Moses Kuria Atangaza Nia ya Kuwania Kiti cha Ubunge wa Gatundu Kusini kwa Tiketi ya UDA
Moses Kuria ametangaza atawania ubunge wa Gatundu Kusini mwaka wa 2027 chini ya UDA, na hivyo kuzua mjadala kuhusu uwiano wa vyama na uongozi.........
Kocha atozwa faini kwa kumpiga mwamuzi
KOCHA wa timu ya Kundemba inayoshiriki Ligi Daraja la Kwanza Zanzibar, Mohammed Seif Mzee, amefungiwa michezo mitatu mfululizo na kutozwa faini ya Sh1 milioni kwa kosa la kuhamasisha vitendo vya…
Uganda: Wanawake wakemea dhidi ya unyanyasaji kisiasa
Jumuiya ya wanawake nchini Uganda imeshtumu vikali utawala wa Uganda chini ya Rais Yoweri Museveni kwa kile wanachotaja kuwa, hila za kuwakandamiza na kuwatesa wanawake wanasiasa na hata wake za…
🔴HABARI ZA SAA, SAA SITA NA DAKIKA 55….FEBRUARI 03, 2026
🔴HABARI ZA SAA, SAA SITA NA DAKIKA 55....FEBRUARI 03, 2026
Mambo 5 makubwa yaliyofichuliwa kutoka kwenye mamilioni ya faili za Epstein
Ufichuzi huo unakuja wiki sita baada ya Rais Donald Trump, kuamuru kwamba nyaraka zote zinazohusiana na Epstein zitolewe kwa umma.
Kivuko cha mpaka cha Rafah kati ya Gaza na Misri chafunguliwa tena japo kwa masharti
Kufunguliwa kwa Rafah ilikuwa hitaji muhimu chini ya awamu ya kwanza ya mpango wa Kufunguliwa tena kwa Rafah lilikuwa hitaji muhimu chini ya awamu ya kwanza ya mpango mpana wa…
Arsenal yatwaa Ubingwa wa Dunia
Klabu ya Arsenal ya wanawake, imetawazwa kuwa Mabingwa wa dunia baada ya kuifunga Corinthians...
#MICHEZO: “Nafasi bado tunayo tofauti yetu ni ndogo ya alama tatu, tunamchezo wa nyumbani bado nafasi ipo, kundi letu mtu yeyote…
#MICHEZO: "Nafasi bado tunayo tofauti yetu ni ndogo ya alama tatu, tunamchezo wa nyumbani bado nafasi ipo, kundi letu mtu yeyote anaweza akasonga mbele" Nassoro Idrissa-Mwenyekiti wa Azam FC Powered…
Mchungaji Kanyari Azua Gumzo baada ya Kuwakabidhi Pesa Washirika Kanisani
Ibada ya kipekee ya Miracle Money Service ya pasta Kanyari ilimwona akipeana pesa kanisani, jambo lililozua maoni mseto. Muumini mmoja alitoa maelezo ya tukio hilo
GSM kujenga uwanja mpya wa Yanga
Yanga imeitangaza Kampuni ya GSM Limited kuwa mshindi wa tenda ya ubia wa ujenzi wa uwanja wa...
Safari za ndege za ndani Sudan zimeanza tena kwa mara ya kwanza tangu kuzuka vita mwaka 2023
Ndege za shirika la ndege la Sudan Airways zikitua katika uwanja wa Khartoum kutoka Port Sudan, hatua ya kiishara ya kurejesha usafiri wa anga baada ya takriban miaka mitatu ya…
Mkanda mzima yaliyotokea Grammy 2026
Rapa mwenye ushawishi zaidi duniani kutokea Marekani, Kendrick Lamar ameweka rekodi kwenye...
Student entrepreneurs receive 70m/- support from the UNDP initiative
DAR ES SALAAM: At least 20 student entrepreneurs from various universities across the country have been awarded over 70m/- to support the growth of their businesses following a business pitch…
‘Ni mara ya kwanza kuandaa dira na mpango wakati mmoja’
DODOMA; SERIKALI imesema hii ni mara kwanza kwa nchi Tanzania kuandaa dira na mpango elekezi kwa wakati mmoja. Kauli hiyo imetolewa bungeni leo na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais…
Tanzania pushes TADB toward export-focused lending
DODOMA: Tanzania’s finance minister has urged the Tanzania Agricultural Development Bank (TADB) to redirect more of its lending toward higher-value food and cash crops aimed at international markets, as the…
🔴HABARI ZA SAA, SAA NNE NA DAKIKA 55….FEBRUARI 03, 2026
🔴HABARI ZA SAA, SAA NNE NA DAKIKA 55....FEBRUARI 03, 2026
Zuber Foba anatoa darasa huru Azam
Aboutwalib Mshery, Khomein Abubakar na sasa Hussein Masalanga, hawa wote wanasubiri mbele ya...
