Skip to content
  • Fri. Jul 3rd, 2026

  • CONTACT US
  • TERMS AND CONDITIONS
  • PRIVACY POLICY
  • LIGI KUU TANZANIA LIVE

Latest Post

Ndindi Nyoro athibitisha kuhama UDA, asema anajuta kumuunga mkono Ruto 2022 sasa aomba radhi #hiinikubwakuliko #Kilichoborakabisa Dar es Salaam Watanzania Wanne kushuhudia mechi ya Mexico na England kupitia promosheni ya Mixx Polisi yanasa watuhumiwa 239 matukio ya uhalifu, mauaji, ubakaji
TUKO SWAHILI NEWS

Ndindi Nyoro athibitisha kuhama UDA, asema anajuta kumuunga mkono Ruto 2022 sasa aomba radhi

July 3, 2026 mjombazecoder

#hiinikubwakuliko #Kilichoborakabisa

July 3, 2026 mjombazecoder

Dar es Salaam

July 3, 2026 mjombazecoder
MWANANCHI

Watanzania Wanne kushuhudia mechi ya Mexico na England kupitia promosheni ya Mixx

July 3, 2026 mjombazecoder
MWANANCHI

Polisi yanasa watuhumiwa 239 matukio ya uhalifu, mauaji, ubakaji

July 3, 2026 mjombazecoder
  • Latest
  • Popular
  • Trending
Ndindi Nyoro athibitisha kuhama UDA, asema anajuta kumuunga mkono Ruto 2022 sasa aomba radhi
TUKO SWAHILI NEWS
Ndindi Nyoro athibitisha kuhama UDA, asema anajuta kumuunga mkono Ruto 2022 sasa aomba radhi
#hiinikubwakuliko
#Kilichoborakabisa
#hiinikubwakuliko #Kilichoborakabisa
Dar es Salaam
Dar es Salaam
Watanzania Wanne kushuhudia mechi ya Mexico na England kupitia promosheni ya Mixx
MWANANCHI
Watanzania Wanne kushuhudia mechi ya Mexico na England kupitia promosheni ya Mixx
Cameroon separatists to pause fighting ahead of Pope visit
LTV ENGLISH NEWS
Cameroon separatists to pause fighting ahead of Pope visit
Samia kutunukiwa shahada ya heshima Nigeria
HABARILEO
Samia kutunukiwa shahada ya heshima Nigeria
Klabu ya Fountain Gate FC imethibitisha rasmi kumteua Fred Felix Minziro “Majeshi” kuwa Kocha Mkuu mpya, akichukua nafasi ya Moh…
Klabu ya Fountain Gate FC imethibitisha rasmi kumteua Fred Felix Minziro “Majeshi” kuwa Kocha Mkuu mpya, akichukua nafasi ya Moh…
Trump anakabiliwa na chaguzi ‘mbaya’ au ‘mbaya zaidi’ kuhusu Iran: Jenerali wa IRGC
HABARI ZA KIPEKEE
Trump anakabiliwa na chaguzi ‘mbaya’ au ‘mbaya zaidi’ kuhusu Iran: Jenerali wa IRGC
Ndindi Nyoro athibitisha kuhama UDA, asema anajuta kumuunga mkono Ruto 2022 sasa aomba radhi
TUKO SWAHILI NEWS
Ndindi Nyoro athibitisha kuhama UDA, asema anajuta kumuunga mkono Ruto 2022 sasa aomba radhi
#hiinikubwakuliko
#Kilichoborakabisa
#hiinikubwakuliko #Kilichoborakabisa
Dar es Salaam
Dar es Salaam
Watanzania Wanne kushuhudia mechi ya Mexico na England kupitia promosheni ya Mixx
MWANANCHI
Watanzania Wanne kushuhudia mechi ya Mexico na England kupitia promosheni ya Mixx
TUKO SWAHILI NEWS

Kamanda wa polisi Nairobi apiga marufuku maandamano yaliyopangwa kuhusu mafuta, asema ni haramu

April 18, 2026 mjombazecoder

Kamanda wa Polisi wa Nairobi Issa Mohamud ametangaza maandamano kuhusu bei ya mafuta yaliyopangwa kuwa haramu, akionya hatua za haraka dhidi ya watakaohusika.

