Serikali yasifu ufanisi wa TADB, kuchochea mageuzi sekta ya kilimo
Waziri wa Fedha, Balozi Khamis Mussa Omar amepongeza ufanisi wa uendeshaji na mchango mkubwa wa...
Njiapanda: Udumavu washamiri Iringa licha ya kusheheni chakula -1
Wakati kiwango cha udumavu nchini Tanzania kikiwa juu ya wastani wa dunia wa asilimia 22, Mkoa...
#HABARI: Wakala wa Nishati Vijijini (REA) umemtaka mkandarasi wa kampuni ya CCC International Engineering kuongeza kasi ya ujen…
#HABARI: Wakala wa Nishati Vijijini (REA) umemtaka mkandarasi wa kampuni ya CCC International Engineering kuongeza kasi ya ujenzi wa mradi wa kusambaza umeme katika vitongoji 135 mkoani Ruvuma baada ya…
#HABARI: Katibu Tawala wa mkoa wa Kigoma Hassan Abass Rugwa, amevitaka vyama vya watumishi CWT na TALGWU kuwa kiunganishi cha w…
#HABARI: Katibu Tawala wa mkoa wa Kigoma Hassan Abass Rugwa, amevitaka vyama vya watumishi CWT na TALGWU kuwa kiunganishi cha wafanyakazi na mamlaka zao, ili kupunguza migogoro isiyo ya lazima…
Nusu watahiniwa wenye matokeo wapata daraja la nne, sifuri
Wakati matokeo ya kidato cha nne 2025 yakionyesha kuongezeka kwa ufaulu kufikia asilimia 94.
#HABARI: Taharuki imetanda katika eneo la Kakong, Kaunti ya Turkana, baada ya majangili kuwaua watu sita na kujeruhi wengine wa…
#HABARI: Taharuki imetanda katika eneo la Kakong, Kaunti ya Turkana, baada ya majangili kuwaua watu sita na kujeruhi wengine wawili katika shambulio la wizi wa mifugo. Kamanda wa Polisi wa…
#HABARI: Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (MNEC) Mkoa wa Mbeya, Ndele Mwaselela, amewataka viongozi wanaosimamia ilani ya…
#HABARI: Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (MNEC) Mkoa wa Mbeya, Ndele Mwaselela, amewataka viongozi wanaosimamia ilani ya chama kuwashughulikia vikali watu wasio waadilifu na wezi wa mali za…
Mkuu wa Wilaya ya Handeni,Salum Nyamwese, amewataka madiwani wa Halmashauri ya Mji Handeni, Halmashauri ya Wilaya ya Handeni na …
Mkuu wa Wilaya ya Handeni,Salum Nyamwese, amewataka madiwani wa Halmashauri ya Mji Handeni, Halmashauri ya Wilaya ya Handeni na Halmashauri ya Wilaya ya Kilindi kuacha kutanguliza maslahi binafsi au ya…
Askari wapya JWTZ waonywa dhidi ya siasa, kamari na madeni
Askari wapya wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) waliohitimu mafunzo Msata mkoani...
Serikali imeipongeza Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) kwa mchango wake mkubwa katika sekta ya madini nchini, ikitaja …
Serikali imeipongeza Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) kwa mchango wake mkubwa katika sekta ya madini nchini, ikitaja miongoni mwa mambo mengine dhamira yake katika uchimbaji madini unaowajibika, ulipaji…
ACT Wazalendo, SUK mvutano wa kisheria
Zimebaki siku tisa hadi kesho Jumatatu Februari 3, 2026 kwa Chama cha ACT Wazalendo, kuamua...
#sisitumeanza @itvtz @radioonetanzania @capitaldigitaltanzania
#sisitumeanza @itvtz @radioonetanzania @capitaldigitaltanzania
Leopard Tours kulipwa mamilioni ajali ya lori la Lodhia Steel Industries
Mahakama Kuu, imeiamuru kampuni ya Lodhia Steel Industries Ltd na dereva wake, Abdalah Mbugu...