Potgieter shines as Zanzibar golf season opens at Sea Cliff
ZANZIBAR: THE golfing calendar in Zanzibar teed off in fine style over the weekend as players converged on the stunning Sea Cliff Resort & Spa Golf Club in Mangapwani for…
Diamond backs JAB, vows full compliance with Media Law
DAR ES SALAAM: WASAFI Media Director Naseeb Abdul, alias Diamond Platnumz, has thrown his weight behind the Journalists Accreditation Board (JAB), praising its role in enforcing the Media Services Act…
Watu zaidi ya 200 wafariki baada ya mgodi kuporomoka huko DRC
Mamlaka za waasi nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, DRC zinasema watu zaidi ya 200 wameuawa katika mgodi ulioporomoka huko Rubaya mashariki mwa nchi hiyo Januari 28.
Trump asema Marekani iko katika mazungumzo na maafisa waandamizi wa Cuba ili ‘kufikia makubaliano’
Rais wa Marekani Donald Trump anasema nchi yake ipo katika mazungumzo na maafisa waandamizi wa Cuba na anadhani pande hizo mbili "zitafikia makubaliano."
Mjumbe wa Marekani awasili Venezuela kufungua tena misheni ya kidiplomasia mjini Caracas
Mjumbe wa Marekani Laura Dogu amewasili nchini Venezuela kufungua tena misheni ya kidiplomasia ya Marekani huko Caracas.
Waandamana mjini Milan kupinga mpango wa Marekani kutuma maafisa wa ICE kwenye Olimpiki ya Majira ya Baridi
Mamia ya watu wameandamana huko Milan, Italia, kupinga mpango wa Marekani wa kuwatuma maafisa wa Idara ya Uhamiaji na Forodha ya Marekani, au ICE, kuwalinda washiriki wa Marekani katika Olimpiki…
Israel yafungua tena kivuko cha Rafah ‘kwa kupita watu pekee’
Israel inasema kivuko cha mpakani cha Rafah kati ya Ukanda wa Gaza na Misri "kimefunguliwa tena kwa ajili ya watu pekee." Inaongeza kuwa kupita kwa wakazi katika pande zote mbili…
Zelenskyy: Mazungumzo yajayo ya Ukraine, Urusi na Marekani yanatarajiwa Februari 4 na 5 mjini Abu Dhabi
Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelenskyy, amesema awamu inayofuata ya mazungumzo ya amani miongoni mwa maafisa waandamizi kutoka nchi hiyo, Urusi na Marekani itafanyika mjini Abu Dhabi, Umoja wa Falme za…
Polisi: Washambuliaji tofauti waliohusika katika wizi wa pesa taslimu, walijaribu kuiba jijini Tokyo (Sauti ya AI kwa Kiswahili)
Mwanamume wa Kijapani mwenye umri wa miaka 51 aliyeibiwa huko Hong Kong ni miongoni mwa wale wanaoaminika kushambuliwa katika jaribio la wizi kwenye eneo la kuegesha magari la Uwanja wa…
Watu wanne wakiwemo Wajapani washtakiwa Hong Kong kwa wizi wa pesa nyingi
Polisi wa Hong Kong wamesema watu wanne wameshtakiwa kwa kula njama ya kumwibia mwanamume Mjapani yeni milioni 51, au karibu dola 330,000 za Marekani, pesa taslimu.
Man City yaanza kulia na waamuzi England
Kiungo wa Manchester City, Rodri, ametoa madai akisema waamuzi wa Ligi Kuu England hawachezeshi...
