Diamond na Zuchu wanavyorudishana utotoni
Mwimbaji wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz kwa sasa anatamba na wimbo mpya, Msumari (2025) ambao...
Mwimbaji wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz kwa sasa anatamba na wimbo mpya, Msumari (2025) ambao...
Uhusiano kati ya Waisraeli na Wapalestina uko katika kiwango cha chini kabisa. DW imezungumza na watafiti wa maoni na wataalamu wa migogoro kuhusu njia zinazowezekana za kutatua hali hiyo.
Waziri wa Mambo ya Ndani wa Uhispania, Fernando Grande-Marlaska amesema kuwa, hatua za kisheria huenda zikachukuliwa katika Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) dhidi ya Israel baada ya utawala wa…
Wakati kukiwa na sintofahamu kuhusu taarifa za kutekwa kwa aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini...
Maelfu ya watu wamekusanyika leo kusini mwa Israel kuomboleza wapendwa wao waliouawa katika uvamizi uliofanywa na wanamgambo wa Kipalestina mnamo Oktoba 7 mwaka 2023.
🔴HABARI ZA SAA, SAA SABA NA DAKIKA 55, OKTOBA 07, 2025
Raia 14 wa Ujerumani waliokuwa wametiwa nguvuni nchini Israel baada ya kushiriki msafara wa kupeleka misaada katika Ukanda wa Gaza wamefukuzwa nchini humo.
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amepinga vikali madai ya uingiliaji kati na yasiyo na msingi ya Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Baraza la Ushirikiano la…
Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia wakimbizi (UNHCR), Filippo Grandi, amesema kuwa Marekani chini ya utawala wa Rais Donald Trump imekuwa ikiwafukuza wahamiaji kwa njia zinazokiuka sheria za…
Fahamu zaidi hapa
Waziri Mkuu wa Ufaransa anayeondoka madarakani, Sebastien Lecornu, anatarajiwa kufanya juhudi za mwisho leo kujaribu kupata uungwaji mkono kutoka vyama mbalimbali kwa ajili ya kuunda baraza jipya la mawaziri.
Historia muda wote imethibitisha kwamba, msimamo imara na kutotetereka mataifa ya dunia katika kupigania ukombozi, siku zote hushinda utumiaji mabavu, vita, njama na mauaji ya umati. Hiyo ni ahadi ya…
#HABARI: Mgombea Urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema Serikali ya Awamu ya Sita imefanya mageuzi makubwa ya maendeleo katika Wilaya ya Nyamagana, na kwamba katika…
Mahakama nchini Tunisia imemuachilia huru leo Saber Chouchane, mwanamume mwenye umri wa miaka 56, ambaye wiki iliyopita alikuwa amehukumiwa kifo kwa kuchapisha kauli za kumkosoa rais.
Vyombo vya habari vya Kizayuni vimeripoti kutokea tukio zito la kiusalama kwa wanajeshi wa utawala huo dhalimu huko kusini mwa Ukanda wa Ghaza.
Ikiwa kizuizi kisicho halali kinaweza kutoa udhuru wa utekaji nyara meli za misaada katika maji ya kimataifa, basi hakuna bendera iliyo salama, na sheria ya bahari ni uvumi tu.
Rais Emmanuel Macron anakabiliwa na shinikizo jipya la kisiasa baada ya waziri mkuu wake mpya, Sebastien Lecornu, kujiuzulu katika hali ambayo haikutarajiwa.
Katika mazungumzo ya simu na Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni, Rais Vladimir Putin wa Russia amesisitizia ulazima wa kutatuliwa suala la nyuklia la Iran kwa njia ya mazungumzo na…
#HABARI: Matangazo ya Runinga yenye kelele yamepigwa marufuku huko California baada ya kupitishwa kwa sheria mpya inayowataka watu wanaoingiza sauti na kuzitengeneza kupunguza sauti. Haya yamejiri baada ya watazamaji nchini…
Tangu mapema mwezi huu wa Oktoba, kikosi cha ulinzi wa rais wa Kongo Brazzaville kimeanzisha operesheni dhidi ya magenge ya wahalifu ya vijana wanaoshambulia watu kwa mapanga wanaojulikana kwa jina…
Mgombea ubunge wa Jimbo la Mkinga kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Twaha Mwakioja, ameahidi kusimamia kwa karibu utekelezaji wa mradi mkubwa wa maji wenye thamani ya shilingi bilioni…
Mafuriko makubwa katika Jimbo la Mto Nile nchini Sudan yamesababisha vifo vya zaidi ya watu 30 na maelfu ya wengine kukwama. Wakazi wa eneo hilo wanaelezea jinsi walivyopitisha usiku wa…
Nyota wa JKT Queens wameteka kikosi cha timu ya Taifa ya Wanawake 'Twiga Stars' kinachojiandaa...
Mawakili wa mwanamuziki wa Hip-Hop nchini Marekani Sean “Diddy” Combs, wamekanusha taarifa...
🔴HABARI ZA SAA, SAA SITA NA DAKIKA 55, OKTOBA 07, 2025
Licha ya kuwa wapenzi kwa miaka zaidi ya 10, bado Malkia wa Muziki wa Kilatini kutokea...
