Safari ya kisiasa ya Uganda tangu uhuru
Siasa za Uganda tangu uhuru 1962 zimegubikwa na mapinduzi, vita na uongozi wa mabavu. Kuanzia Milton Obote, Idi Amin hadi Tito Okello, historia ya taifa imejaa misukosuko na migogoro ya…
Siasa za Uganda tangu uhuru 1962 zimegubikwa na mapinduzi, vita na uongozi wa mabavu. Kuanzia Milton Obote, Idi Amin hadi Tito Okello, historia ya taifa imejaa misukosuko na migogoro ya…
Rais Masoud Pezeshkian wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuhusiana na mipango na malengo ya safari yake ya New York ya kuhudhuria mkutano wa Baraza Kuu la Umoja wa…
Msemaji wa ikulu ya White House Karoline Leavitt ametangaza kuwa rais wa Marekani Donald Trump anatazamiwa kufanya mkutano na viongozi wa nchi za Kiarabu na Kiislamu kujadili kadhia ya Ghaza.
Mapigano yameanza tena mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC). FARDC inapambana na wapiganaji wa AFC-M23 katika maeneo kadhaa. Mapigano haya yazuka wakati duru mpya ya mazungumzo imekamilika hivi…
Harakati ya Jihadul-Islami ya Palestina imesema, hakuna mapendekezo mapya ya kusitisha vita Ghaza ambayo yamepokelewa hadi sasa na kuongeza kuwa, Marekani na nchi za Magharibi hazitaki kukomesha vita hivyo hadi…
Rais wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, Annalena Baerbock ameuambia mkutano wa suluhisho la mataifa mawili uliofanyika makao makuu ya umoja huo jana Jumatatu: "nchi-dola huru ya Palestina lazima…
Marekani inatafakari juu ya kuiwekea vikwazo vikali Mahakama nzima ya Kimataifa ya Jinai (ICC) mapema wiki hii, hatua ambayo inaweza kuvuruga sana shughuli za mahakama hiyo katika kuchunguza uhalifu wa…
Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, jinai za utawala wa Kizayuni dhidi ya Wapalestina ni chuki ya wazi dhidi ya thamani za uadilifu…
Waziri Mkuu wa Misri Mustafa Madbouly ametangaza siku ya Jumatatu, Septemba 22, kuwa nchi yake itakuwa mwenyeji wa mkutano kuhusu ujenzi wa Gaza mara tu usitishaji wa mapigano utakapokamilika katika…
Iran na mataifa yenye nguvu ya Ulaya yanatayaria kufanya mazungumzo ya dakika za mwisho ili kuzuia kutekelezwa tena kwa vikwazo vya Umoja wa Mataifa dhidi ya Tehran, maafisa wawili wakuu…
Zaidi ya asilimia 90 ya wananchi wa Guinea wamepiga kura ya “ndiyo” katika kura ya maoni ya katiba ambayo inaweza kumruhusu kiongozi wa utawala wa kijeshi kugombea katika uchaguzi wa…
Nchi za Mali, Burkina Faso na Niger zinazoongozwa na jeshi, kwa pamoja, zimetangaza kujiondoa kwenye Mahakama ya Kimataifa ya ICC, kwa kile inachosema Mahakama hiyo yenye makao yake jijini Hague,…
Akizungumza Jumatatu mwanzoni mwa mkutano huo, Rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron ametangaza kuwa nchi yake sasa inalitambua rasmi taifa huru la Palestina. Macron amesema lazima wafungue njia kwa ajili ya…
