Fei Toto abadili upepo, atoa ‘code’ mpya
Kiungo mahiri wa Azam FC, Feisal Salum 'Fei Toto', ameweka wazi malengo yake ya msimu huu...
Kiungo mahiri wa Azam FC, Feisal Salum 'Fei Toto', ameweka wazi malengo yake ya msimu huu...
Wakati watu wakiendelea kujiuliza wapi alipo aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey...
Watu wawili wamefariki dunia katika matukio mawili tofauti baada ya kuzama kwenye mito ya...
KIUNGO mahiri wa Azam FC, Feisal Salum ‘Fei Toto’ ameweka wazi malengo yake ya msimu huu akisema anataka kufunga mabao 15, huku akimpa maua kocha Florente Ibenge.
Rais wa Shirikisho la Soka Afrika (CAF), Patrice Motsepe amesema ana "uhakika kabisa" kuwa Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2025 litaendelea kama ilivyopangwa nchini Morocco.
#HABARI: Mahakama ya Wilaya ya Maswa Mkoa wa Simiyu, imemhukumu kifungo cha miaka ishirini jela Bw. Musa Shija na kifungo cha miaka thelathini Bi. Hollo Shija kwa kosa la kujamiana…
#HABARI: Mahakama ya hakimu mkazi mkoa wa Manyara imemuhukumu Hamis Abdalah mwenye miaka 42 mkazi wa Babati Manyara miaka sita jela na faini ya milioni moja baada ya kutiwa hatiani…
Sakata la aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole, aliyeripotiwa...
Mazungumzo kati ya Serikali ya DRC na waasi wa AFC-M23 yakionekana kukwama kila upande unaonekana kujizatiti kijeshi. Je kwa nini pande hizi zinachukua hatua hii?
MAMBO yanazidi kupamba moto ndani ya kikosi cha TRA United baada ya mabosi wapya wa timu hiyo kupokea maombi ya makocha 500, walioomba kazi huku mchujo ukitarajiwa kufanyika Ijumaa wiki…
Wafanyabiashara wadogo wa mipakani, hususan wanawake na vijana wanaouza mbogamboga, matunda na mazao ya nafaka, wamekutana na wadau wa sekta za umma na binafsi kujadili changamoto zinazokwamisha biashara zao. Mkutano…
RAUNDI ya kwanza ya Ligi Kuu Zanzibar (ZPL), imemalizika ikiacha majeraha kwa baadhi ya timu huku zingine zikipata mwelekeo mzuri wa mechi zijazo.
BAADA ya Mtibwa Sugar kucheza mechi mbili za Ligi Kuu Bara ikiwa chini ya kocha Juma Awadhi, uongozi umezungumzia ujio wa Mkenya Yusuf Chipo ambaye ataanza majukumu ligi itakapoendelea kwa…
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameiagiza Wizara ya Madini kufanya ufuatiliaji wa makampuni ya...
STAA wa Yanga, Pacôme Zouzoua ameachiwa zigo huko Ivory Coast mbele ya Simon Adingra wa Sunderland ya Ligi Kuu England na Yan Diomande wa Leipzig ya Bundesliga wakati wakijiandaa na…
Arsenal ina mpango wa kufanya maboresho makubwa Uwanja wake wa Emirates uliopo London, England,...
Katika kuendeleza juhudi za kukuza ujumuishaji wa kifedha na kuhamasisha matumizi ya huduma za kidigitali nchini, Benki ya DCB Commercial Bank Plc imezindua kampeni mpya iitwayo “Tuko Ground na Wenyewe”.…
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameagiza Wizara ya Madini kufanya ufuatiliaji wa makampuni ya madini ambayo yamehodhi maeneo kwa muda mrefu bila kuyaendeleza, yakiwemo makampuni matatu wilayani Ruangwa. Amesema makampuni ya…
Utafiti umebainisha kuwa nyenzo nyingi za sasa za kuwafunza watu walio nje ya nchi Kinyarwanda ziliundwa bila kuzingatia makundi ya umri wa wanafunzi.
Tembo huyo alikuwa hodari wa kuvunja uzio wa umeme na kuvamia mimea, na hivyo kusababisha tishio kwa maisha ya wenyeji.
Kundi la M23 linajikusanya na kuimarisha nguvu zake za kisiasa na kiuchumi huko mashariki mwa Kongo huku diplomasia ikishindwa. Taarifa zinasema sasa linaunda mifumo inayofanana na ya serikali ya Kinshasa.
Ikiwa zimesalia wiki tatu kabla ya Watanzania kupiga kura katika uchaguzi mkuu utakaofanyika tarehe 29 mwezi huu, Chama cha Alliance for Democratic Change (ADC) kimesema kuwa kampeni zake zinaendelea vizuri,…
Watu wawili wamefariki dunia katika ajali ya barabarani iliyotokea usiku wa kuamkia leo...
Miradi mikubwa ya maendeleo iliyoanzishwa katika awamu ya tano imekamilika kwa kiasi kikubwa, amesema Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM, Dkt. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na…
Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam, imekataa ombi la Tundu Lissu, aliyeomba kupokewa...
