Iran yaitaka jamii ya kimataifa kuchukua hatua za haraka kukomesha mauaji ya kimbari Gaza
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran ametoa wito wa kuchukuliwa hatua za haraka na jamii ya kimataifa ili kukomesha mauaji ya halaiki katika Ukanda wa Gaza.
Washington Post: Iran ina uwezo wa kulenga kambi za kijeshi za Marekani
Gazeti la Washington Pos limeripoti kuwa, Iran ina uwezo wa kulenga kambi za kijeshi za Marekani.
Mataifa ya Kiislamu na Kiarabu yailaani Israel kwa kukiuka usitishaji vita Gaza
Mataifa kadhaa ya Kiislamu na Kiarabu yameulaani vikali utawala haramu wa Israel kwa kukiuka usitishaji vita katika Ukanda wa Gaza
Umoja wa Mataifa: Tuna wasiwasi kuhusu kuongezeka vurugu na machafuko Sudan Kusini
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amesema katika taarifa kwamba ana wasiwasi mkubwa kuhusu athari za kuongezeka vurugu na machafuko nchini Sudan Kusini, akiongeza kuwa hali hii itawadhuru zaidi raia…
Mazungumzo ya kitaifa DRC: Masharti ya Rais Tshisekedi yaibua hisia mseto
Siku moja baada ya mfumo uliowekwa na rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kwa ajili ya mazungumzo ya kitaifa yaliyoitishwa na sehemu ya upinzani na kuhimizwa na washirika kadhaa…
Simba yalaani Mangungu kufanyiwa vurugu Benjamin Mkapa
Uongozi wa Simba umelaani vitendo vya vurugu alivyofanyiwa Mwenyekiti wa Klabu hiyo, Murtaza Mangungu baada ya kumalizika kwa mchezo baina yao na Esperance ya Tunisia, leo Jumapili, Februari Mosi, 2026…
Nandy alivyoitendea haki miaka 10 ya umaarufu wake
Imesalia miezi michache kabla ya staa wa Bongofleva, Faustina Mfinang maarufu Nandy, 33...
Tanzania, EU deepen ties
BRUSSELS: TANZANIA and the European Union (EU) have strengthened their strategic partnership with a renewed focus on practical cooperation in regional peace and security, rules-based trade, investment facilitation and predictable…
Kwanini Marekani imebadili msimamo kuhusu mataifa yanayoongozwa kijeshi Afrika Magharibi?
Marekani inaashiria kwamba kurejesha demokrasia sio kipaumbele tena na iko tayari kufanya kazi na Burkina Faso, Mali na Niger.
🔴HABARI ZA SAA, SAA TATU NA DAKIKA 55….FEBRUARI 02, 2026
🔴HABARI ZA SAA, SAA TATU NA DAKIKA 55....FEBRUARI 02, 2026
Siyo Man City tu, hata Alessia kamteka Donnarumma
TANGU 2017, jina la Gianluigi Donnarumma, 26, halijawa gumzo tu ndani ya viwanja vya soka, bali...
Ulimwengu wa Spoti, Feb 2
Hujambo msikilizaji mpenzi na karibu tutupie jicho matukio muhimu ya spoti yaliyojiri ndani ya siku saba zilizopita, kitaifa, kieneo na kimataifa.
‘Todii’ wimbo wa Oliver Mtukudzi uliobeba maana nzito
Mwanamuziki nguli, hayati Oliver Mtukudzi kafanya mambo makubwa katika muziki. Mathalani, sanaa...
Sudan: RSF yatangaza kuzinduliwa kwa benki ili kushughulikia ukosefu wa taasisi za fedha
Nchini Sudan, Benki Kuu inaonya dhidi ya kutumia huduma za kibenki zinazotolewa na Vikosi vya Msaada wa Haraka (RSF) katika maeneo wanayodhibiti. Wiki chache zilizopita, utawala wa kiraia unaoungwa mkono…
Kocha Yanga afichua siri, akisaka rekodi Uarabuni
ACHANA na matokeo ya jioni ya leo ugenini dhidi ya Stellenbosch ya Afrika Kusini katika mechi ya Kombe la Shirikisho Afrika, kocha wa zamani wa Yanga, Sead Ramovic amefichua siri…
Ethiopia: Utawala wa mkoa na TPLF watoa wito wa utulivu na mazungumzo Tigray
Chama kikuu cha kisiasa katika jimbo la kaskazini mwa Ethiopia, TPLF, kimebainisha tena kujitolea kwake kwa mchakato wa amani licha ya mashambulizi. Vile vile, mkuu wa utawala wa mpito katika…
Liberia: Mahakama ya uhalifu wa vita vya wenyewe kwa wenyewe kuanzishwa
Hatua zaidi imechukuliwa kuelekea mahakama ya baadaye nchini Liberia yenye jukumu la kuwahukumu wale waliohusika na ukatili uliofanywa wakati wa vita viwili vya wenyewe kwa wenyewe kati ya mwaka 1989…
🔴KUMEKUCHA KISHINDO: ..FEBRUARI 02, 2025
🔴KUMEKUCHA KISHINDO:...FEBRUARI 02, 2025
🔴HABARI ZA SAA, SAA MBILI NA DAKIKA 55….FEBRUARI 02, 2026
🔴HABARI ZA SAA, SAA MBILI NA DAKIKA 55....FEBRUARI 02, 2026
Magazetini: Matiang’i Kuteuliwa Kuwa Mkuu wa Mawaziri Katika Mpangilio Mpya wa Upinzani
Chama cha ODM na UDA chazamia mazungumzo kabla ya 2027, huku uchunguzi wa polisi na juhudi za Gachagua kumteua Kalonzo kuwa kiongozi wa upinzani zikichochea mvutano.