Akizungumza Jumatatu na waandishi habari mjini New York, Tshisekedi amesema anamshukuru Rais Donald Trump kwa kujaribu kuumaliza mzozo huo. Amesema licha ya kuunga mkono upatanishi wa Marekani, haimaanishi kuwa watauza…
Balozi wa Marekani katika Umoja wa Mataifa, Mike Waltz ameuambia mkutano wa dharura wa Baraza la Usalama la umoja huo mjini New York kwamba Marekani inasimama na washirika wake wa…
Mataifa hayo yamejiondoa ICC na kuiita mahakama hiyo yenye makao yake makuu mjini The Hague, Uholanzi, kama chombo cha ukandamizaji wa “ukoloni mamboleo” mikononi mwa mabeberu. Viongozi wa kijeshi wa…
Duru zinaeleza kuwa mawaziri wa mambo ya nje wa Iran, Uingereza, Ufaransa na Ujerumani na mkuu wa sera za kigeni wa Umoja wa Ulaya, Kaja Kallas, watakutana Jumanne pembezoni mwa…
Chanzo cha picha, Wicknell/BBC Maelezo kuhusu taarifa Author, Shingai Nyoka Nafasi, BBC News, Harare Dakika 26 zilizopita Wicknell Chivayo, si jina geni katika eneo hili la Afrika mashariki, amejizolea umaarufu…
Chaneli ya 12 ya televisheni ya utawala wa kizayuni wa Israel imeripoti kuwa, mizozo ndani ya baraza la mawaziri la utawala huo inazidi kuongezeka baada ya mawaziri muhimu kutojumuishwa katika…
Jeshi la DRC limeanzisha mashambulizi ya anga dhidi ya maeneo ya waasi katika maeneo ya Masisi na Walikale katika jimbo la Kivu Kaskazini mashariki. Hayo ni kwa mujibu wa redio…
Kituo cha Kudhibiti Magonjwa cha Afrika (Africa CDC) kimetangaza mpango wa ufadhili wa dola bilioni 3.2 ili kuimarisha uzalishaji wa dawa na chanjo ndani ya bara la Afrika.
Rais wa Baraza la Ulaya Antonio Costa amesema hatua za kijeshi zinazochukuliwa na Israel huko Ghaza si suala tena la kujilinda na zinaonekana kuwa na lengo la kuufanya uundaji wa…
Viongozi wa Umoja wa Mataifa, Umoja wa Afrika AU na Umoja wa Ulaya EU, wametilia mkazo tena dhamira yao ya kuendeleza amani na maendeleo endelevu barani Afrika, kwa kuahidi ushirikiano…
Akizungumza na waandishi habari, Mkuu wa Tume ya Uchaguzi Djenabou Toure amesema kulingana na matokeo ya awali yaliyotangazwa Jumatatu usiku, asilimia 90.06 wamepiga kura ya ‘ndiyo’ na asilimia 9.04 wamepiga…
Akizungumza Jumatatu mwanzoni mwa mkutano wa viongozi wa ulimwengu katika Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa unaolenga kuzifufua juhudi za kuundwa kwa mataifa mawili ya Israel na Palestina, Rais wa…
Akizungumza Jumatatu mwanzoni mwa mkutano wa viongozi wa ulimwengu katika Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa unaolenga kuzifufua juhudi za kuundwa kwa mataifa mawili ya Israel na Palestina, Rais wa…
Leo ni Jumanne tarehe 30 Rabiul Awwal 1447 Hijria Qamaria sawa na Mosi Mehr mwaka 1404 Hijria Shamsia, inayosadifiana na tarehe 23 Septemba 2025 Miladia.