HABARILEO

Chizenga ataka amani ya nchi itunzwe

April 18, 2026 mjombazecoder

KATIKA kipindi ambacho Tanzania inapitia changamoto za kijamii na kisiasa zinazoambatana na tofauti za mitazamo na fikra, viongozi wa dini wameendelea kusisitiza umuhimu wa kulinda amani, mshikamano na utulivu wa…

TUKO SWAHILI NEWS

Magazeti ya Kenya: Meli ya ODM yayumba huku walichokuwa wakila na Ruto mezani kikigeuka kuwa shubiri

April 18, 2026 mjombazecoder

Mvutano ODM huku kikiashiria uwezekano wa kujiondoa katika serikali ya UDA, mizozo ya kisiasa, utata katika idara ya polisi, vyuo vikuu ndizo habari kuu leo.

MWANANCHI

Diamond, Mr Flavour si kinyonge hata kidogo!

April 18, 2026 mjombazecoder

Mwanamuziki wa Bongofleva, Diamond Platnumz (36), pamoja na mkali wa Afrobeats kutokea...

LTV ENGLISH NEWS

Govt unveils 45,000 job plan

April 18, 2026 mjombazecoder

DODOMA: THE government plans to open up 45,000 new public service jobs in the 2026/2027 fiscal year, in a move aimed at addressing staffing gaps while improving efficiency and accountability…

MWANANCHI

Wananchi walia na mikopo umiza, BOT yaendeleza elimu

April 18, 2026 mjombazecoder

Amesisitiza kuwa ni muhimu kukopa kwa ajili ya shughuli zinazozalisha kipato ili kuwezesha...

IDHAA YA DUNIA

Kusitishwa mapigano Iran, Lebanon kutakavyosukuma mazungumzo ya Marekani na Iran

April 18, 2026 mjombazecoder

Wakati kuna kusitishwa kwa mapigano mapigano katika eneo la Mashariki ya Kati, swali kubwa linaibuka: je, mazingira sasa yameiva kwa mafanikio ya kihistoria katika diplomasia

TUKO SWAHILI NEWS

Oscar Sudi akerwa na wenzake UDA wanaoingilia masuala ya ODM: “Mwache kimbelembele”

April 18, 2026 mjombazecoder

Mbunge wa Kapseret Oscar Sudi amewakemea wenzake katika UDA kwa kuingilia masuala ya ODM, akihimiza umoja huku kukiwa na mvutano wa kisiasa katika muungano mpana.

IDHAA YA DUNIA

Trump asema ana “habari njema” kuhusu Iran, licha ya hatma ya makubaliano ya amani kuwa gizani

April 18, 2026 mjombazecoder

Rais wa Marekani, Donald Trump, amesema kuna “habari njema” kuhusu Iran, akionyesha matumaini juu ya mazungumzo ya amani ya kumaliza vita, ikiwa zimesalia siku nne kabla ya wiki mbili za…

TUKO SWAHILI NEWS

Kipa wa zamani wa Arsenal afariki katika ajali ya treni jijini Salzburg, Austria

April 18, 2026 mjombazecoder

Kipa wa zamani wa Arsenal na Austria Alex Manninger, 48, alifariki kufuatia ajali ya treni karibu na Salzburg, na kusababisha rambirambi tele kutoka kote duniani.

TUKO SWAHILI NEWS

Anita Mugweru: Influenza amlilia mwenzake waliyesoma naye aliyeuawa na mume mwanajeshi wa KDF

April 18, 2026 mjombazecoder

Anita Mugweru, 29, aliuawa kwa kusikitisha na mumewe huko Nakuru. Familia yake yadai haki huku marafiki wakikumbuka roho yake changamfu na msiba wake wa kuhuzunisha.

