PM orders urgent review of the asset,liability declaration system
DODOMA: PRIME Minister Dr Mwigulu Nchemba has directed the Ethics Secretariat for Public Leaders to conduct an urgent review of the asset and liability declaration system, emphasizing the need to…
Serikali yaziwekea mkakati nafasi za masomo nje ya nchi
Serikali ya Tanzania kupitia Wizara ya Elimu imeandaa mkakati maalumu unaolenga kuhakikisha...
Dr Samia welcomes envoys from five nations
DODOMA: PRESIDENT Samia Suluhu Hassan today received Letters of Credence from newly appointed ambassadors at Chamwino State House in Dodoma, in a ceremony that underscored Tanzania’s continued commitment to strengthening…
Aliyeua mke, mtoto ahukumiwa kunyongwa
Ni mauaji ya kutisha. Ndivyo unavyoweza kusema baada ya Hamis Shija, kuhukumiwa adhabu ya...
Umelala Mhagama, kikokotoo ulipambania
Ungekuwa ni mchezo wa mpira hapa tungeuliza, eti Zungu umepigaje hapo?
The Old Man
The Old Man Series mpya ndani ya AzamONE inaanza leo saa 4:00 usiku. Series hii itaruka Jumatatu - Ijumaa. #TheOldMan #AzamONE
Hali ya huzuni imetanda nyumbani kwa marehemu Jenista Mhagama, Mbunge wa Peramiho, huku ndugu, jamaa na marafiki pamoja na viong…
Hali ya huzuni imetanda nyumbani kwa marehemu Jenista Mhagama, Mbunge wa Peramiho, huku ndugu, jamaa na marafiki pamoja na viongozi wa vyama mbalimbali vya siasa wakiendelea kuwasili wakitoa pole kwa…
Tanzania hails Saudi Arabia’s educational support
DAR ES SALAAM: Tanzania has hailed Saudi Arabia’s move to increase scholarship opportunities. Tanzania and Saudi Arabia move to strengthen their cooperation in the sector of education where the Kingdom…
Chadema yasisitiza miili ya waathirika wa vurugu za Oktoba 29, izikwe kwa heshima
Makamu Mwenyekiti wa Chadema, John Heche ameitaka Serikali kuwasilisha na kukabidhi miili ya...
Serikali ya Tanzania yashtakiwa mahakamani kwa kuzima intaneti
Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimefungua kesi katika Mahakama ya Haki ya Afrika...
Mwigulu: Fanyeni mapitio tamko la mali, madeni
DODOMA; WAZIRI MKUU Dk Mwigulu Nchemba amesema ni lazima yafanyike mapitio ya haraka kwenye tamko la mali na madeni na yawe na madaraja kwa sababu kuna maeneo ambayo bado rushwa…
PM orders a review of all areas with indicators of corruption
DODOMA: PRIME Minister Dr Mwigulu Nchemba has directed a comprehensive review of all government areas with indicators of corruption, especially those involving public leaders. He issued the directive today, December…
Tanzania calls for private sector’s investments in sports,arts,culture
DODOMA: THE Permanent Secretary in the Ministry of Information, Culture, Arts and Sports, and the Government Spokesperson, Gerson Msigwa, has called on the private sector to collaborate with the government…
Salah mlangoni Saudia
Ofisa Mtendaji Mkuu wa Ligi Kuu Saudi Arabia amethibitishwa rasmi kwamba mshambuliaji wa...
Imamu Khamenei: Watu wa Iran wamesambaratisha njama adui za kubadilisha utambulisho wao wa kidini na kihistoria
Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu, amesisitiza kuwa, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inapiga hatua na kusonga mbele licha ya kukabiliwa na mapungufu mengi.
TCAA CCC kuzindua kampeni kubwa ya msaada wa kisheria kwa watumiaji wa huduma za usafiri wa anga
Katika kipindi ambacho usafiri wa anga unaendelea kuwa kichocheo kikubwa cha ukuaji wa uchumi...
Tanzania reaps fortunes from environmental conservation
DAR ES SALAAM: THE Permanent Secretary of the Ministry of Natural Resources and Tourism, Dr Hassan Abbasi, has said that the investments made by the Government under the leadership of…
Tanzania wins global award at Seoul Smart City 2025
SEOUL: TANZANIA has earned international acclaim after the Internet Society Tanzania Chapter (ISOC-TZ) won the Seoul Smart City Prize 2025, a recognition of its significant role in advancing public health…
Taji la Cecafa lampa mzuka Eliza
NAHODHA wa timu ya taifa ya Tanzania ya wasichana, Elizabeth Chenge amesema ilikuwa lazima wanyakue ubingwa wa Mashindano ya Shule ya ‘CECAFA Zonal CAF African Schools Football Championship’ kutokana na…
Amani: Nguzo imara ya ustawi wa watumiaji na sekta ya usafiri wa anga
Katika enzi za utandawazi na ushindani wa kiuchumi, usafiri wa anga umeendelea kuwa mhimili...
