🔴HABARI ZA SAA, SAA NNE NA DAKIKA 55, NOVEMBA 12, 2025
🔴HABARI ZA SAA, SAA NNE NA DAKIKA 55, NOVEMBA 12, 2025
#HABARI: Mhe
#HABARI: Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima, ameapishwa na kula kiapo cha uaminifu na ahadi ya uzalendo mbele ya Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Mussa Azzan Zungu…
#HABARI: Jumla ya tani 99,788.659 za Korosho ghafi zimeuzwa katika minada minne ya awali ya msimu wa mauzo wa mwaka 2025/2026, k…
#HABARI: Jumla ya tani 99,788.659 za Korosho ghafi zimeuzwa katika minada minne ya awali ya msimu wa mauzo wa mwaka 2025/2026, kwa bei ya juu ya shilingi 3,520 na bei…
Mrundikano wa wanafunzi Mtakuja Beach wawastua wazazi, wadau wa elimu
Darasa moja la kidato cha kwanza lenye zaidi ya wanafunzi 600 katika Shule ya Sekondari Mtakuja...
Tujitazame upya wapi tulijikwaa
Vurugu zilizotokea nchini siku ya Uchaguzi Mkuu, Oktoba 29, 2025 zimeacha alama nzito katika...
Jumamosi ya Novemba 22, wawakilishi wa Tanzania katika ligi ya mabingwa Afrika wataianza hatua ya makundi ya michuano hii wakiw…
Jumamosi ya Novemba 22, wawakilishi wa Tanzania katika ligi ya mabingwa Afrika wataianza hatua ya makundi ya michuano hii wakiwa nyumbani. Saa 10:00 jioni, Yanga SC watakuwa dimba la New…
Mechi moja kumpa mabilioni Mayele
DR Congo ilimaliza katika nafasi ya pili kwenye msimamo wa Kundi B la kuwania kufuzu Fainali za Kombe la Dunia 2026 kupitia Afrika baada ya kukusanya pointi 22.
Libya yatakiwa kufunga vituo vya kuwazuilia wahamiaji katika mkutano wa Umoja wa Mataifa
Libya imetakiwa na Umoja wa Mataifa siku ya Jumanne kufunga vituo vya kuwazuiliia wahamiaji ambapo mashirika ya haki za binadamu yanasema wahamiaji na wakimbizi wamekuwa wakiteswa, kunyanyaswa na wakati mwingine…
Hofu nchini Tanzania kuhusu mauaji yaliyotokea wakati wa uchaguzi mkuu
Wanasiasa nchini Tanzania wapo kwenye mshangao mkubwa baada ya kuuawa kwa mamia ya waandamanaji, wakati wa maandamano ya uchaguzi mkuu uliofanyika Oktoba 29. Imechapishwa: 12/11/2025 – 10:03 Dakika 1 Wakati…
DR Congo ikiichapa Cameroon kila mchezaji kupata Sh2.5 bilioni
Ushindi wa mchezo wa kesho, Alhamisi, Novemba 13, 2025 dhidi ya Cameroon, jijini Rabat, Morocco...
Ni yepi matokeo ya kujiuzulu waziri wa mikakati wa utawala wa Kizayuni?
Waziri wa masuala ya mikakati wa utawala wa Kizayuni na ambaye ni mtu wa karibu na waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu, amejiuzulu. Ron Dermer, ametangaza kujiuzulu kwa kumtumia barua…
Tanzania unveils Kilimanjaro one submarine cable system to connect Mauritius.
CAPE TOWN: Tanzania is taking a major step toward becoming East Africa’s leading digital hub with the launch of the Kilimanjaro One Submarine Cable System (KO-SCS), a 1,900-kilometer undersea cable…
Kutangazwa mshindi hadi kuapishwa Rais wa Tanzania
NOVEMBA Mosi mwaka huu ndani ya ukumbi wa makao makuu ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Mwenyekiti wa Tume hiyo Jaji Jacobs Mwambegele anatangaza matokeo ya Urais katika…
Usichofahamu wanaume wanaopata kichefuchefu, uchovu kisa mimba za wenza wao
Kuna wanaume ambao, bila wao wenyewe kuelewa vizuri, huanza kupata dalili zinazofanana na za...