Waziri wa Sheria wa Ufaransa ziarani nchini Morocco
Chini ya mwaka mmoja baada ya ziara yake ya mwisho, Gérald Darmanin anafanya ziara nyingine rasmi nchini Morocco leo Jumatatu, Februari 2 na kesho Jumanne, Februari 3, ili kuimarisha zaidi…
“….hii unatoa utaniwahi lakini nataka nipate muda mzuri kuwafahamisha watu kwamba tufikie sehemu lazima tuseme kwamba hapa pa…
"....hii unatoa utaniwahi lakini nataka nipate muda mzuri kuwafahamisha watu kwamba tufikie sehemu lazima tuseme kwamba hapa panatosha, watu ambao wanajua wanawaudhi watu wengine lazima wakubali kupumzika, mimi bado napata…
Rwanda yajaribu programu inayotegemea akili bandia (AI) kuboresha huduma za afya kwa wakazi
Mradi huoI ambao unaitwa Horizon 1000, uliotengenezwa na Wakfu wa Gates na kampuni ya Marekani ya OpenAI kwa ushirikiano na mamlaka ya Rwanda, unalenga kushughulikia uhaba mkubwa wa wataalamu wa…
Familia ya Kisii Iliyokuwa Imezurura kwa Miaka 4 Hatimaye Yapata Makao Kericho
Baada ya miaka minne ya kutembea bila kujua wanakokwenda, familia ya Kisii imepata makazi Kericho, kutokana na usaidizi wa Mbunge Nelson Koech......
Madagascar: Kimbunga Fytia kimesababisha kifo cha mtu mmoja na zaidi ya watu 8,000 wameathiriwa
Madagascar ambayo imekumbwa na kimbunga Fytia kwa siku mbili, tangu Jumamosi Januari 31 hadi Jumapili Februari 1, sasa inajaribu kutathmini uharibifu uliosababishwa na kimbunga hicho. Ingawa uharibifu unaweza kuonekana mdogo,…
Venezuela yawaachia wafungwa zaidi ya 300 wa kisiasa
Zaidi ya watu 300 wanaotambuliwa kama "wafungwa wa kisiasa" wameachiliwa nchini Venezuela ndani ya siku 30 tangu kupinduliwa na kutekwa kwa Rais Nicolas Maduro na majeshi ya Marekani mwezi mmoja…
🔴KUMEKUCHA MICHEZO : FEBRUARI 02, 2026
🔴KUMEKUCHA MICHEZO : FEBRUARI 02, 2026
Mazungumzo ya kitaifa DRC: Masharti ya Félix Tshisekedi yazua hisia tofauti
Siku moja baada ya mfumo uliowekwa na rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kwa ajili ya mazungumzo ya kitaifa yaliyoitishwa na sehemu ya upinzani na kuhimizwa na washirika kadhaa…
Gladys Wanga Adai Mgao wa 50% wa Serikali Katika Mazungumzo ya Muungano wa ODM na UDA
Gavana Gladys Wanga aliunga mkono ombi la ODM la kutaka asilimia 50 ya serikali katika mazungumzo ya muungano na UDA kabla ya Uchaguzi Mkuu wa 2027.
Kwanini Israel imekaa kimya wakati Trump akitoa vitisho vipya dhidi ya Iran?
Huku uvumi wa kimataifa kuhusu ongezeko la uwepo wa wanajeshi wa Marekani katika Mashariki ya Kati, viongozi wa Israel wameendelea kuonesha ukimya usio wa kawaida.
Uganda: Washington yaghadhabishwa na kauli za mkuu wa jeshi ambaye ni mtoto wa rais
Marekani lazima itathmini upya ushirikiano wake wa usalama na Uganda, Jim Rish kutoka chama cha Republican, ambaye ni mwenyekiti wa Kamati ya Mahusiano ya Kigeni ya Baraza la Seneti, ametangaza…
Israel kuufunguwa mpaka wa Rafah
Israel imesema itaufunguwa tena mpaka muhimu kati ya Ukanda wa Gaza na Misri kupitia kituo cha Rafah hivi leo, siku moja baada ya kutangaza kuakhirisha hatua hiyo.
