Chobwedo awakubali Ngushi, Kader
KIUNGO mshambuliaji wa TRA United, Ramadhan Salum Chobwedo amewataja Crispin Ngushi wa Mashujaa na Ismail Aziz Kader anayecheza Fountain Gate kwamba anapenda aina ya uchezaji wao na huiga baadhi ya…
Ethiopian among 38 people nabbed for illegal entry
MBEYA: The Mbeya Regional Police Force is holding 38 people, including an Ethiopian national identified as Tadesa Limoli (32), on suspicion of entering the country illegally. According to a statement…
Macron na Abbas wapanga kamati ya dola la Palestina
Ufaransa na mamlaka ya Palestina zimepanga kuunda kamati ya pamoja kushughulikia uimarishaji wa mpango wa kuundwa dola la Palestina huku Ufaransa ikiionya Israel dhidi ya kunyakuwa eneo la Ukingo wa…
Gambo: KMC tuna wakati mgumu sana
BEKI wa KMC, Ismail Gambo amesema kwamba kikosi hicho kipo kwenye wakati mgumu baada ya kufungwa mechi tano mfululizo za Ligi Kuu Bara msimu huu.
Tanzania intensifies protection of Mgori Reserve against illegal logging
SINGIDA: PROTECTION of the Mgori Forest Reserve in Singida Region will be strengthened following the announcement by the Commissioner for Conservation at the Tanzania Forest Services Agency (TFS), Professor Dos…
Lissu afikisha siku 216 rumande, awasilisha mapingamizi sita
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu, ameileza Mahakama Kuu...
Chama la Watanzania bado moja tu CAF
CHAMA la nyota wawili wa Tanzania, FC Masar ya Misri, limefufua matumaini ya kuisaka nafasi ya nusu fainali ya michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwa wanawake baada ya juzi…
Ruto commits to partnership with UBA to drive transformative projects
Nairobi, Kenya: KENYA President William Ruto has reaffirmed his administration’s commitment to deepening collaboration with the United Bank for Africa (UBA) Group on transformative national projects, including railway modernisation, airport…
#HABARI: Mbunge wa Viti Maalum anayewakilisha Kundi la Vijana kutoka Mkoa wa Kaskazini Pemba, Zanzibar, Zainab Abdallah, ameapis…
#HABARI: Mbunge wa Viti Maalum anayewakilisha Kundi la Vijana kutoka Mkoa wa Kaskazini Pemba, Zanzibar, Zainab Abdallah, ameapishwa rasmi leo Novemba 12, 2025, katika Ukumbi wa Bunge la Jamhuri ya…
Vijana ACT Wazalendo wataja njia kufanikisha maridhiano
Ngome ya vijana wa ACT - Wazalendo imetoa kauli kufuatia vurugu zilizotokana na maandamano ya...
Serengeti’s ‘Endless Plains’ magnificently astounds US agents
SERENGETI: A high-level delegation of 120 travel agents from the United States has wrapped up an exclusive familiarization trip to Tanzania, leaving deeply impressed by the Serengeti’s unrivaled beauty and…
FAO na WFP zatoa indhari: Baa la njaa linazidi kuongezeka katika sehemu 16 duniani
Ripoti mpya ya pamoja ya Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO) la na Mpango wa Chakula Duniani (WFP) iliyotolewa leo Jumatano zimetahadharisha kuwa, hali ya ukosefu…
Siri, utamu wa Shakira kwenye muziki
AKIWA na umri wa miaka 48 sasa, Shakira Isabel Mebarak Ripoll maarufu Shakira, bado anatamba...
Serikali yaja na mpango mwingine waliokatisha masomo
Baada ya kilio cha muda mrefu cha wadau wa elimu kufuatia kukosekana kwa usimamizi wa uamuzi wa...
TPBA yalaani yaliyotokea Oktoba 29, yaunga mkono uchunguzi
Chama cha Mawakili wa Serikali Tanzania (TPBA), kimelaani vurugu, mauaji na uharibifu wa mali...
CBE yatakiwa kuanzisha kozi maalum za Elimu ya Biashara
KATIBU Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Carolyne Nombo, ametoa wito kwa Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) kuanzisha kozi maalum za muda mfupi na mrefu za…
HAMAS: Silaha za Muqawama haziwezi kujadiliwa kabla ya kuundwa kwanza nchi ya Palestina
Osama Hamdan, kiongozi mwandamizi wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS, amesisitiza kwamba, silaha za Muqawama ni suala lisiloweza kujadiliwa kabla ya kuundwa nchi dola ya Palestina na…
🔴MEZA HURU: UJAUZITO NA MAGONJWA YA KUJAMIANA NOVEMBA 12, 2025
🔴MEZA HURU: UJAUZITO NA MAGONJWA YA KUJAMIANA NOVEMBA 12, 2025
Baraza la Usalama lamchagua Phoebe Okowa wa Kenya kuwa jaji wa ICJ
Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa Jumatano limemchagua Phoebe Okowa kutoka Kenya kuwa Jaji wa Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ), baada ya duruu nne za upigaji kura.
