Gabon: Mke wa rais wa zamani Ali Bongo ahukumiwa jela miaka 20
Mahakama nchini Gabon, imemhukumu jela mke wa rais wa zamani Ali Bongo na mwanaye wa kiume, miaka 20 jela baada ya kupatikana na hatia ya kuiba fedha za umma. Imechapishwa:…
Uingereza: Waziri Mkuu Keir Starmer apinga mipango ya kumuondoa madarakani
Nchini Uingereza, washirika wa karibu wa Waziri Mkuu Keir Starmer, wanasema, kiongozi huyo anapinga vikali mipango yoyote ya kujaribu kumwondoa madarakani. Imechapishwa: 12/11/2025 – 04:51 Dakika 1 Wakati wa kusoma…
Mawaziri wa nje wa G7 wakutana kuijadili Ukraine
Mkutano wa mawaziri wa mambo ya nje wa mataifa ya G7 umeanza nchini Kanada ambao unajikita kujadili masuala ya usalama, mwenendo wa vita vya Urusi na Ukraine na amani katika…
#KIPIMAJOTO: Kiapo cha uaminifu kwa Wabunge wateule Kujumuisha tamko la ahadi ya uzalendo
#KIPIMAJOTO: Kiapo cha uaminifu kwa Wabunge wateule Kujumuisha tamko la ahadi ya uzalendo. Je, kitasaidia kuongeza ufanisi katika Bunge?
Ethiopia kuwa mwenyeji wa Mkutano wa Umoja wa Mataifa wa Mabadiliko ya Tabianchi 2027
Ethiopia imeishinda Nigeria na hivyo kutangazwa kuwa nchi mwenyeji wa mkutano wa Umoja wa Mataifa wa mabadiliko ya Tabianchi uliopangwa kufanyika mwaka 2027.
Ethiopia kuwa mwenyeji wa Mkutano wa Umoja wa Mataifa wa Hali ya Hewa 2027
Ethiopia imeishinda Nigeria na hivyo kutangazwa kuwa nchi mwenyeji wa mkutano wa Umoja wa Mataifa wa hali ya hewa uliopangwa kufanyika mwaka 2027.
Z’bar House Members pledge full support to Mwinyi’s development agenda
ZANZIBAR: MEMBERS of the Zanzibar House of Representatives have pledged to fully support President Hussein Mwinyi in executing his duties without obstacles to ensure his vision of bringing development to…
🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI…NOVEMBA 12, 2025
🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI...NOVEMBA 12, 2025
Bandari ya Chabahar ya Iran kuwa lango la chai na kahawa ya Kenya kuelekea masoko ya Asia ya Kati
Kenya inatazamia kutimua uwezo wa bandari ya Chabahar ya Iran na kama kitovu cha kanda kwa ajili ya uagizaji na usambazaji wa chai na kahawa.
Jumatano, 12 Novemba, 2025
Leo ni Jumatano tarehe 21 Jamadil Awwal 1447 Hijria sawa na 12 Novemba 2025.
Hamas yalaani mswada wa kifashisti na kikatili wa Bunge la Israel wa kuwanyonga Wapalestina
Harakati ya Kiislamu ya Mapambano ya Wapalestina, Hamas, imelaani vikali hatua ya Bunge la Israel (Knesset) kupitisha kwa mara ya kwanza mswada unaoruhusu kunyongwa kwa Wapalestina waliotekwa, ikikitaja kama mwendelezo…
Zaidi ya asilimia 70 ya Wasudan wanaishi chini ya kiwango cha umaskini
Umaskini nchini Sudan umeongezeka zaidi ya mara tatu tangu kuanza kwa vita vya wenyewe kwa wenyewe mnamo Aprili 2023. Hayo ni kwa mujibu wa Waziri wa Ustawi wa Jamii, Mutasim…
Rais wa Niger: Ufaransa inatekeleza njama za kuvuruga nchi yake
Rais wa Niger, Abdourahamane Tchiani, ameishutumu vikali Ufaransa kwa kuhusika katika njama za kuichafua na kuidhoofisha nchi yake.
Rais wa Niger asema Ufaransa inatekeleza njama za kuvuruga nchi yake
Rais wa Niger, Abdourahamane Tchiani, ameishutumu vikali Ufaransa kwa kuhusika katika njama za kuichafua na kuidhoofisha nchi yake.
Marekani na Uingereza; madai ya uongo kuhusu haki za binadamu
Ripoti kuhusu ukiukaji wa haki za binadamu nchini Marekani na Uingereza zimechapishwa na Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Iran.
Marekani na Uingereza; wadai uongo wa haki za binadamu
Ripoti kuhusu ukiukaji wa haki za binadamu nchini Marekani na Uingereza zimechapishwa na Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Iran.