Mawazo kinzani mkakati wa KKK ukianza kutekelezwa
Kutengenezwa kwa Mkakati wa Kisayansi wa Kujenga Umahiri wa Kusoma, Kuandika na Kuhesabu (KKK)...
Iran yataka kuamiana kurejee kwanza mazungumzo na Marekani
Waziri wa Mambo ya Kigeni wa Iran, Abbas Araghchi, amesisitiza umuhimu wa kujengeana imani kwa ajili ya mazungumzo na Marekani wakati mataifa hayo mawili yakiwa kwenye mzozo unaotishia vita kamili…
Takaichi kuibuka na ushindi mkubwa Japan
Chama cha Waziri Mkuu wa Japan, Sanae Takaichi, kinatazamiwa kupata ushindi mkubwa kwenye uchaguzi wa wiki ijayo kwa mujibu wa uchunguzi wa maoni uliochapishwa jioni ya Jumapili (Februari 1).
Marekani kutofungua mashitaka kashfa ya Nyaraka za Epstein
Licha ya ugunduzi mkubwa ulioibuliwa kwenye kile kiitwacho Nyaraka za Epstein, Naibu Mwanasheria Mkuu wa Marekani, Todd Blanche, ameondosha uwezekano wa kufunguwa mashitaka ya uhalifu kwa wale waliotajwa.
Mandelson ajiuzulu Labour kwa kashfa ya Epstein
Mwanasiasa mashuhuri wa Uingereza, Peter Mandelson, amejiuzulu kutoka chama tawala cha Labour kukwepa kile alichokiita "fedheha zaidi" kufuatia kuibuliwa tena taarifa za urafiki wake na Jeffery Epstein.
Jeshi la Nigeria lamuua kamanda wa Boko Haram
Jeshi la Nigeria lilimuwinda kamanda wa kundi hilo la Boko Haram, Abu Khalid, ambaye alikuwa amejificha katika msitu wa Sambisa na kumuangamiza pamoja na wapiganaji wake.
Iran yaimarisha ‘Dhahabu ya Kijani’ licha ya njama za Marekani
Sekta ya njugu aina ya pistachio ya Iran kwa muda mrefu imekuwa nguzo muhimu ya mauzo ya nje ya kilimo ya nchi hii, ikiwa imejikita kwa kina katika uchumi na…
Hamas: Israel isitishe jinai ili mapatano ya usitishaji vita Gaza yafanikiwe
Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Kupigania Ukombozi wa Palestina, Hamas, katika Ukanda wa Gaza amesisitiza kuwa harakati za Palestina zimejitolea kuheshimu makubaliano ya kusitisha mapigano na kwamba mafanikio ya…
Hali ya Tigray nchini Ethiopia yamtia wasiwasi mkubwa Katibu Mkuu wa UN
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa António Guterres amesema anafuatilia kwa karibu kinachoendelea katika eneo la Tigray nchini Ethiopia, ambako mvutano unaoibuka upya na taarifa za mapigano vimechangia kuzorota kwa…
Tetesi za Soka Ulaya Jumatatu: Barcelona kuamua mustakabali wa Rashford
Juventus wanamtaka Beto wa Everton, mustakabali wa Marcus Rashford unaweza kuwa nje ya udhibiti wa Manchester United, na Jamaal Lascelles wa Newcastle United anaweza kuwania Ubingwa.
🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI FEBRUARI 02, 2026
🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI FEBRUARI 02, 2026
#KIPIMAJOTO: Vizuizi maeneo yanapokutana Reli na Barabara
#KIPIMAJOTO: Vizuizi maeneo yanapokutana Reli na Barabara. Je, vinazingatiwa ili kudhibiti ajali zinazoendelea kujitokeza
Wanazuoni wa Yemen watangaza mshikamano na Iran
Jumuiya ya Wanazuoni wa Yemen imetangaza mshikamano wake kamili na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na kutaka ulimwengu wa Kiislamu kuchukua msimamo wa pamoja katika suala hilo.
Afrika Kusini yamtimua Kaimu Balozi wa Israel
Afrika Kusini imemtangaza kaimu balozi wa utawala wa Isarel nchini humo kuwa mtu asiyehitajika na kuamuru aondoke mara moja.
Kuakisiwa hotuba ya Kiongozi wa Mapinduzi katika vyombo vya habari vya Kiarabu; indhari ya Tehran ya kugeuka vita na kuwa vya kikanda
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei ameonya kwamba, vita vyovyote vitakavyoanzishwa na Marekani dhidi ya Iran vitageuka na kuwa vita vya kikanda.
Jumatatu, tarehe Pili Februari, 2026
Leo ni Jumatatu tarehe 13 Sha'ban 1447 Hijria ambayo inasadifiana na tarehe Pili Februari 2026.
Tanzanian envoy welcomes Samia Scholarship students in Johannesburg
JOHANNESBURG, SA: Tanzania’s High Commissioner to South Africa, James Bwana, has today welcomed 16 Tanzanian students who arrived in Johannesburg to pursue Bachelor of Science degrees in Computer Studies, Data…