Mwenyekiti wa Kamati ya Mambo ya Nje ya Seneti ya Marekani, Seneta Jim Risch, amekoso vikali serikali ya Tanzania kwa kufunga nc…
Mwenyekiti wa Kamati ya Mambo ya Nje ya Seneti ya Marekani, Seneta Jim Risch, amekoso vikali serikali ya Tanzania kwa kufunga nchi wakati wa maadhimisho ya Siku ya Uhuru tarehe…
Uhaba wa maji Dar unavyobadilisha mfumo wa maisha ya wananchi
Changamoto ya upatikanaji wa huduma maji safi na salama imeendelea kuathiri mfumo wa maisha ya...
WPL kuna viporo vitatu vinaliwa leo
LIGI Kuu ya Wanawake (WPL), inatarajiwa kuendelea tena kwa kupigwa mechi tatu za viporo zitakazopigwa leo kwenye viwanja vitatu tofauti ikiwemo moja ya JKT Queens dhidi ya Bilo Queens.
UN yazindua kikosi kazi kulinda masilahi ya nchi zenye madini muhimu, Tanzania yatoa angalizo
Umoja wa Mataifa (UN) umezindua kikosi kazi kitakacholenga kuhakikisha nchi tajiri kwa madini...
Malale, Baresi watajwa KMC
UONGOZI wa kikosi cha KMC unaendelea na mchakato wa kusaka kocha mpya atakayerithi nafasi ya Mbrazil Marcio Maximo, huku Kocha, Malale Hamsini aliyeachana na Mbeya City hivi karibuni na Abdallah…
Amsons signs multi-billion shilling solar deal in Zambia
ZAMBIA: AMSONS Group has unveiled a strategic partnership to develop 1000-megawatt projects of solar power in Zambia. The Tanzanian based conglomerate has secured the strategic partnership with Zambia’s Exergy Africa…
Ouma aisikilizia Mapinduzi Cup 2026
BAADA ya mapumziko ya wiki moja, kikosi cha Singida Black Stars kinaingia tena kambini Desemba 14, huku kocha msaidizi wa timu hiyo, David Ouma akieleza mikakati mipya, kabla ya kurejea…
Wanenaji wakuu kwenye kipindi maalum kitakachoangazia mchango wa madini ya kimkakati katika ukuaji wa uchumi na ustawi wa jamii
Wanenaji wakuu kwenye kipindi maalum kitakachoangazia mchango wa madini ya kimkakati katika ukuaji wa uchumi na ustawi wa jamii. Ni leo Desemba 11, 2025 Mbashara ndani ya UTV kuanzia saa…
Young talent sees new dawn with SportPesa initiative
DAR ES SALAAM: SPORTPESA’s youth football initiative, Game Changers, is gaining momentum as it rolls out structured support for young players across Tanzania. The program was created in response to…
Leo ni kumbukizi ya siku ya kuzaliwa kwa mmoja kati ya wahariri wa picha jongefu waliofanya kazi nyingi zilizoruka ndani ya #Sin…
Leo ni kumbukizi ya siku ya kuzaliwa kwa mmoja kati ya wahariri wa picha jongefu waliofanya kazi nyingi zilizoruka ndani ya #SinemaZetuHD chaneli namba 106 kwenye kisimbuzi cha #AzamTV Anaitwa…
Tanzania welcomes Namibian envoy as ties grow stronger
DODOMA: Deputy Minister for Foreign Affairs and East African Cooperation, Dr. Ngwaru Maghembe, has received Copies of Letters of Credence from the Ambassador-Designate of the Republic of Namibia to Tanzania,…
Tanzania cherishes vocational training as a key to youth’s self-employment
DODOMA: THE Ministry of Education, Science and Technology, the Prime Minister’s Office, Regional Administration and Local Government and the President’s Office for Youth Development met and held a joint discussion…
Rais Samia aomboleza kifo cha Jenista
DAR ES SALAAM; RAIS Samia Suluhu Hassan ametuma salamu za rambirambi kwa Spika wa Bunge, Mussa Azzan Zungu kufuatia kifo cha Mbunge wa Jimbo la Peramiho, Jenista Mhagama. “Nimepokea kwa…
Baadhi ya wahitimu wa vyuo vikuu nchini, wameshauri vijana wenzao wanaomaliza elimu ya juu kujikita katika kupata mafunzo ya Ufu…
Baadhi ya wahitimu wa vyuo vikuu nchini, wameshauri vijana wenzao wanaomaliza elimu ya juu kujikita katika kupata mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA), ili waweze kujiajiri badala ya kutegemea ajira za…
Hamas: Israel inakiuka majukumu ya awamu ya 1 ya makubaliano ya kusitisha mapigano
Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imeilaani vikali Israel kwa kutotimiza wajibu wake katika makubaliano ya kusitisha mapigano huko Gaza, wakati harakati hiyo ya Palestina imetekeleza majukumu yake…
Idd Nado awapiga bao Dube, Kagere
KIUNGO wa Azam, Idd Seleman 'Nado' amempiku aliyekuwa nyota mwenzie wa kikosi hicho aliyepo Yanga kwa sasa, Prince Dube na mshambuliaji wa zamani wa Simba, Meddie Kagere ya kufunga mabao…
Wananchi, CCM wanavyomlilia Jenista Mhagama Peramiho
Huzuni na vilio vimetawala kwa wananchi wa Jimbo la Peramiho mkoani Ruvuma kutokana na mbunge...
