Bei ya vyakula yapoa baada ya vurugu za Oktoba 29, tangawizi, nyama bado
Wakati makali ya upandaji wa bei kwa bidhaa mbalimbali za vyakula ikianza kupoa kwenye masoko...
Wakati makali ya upandaji wa bei kwa bidhaa mbalimbali za vyakula ikianza kupoa kwenye masoko...
Rais wa Ujerumani Frank Walter Steinmeier amevitolea wito vyama vinavyofuata siasa za mrengo wa kushoto kuwajibika zaidi katika kupambana na itikadi kali za mrengo wa kulia.
Shirika la Msalaba Mwekundu nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo linasema kuwa hali ya ghasia inayoendelea katika jimbo la Ituri kaskazini mwa nchi inachangia kuendelea kuzorora kwa huduma za kijamii.
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan, ameteua wabunge sita kuingia katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu…
Rais wa zamani wa Ufaransa Nicolas Sarkozy ameondoka katika jela na sasa atatumikia kifungo chake cha miaka mitano chini ya uangalizi wa mahakama.
Rais Donald Trump amewasamehea wapambe wake walioshutumiwa kushiriki jaribio la kubatilisha ushindi wa uchaguzi wa 2020.
Askofu, Ruwa'ichi amesema nchi imejeruhiwa na watu waliuawa kiholela kwa sababu ya kuandamana ilhali adhabu ya kuandamana sio kifo cha risasi.
Viongozi wa Kanisa Katoliki nchini wametoa wito wa kuendelea kufanywa maombi, kujitathmini kama...
🔴HAPA NA PALE SIMIYU: 10 NOVEMBA, 2025
Siku Chache baada ya Uchaguzi wa Oktoba 29 uliogubikwa na vurugu nchini Tanzania, Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam, limefanya misa Takatifu ya kuombea waliofariki wakati wa uchaguzi…
Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya (MUST) kimepanga kuongeza idadi ya wanafunzi kutoka 12,000 wa sasa hadi kufikia 17,970 baada ya kukamilika kwa majengo mapya katika ndaki kuu ya…
Aimé Manga ni Daktari bingwa wa magonjwa ya wanawake, anayewahudumia wanawake waliobakwa katika vita huko Goma, mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Ali Mwinyi ametaja vipaumbele na mwelekeo mpya wa Serikali katika...
ZANZIBAR: ZANZIBAR President, Dr Hussein Ali Mwinyi, has inaugurated the 11th House of Representatives session today, November 10, 2025, and outlined his government’s priorities and strategic direction for 2025–2030, in…
Kocha Mkuu wa AS FAR ya Morocco, Alexandre Dos Santos amesema kuwa wanafanya maandalizi makubwa...
NAHODHA wa Mtibwa Sugar, Oscar Masai amesema licha ya kupanda daraja wakitwaa taji la Championship wamekutana na ligi dume ambayo inawaamsha kujishikilia kabla ya kurudi walikotoka huku akitaja kuwa ujio…
Takwimu zikionyesha zaidi ya asilimia 34 ya vifo vyote nchini, vinatokana na magonjwa...
Kocha wa Napoli, Antonio Conte, yuko kwenye hali ya sintofahamu kubwa baada ya kupoteza kwa...
TAIFA Stars itacheza mechi moja dhidi ya Kuwait, baada ya viongozi wa klabu za Simba na Yanga kugonga hodi Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), kuomba mastaa wanaoshiriki michuano ya CAF…
TAIFA Stars itacheza mechi moja dhidi ya Kuwait, baada ya viongozi wa klabu za Simba na Yanga kugonga hodi Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), kuomba mastaa wanaoshiriki michuano ya CAF…
KOCHA wa JKT Queens, Abdallah Kessy, amesema kikosi hicho bado kina nafasi nzuri ya kufanya vizuri kwenye mchezo ujao dhidi ya ASEC Mimosas ya Ivory Coast, utakaochezwa Jumatano hii kwenye…
ALIYEKUWA mshambuliaji wa Tanzania Prisons, Abdulkarim Segeja, ameachana rasmi na kikosi hicho cha maafande, baada ya kugoma kuongeza mkataba mwingine, huku taarifa zikieleza kuna ofa mbalimbali ambazo menejimenti yake inazifanyia…
BAADA ya mapumziko ya wiki mbili, kikosi cha Coastal Union kimerejea mazoezini kujinoa kwa michezo ya ligi iliyo mbele yake huku kocha Mohammed Muya akilia na washambuliaji.
Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP) na wenzake wengine watano, ambao ni wajibu maombi katika shauri...