Ongezeko hili linafuatia mabadiliko ya takwimu za wapiga kura na idadi ya vituo vya kupigia kura yaliyowasilishwa na Tume ya Uchaguzi Zanzibar.
#HABARI: Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ameiagiza Wizara ya Madini kufanya ufuatiliaji wa makampuni ya madini ambayo yameshikilia maeneo kwa muda mrefu lakini hawajayaendeleza mpaka sasa yakiwemo makampuni matatu wilayani Ruangwa.…
Leo imetimia miaka miwili tangu Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS ilipotekeleza operesheni ya Kimbunga cha al-Aqswa na kutoa pigo kubwa na la kihistoria dhidi ya utawala haramu…
Uchaguzi mkuu utakaofanyika Jumatano Oktoba 29, 2025 kwa nafasi ya urais, wabunge, wawakilishi...
Kaimu Mkurugenzi Mawasiliano na Huduma kwa Wateja wa Shirika la Umeme nchini (TANESCO), Irene Gowelle amesema shirika hilo limepiga hatua kubwa ya kukamilika kwa miradi mipya mbalimbali ya uwekezaji ya…
"Kwetu mteja ni zaidi ya mfalme, kwa sasa tunazingatia wateja kwa kutoa huduma kwa wakati, na tumewekeza katika vifaa vya usafiri kwa kununua magari 100, pikipiki 284 na bajaji ambazo…
Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa leo limekutana mjini New York Marekani kujadili ushirikiano kati ya Umoja wa Mataifa na Muungano wa Afrika UA, katika kudumisha amani na usalama…
Miaka miwili tangu mashambulizi ya kigaidi ya tarehe 7 Oktoba 2023, maafisa wakuu wa mashirika ya misaada ya Umoja wa Mataifa wametoa tena wito wa kusitishwa mara moja kwa mapigano…
Waasi wa Houthi wamekamata wafanyakazi wengine 10 wa Umoja wa Mataifa nchini Yemen, na kuifanya idadi ya wafanyakazi waliokamatwa kufikia 54 tangu mwaka 2021.
Mbunifu mashuhuri wa mitindo kutoka Niger, Alphadi, ameendesha darasa la mafunzo maalum kwa wanafunzi wa Chuo cha Mitindo cha Roma Italia, kwa lengo la kusherehekea pamba ya Afrika na ubunifu…
Kwa miongo kadhaa, Israel na Palestina zimekuwa katika migogoro ya mara kwa mara. Lakini tarehe 7 Oktoba mwaka 2023, hali ilibadilika ghafla.
Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi (UNHCR) limeelezea wasiwasi wake mkubwa kuhusu ongezeko kubwa la idadi ya watu waliolazimika kuyahama makazi yao kaskazini mwa Msumbiji. Hali hiyo inatokana…
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, António Guterres, leo ametoa wito wa kuachiliwa mara moja kwa mateka wote wanaoshikiliwa Gaza, na amesisitiza tena umuhimu wa kusitisha mapigano yanayoendelea kati ya…
Leo ni siku ya pili kwa Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ) huko The Hague nchini Uholanzi kuendelea kusikiliza shauri ili kuamua iwapo haki ya kugoma inalindwa chini ya sheria…
Uongozi wa Hifadhi ya Taifa ya Mkomazi, iliyopo katika mikoa ya Kilimanjaro na Tanga, umeanzisha kampeni endelevu ya kutoa elimu kwa wananchi kuhusu mienendo ya kiikolojia ya tembo. Mpango huo…
🔴HABARI ZA SAA, SAA NANE NA DAKIKA 55, OKTOBA 07, 2025
Mahakama ya ICC imempata Ali Muhammad Ali Abd-Al-Rahman na hatia ya makosa 27 ya uhalifu dhidi ya binadamu na uhalifu wa kivita, ikiwa ni pamoja na ubakaji, mauaji na mateso…
Wananchi wa Kijiji cha Kibaoni waliopisha eneo kwa ajili ya mradi wa upanuzi wa Chuo cha Kilimo Sokoine (SUA), Kampasi ya Mizengo Pinda, mkoani Katavi wamekabidhiwa hundi yenye thamani ya…
#UPDATE: Kesi ya Uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Antipas Lissu, inaendelea katika Mahakama Kuu Masjala Ndogo ya Dar es Salaam ambapo kwa sasa, imeahirishwa…
Uongozi wa kijeshi wa Hamas umeangamizwa na haijulikani kundi hilo bado lina wapiganaji wangapi. Na kundi hili la Hamas bado linabaki kuwa na uwezo wa kufanya mashambulizi ya msituni.
Ipuuzwe habari hii si ya kweli. #ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania #Follow @itvtz @radioonetanzania @capitaldigitaltanzania.
Wakati mauaji ya kimbari ya utawala wa Kizayuni dhidi ya watu wa Gaza yameingia mwaka wake wa pili, hivi karibuniRais Donald Trump wa Marekani aliwasilisha mpango wenye vipengele 20 akidai…