mahakama Kanda ya manyara kw namna ambavyo imekuwa ikitekeleza mahukum yake ya usikilizaji na utoaji wa maamuzi kwa haraka kwa mashauri yanayopelekwa mahakamani hapo.…
RC Dodoma atia neno usambazaji umeme vitongoji 379
DODOMA; MKUU wa mkoa wa Dodoma, Rosemary Senyamule ametoa wito kwa wananchi wa vitongoji vitakavyonufaika na Mradi wa Kusambaza Umeme katika vitongoji 379 kujiandaa kwa kutandaza nyaya majumbani (wiring) mapema,…