IDHAA YA DUNIA RFI SWAHILI

Ufaransa na washirika wake waweka msingi wa misheni ya baadaye ya kulinda Hormuz

April 18, 2026 mjombazecoder

Wakati Iran ilipotangaza kufunguliwa tena kwa Mlango-Bahari wa Hormuz, zaidi ya nchi arobaini zimekutana siku ya Ijumaa, Aprili 17, kujadili mustakabali wa ukanda huu wa baharini, ambao vizuizi vyake vina…

ASTV TANZANIA ITVBONGO

🔴WATOTO WETU -APRILI 18, 2026

April 18, 2026 mjombazecoder

🔴WATOTO WETU -APRILI 18, 2026 (Feed generated with FetchRSS)

MWANANCHI

Maandalizi, harusi ya Taylor Swift yapamba moto

April 18, 2026 mjombazecoder

Mwimbaji wa Marekani, Taylor Swift (36), anatarajiwa kuvaa gauni la harusi ambalo mtindo wake...

TUKO SWAHILI NEWS

Mfanyabiashara wa Kasarani afunga biashara mwaka mmoja baada ya kuwekeza KSh 1m: “Ilikuwa ngumu”

April 18, 2026 mjombazecoder

Mfanyabiashara eneo la Kasarani Kevin, 24, amefunga hoteli yake baada ya mwaka mmoja kutokana na mazingira magumu ya biashara akionyesha taabu ya kukosa ajiri Kenya.

ASTV TANZANIA ITVBONGO

#HABARI: Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Balozi Simon Sirro, ameitaka Bohari ya Dawa (MSD) Kanda ya Tabora, kuongeza kasi ya usambazaji w…

April 18, 2026 mjombazecoder

#HABARI: Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Balozi Simon Sirro, ameitaka Bohari ya Dawa (MSD) Kanda ya Tabora, kuongeza kasi ya usambazaji wa dawa kwa wakati hasa katika maeneo ya Vijijini…

IDHAA YA DUNIA RFI SWAHILI

Mashariki ya Kati: Hali ikoje sasa baada ya wiki saba za vita

April 18, 2026 mjombazecoder

Wiki saba zilizopita, Marekani na Israel zilitekeleza mashambulizi dhidi ya Iran. Vita hivi vilienea haraka katika eneo lote. Lakini katika saa chache tu siku ya Ijumaa Aprili 17, hali katika…

IDHAA YA DUNIA RFI SWAHILI

Donald Trump: Kizuizi cha Marekani ‘kitaendelea’ ikiwa hakuna makubaliano yatakayofikiwa

April 18, 2026 mjombazecoder

Rais wa Marekani Donald Trump amesema siku ya Ijumaa jioni kwamba kizuizi cha kijeshi kitaendelea kwenye bandari za Iran ikiwa hakuna makubaliano ya amani yatakayofikiwa na Tehran. Imechapishwa: 18/04/2026 –…

HABARILEO

Mabalozi watakiwa kutangaza fursa za kibiashara

April 18, 2026 mjombazecoder

DAR ES SALAAM: Wizara ya Viwanda na Biashara imejipanga kuimarisha ushirikiano na uhusiano wa kibiashara na mabalozi wa Tanzania nje ya nchi ili kuhakikisha vikwazo vya kibiashara kimataifa vinaondolewa kwa…

MWANANCHI

Miaka 13 tangu  Bi Kidude afariki dunia

April 18, 2026 mjombazecoder

Ni wazi kuwa Fatma Binti Baraka ‘Bi Kidude’ ni utambulisho wa muziki wa Zanzibar. Nyimbo zake...

IDHAA YA DUNIA

Tetesi za Soka Ulaya: Liverpool, Man Utd ‘zatoana roho’ kwa Wharton

April 18, 2026 mjombazecoder

Liverpool wanatarajiwa kushindana na Manchester United kuwania saini ya kiungo wa Crystal Palace, Adam Wharton. Wakati huo huo, Tottenham Hotspur wamefikia makubaliano ya kumsajili Marcos Senesi, na Newcastle United wako…

IDHAA YA DUNIA RFI SWAHILI

Mlango bahari wa Hormuz umefunguliwa kulingana na waziri wa mambo ya nje wa Iran

April 18, 2026 mjombazecoder

Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Abbas Araghchi ametangaza Ijumaa alasiri kufunguliwa tena kwa Mlango-Bahari wa Hormuz kwa meli za kibiashara. Uamuzi huu, uliokaribishwa na Donald Trump, pia umesababisha…