#HABARI: Jeshi la Polisi limeanza rasmi uchunguzi wa tuhuma za kutekwa kwa Humphrey Polepole kufuatia madai yaliyotolewa na Augustino Polepole kupitia mitandao ya kijamii, ambapo alidai kuwa ndugu yake alitekwa…
Eneo la Wapalestina liko katika magofu huku makumi ya maelfu wakiuawa, huku uungaji mkono wa kijeshi wa Marekani na kura za turufu za mara kwa mara za Umoja wa Mataifa…
Halmashauri ya Wilaya ya Songwe mkoani Songwe imeanza ujenzi wa mradi wa soko la madini katika...
Wakati Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (Udsm) kikijipanga kuanza kutoa elimu kwa njia ya mtandao...
Kwa muda mrefu, dhana ya mazoezi imekuwa ikihusishwa zaidi na kupunguza uzito au kutengeneza...
🔴HABARI ZA SAA, SAA TANO NA DAKIKA 55, OKTOBA 07, 2025
Othman amesema kuwa serikali yake haitoruhusu biashara ama uwekezaji kwa wageni unaoweza kufanywa na wenyeji na badala yake itawezesha wananchi kiutalamu.
Msanii wa Bongo Fleva, Zuhura Othman Soud 'Zuchu', amesema hana mpango wa kuondoka kwenye lebo...
Duru ya kwanza ya mazungumzo kuhusu Gaza kati ya Hamas na Israel imemalizika siku ya Jumatatu usiku. “Mazungumzo kwa ujumla yalikuwa mazuri,” vimesema vyanzo vilivyo karibu na wapatanishi wa Misri…
Watu wawili wamefariki dunia katika ajali ya barabarani iliyotokea usiku wa kuamkia leo...
Trump anasema maendeleo yalipatikana kuelekea usitishaji vita wa Gaza huku mazungumzo yasiyo ya moja kwa moja yakiendelea huko Sharm el-Sheikh.
"Tupo kwenye hatua za mwisho katika kukamilisha matumizi ya mita janja kwa watanzania wote." - Meneja Msimamizi wa Mita wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), Eng. Nyanda Mlagwa alipokuwa akieleza…
Bodi ya Utendaji ya UNESCO, siku ya Jumatatu, Oktoba 6, imemteua Mmisri Khaled el-Enany kuwa Mkurugenzi Mkuu wake kwa miaka minne ijayo, Mwenyekiti wa bodi hiyo, Vera El Khoury Lacoeuilhe,…
Meneja Msimamizi wa Mita - TANESCO, ENG. Nyanda Mlagwa amesema asilimia 14.8 ya umeme inapotea kwenye shirika kuanzia kwenye kusafirisha na kusambaza, ambapo asilimia sita ipo kwenye usafirishaji na asilimia…
🔴HABARI ZA SAA, SAA NNE NA DAKIKA 55, OKTOBA 07, 2025
#HABARI: Watu wawili wamefariki dunia baada ya basi la Kampuni ya Mallesa walilokuwa wakisafiri kutoka Dar es Salaam kwenda mkoani Geita kugongana na lori la mizigo lillokuwa limebeba vifaa vya…
#HABARI: Katibu Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dkt. John Jingu, amewataka viongozi wanawake chipukizi kutoka mataifa mbalimbali ya Afrika kuchukua hatua madhubuti na…
Wakati wa maandamano ya kila wiki nchini Israel, waandamanaji wanalaani kwa utaratibu tabia ya mkuu wa serikali, ambaye, kulingana na familia za mateka, aliharibu uwezekano wa makubaliano kwa manufaa yake…
Wakati wa maandamano ya kila wiki nchini Israel, waandamanaji wanalaani kwa utaratibu tabia ya mkuu wa serikali, ambaye, kulingana na familia za mateka, aliharibu uwezekano wa makubaliano kwa manufaa yake…
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Sayyid Abbas Araghchi ameshutumu kampeni ya propaganda iliyofichuliwa hivi karibuni ya Israel, yenye lengo la kuhamasisha uungwaji mkono kwa utawala huo kwenye mitandao…
Katika taarifa iliyotolewa siku ya Jumatatu, Oktoba 6, Baraza la Kitaifa la Maaskofu wa Kanisa Katolika nchini DRC (CENCO) limesema linasikitishwa na hukumu ya kifo iliyotolewa dhidi ya rais wa…
Katika taarifa iliyotolewa siku ya Jumatatu, Oktoba 6, Baraza la Kitaifa la Maaskofu wa Kanisa Katolika nchini DRC (CENCO) limesema linasikitishwa na hukumu ya kifo iliyotolewa dhidi ya rais wa…
Mahakama ya kijeshi ya Beni katika mkoa wa Kivu Kaskazini, mashariki mwa DRC, siku ya Jumatatu, Oktoba 6, 2025, imewahukumu watu ishirini na watatu vifungo virefu vya kuanzia miaka mitano…
#HABARI: Mwakilishi wa Mrajisi wa Vyama vya Ushirika Tanzania, Bw. Abdillahi Mutabazi, amevitaka vyama vya msingi vya ushirika (AMCOS) kutokata tamaa katika utendaji kazi wao wa kila siku huku akimtolea…