Mtoto ajinyonga kisa kukanywa na wazazi
POLISI mkoani Morogoro wanachunguza kifo cha Rajabu Ally Mohammed (12), mtoto wa nyumbani na mkazi wa Ijava, Kata ya Italagwe, Wilaya ya Gairo aliyekutwa amejinyonga nyuma ya nyumba yao kwa…
POLISI mkoani Morogoro wanachunguza kifo cha Rajabu Ally Mohammed (12), mtoto wa nyumbani na mkazi wa Ijava, Kata ya Italagwe, Wilaya ya Gairo aliyekutwa amejinyonga nyuma ya nyumba yao kwa…
Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Adamu Malima amekemea tabia ya baadhi ya watu kuchukua vyandarua...
Baada ya kukaa nje ya kikosi cha England tangu alipokuwemo mara ya mwisho katika Fainali za...
CAPE TOWN: SERIKALI imetangaza mpango wa kuongeza ndege nane kwa Shirika la Ndege Tanzania (ATCL), hatua itakayofikisha jumla ya ndege 24 ifikapo mwaka 2030, ikiwa ni sehemu ya juhudi za…
MAMLAKA ya Hali ya Hewa Kenya (KMD) imesema mvua kubwa inayoendelea kunyesha katika maeneo mbalimbali ya nchi imesababisha mafuriko makubwa na kusababisha vifo vya watu 81 ndani ya mwezi huu.…
CAPE TOWN: THE Tanzanian government has announced a plan to add eight aircraft to Air Tanzania Company Limited (ATCL), a move that will increase the fleet to a total of…
Wakati mwanga mwanana wa asubuhi ukiangaza kando ya Mto Katuma ulioko magharibi mwa Tanzania,...
DODOMA: THE Permanent Secretary of the President’s Office – Planning and Investment and Executive Secretary of the National Planning Commission, Dr Tausi Kida, has urged researchers in the country to…
Serikali imezitaka taasisi za kifedha nchini kubuni bidhaa na huduma zinazozingatia mahitaji ya...
DODOMA: THE Energy Minister, Deogratius Ndejembi, has directed the Energy and Water Utilities Regulatory Authority (EWURA) to conduct thorough inspections of fuel storage facilities to ensure that no traders are…
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, amekutana na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) David Nchimbi Ikulu Zanzibar.…
Serikali inatoa onyo hilo ikiwa ni mwezi mmoja tangu kuanza kwa vita katika ukanda wa Mashariki...
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, amekutana na Kaimu Balozi wa Marekani nchini Tanzania, Andrew Lentz, na kufanya mazungumzo yaliyojikita katika kuimarisha ushirikiano…
Raphael Tuju amekamatwa baada ya kutoweka kwa saa 24 na kujitokeza huku mawakili wakidai vurugu za polisi na maswali yakiibuka kuhusu madai ya kutekwa nyara.
Mjane wa marehemu Johana Ng’eno Naiyanoi Ng’eno amejiondoa katika uchaguzi mdogo wa Emurua Dikirr UDA, Bernard Ngeno aibuka kinara kabla ya uchaguzi mdogo wa Mei 14.
Ongezeko la bei ya mafuta limetokana kwa kiasi kikubwa na kufungwa kwa Mlango-bahari wa Hormuz, ambapo karibu 20% ya mafuta na gesi duniani husafirishwa.
Mahakama ya Rufani imebatilisha hukumu ya kifungo cha miaka 30 jela alichokuwa amehukumiwa...
KATIBU Mkuu Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji anayeshughulikia Mipango na Katibu Mtendaji wa Tume ya Taifa ya Mipango, Dk. Tausi Kida amewataka watafiti nchini kuelekeza tafiti zao katika kutatua…
ZANZIBAR: THE President of Zanzibar and the Chairman of the Revolutionary Council, Dr Hussein Ali Mwinyi, met with the Acting United States Ambassador to Tanzania, Ambassador Andrew Lentz, for talks…
Kutokana na kasi ya ukataji misitu inayoendelea, Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ)...
Kila ifikapo Machi 23, TMA huungana na mamlaka nyingine za hali ya hewa duniani kusherekea siku...