IDHAA YA DUNIA RFI SWAHILI

Kinshasa na AFC/M23 wapiga hatua katika mazungumzo Uswisi, lakini makubaliano bado hayajafikiwa

April 18, 2026 mjombazecoder

Baada ya siku tano za mazungumzo huko Montreux, Uswisi, duru ya tisa ya mazungumzo kati ya Kinshasa na AFC/M23 imekamilika. Ingawa taarifa ya mwisho inataja maendeleo, hakuna makubaliano yaliyofikiwa kuhusu…

MWANANCHI

Watatu waliomuua ofisa mikopo Brac kwa kumnyonga ndani ya bajaji kunyongwa

April 18, 2026 mjombazecoder

Soma zaidi hapa...

IDHAA YA DUNIA RFI SWAHILI

Karibu mateka 200 wa ADF waachiliwa baada ya shambulio la jeshi Mambasa

April 18, 2026 mjombazecoder

Karibu watu 200 waliotekwa nyara na waasi wa ADF wameachiliwa huru katika siku mbili zilizopita katika eneo la Mambasa mkoani wa Ituri, kutokana na operesheni za kijeshi zinazoendelea kufanywa na…

MAGAZETI

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Aprili 18, 2026

April 17, 2026 mjombazecoder

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa Publishers... The post Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania…

MWANANCHI

Wavuvi watakiwa kukata leseni kupata mikopo ya Serikali

April 17, 2026 mjombazecoder

Wavuvi wanaovua maeneo ya Sudi ,Shuka na Mmongomongo wametakiwa kukata leseni ya uvuvi ili...

MWANANCHI

Madaktari bingwa bobezi wawasili nchini kutoa huduma, yumo wa tiba za asili

April 17, 2026 mjombazecoder

Hospitali ya Benjamin Mkapa imepokea madaktari bingwa bobezi watano kutoka China ili kuboresha...

MWANANCHI

Bugando yafanikiwa kwa mara ya kwanza kupandikiza figo

April 17, 2026 mjombazecoder

Hospitali ya Rufaa ya Kanda Bugando imefanikiwa kwa mara ya kwanza kupandikiza figo tangu...

MWANANCHI

Ugonjwa uliokatisha uhai wa Kocha Bilo hadharani

April 17, 2026 mjombazecoder

Imetajwa kuwa Kifo cha aliyekuwa kocha wa Bilo Queens Athuman Bilali ‘Bilo’ kimesababishwa na...

ASTV TANZANIA

Mbunge wa Tunduru, Ado Shaibu, ameibua hoja bungeni akiitaka Serikali kutoa majibu ya kina kuhusu watu wanaodaiwa kupotea au kut…

April 17, 2026 mjombazecoder

Mbunge wa Tunduru, Ado Shaibu, ameibua hoja bungeni akiitaka Serikali kutoa majibu ya kina kuhusu watu wanaodaiwa kupotea au kutekwa katika nyakati tofauti nchini. Akichangia mjadala huo, Shaibu ametaja baadhi…

ASTV TANZANIA

“Fremu hizi haziwapangishi wana CCM peke yao ni wananchi wote wa vyama vyote,CUF wanaruhusiwa,ACT wanaruhusiwa ,CHAUMA wanaruhus…

April 17, 2026 mjombazecoder

"Fremu hizi haziwapangishi wana CCM peke yao ni wananchi wote wa vyama vyote,CUF wanaruhusiwa,ACT wanaruhusiwa ,CHAUMA wanaruhusiwa CHADEMA wanaruhusiwa na CCM na wananchi wasio na vyama wanaruhusiwa ,CCM hakuna ubaguzi…

TUKO SWAHILI NEWS

Nakuru: Mjakazi wa Afisa wa KDF Adai Majirani Hawakusaidia Wakati Akudaiwa Kumuua Mkewe

April 17, 2026 mjombazecoder

Tukio linaonyesha mapambano ya yaya aliyeingilia kati wakati wa ugomvi wa kutisha, na kuzua mijadala juu ya mwitikio wa jamii na msaada kwa wafanyikazi wa nyumbani