Usikose kutazama MasterChef leo saa 3:00 usiku ndani ya #AzamONE chaneli namba 101 kwenye kisimbuzi chako cha #AzamTV
Usikose kutazama MasterChef leo saa 3:00 usiku ndani ya #AzamONE chaneli namba 101 kwenye kisimbuzi chako cha #AzamTV (Feed generated with FetchRSS)
#LIVE:TAARIFA YA HABARI YA SAA MBILI USIKU – 01/02/2026
#LIVE:TAARIFA YA HABARI YA SAA MBILI USIKU - 01/02/2026
TAARIFA YA HABARI SAA MBILI FEBRUARI 01, 2026 – WAZIRI MKUU AHIMIZA MALEZI BORA KWA VIJANA
TAARIFA YA HABARI SAA MBILI FEBRUARI 01, 2026 - WAZIRI MKUU AHIMIZA MALEZI BORA KWA VIJANA
#HABARI: Mkuu wa Mkoa wa Singida, Halima Dendego, amewaagiza wakulima mkoani humo kuacha kususia kilimo cha alizeti na badala y…
#HABARI: Mkuu wa Mkoa wa Singida, Halima Dendego, amewaagiza wakulima mkoani humo kuacha kususia kilimo cha alizeti na badala yake kila mmoja alime angalau hekari mbili ili kukabiliana na upungufu…
#HABARI: Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi John Mongela amesema ameridhika na hali ya upatikanaji wa dawa katika kituo c…
#HABARI: Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi John Mongela amesema ameridhika na hali ya upatikanaji wa dawa katika kituo cha Afya cha Tinde, wilayani Shinyanga, huku akieleza kuchukua changamoto…
Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega ameagiza kusitishwa mkataba wa mkandarasi kutoka China, Shandong Luquiao Group, anayejenga bar…
Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega ameagiza kusitishwa mkataba wa mkandarasi kutoka China, Shandong Luquiao Group, anayejenga barabara ya Omurushaka –Kyerwa yenye urefu wa kilometa 50 iliyopo mkoani Kagera kwa kusuasua…
Wachumi waeleza faida, hasara za kupunguza akiba ya dhahabu, dola
Uamuzi wa Serikali kutangaza mpango wa kuuza sehemu ya akiba ya dhahabu umeibua mjadala mpana...
Profesa Mbarawa asisitiza ukaguzi njia za reli, usalama wa abiria
Serikali imeuagiza uongozi wa Shirika la Reli Tanzania (TRC) kuendelea kusimamisha safari za...
Serikali kutumia ndege maalumu kutafuta madini
Waziri wa Madini, Anthony Mavunde amezindua ndege ya kisasa ya utafiti wa kijiolojia wa anga...
Dk Mwigulu awakingia kifua wazee, akiwaonya vijana
Waziri Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba ameonya tabia ya vijana kujibizana na kuwakejeli wazee, akisema...
Hatua kuelekea maridhiano, siku 100 za Rais Samia
Zikiwa zimesalia siku 11 kabla Rais Samia Suluhu Hassan kutimiza siku 100 madarakani tangu...
ES Tunis yaivurugia Simba Kwa Mkapa CAFCL
Simba ni rasmi kuwa haina nafasi tena kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika msimu huu baada ya kushindwa kulinda mabao 2-0 na kumaliza kwa sare ya mabao 2-2 dhidi…
William Ruto aahidi KSh 4 bilioni kwa upanuzi wa soko la Gikomba: “Nimetafuta pesa”
Rais William Ruto alitangaza mpango wa kupanua Soko la Gikomba, kushughulikia masuala ya umiliki wa ardhi, hatari za mioto kwa hati miliki mpya ya Kaunti ya Nairobi.
Ujerumani yakemea Iran kutaja jeshi la EU kama magaidi
Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani, Johann Wadephul, amekosoa vikali uamuzi wa Iran wa kuorodhesha majeshi ya Umoja wa Ulaya kuwa makundi ya kigaidi.
Mazungumzo ya Amani ya Ukraine yaahirishwa hadi Jumatano
Duru ya pili ya mazungumzo kati ya maafisa wa Urusi, Ukraine na Marekani kuhusu mpango wa Marekani wa kumaliza vita vya Ukraine sasa imepangwa kuanza Jumatano, badala ya Jumapili.
Papa Leo aihimiza Marekani na Cuba kuzungumza
Kiongozi wa Kanisa Katoliki, Papa Leo, amesema ana wasiwasi mkubwa kuhusu kuongezeka kwa mvutano kati ya Marekani na Cuba.
William Ruto atafakari kuhusu siasa makanisani, machafuko hasa tukio la Gachagua kushambuliwa Othaya
William Ruto amelaani vurugu katika ibada ya kanisa huko Othaya, akihimiza heshima kwa maeneo ya ibada huku mvutano wa kisiasa ukiongezeka kabla ya uchaguzi wa 2027.