NLP ilipinga kuyumba kwa uongozi wa Azimio, ikitoa mfano wa ukiukaji wa katiba. Mzozo huo unazua wasiwasi kuhusu umoja huku mirengo hasimu ikihoji uhalali wa Kalonzo
Viongozi wakuu wa Umoja wa Mataifa wameonya kuwa ubaguzi wa rangi unaendelea kuwa tishio kubwa duniani, wakitoa wito wa hatua za haraka na za pamoja kukabiliana nao, huku wakisisitiza kuwa…
Iliyozaliwa kutoka kwenye mabaki ya Vita vya Pili vya Dunia, ndoto ya dunia yenye amani zaidi na haki zaidi iliyakusanya mataifa pamoja mwaka 1945 chini ya maono mapya kwa ajili…
Jana Machi 22, Ulimwengu umeadhimisha Siku ya Kimataifa ya Maji. Kwa mujibu wa utafiti uliofanywa katika nchi 53 na Ofisi ya Umoja wa Mataifa inayoratibu masuala ya maji na usafi,…
Katika kuadhimisha Siku ya Kimataifa ya Furaha ambayo huadhimishwa kila ifikapo tarehe 20 Machi, wakazi wa kata ya Luchelele, jijini Mwanza, kaskazini-magharibi mwa Tanzania, wameeleza maana ya furaha katika maisha…
Tabianchi ya dunia inazidi kukosa uwiano kuliko wakati wowote ule katika historia iliyowahi kurekodiwa, huku viwango vya gesi chafuzi vikichochea kuendelea kwa ongezeko la joto katika anga la juu na…
Mzozo wa Mashariki ya Kati ukiingia wikiya nne tangu ulipoanza Februari 28, Umoja wa Mataifa leo umeonya juu ya athari mbaya za kibinadamu na uchumi wa kimataifa zinaongezeka wakati mzozo…
Wakati Tanzania ikijivunia kuwa na idadi kubwa ya mifugo, bado inalazimika kutumia zaidi ya...
DAR ES SALAAM: WAUMINI wa dini ya Kiislamu wametakiwa kuendelea kuishi kwa kuzingatia maadili mema waliyojifunza katika mwezi mtukufu wa Ramadhani, kwa kudumisha matendo mema na kujiepusha na maovu katika…
DAR ES SALAAM: THE European Union (EU) has provided 443,989 Euros to four institutions in the country for a project to train doctors and health workers on how to control…
KATIKA kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabianchi zinazoendelea kuathiri maisha na uchumi, wananchi wametakiwa kuzingatia na kutumia taarifa sahihi za hali ya hewa ili kujikinga na majanga na kufanya…
Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro linachunguza matukio mawili ya vifo yaliyotokea kwa nyakati...
Kundi la Lighthouse Nairobi limemtimua mpenzi wa zamani wa Mary Clare kutokana na uchunguzi wa kumwagiwa asidi huku akipigania maisha yake katika hospitali ya KNH.
THE Police Force has officially confirmed that Harbinder Singh Sethi, Chairman of Independent Power Tanzania Limited (IPTL), has no recorded criminal convictions in the country. The Forensic Bureau issued a…
DODOMA: THE Health Minister, Mohamed Mchengerwa, is expected to flag off a 21km charity half-marathon organized by the Tanzania Nursing and Midwifery Council (TNMC), scheduled to take place on April…
Taasisi ya Vodacom Tanzania Foundation kwa kushirikiana na wadau wake, wakiwemo Benki ya...
ZANZIBAR: THE Revolutionary Government of Zanzibar has pledged to continue collaborating with the Tanzania Telecommunications Corporation (TTCL) to strengthen communication services in Zanzibar through the various services provided by the…
Aliyekuwa waziri Raphael Tuju aibuka tena baada ya kutoweka, akifichua kiwewe na kuhofia maisha yake kufuatia gari linaloshukiwa kuwa likimkabili.
Mwanamke wa Nairobi alisalia na bili ya hoteli ya KSh 77,300 baada ya tarehe yake kutoweka. Alijitolea kulipia agizo lake mwenyewe, lakini mkahawa uliita polisi.
Benki ya Stanbic imeibuka kinara kwa kushinda tuzo tatu za kimataifa za Benki Bora ya Kimataifa...
Hospitali ya Uingereza ilimfuta kazi muuguzi Mwafrika baada ya kushindwa kujibu swali la msingi ni wapi utumbo ulipo, na kusababisha uchunguzi uliobaini uzoefu feki
Msemaji wa Kamandi Kuu ya Jeshi Iran ya Khatamul Anbiyaa (SAW) amesema kuiambia Marekani na Israel kwamba: Munafanya makossa kufananisha vita vyenu na taifa lenye ghera na jeshi imara la…
Mufti Mkuu wa Libya ametoa taarifa kuhusu mashambulizi na uchokozi wa Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Iran akisisitiza kuwa: Ni wajibu kuwahami Waislamu pale vita vinapotokea…
Kampuni ya ujasusi ya akili mnemba, Anthropic yenye makao yake Marekani inatafuta kuajiri mtaalamu wa silaha za kemikali na vilipuzi vyenye nguvu nyingi.
Waziri Mkuu wa Uhispania ametahadharisha kuhusu mgogoro wa nishati wa muda mrefu kwa wanadamu wote kutokana na vita vya uchokozi vya Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya…
Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran (Bunge) amezitahadharisha taasisi za fedha zinazodhamini bajeti ya kijeshi ya Marekani.