Natumai u mzima wa afya mpenzi msikilizaji popote pale ulipo. Ufuatao ni mkusanyiko wa baadhi ya matukio muhimu ya spoti yaliyojiri ndani ya siku saba zilizopita katika pembe mbali mbali…
Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Rais Donald Trump aukosoa Umoja wa Mataifa akiuita ni chombo kinachopiga maneno matupu / Mataifa matatu yanayoongozwa kijeshi ya Mali,Burkina Faso na Niger yamatangaza rasmi…
23.09.202523 Septemba 2025 Mkutano wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa unaolenga kuzifufua juhudi za kuundwa kwa mataifa mawili kuendelea leo//Kongo imesema mkataba wa amani uliosainiwa kati yake na Rwanda…
Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa Publishers muda wote bonyeza hapa
Mshambulizi wa Paris Saint-Germain, raia wa Ufaransa, Ousmane Dembele, ameshinda tuzo ya Ballon d’Or 2025 usiku wa Jumatatu, akimshinda Lamine Yamal wa Barcelona (Mchezaji Bora Chipukizi). Tuzo hii ya kibinafsi…
Ofisi ya mwendesha mashtaka wa Brazil imetangaza siku ya Jumatatu, Septemba 22, kufunguliwa mashitaka kwa mmoja wa watoto wa kiume wa rais wa zamani Jair Bolsonaro kwa kuzuia kesi ya…
Makabiliano kati ya magenge hasimu katika gereza moja kusini-magharibi mwa Ecuador yamesababisha vifo vya watu 14, wakiwemo wafungwa 13 na mlinzi mmoja, polisi katika nchi hiyo ya Amerika Kusini inayokumbwa…
Spika wa Bunge la taifa nchini DRC, Vital Kamerhe, amejiuzulu. Alikuwa mada ya ombi ambalo lilipaswa kupigiwa kura wakati wa kikao cha mashauriano katika makao makuu ya Baraza la Wawakilishi…
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki Source link
Sekta mbalimbali za kiuchumi na huduma katika miji 60 ya Italia, kutoka bandari hadi usafiri wa umma, zimefungwa kwa saa 24 leo Jumatatu kutokana na mgomo wa umma ulioitishwa kwa…
Maelezo kuhusu taarifa Uingereza, Canada na Australia, ambao wote ni washirika wenye nguvu na wa muda mrefu wa Israeli, sasa wamechukua hatua ya kulitambua taifa la Palestina. Zaidi ya nchi…
Ufaransa imetambua rasmi taifa la Palestina siku ya Jumatatu, Septemba 22, 2025. Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron ametoa tangazo hili wakati wa hotuba kutoka kwenye jukwaa la Mkutano Mkuu la…
Mahakama ya Sudan Kusini leo Jumatatu imeanza kusikiliza kesi ya Makamu wa Kwanza wa Rais Riek Machar, ambaye amefutwa kazi na hasimu wake wa miongo kadhaa, Rais Salva Kiir, huku…
Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki Source link
Maelezo ya picha, Mratibu wa mtandao Alina Juk (kushoto), aliyenaswa na kamera yetu ya siri, akisikiliza maagizo kuhusu kampeni ya kutoa taarifa potofu. Maelezo kuhusu taarifa Author, Oana Marocico, Seamus…
Mataifa mengi ya Magharibi yamechukua hatua ya kulitambua rasmi taifa la Palestina licha ya upinzani mkali kutoka kwa Israel.
Chanzo cha picha, Getty Images Maelezo ya picha, Licha ya idadi ya nchi za Afrika kuwa zaidi ya robo ya mataifa ya Umoja wa Mataifa, bara hilo halijawakilishwa katika P5.…
Mkuu wa Shirika la Nishati ya Nyuklia la Iran, Mohammad Eslami, ametangaza kuwa Iran na Russia zitasaini mikataba ya ujenzi wa mitambo mipya ya nyuklia nchini Iran wakati wa ziara…
Israel na Marekani hazitoshiriki kwenye mkutanohuo unaofanyika New York. Uingereza, Canada na Australia zimekuwa nchi za kwanza kuitambua Palestina kama taifa. Nchi nyingine kadhaa zikiwemo Ufaransa, Ubelgiji na New Zealand…
Vikwazo vilivyorefushwa ni pamoja na kutaifishwa mali za wanaohusika na mgogoro wa Sudan na kunyimwa ruhusa ya kuzitembelea nchi za Umoja wa Ulaya. Wanaohusika na vikwazo hivyo ni watu kumi…
Makubaliano hayo, yatakayotiwa saini katika kisiwa cha mapumziko cha Bali, yataiunganisha Indonesia yenye rasilimali na jumuiya ya Ulaya yenye wanachama 27 katika uhusiano wa karibu wa kiuchumi. Hayo yanakuwa ni…
Chama hicho ambacho kimesimamisha wagombea wake wa ubunge kuanzia visiwani Zanzibar mpaka bara, kimeainisha vipaumbele saba vinavyomulika maeneo ya ukuzaji uchumi, maendeleo ya raia mmoja mmoja hadi katika maeneo ya…
Ijumaa, Estonia ambayo ni mwanachama wa Jumuiya ya NATO ilisema ndege tatu za kijeshi za Urusi ziliingia kwenye anga yake na kudumu kwa dakika 12 kabla ya kutolewa nje zikisindikizwa…