Katibu Mkuu wa UN atoa wito dunia kutoipa kisogo Afrika
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, António Guterres, amesema dunia haiwezi kuigeuzia kisogo Afrika akisisitiza kuwa bara hilo ni nyumbani kwa karibu robo ya watu wote duniani, na lina nafasi…
Kujenga mnepo: Jinsi jamii moja nchini Brazil inavyokabiliana na ongezeko la mawimbi ya bahari
Kwa zaidi ya miaka 40, Ivanil ameishi katika nyumba iliyoinuliwa kwa nguzo, umbali wa mita 20 tu kutoka kando ya maji, katika jamii ile ile aliyo zaliwa, kwenye Kisiwa cha…
Ripoti mpya yaonya muda unayoyoma kuzuia mamilioni kuingia kwenye baa la njaa njaa
Ripoti mpya ya pamoja kutoka mashirika mawili ya Umoja wa Mataifa lile la Chakula na Kilimo Duniani (FAO) na la Mpango wa Chakula Duniani (WFP) inaonya kwamba uhaba mkubwa wa…
WHO yaonya: Homa ya kichomi bado ni muuaji mkuu wa watoto duniani
Shirika la Afya la Umoja wa Mataifa Duniani WHO, leo katika kuadhimisha siku ya homa ya mapafu au kichomi ambayo hujulikana kama nimonia Duniani, limeitoa wito wa kuchukua hatua za…
IOM aeleza kusikitishwa na ajali ya boti ya wahamiaji iliyotokea nchini Libya
Shirika la Umoja wa Mataifa la Uhamiaji (IOM) limesikitishwa na ajali mbaya ya boti ya wahamiaji iliyotokea nchini Libya, pwani ya bahari ya Mediterania, ambayo imesababisha vifo vya wahamiaji kadhaa.
Jinsi UNDP inavyosaidia jamii za kampala kukabili mafuriko
Kituo cha utafiti wa kusaka Suluhu kuhusu mafuriko kinachoendeshwa na Shirika la Umoja wa Mataifa la Mpango wa Maendeleo (UNDP) nchini Uganda kimetumia maarifa ya pamoja kukabiliana na changamoto za…
Hatua ndizo zinazohitajika baada ya mkutano wa dunia wa Maendeleo ya Kijamii: Diana Pasha
Mkutano wa Pili wa Dunia wa Maendeleo ya Kijamii umefunga pazia mjini Doha, Qatar, mwishoni mwa wiki hii, ukiwaleta pamoja viongozi wa dunia, mashirika ya kiraia na vijana wakitoka na…
🔴HABARI ZA SAA, SAA NANE NA DAKIKA 55, NOVEMBA 12, 2025
🔴HABARI ZA SAA, SAA NANE NA DAKIKA 55, NOVEMBA 12, 2025
Tanzania joins Angola to mark its 50th independence anniversary
DAR ES SALAAM: THE Deputy Secretary-General of the Ministry of Foreign Affairs and East African Cooperation, Said Shaib Mussa, joined various government leaders, ambassadors, and representatives of international organizations to…
Museveni aonya: Vita vitatokea Afrika ikiwa nchi zisizo na bandari zitashindwa kufikia Bahari ya Hindi
Katika kauli iliyotafsiriwa kama onyo lililolenga nchi jirani, Rais Yoweri Museveni wa Uganda ameonya kuhusu uwezekano wa kutokea vita katika siku zijazo endapo nchi za Afrika ambazo hazina bandari zitaendelea…
Tanzania names Korea among its development partners for 2025-30
SEOUL: TANZANIA has continued to remain among Korea’s government priority countries for development assistance (ODA) for another five years (2025–2030). The decision was reached during the Korea–Africa Senior Officials Meeting…
KKKT: Serikali isikilize kilio cha wananchi
Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), limetoa wito kwa Serikali kusikiliza na...