#HABARI: Bi
#HABARI: Bi. Nasriya Nasir Ali, Mbunge wa Viti Maalum Wanawake Wenye Ulemavu kupitia tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) akila kiapo bungeni leo Novemba 12, 2025. Zoezi hilo la kula…
Large Turkish military transport plane falls from sky -RT
All 20 people aboard the C-130 have been confirmed dead TURKEY: A Turkish Air Force C-130 military transport plane crashed in Georgia on Tuesday, the Turkish Defense Ministry has said.…
Rais Museveni aonya kuzuka kwa vita endapo nchi za Afrika zitashindwa kufikia Bahari ya Hindi
Katika kauli iliyotafsiriwa kama onyo lililolenga nchi jirani, Rais Yoweri Museveni ameonya kuhusu uwezekano wa kutokea kwa vita katika siku zijazo endapo nchi za Afrika ambazo hazina bandari zitaendelea kunyimwa…
Ligi ya mabingwa Afrika kwa upande wa wanawake kuendelea kwa mechi za Kundi B
Ligi ya mabingwa Afrika kwa upande wa wanawake kuendelea kwa mechi za Kundi B. Saa 10:00 jioni, TP Mazembe watakipiga na Gaborone United. Katika mechi zilizopita, TP Mazembe alipoteza huku…
India and Pakistan spar after blast rocks Islamabad
INDIA: INDIA has denied Pakistani allegations of involvement in a suicide bomb attack outside a district court complex in Islamabad that killed at least 12 people on Tuesday. A day…
#HABARI: Mbunge wa Viti Maalum, Mhe
#HABARI: Mbunge wa Viti Maalum, Mhe. Cecilia Paresso akila kiapo cha kuwa mbunge bungeni jijini Dodoma. Zoezi hilo lilianza jana Novemba 11, 2025 na leo linaendelea. Powered by #MCHEZOSUPA JINSI…
Wavamizi maeneo ya shule Geita waonywa
GEITA: MKUU wa Mkoa wa Geita, Martine Shigela amewataka viongozi wa serikali za mtaa kushirikiana na halmashauri kufuatilia kwa ukaribu na kudhibiti uvamizi wa maeneo ya taasisi ikiwemo shule. Kauli…
How Zanzibar’s clove farmers will benefit from land ownership
ZANZIBAR: ZANZIBAR’S clove industry, once the pride of the islands and the backbone of its economy, is poised for a major revival. In a landmark decision, last month, President Dr…
Shirika la Umoja wa Mataifa: Kuna Ushahidi wa matumizi ya kimfumo ya ubakaji nchini Sudan
Shirika la Umoja wa Mataifa kwa ajili ya Wanawake limeonya kwamba kuna "ushahidi unaoongezeka kwamba ubakaji unatumika kwa makusudi na kwa utaratibu maalumu" nchini Sudan, huku njaa na ukosefu wa…
Larijani: Hakuna ujumbe mpya uliotumwa Marekani
Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Iran amepuuzilia mbali ripoti kwamba kumekuwepo mawasiliano mapya kati ya Tehran na Washington na kusisitiza kuwa hakuna ujumbe mpya uliowasilishwa kwa…
Mkandarasi apewa siku 100 mradi wa tactics mjini Geita
GEITA: WAKALA wa Huduma za Barabara Mjini na Vijijini Tanzania (TARURA) imetoa muda wa fidia ya makubaliano ya siku 100 kwa mkandarasi wa Mradi wa Uboreshaji wa Miji (TACTICS) mjini…
Mfuasi wa zamani wa Mchungaji Mackenzie: Nilitoa tahadhari kuhusu mauaji ya Shakahola, sikusikilizwa
Aliyekuwa mfuasi wa Mchungaji Paul Mackenzie, kiongozi wa Kanisa la Good News International (GNI) amefichua jinsi alivyotoa onya kuhusu mauaji ya Shakahola lakini hakusiikilizwa na vyombo husika.
TVF opens nomination process
DAR ES SALAAM: THE Tanzania Volleyball Federation (TVF) has officially launched the nomination process for candidates seeking top leadership positions, marking the start of preparations for its eagerly awaited General…
#HABARI: Mke wa Rais wa kwanza wa Gabon, Sylvia Bongo, na kijana wake wa kiume, Noureddin Bongo Valentin, wamehukumiwa kifungo c…
#HABARI: Mke wa Rais wa kwanza wa Gabon, Sylvia Bongo, na kijana wake wa kiume, Noureddin Bongo Valentin, wamehukumiwa kifungo cha miaka 20 jela kufuatia kesi ya ufisadi huko Libreville.…
UCHAMBUZI WA TUZO: Ubaguzi wa kiitikadi na athari zake kwa umoja wa kitaifa
Tanzania ni miongoni mwa mataifa machache barani Afrika yaliyofanikiwa kudhibiti migawanyiko ya...
Haki si tu itendeke, bali ionekane kutendeka
Haki huinua taifa (Mithali 14:34), na haki na amani vinagusana (Zaburi 85:10). Wenye kutoa...
Nahreel, Baddest 47 walivyoonja asali, wakanogewa mazima
Kwa wakati fulani, Watayarishaji wa Muziki (Producers) hutia vionjo vya sauti zao kwenye baadhi...