Arusha to host Africa’s first premier AI conference
ARUSHA: FOR the first time in East Africa’s history, Arusha city is set to make history as it hosts the Africa Premier AI Conference (APAIC 2025)—a landmark international gathering dedicated…
TAJU calls for peace, national unity after election
DAR ES SALAAM: THE Tanzania Association for Persons with Disabilities (TAJU) has appealed for peace, patriotism and forgiveness following the conclusion of general elections held on October 29, 2025. Meeting…
EABC, AfDB to drive inclusive industrialisation
ARUSHA: THE East African Business Council (EABC) and the African Development Bank (AfDB) have launched a new project aimed at accelerating sustainable and inclusive industrialisation across the East African Community…
Z’bar and China strengthen health ties to fight cancer
ZANZIBAR: ZANZIBAR and China have vowed to continue strengthening the health sector through various initiatives, including providing specialised training in diseases such as cancer, to improve the quality of medical…
Govt stresses medical confidentiality
DODOMA: THE Executive Secretary of the Mining Commission, Mr Ramadhani Lwamo, has urged public servants to maintain confidentiality in health matters, respect patients’ privacy, and ensure that medical information is…
Mwanza Court arraigns 114 over election disruption allegations
MWANZA: A total of 114 suspects have been arraigned before the Ilemela District Court in Mwanza region, facing charges of conspiracy and treason. The suspects are allegedly accused of disrupting…
TRA hands over 30m/- to Ilala entrepreneurs
DAR ES SALAAM: THE Tanzania Revenue Authority (TRA) in the Ilala Tax Region has handed over 30m/- to 15 business stakeholder groups as part of the implementation of promise made…
Public servants urged to prioritise health
DODOMA: THE Deputy Permanent Secretary in the Ministry of Community Development, Gender, Women and Special Groups, Advocate Amon Mpanju, has stressed the importance of safeguarding one’s health to boost productivity…
Govt demands stronger GBV action
ZANZIBAR: DEPUTY Permanent Secretary (Constitution and Legal Affairs) in the President’s Office for Constitution, Legal Affairs, Public Service and Good Governance, Mr Mzee Ali Haji, has called for a thorough…
Ngorongoro-Lengai Geoheritage museum pulls visitors
ARUSHA: THE newly inaugurated Ngorongoro-Lengai Geopark Heritage Museum has begun attracting a growing number of visitors, eager to learn about Tanzania’s rich tourism attractions, natural resource conservation and ancient heritage.…
SUA stakeholders meet to strengthen agroecology education curricula
MOROGORO: STAKEHOLDERS in agroecology from various institutions across Tanzania have convened at a scientific workshop organised by the Sokoine University of Agriculture (SUA) through the Agroecology Hub Industry Tanzania (AEHT)…
Mixed sentiments greet 15-year bond auction
DAR ES SALAAM: THE government’s 15-year bond auction today is expected to draw mixed investor sentiments, signalling a policy shift toward aligning returns with market yields and prompting a reassessment…
Hemed calls for unity, discipline among staff
ZANZIBAR: SECOND Vice-President (2VP) of Zanzibar, Hemed Suleiman Abdulla, has urged leaders and staff in his office to maintain cooperation and unity in executing their daily duties. He made the…
FTK embarks on mental health education in Moshi
KILIMANJARO: A Moshi-based Non-Governmental Organisation, the Foundation for Community Transformation in Kilimanjaro (FTK), has launched a community education programme aimed at raising awareness and strengthening public understanding of mental health…
Tanzanians urged to utilise Mirembe mental health services
DODOMA: TANZANIANS have been encouraged to make use of counselling and mental health services offered at the Mirembe National Mental Health Hospital in Dodoma, as the government continues to strengthen…
🔴JIJI LETU KUTOKA DAR ES SALAAM: 11 NOVEMBA 2025
🔴JIJI LETU KUTOKA DAR ES SALAAM: 11 NOVEMBA 2025
#VIDEO: Leo Bungeni aliyekuwa Mgombea wa Uspika kupitia Chama cha ADC, Amin Yango, amezua kicheko Bungeni baada ya kujibu kwa ut…
#VIDEO: Leo Bungeni aliyekuwa Mgombea wa Uspika kupitia Chama cha ADC, Amin Yango, amezua kicheko Bungeni baada ya kujibu kwa utani swali la Mbunge wa Geita Vijijini, Joseph Kasheku (Msukuma),…
Kenya kuanzisha balozi zake mpya Vatican City, Denmark na Vietnam
Kulingana na baraza hilo, uwepo wa ofisi ya ubalozi nchini Vatican, ni wa faida kwa Kenya, kutokana na fursa za maendeleo ya miradi ya kijamii kama vile elimu na dini.