TUKO SWAHILI NEWS

Nakuru: Mjakazi wa Afisa wa KDF Ada Majirani Hawakusaidia Wakati Akudaiwa Kumuua Mkewe

April 17, 2026 mjombazecoder

Tukio linaonyesha mapambano ya yaya aliyeingilia kati wakati wa ugomvi wa kutisha, na kuzua mijadala juu ya mwitikio wa jamii na msaada kwa wafanyikazi wa nyumbani

MWANANCHI

Amana wakabidhiwa kituo cha kutoa huduma kwa Vijana kilichoboreshwaa kwa Sh38 milioni

April 17, 2026 mjombazecoder

Shirika la Baba Watoto kupitia mradi wake wa Ahadi, umekabidhi kituo kwa ajili ya kutolea...

MWANANCHI

Watanzania waaswa kuepuka siasa za chuki, waelekezwa kuhimiza maendeleo

April 17, 2026 mjombazecoder

Watanzania wametakiwa kuepuka matumizi mabaya ya siasa yanayochochea chuki, vurugu na...

MWANANCHI

Chaumma yaweka imani kwa tume ya Jaji Chande

April 17, 2026 mjombazecoder

Chama Cha Ukombozi wa Umma (Chaumma) kimeeleza kuwa kina imani na tume ya uchunguzi...

LTV ENGLISH NEWS

Equity Bank opens financial services at EACLC for the logistics sector

April 17, 2026 mjombazecoder

DAR ES SALAAM: EQUITY Bank has officially launched a new branch in Ubungo, Dar es Salaam, located within the East African Commercial and Logistics Center (EACLC), as part of its…

HABARILEO

Sh bilioni 15 zanufaisha wakulima kila mwaka

April 17, 2026 mjombazecoder

DAR E SALAAM: ZAIDI ya Sh bilioni 15 zinatolewa kila mwaka kwa ajili ya kuwasaidia wakulima zaidi ya 600 nchi nzima. Lengo ni kuendeleza kilimo cha mazao yanayohitajika kwa ajili…

TUKO SWAHILI NEWS

Anita Mugweru: Picha 5 Tamu za Mwanamke wa Nakuru Anayedaiwa Kuuawa na Mumewe wa KDF

April 17, 2026 mjombazecoder

Gundua maelezo ya kuhuzunisha ya maneno ya mwisho ya mkewe afisa wa Edwin Kaunga kutoka kwa rafiki wa karibu kuhusu ndoa yao yenye matatizo...........

MWANANCHI

Bilionea Laizer aipatia shule ya Makiba mashine ya kudurufu

April 17, 2026 mjombazecoder

Mchimbaji maafuru wa madini ya Tanzanite Saniniu Laizer ameipatia Shule ya Sekondari Makiba ya...

MWANANCHI

Upasuaji Aga Khan ulivyorudisha tabasamu kwa Watanzania 16 wenye majeraha

April 17, 2026 mjombazecoder

Upasuaji wa bure wa urekebishaji wa viungo uliofanywa kwa watu 16 waliokuwa na ulemavu pamoja...

MWANANCHI

Utalii kupaa, Tanzania ikijipanga kuwa mwenyeji Mkutano IPU

April 17, 2026 mjombazecoder

Wakati Mkutano wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) ukiendelea nchini Uturuki, banda la maonesho...

MWANANCHI

Sekta binafsi yaibeba Tanzania mapinduzi ya kidijitali

April 17, 2026 mjombazecoder

Mchango wa sekta binafsi katika uwekezaji wa miundombinu ya mawasiliano umeendelea kuwa nguzo...

MWANANCHI

Wawili wafariki kwa ajali Moshi, watatu wajeruhiwa

April 17, 2026 mjombazecoder

Watu wawili wamefariki dunia papo hapo na wengine watatu kujeruhiwa mkoani Kilimanjaro kutokana...

MWANANCHI

Wanawake wanne mbaroni na kilo 129 za mirungi Kilimanjaro

April 17, 2026 mjombazecoder

Jeshi la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro linawashikilia wanawake wanne kwa tuhuma za kusafirisha...