AFCON Stadium sparks investment rush in Z’bar
ZANZIBAR: THE Zanzibar Second Vice-President (2VP), Hemed Suleiman Abdulla, has called on local and foreign investors to seize emerging economic opportunities linked to the construction of the AFCON football stadium…
From comfort to collapse•••Simba surrender two-goal lead in 2–2 draw
DAR ES SALAAM: SIMBA SC failed to hold on to a two-goal lead, being held to a dramatic 2-2 draw by Esperance de Tunis at the Benjamin Mkapa Stadium in…
Vodacom to sponsor 1,000 youths annually in skills drive
DAR ES SALAAM: VODACOM Tanzania has pledged to sponsor up to 1,000 young people annually at the Don Bosco Vocational Training Centre (VTC) aimed at equipping youth with practical skills…
Govt recognises CEOrt’s two-decade impact
DAR ES SALAAM: THE government has acknowledged the CEO Roundtable of Tanzania (CEOrt) for its role in driving economic transformation through more than two decades of private sector engagement. Minister…
Airtel Africa profit more than doubles
DAR ES SALAAM: AIRTEL Africa more than doubled its profit after tax for the nine months ended December, buoyed by stronger operating earnings and sizeable gains from derivatives and foreign…
Korosho Africa factory to resume this season
DODOMA: THE government is moving forward with efforts to revive the Tunduru-based Korosho Africa cashew processing factory, with investor, Sunil Kamath finalising early-stage preparations to reopen the long-stalled facility. Deputy…
Data privacy day and what it means for Tanzania
DAR ES SALAAM: FOR many people, privacy sounds vague and abstract. Something technical. Something for banks, big companies or people ‘with secrets.’ In everyday conversations, it is easy to hear…
Bellingham kukaa nje Mwezi mmoja
Kiungo wa Real Madrid na timu ya taifa ya England, Jude Bellingham, atakuwa nje ya uwanja kwa...
Turning WhatsApp statuses into money
DAR ES SALAAM: AT just 25 years old, Ms Elizabeth Mboko is making waves in Dar es Salaam’s entrepreneurial scene. Harnessing the power of social media, particularly WhatsApp, she has…
Director Kenny na rekodi zake kwenye muziki
Jina la Director Kenny ni maarufu hasa katika Bongofleva kwa sababu amefanya yenye heshima...
Mauaji ya Mwanafunzi Endebess: Msichana wa kidato cha 4 Auawa, Mshukiwa Anaswa Mpakani Uganda
Idara ya DCI ilimkamata mshukiwa wa mauaji ya mwanafunzi wa kidato cha nne huko Endebess baada ya operesheni ya pamoja ya Kenya na Uganda katika mpaka wa Suam.
🔴HABARI ZA SAA, SAA NNE NA DAKIKA 55….FEBRUARI 02, 2026
🔴HABARI ZA SAA, SAA NNE NA DAKIKA 55....FEBRUARI 02, 2026
Nape aulizia ujenzi SGR Dar-Kusini
DODOMA; MBUNGE wa Mtama, Nape Nnauye ameuliza bungeni serikali haioni haja ya kuanza upembuzi wa ujenzi wa reli ya SGR kutoka Dar es Salaam hadi Kusini kufuatia mradi wa LNG.…
#HABARI: Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Ajira na Mahusiano ya Kazi, Mhe
#HABARI: Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Ajira na Mahusiano ya Kazi, Mhe. Deus Sangu, amesisitiza umuhimu wa uwepo wa mabaraza ya wafanyakazi, katika Taasisi za Umma…
Minara 1,041 imejengwa ndani ya miaka 4
DODOMA; SERIKALI imesema katika kipindi cha miaka minne jumla ya minara 1,041 imejengwa na inatoa huduma za mawasiliano kwa wananchi. Naibu Waziri wa Mwawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dk Switbert…
Vituo vya afya 532 vyafanyiwa tathmini miundombinu
DODOMA; SERIKALI imefanya tathmini na kuainisha vituo vya afya kongwe 532 ambavyo vinahitaji kuongezewa na kukarabatiwa kwa miundombinu yake. Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Tamisemi) anayeshughulikia afya, Dk Jafar…
#HABARI: Waziri Mkuu wa Tanzania na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Mhe
#HABARI: Waziri Mkuu wa Tanzania na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba, anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika maadhimisho ya miaka 49 ya…
Higher education loans to exceed 1tri/-
DODOMA: LOANS for higher learning students in the country are projected to surpass 1tri/- in the next financial year, from current 916.7bn/-. The move reflects the government’s efforts to tackle…
‘Be ready for Vision 2050 implementation’
COAST REGION: MINISTER of State in the Prime Minister’s Office responsible for Labour, Employment, Youth and Persons with Disability, Mr Deus Sangu, has called on the Public Service Social Security…
Vision 2050 set for rolling
DODOMA: THE National Assembly will today witness a moment that will shape the country’s future for a generation to come. For the first time since the launch of Vision 2050,…
Video ya Rose Muhando, Robert Lumbasi Wakiwa Wamevalia Mavazi ya Kufanana Yaibuka
Mchungaji Robert Lumbasi alidai kuwa alimuoa Rose Muhando lakini alizima madai hayo. Video iliibuka wawili hao wakiwa pamoja wakionekana kupendeza