Baadhi ya wananchi wa Dar es Salaam waliokuwa wakitumia usafiri wa mabasi ya mwendokasi wamesema kuwa kwa sasa wanakabiliwa na a…
Baadhi ya wananchi wa Dar es Salaam waliokuwa wakitumia usafiri wa mabasi ya mwendokasi wamesema kuwa kwa sasa wanakabiliwa na adha kubwa ya usafiri kutokana na kusitishwa kwa huduma za…
Miaka miwili iliyopita, maisha ya binti mwenye umri wa miaka 15 kutoka Katesh, mkoani Manyara, yalibadilika ghafla…ndoto zake za…
Miaka miwili iliyopita, maisha ya binti mwenye umri wa miaka 15 kutoka Katesh, mkoani Manyara, yalibadilika ghafla…ndoto zake za elimu zilizimwa ghafla baada ya kubakwa na kupata ujauzito akiwa bado…
#HAARI: Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Shinyanga, imeweka kambi ya siku tano ya kupima na kutibu magonjwa yasiyoambukiza bure, hu…
#HAARI: Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Shinyanga, imeweka kambi ya siku tano ya kupima na kutibu magonjwa yasiyoambukiza bure, huku wakazi hao wakiomba huduma hiyo iwe endelevu kusaidia kudhibiti…
#HABARI: Aliyekuwa Naibu Rais Rigathi Gachagua amemjibu Rais William Ruto, kufuatia madai ya kuwa viongozi wa upinzani wanapanga…
#HABARI: Aliyekuwa Naibu Rais Rigathi Gachagua amemjibu Rais William Ruto, kufuatia madai ya kuwa viongozi wa upinzani wanapanga ‘kuligawa taifa’ na kudokeza kuwa lengo kuu la upinzani kwa sasa ni…
Kamati Kuu Chadema yajipanga kutoa tamko
Wakati Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kikitoa pole kwa madhila waliyoyapaya...
Kulia, kutoa ya moyoni kunavyowaponya wanawake na changamoto afya ya akili
Tabia ya wanawake kulia wanapokerwa na jambo na kuzungumza wazi kuhusu hisia na changamoto...
Ndege ya kijeshi ya mizigo ya Uturuki yaanguka mpakani mwa Georgia na Azerbaijan ikiwa na watu 20
Rais wa Uturuki Erdogan amehuzunishwa na tukio hilo, akisema kuwa jitihada za uokozi zinaendelea kwa uratibu wa ndani.
🔴TAARIFA YA HABARI YA USIKU NOVEMBA 11, 2025 -MBUNGE WA ILALA MUSSA ZUNGU ACHAGULIWA SPIKA WA BUNGE
🔴TAARIFA YA HABARI YA USIKU NOVEMBA 11, 2025 -MBUNGE WA ILALA MUSSA ZUNGU ACHAGULIWA SPIKA WA BUNGE
#HABARI: Serikali imeanza kumkata shilingi milioni mbili kila siku mkandarasi anayejenga barabara za lami zenye urefu wa kilomet…
#HABARI: Serikali imeanza kumkata shilingi milioni mbili kila siku mkandarasi anayejenga barabara za lami zenye urefu wa kilometa kumi na saba, zinazogharimu zaidi ya bilioni nane kwa Manispaa ya Geita…
#HABARI: Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Wakili Amon Mpanju amesema Serika…
#HABARI: Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Wakili Amon Mpanju amesema Serikali inaendelea kuimarisha mazingira ya utendaji kazi kwa watumishi wa umma…
Zungu kuanza na mambo matano
Spika wa Bunge la 13, Mussa Zungu ameahidi kutekeleza mambo matano muhimu katika kuendesha...
Tanzania: Mauaji yanayohusiana na uchaguzi na ukiukwaji mwingine lazima uchunguzwe – Türk
Mkurugenzi wa tume ya haki za binadamu ya umoja wa Mataifa, Volker Türk, ametaka kufanyika uchunguzi wa kina wa mauaji na vitendo vingine vilivyotekelezwa wakati wa uchaguzi wa Octoba 29…
TLS yataja sababu kuwatetea watuhumiwa wa uhaini
Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kimetangaza kuwatetea watuhumiwa waliokamatwa kwa tuhuma...
Cristiano Ronaldo asema Kombe la Dunia la 2026 ni la mwisho
Mshindi huyo mara tano wa tuzo ya Ballon d'Or anapambana ili aweze kucheza katika Kombe la Dunia kwa mara yake ya sita. Mara ya kwanza ilikuwa mwaka 2006.
FATF yaonya utakatishaji fedha, ugaidi nchini Pakistan
Kikosi kazi cha kifedha cha kimataifa (FATF) kimeishauri Pakistan kudhibiti makundi yanayodaiwa...