TPBA yalaani vurugu, uharibifu
DAR ES SALAAM: CHAMA cha Mawakili wa Serikali Tanzania (TPBA) kimelaani vurugu na uharibifu wa mali uliotokea Oktoba 29 siku ya Uchaguzi Mkuu wa 2025. Chama hicho pia kimetoa pole…
#HABARI: Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Bwana Tundu Lissu ameibua hoja sita nzito mbele ya jopo la majaji watat…
#HABARI: Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Bwana Tundu Lissu ameibua hoja sita nzito mbele ya jopo la majaji watatu wanaosikiliza kesi hiyo ya Uhaini baada ya kupinga shahidi…
TENMET yapongeza ushirikiano wa serikali, wadau wa elimu
MRATIBU wa Mtandao wa Elimu Tanzania (TENMET), Martha Makala, ameipongeza Serikali kupitia Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia kwa kuongeza wigo wa ushirikiano na wadau mbalimbali wa elimu hatua ambayo…
Katibu Mkuu wa UN apongeza uchaguzi wa bunge Iraq, ahimiza kuundwa serikali kwa njia ya amani
Wakati zoezi la kuhesabu kura za uchaguzi wa Bunge la Iraq lingali linaendelea, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amewapongeza wananchi wa nchi hiyo kwa ushiriki wao katika…
UNDP: Familia 9 kati ya 10 Afghanistan zinasamehe matibabu ili kupata mlo huku zikibeba madeni
Shirika la Mpango wa Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) limetangaza kuwa, familia tisa kati ya 10 nchini Afghanistan zinakabiliwa na njaa au zinalazimika kubeba madeni huku raia wakimbizi waliorejea…
Tanzania engages a Brazilian firm in the trading of biodiversity credits
BRAZIL: A delegation from Tanzania’s Ministry of Natural Resources and Tourism, led by Dr. Siima Bakengesa, has held discussions with the management of Life Brazil, a company engaged in the…
120 US agents pledge to promote Tanzanian tourism
ARUSHA: TRAVEL agents from the United States have pledged to promote Tanzania as one of the best destinations in the world. The almost 120 agents made the promise during their…
Handeni Mji yaweka mikakati kuimarisha afua za lishe
TANGA: HALMASHAURI ya Mji Handeni imeainisha mikakati mitano ya kuimarisha utekelezaji wa afua za lishe, ili kukabiliana na changamoto za utapiamlo na kupunguza idadi ya watoto wanaozaliwa wakiwa na uzito…
Small-scale miners in Simiyu seek affordable loans
BARIADI: Small-scale miners in the Simiyu Region have asked the government and financial institutions to support them by providing a reliable power supply and affordable loans to ease their mining…
🔴HABARI ZA SAA, SAA SABA NA DAKIKA 55, NOVEMBA 12, 2025
🔴HABARI ZA SAA, SAA SABA NA DAKIKA 55, NOVEMBA 12, 2025
TISEZA intensifies efforts to promote Tanzanian investments
BEIJING: TANZANIA and China continue to strengthen their cooperation in business and investment, with a major focus on coal mining, agriculture, solar energy, and laboratory equipment and tools. THE Tanzania…
“Kesho Alhamisi, kikao cha Tatu cha Mkutano wa Kwanza wa Bunge kazi itayofanywa kuthibitisha uteuzi wa Waziri Mkuu, uchaguzi na…
“Kesho Alhamisi, kikao cha Tatu cha Mkutano wa Kwanza wa Bunge kazi itayofanywa kuthibitisha uteuzi wa Waziri Mkuu, uchaguzi na kiapo cha Naibu Spika, wabunge wote wanaombwa wawepo kuanza saa…
Turk atoa wito wa uchunguzi juu ya mauaji nchini Tanzania
Mkuu wa Ofisi ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mataifa, Volker Türk, ametoa wito wa uchunguzi kuhusu kile kinachoaminika kuwa mauaji ya mamia ya watu yaliofanywa wakati wa maandamano…
Wahamiaji 38 Wakamatwa Mbeya
JESHI la Polisi mkoani Mbeya linawashikilia watu 38, wakiwemo raia mmoja wa Ethiopia, kwa tuhuma za kuingia nchini kinyume cha sheria. The post Wahamiaji 38 Wakamatwa Mbeya first appeared on…
TZ processes the nomination of Khanga on the UNESCO World Heritage List
DAR ES SALAAM: THE Ministry of Information, Culture, Arts, and Sports, in collaboration with stakeholders, has begun the process of listing the use of the khanga fabric on the national…
Hatua ya makundi Kombe la Shirikisho Afrika, wawakilishi wa Tanzania, Singida BS na AzamFC wanaanzia ugenini
Hatua ya makundi Kombe la Shirikisho Afrika, wawakilishi wa Tanzania, Singida BS na AzamFC wanaanzia ugenini. Novemba 22, Singida BS watakuwa ugenini nchini Algeria wakicheza na CR Belouizdad. Mechi hii…
Utafiti na uendelezaji madini ya kimkakati waiva
SHIRIKA la Utafiti na Maendeleo ya Viwwanda Tanzania (TIRDO) pamoja Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) yameingia makubaliano ya awali (MOU),kuhusu utafiti na uendelezaji wa Madini ya kimkakati (strategic minerals)…
Kundi la Makhirikhiri lilivyozimika kama mshumaa
Unalikumbuka kundi la Makhirikhiri Traditional Group kutoka Botswana La hasha! Utakuwa...
Matumizi duni masoko ya kisasa Dar yanavyopoteza mapato
KUTOKUTUMIKA ipasavyo kwa miundombinu ya kisasa kwenye masoko yanayomilikiwa na Manispaa ya Kinondoni iliyopo Dar es Salaam kunasababisha upotevu mkubwa wa mapato. Kama masoko hayo yangetumika ipasavyo, yangeingiza mabilioni ya…