Mwili uliokatika vipande wakutwa juu ya reli, mashuhuda wasimulia
Mwili wa mwanaume ambaye hajafahamika umekutwa juu ya reli huku ukiwa umekatika vipande katika...
Balozi Kombo atua EU, wajadili kuimarisha uhusiano
Serikali ya Tanzania imefanya mazungumzo na viongozi wakuu wa Umoja wa Ulaya (EU) jijini...
Werder Bremen yamfuta kocha baada ya mechi 10 bila ushindi
Werder Bremen imemtimua kocha Horst Steffen baada ya mechi 10 mfululizo bila ushindi katika ligi kuu ya Ujerumani, Bundesliga.
Esperance yaharibu hesabu za Simba CAFCL
Simba ni rasmi kuwa haina nafasi tena kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika msimu huu...
#HABARI: Mkoa wa Singida umezindua rasmi kampeni ya upandaji miti kimkoa katika Shule ya Sekondari ya Ufundi Halima Dendego, hu…
#HABARI: Mkoa wa Singida umezindua rasmi kampeni ya upandaji miti kimkoa katika Shule ya Sekondari ya Ufundi Halima Dendego, huku ukihimiza wananchi kuachana na nishati chafu ya mkaa na kuni…
Sura mbili pendekezo sheria kuwalazimisha watoto kutunza wazazi wao
Pendekezo la hoja iliyowasilishwa bungeni la kutaka itungwe sheria itakayowalazimisha watoto...
Serikali yatuma polisi kuwalinda viongozi wa upinzani kanisani Murang’a: “Tunashukuru”
Serikali iliwalinda viongozi wa upinzani wakati wa ibada ya kanisa huko Murang'a baada ya mashambulizi ya Nyeri. Seneta wa Murang'a Joe Nyutu alitaka uwajibikaji.
🔴HAPA NA PALE KUTOKA KAGERA – FEBRUARI 01, 2026
🔴HAPA NA PALE KUTOKA KAGERA - FEBRUARI 01, 2026
Mkuu wa Wilaya ya Morogoro Mussa Kilakala amewataka madiwani kuhakikisha kabla ya kubuni vyanzo vipya vya mapato wahakikishe vya…
Mkuu wa Wilaya ya Morogoro Mussa Kilakala amewataka madiwani kuhakikisha kabla ya kubuni vyanzo vipya vya mapato wahakikishe vyanzo vingine vinafanya vizuri katika ukusanyaji wa mapato. Akizungumza katika baraza la…
Kama mlivyo sikia na kuona mambo ndiyo yapo hivyo kwa Mkapa
Kama mlivyo sikia na kuona mambo ndiyo yapo hivyo kwa Mkapa (Feed generated with FetchRSS)
#LIVE:TAARIFA YA HABARI YA JIONI – 1/02/2026
#LIVE:TAARIFA YA HABARI YA JIONI - 1/02/2026 (Feed generated with FetchRSS)
Khamenei aonya “vita vya kikanda ” Iran ikishambuliwa
Kiongozi Mkuu wa Iran Ayatollah Ali Khamenei ameonya kuwa "vita kamilii vya kikanda" vitazuka iwapo Marekani itaishambulia nchi yake.
Uzinduzi wa miaka 49 tangu kuanzishwa kwa chama hicho, Mwenyekiti wa chama cha Mapindizi CCM Mkoa wa Morogoro Mhandisi Joseph Ma…
Uzinduzi wa miaka 49 tangu kuanzishwa kwa chama hicho, Mwenyekiti wa chama cha Mapindizi CCM Mkoa wa Morogoro Mhandisi Joseph Masunga akiwa katika uzinduzi wa Sherehe hizo Wilayani Mvomero Mkoani…
Katika kuendeleza hamasa ya kitaifa ya uwekezaji wa ndani, Mamlaka ya Uwekezaji na Maeneo Maalumu ya Kiuchumi Tanzania (TISEZA) …
Katika kuendeleza hamasa ya kitaifa ya uwekezaji wa ndani, Mamlaka ya Uwekezaji na Maeneo Maalumu ya Kiuchumi Tanzania (TISEZA) imetembelea mradi wa Hospitali ya Kamanga Medics (Kamanga Medics Hospital) uliopo…