MWANANCHI

Mbunge Ado akutana na magumu bungeni, azua hoja ya utekaji na Takukuru

April 17, 2026 mjombazecoder

Hii ni mara ya pili kwa mbunge huyo kukumbana na hali hiyo, baada ya tukio kama hilo kujitokeza...

HABARILEO

Equity yafungua tawi Ubungo kuwakutanisha wafanyabiashara

April 17, 2026 mjombazecoder

DAR ES SALAAM: Benki ya Equity imezindua tawi jipya katika eneo la Ubungo, jijini Dar es Salaam, ndani ya jengo la Kituo Kikubwa cha Biashara na Usafirishaji Afrika Mashariki (EACLC),…

LTV ENGLISH NEWS

Mtwara gas projects thrill Zanzibar House committee

April 17, 2026 mjombazecoder

MTWARA: The Zanzibar House of Representatives Committee on Economy and Investment has expressed satisfaction with the implementation of natural gas projects in Mtwara Region. The Commitee’s members made the remarks…

HABARILEO

Miradi ya gesi Mtwara yalikosha kamati ya Baraza la Wawakilishi

April 17, 2026 mjombazecoder

DODOMA: Kamati ya Baraza la Wawakilishi ya Uchumi na Uwekezaji Zanzibar imeeleza kuridhishwa na utekelezaji wa miradi ya gesi asilia mkoani Mtwara. Hayo yameelezwa Aprili 16, 2026 wakati wa ziara…

Posts pagination

1 … 235 236 237 … 1,032

Recent Posts

  • Ndindi Nyoro athibitisha kuhama UDA, asema anajuta kumuunga mkono Ruto 2022 sasa aomba radhi
  • #hiinikubwakuliko #Kilichoborakabisa
  • Dar es Salaam
  • Watanzania Wanne kushuhudia mechi ya Mexico na England kupitia promosheni ya Mixx
  • Polisi yanasa watuhumiwa 239 matukio ya uhalifu, mauaji, ubakaji

Recent Comments

  1. EdithUrili on Cameroon separatists to pause fighting ahead of Pope visit
  2. Nancyurike on Cameroon separatists to pause fighting ahead of Pope visit
  3. ChaelLah on Cameroon separatists to pause fighting ahead of Pope visit
  4. TrickSit on Cameroon separatists to pause fighting ahead of Pope visit
  5. Larryverse on Cameroon separatists to pause fighting ahead of Pope visit

Archives

  • July 2026
  • June 2026
  • May 2026
  • April 2026
  • March 2026
  • February 2026
  • January 2026
  • December 2025
  • November 2025
  • October 2025
  • September 2025
  • August 2025
  • June 2025
  • August 2024
  • July 2024
  • May 2023
  • June 2016

Categories

  • ASTV TANZANIA
  • CRI SWAHILI
  • DW SWAHILI
  • HABARI ZA KIPEKEE
  • HABARILEO
  • IDHAA YA DUNIA
  • ITVBONGO
  • LTV ENGLISH NEWS
  • MAGAZETI
  • MWANANCHI
  • MWANASPOTI
  • RFI SWAHILI
  • TRT SWAHILI
  • TUKO SWAHILI NEWS
  • TZSPORTS
  • Uncategorized

You missed

TUKO SWAHILI NEWS

Ndindi Nyoro athibitisha kuhama UDA, asema anajuta kumuunga mkono Ruto 2022 sasa aomba radhi

July 3, 2026 mjombazecoder

#hiinikubwakuliko #Kilichoborakabisa

July 3, 2026 mjombazecoder

Dar es Salaam

July 3, 2026 mjombazecoder
MWANANCHI

Watanzania Wanne kushuhudia mechi ya Mexico na England kupitia promosheni ya Mixx

July 3, 2026 mjombazecoder

Proudly powered by WordPress | Theme: Newsup by Themeansar.

  • Home
  • CONTACT US
  • LIGI KUU TANZANIA LIVE
  • PRIVACY POLICY
  • TERMS AND CONDITIONS