UNESCO adopts Kiswahili as official language
SAMARKAND: THE United Nations Educational, Scientific and Cultural Organisation (UNESCO) has officially added Kiswahili to the list of its General Conference languages, marking a historic milestone for Africa’s linguistic and…
#HABARI: Zoezi la kula kiapo kwa Wabunge wateule linaendelea kufanyika bungeni jijini Dodoma, zoezi hilo lilianza hapo jana liki…
#HABARI: Zoezi la kula kiapo kwa Wabunge wateule linaendelea kufanyika bungeni jijini Dodoma, zoezi hilo lilianza hapo jana likiongozwa na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Mussa…
Viongozi wa dini wahimiza 4R kulinda amani
WANANCHI wakiwemo viongozi wa dini wametoa mwito kwa wananchi kuipenda nchi yao na kulinda amani kwa kuzingatia falsafa ya 4R inayomaanisha ya Maridhiano, Ustahimilivu, Mageuzi na Kujenga upya. Katibu wa…
JKT Queens in crucial CAF duel
ISMAILIA: JKT Queens return to action today in what promises to be a defining encounter of their CAF Women’s Champions League campaign, as they take on ASEC Mimosas at the…
Zungu takes Speaker’s gown
Pledges to foster fairness, inclusivity and equality DODOMA: THE newly elected Speaker of the National Assembly, Mr Mussa Azzan Zungu has pledged to foster a cooperative Parliament that upholds fairness,…
Stars join FIFA action on saturday
DAR ES SALAAM: TAIFA Stars Head Coach Miguel Gamondi has officially kicked off preparations for Tanzania’s upcoming FIFA-calendar fixture, confirming that the national team camp is now in full swing.…
#MEZAHURU: “Ni magonjwa gani yanaweza kuathiri ujauzito kwa Mama mjazito na kipi kifanyike kumpa afya mtoto tumboni kwa Mama Mj…
#MEZAHURU: “Ni magonjwa gani yanaweza kuathiri ujauzito kwa Mama mjazito na kipi kifanyike kumpa afya mtoto tumboni kwa Mama Mjamzito”..?
Mfahamu DJ Ronald, mtoto wa Ronaldo aliyekimbia soka
Katika maisha ya ndoa ya mwanasoka wa zamani wa kimataifa wa Brazil, Ronaldo De Lima tunagusia...
Wanajeshi 20 wa Uturuki wafariki katika ajali ya ndege ya mizigo ya kijeshi huko Georgia: wizara
Ndege ya mizigo ya Uturuki C-130 iliyokuwa ikitoka Azerbaijan kuelekea Uturuki ilianguka karibu na mpaka wa Azerbaijan na Georgia.
#HABARI: Elipidius Balthazar kutoka Wilaya ya Muleba Mkoa wa Kagera amehukumiwa jela maisha kwa kosa la kubaka (Rape) kinyume ch…
#HABARI: Elipidius Balthazar kutoka Wilaya ya Muleba Mkoa wa Kagera amehukumiwa jela maisha kwa kosa la kubaka (Rape) kinyume cha sheria. Mshtakiwa alitenda kosa hilo Septemba 19, 2025 katika Kijiji…
Bunge la 13 na mtihani wa 50/50 majimboni
Bunge la 13, litakuwa na wanawake 38 pekee walioshinda ubunge wa majimbo, kati ya wabunge 272...
UCHAMBUZI WA MALOTO: Huyu ndiye Waziri Mkuu atakayeendana na Rais Samia
Upo mjadala sasa kuhusu majina ya mtu anayeweza kuwa waziri mkuu. Naam, ni mwanzo wa muhula...
UN: Milioni 11 wanawake na wasichana wanabeba uzito mkubwa wakati njaa ya Sudan inaendelea kupamba moto
Takriban asilimia 73.7 ya wanawake "hawafikii kiwango cha chini cha utofauti wa lishe, inayoonyesha lishe duni na hatari kubwa ya utapiamlo," shirika hilo linaripoti.
Stand United yapoteza mchezo, yapokwa tatu na faini Sh10 milioni
Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi ya Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) katika kikao chake cha Novemba 11, 2025 ilipitia mwenendo na matukio mbalimbali ya Ligi na kufanya…
Vurugu za uchaguzi zilivyoathiri uchumi wa Tanzania, mataifa jirani
Migogoro ya kisiasa ni miongoni mwa mambo yanayoathiri kwa kiwango kikubwa maendeleo ya...
Marekani inapanga kuanzisha kituo cha kijeshi cha $500m karibu na mpaka wa Gaza: Israel
Marekani inapanga kujenga kambi ya kijeshi yenye thamani ya dola milioni 500 nchini Israel karibu na mpaka wa Gaza ili kusimamia utekelezaji wa makubaliano ya kusitisha mapigano katika eneo la…
Hamas: Kumbukumbu ya kuuawa Arafat ni kielelezo cha mwendelezo wa uhalifu wa Israel
Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imesema kwamba maadhimisho ya kumbukumbu ya siku ya kuuawa Rais wa zamani wa Palestina, Yasser Arafat, yanatukumbusha kwamba "uhalifu wa kuzingirwa uliomlenga…
🔴KUMEKUCHA KISHINDO: UJASILIAMALI NA VYOMBO VYA NYUMBANI- |NOVEMBA 12, 2025
🔴KUMEKUCHA KISHINDO: UJASILIAMALI NA VYOMBO VYA NYUMBANI- |NOVEMBA 12, 2025
🔴HABARI ZA SAA, SAA MBILI NA DAKIKA 55, NOVEMBA 12, 2025
🔴HABARI ZA SAA, SAA MBILI NA DAKIKA 55, NOVEMBA 12, 2025