KMC jana ilipokea kipigo cha tano mfululizo katika Ligi Kuu Bara baada ya kufumuliwa na Yanga mabao 4-1, huku klabu ikiwa mkiani mwa msimamo na mmoja ya nyota wa timu…
Mshambuliaji wa timu ya taifa ya Ujerumani Deniz Undav aliisaidia timu yake ya VfB Stuttgart kujiimarisha katika nafasi ya nne kwenye msimamo wa Bundesliga kwa kufunga mabao mawili dhidi ya…
Katika juhudi zake za kuitoa Israel kwenye hali ya kutengwa, Isaac Herzog, rais wa utawala wa Kizayuni wa Israel, anatarajiwa kuelekea barani Afrika.
Rais wa Marekani Donald Trump leo Jumatatu, Novemba 10, amewasamehe watu 77 waliohusika katika jaribio la kubatilisha matokeo ya uchaguzi wa urais wa mwaka 2020, akiwemo wakili wake wa zamani…
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, amezindua rasmi Baraza la 11 la Wawakilishi Zanzibar na kutoa mwelekeo wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar…
Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) imerekodi ongezeko la biashara ya bidhaa za kimataifa katika...
Takriban watu kumi wameangamia leo Jumatatu, Novemba 10, katika ajli kwenye barabara ya Kasumbalesa katika mkoa wa Haut-Katanga. Kulingana na mashahidi, magari mawili yaliyokuwa yakisafiri yaligongana. Imechapishwa: 10/11/2025 – 13:45…
MAMLAKA ya Bandari Mkoani Mtwara imesema mwaka huu inashirikiana na sekta binafsi kuendesha Bandari kavu kwa ajili ya kufungasha kontena za korosho ghafi zinazosafirishwa kupitia Bandari hiyo. The post Ufanisi…
The East African Community (EAC) has taken a significant step toward strengthening agroecological trade in the region. Participants at the Regional Conference on Enhancing Cross-Border Trade in Agroecological Produce concluded…
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amepuuza vikali madai ya Israel kwamba Tehran ilijaribu kumuua balozi wa utawala huo nchini Mexico, akiyata madai hayo kuwa "hayana msingi…
Gavana wa Darfur na kiongozi wa Harakati ya Ukombozi wa Sudan, Minni Arko Minnawi amesema kwamba mkuu wa Baraza la Utawala na kamanda mkuu wa Jeshi la Sudan, Abdel Fattah…
Shirika la Ujasusi la Kikosi cha Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) limetangaza mafanikio makubwa ya kukabiliana na ujasusi, na kumkamata kiongozi wa kundi la udukuzi linalojulikana kama "Backdoor."
Wherever way you look at it, smallholder farmers are the unsung heroes of our food system. Day in and day out, they toil under the sun, juggling unpredictable weather, pests,…
🔴MEZA HURU- MIPANGO YA KUSTAAFU
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Mkoa wa kikodi Ilala, imekabidhi Sh30 milioni kwa vikundi 15...
Wakati viongozi wa dunia wanakutana leo tarehe 10 Novemba 2025, huko mjini Belém, Brazil kwenye lango kuu la kuingia kwenye Msitu wa Amazon kwa ajili ya Mkutano wa 30 wa…
Kwa msaada wa Ujumbe wa Umoja wa Mataifa nchini Sudan Kusini UNMISS, uwanja wa mpira wa kikapu mjini Yambio, jimboni Equatoria Magharibi umekuwa kituo cha matumaini na ushirikiano, ukileta pamoja…
Wakati dunia inapokutana Belém, Brazil kwa mkutano wa 30 wa nchi wanachama wa Mkataba wa Umoja wa Mataifa kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi (COP30), ni mwanzo wa kile ambacho wachambuzi wanasema…
Mkutano wa wa 30 wa nchi wanachama wa mkataba wa Umoja wa Mataifa kuhusu Mabadiliko ya Tabainchi, UNFCCC (COP30) umeanza leo Novemba 10 mjini Belém, Brazil, huku viongozi wa dunia,…
Sisi si wakusanya taka bali ni warejeshaji wa mazingira kwa kuepusha lundo la vitu vinavyoweza kurejelezwa kutupwa kiholela kwenye madampo. Ni kauli ya Noluthando Tutani, kutoka Chama cha Warejeshaji wa…
🔴HABARI ZA SAA, SAA NANE NA DAKIKA 55, NOVEMBA 10, 2025
Ofisi ya Mwendesha Mashtaka wa umma, leo Jumatatu, Novemba 10, imeomba kuachiliwa kwa rais wa zamani wa Ufarasa Nicolas Sarkozy chini ya usimamizi wa mahakama wakati wa uchunguzi wa ombi…