Watoto 100 wa shule waliotekwa nyara mwezi jana Nigeria warejea makwao baada ya kuachiwa huru
Wanafunzi 100 wa Nigeria waliotekwa nyara mwezi uliopita katika Shule ya Kikatoliki ya St. Mary’s huko Papiri katika eneo la Gongola hatimaye wamerejea nyumbani baada ya kuachiliwa mwishoni mwa juma.
Hekari 498.3 za sehemu ya hifadhi ya Mlima Hanang uliopo wilayani Manyara zimeteketea kwa moto ambao ulizuka tangu Desemba 3, 20…
Hekari 498.3 za sehemu ya hifadhi ya Mlima Hanang uliopo wilayani Manyara zimeteketea kwa moto ambao ulizuka tangu Desemba 3, 2025 huku chanzo cha moto huo kikiwa bado hakijulikani. #AzamTVUpdates…
WHO: Hakuna ushahidi unaonyesha chanjo zinasababisha Usonji
Shirika la Umoja wa Mataifa la Afya Duniani WHO limetoa taarifa mpya ikieleza kuwa hakuna uhusiano wowote kati ya chanjo na ugonjwa wa usonji au kwa lugha ya kiingereza ukifahamika…
FAO yaadhimisha siku ya kimataifa ya milima 2025 kwa kuangazia uhifadhi wa barafu za milimani
Shirika la Umoja wa Mataifa la Chakula na Kilimo Duniani (FAO) leo limeadhimisha Siku ya Kimataifa ya Milima 2025 katika makao yake makuu mjini Roma Italia, chini ya kaulimbiu “Barafu…
Mapigano Mashariki mwa DRC yakatili Maisha, kuzuia misaada na kufurusha maelfu:UN
Mapigano yanayoendelea kukithiri mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) yamesababisha vifo vya zaidi ya raia 70, kuwafurusha makwao zaidi ya watu 200,000 na kuwakosesha maelfu ya watu msaada…
Uhusiano kati ya kuimba, michezo na Haki za Binadamu
Je, kuimba na michezo vina uhusiano gani na haki za binadamu? Kama sehemu ya kampeni ya mwaka huu ya Siku ya Haki za Binadamu kuna Vitu muhimu vya kila siku…
Mafunzo ya upandaji mpunga yawanufaisha wanajamii katika eneo la Bor, Sudan Kusini
Msaada wa mafunzo wa walinda amani wa Umoja wa Mataifa kutoka Korea Kusini wanaohudumu katika Ujumbe wa Umoja wa Mataifa wa kulinda amani nchini Sudan Kusini (UNMISS) kupitia wanasayansi na…
Waasi wa M23 wadai kuuteka mji wa kiistratejia wa Uvira, mashariki mwa Kongo
Waasi wa M23 katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo jana Jumatano walitoa taarifa wakidai kuuteka mji wa kimkakati wa Uvira, ambao ni kitovu muhimu cha kibiashara karibu na mpaka wa…
Kijana mkora wa miaka 17 alivyomuua mlinzi Lake Oil
Ni tukio linalofikirisha, pale kijana Method Meshack alipotiwa hatiani na Mahakama Kuu Kanda ya...
Iran yakosoa kupunguzwa misaada ya kimataifa kwa wakimbizi wa Afghanistan
Iran imeikosoa jamii ya kimataifa kwa kushindwa kutimiza hata ahadi za kimsingi za kuwasaidia mamilioni ya wakimbizi wa Kiaghani; ikisema kuwa kupunguzwa misaada kumeifanya nchi hiyo kubeba mzigo mkubwa wa…