Wanafunzi watatu wafa kwa radi Dar
DAR ES SALAAM; Wanafunzi watatu wa Shule ya Msingi Msongola wilayani Ilala, Dar es Salaam wamefariki dunia baada ya kupigwa na radi, huku wengine wawili wakijeruhiwa. Kamanda wa Polisi Kanda…
DAR ES SALAAM; Wanafunzi watatu wa Shule ya Msingi Msongola wilayani Ilala, Dar es Salaam wamefariki dunia baada ya kupigwa na radi, huku wengine wawili wakijeruhiwa. Kamanda wa Polisi Kanda…
Chama cha Wafanyakazi wa Serikali za Mitaa Tanzania (TALGWU), kinatarajiwa kufanya uchaguzi wa...
Zari Hassan alijibu penyenye kwamba mumewe Shakib Cham amekuwa akichepuka, akidai madai hayo ni ya uwongo na kumkosoa aliyeanza kueneza uvumi huo
#HABARI:Jeshi la Polisi Kikosi cha Reli Tanzania, linawashikilia watu sabini na saba kwa tuhuma za kuhusika na makosa mbalimbali ikiwemo kukutwa na dawa za kulevya aina ya bangi, kuhujumu miundombinu…
#HABARI: Serikali kupitia Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS), imeanza zoezi la upandaji miti katika msitu wa Machang’anja wilayani Ruangwa baada ya hekta 400 kati ya 1,000 kuharibiwa na…
LONNDON, UK: The Tanzanian government has reiterated its readiness to partner with credible investors in healthcare and life sciences, as it intensified its international investment outreach at the Tanzania Healthcare…
Serikali imeahidi kuwa katika bajeti ya mwaka huu itazifanyia kazi changamoto za kikodi...
#HABARI: Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linafanya uchunguzi wa mauaji ya Athumani Nyanza, aliyekutwa ameuawa na kufukiwa kwenye shimo kando ya nyumba yake katika mtaa wa…
Mbunge wa Uyole mkoani hapa, Dk Tulia Ackson, amerejesha kicheko kwa waumini 204 wa dini ya...
Imeelezwa kuwa bidhaa nyingi zinazozlishwa nchini hazifiki sokoni kwa sababu hazina uthibitisho...
Siku moja baada ya Waziri wa Katiba na Sheria, Dk Juma Homera kusema kukamilika kwa ripoti ya...
#HABARI: Wanafunzi watatu wa Shule ya Msingi Msongola wilayani Ilala, Dar es Salaam, wamepoteza maisha na wengine wawili kujeruhiwa baada ya kupigwa na radi majira ya saa tano asubuhi ya…
#HABARI: Mkurugenzi Mkurugenzi Mtendaji Hospitali ya Benjamin Mkapa Prof. Abel Makubi akiwa na baadhi ya wajumbe wa kamati ya maadhimisho ya miaka 10 ya BMH. Wamefikisha ujumbe wa maadhimisho…
#HABARI: Kamishna wa Umeme na Nishati Jadidifu, Mhandisi Innocent Luoga, amewataka watumishi wa Wizara ya Nishati kuongeza juhudi katika kukuza matumizi ya nishati safi ya kupikia ili kuunga mkono ajenda…
Kampuni ya kimataifa ya uchambuzi wa mitandao, Ookla, imeutangaza mtandao wa Yas kinara mtandao...
Jamaa amehuzunika baada ya kakake kurejea kutoka London bila chochote isipokuwa mfuko wa plastiki, akifichua mapambano ya familia na nyota kuzimwa
ZANZIBAR: The Executive Director of Benjamin Mkapa Hospital (BMH), Prof Abel Makubi, accompanied by some members of the organising committee for the hospital’s 10th anniversary celebrations. The delegates delivered a…
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Elimu, Utamaduni na Michezo, Husna Sekiboko...
Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Yusuph Juma Mwenda amesema Mamlaka hiyo itaanzisha utaratibu mpya wa kuingiza mafuta ya kupikia Tanzania Bara kutoka Zanzibar ili kuwezesha kufanyika kwa…
YANGA imevutwa shati na TRA United katika mechi ya Ligi Kuu Bara iliyochezwa leo Jumatano Machi 18, 2026 kwenye Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha baada ya timu hizo…
#HABARI: Jeshi la Polisi mkoani Iringa limeyakamata na kuyashikilia mabasi mawili ya abiria yaliyokuwa yakisafirisha vifaranga vya kuku elfu 36 kutoka nchi jirani ya Malawi kinyume na taratibu. Kamanda wa…
Tume yaja na mapendekezo 284 yanayolenga kufanya mageuzi ya mfumo wa kodi, ikiwa ni hatua...
#HABARI: Mkuu wa Wilaya ya Kilosa, Shaka Hamdu Shaka, amewataka wananchi na viongozi kuendelea kushirikiana bila kubaguana kwa misingi ya dini au itikadi za kisiasa ili kudumisha amani na mshikamano…
#HABARI: Jeshi la Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani mkoani Kilimanjaro limemkamata Emmanuel Kawiche, dereva wa gari la shule, akiwa anaendesha wanafunzi akiwa katika hali ya ulevi mkubwa. Kamanda wa Polisi…
Yanga imeshindwa kuongeza pengo la pointi baina yake na Azam iliyo katika nafasi ya pili kwenye...
Pakistan imetangaza kusitisha mapigano katika mzozo wake na Afghanistan leo Jumatano, Machi 18, wakati wote wa Sikukuu ya Eid al-Fitr, ambayo inaashiria mwisho wa mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhani.…
KOCHA wa Mbeya City, Mecky Maxime amewapa nguvu mashabiki wa timu hiyo huku akiwaambia kwamba bado anaamini kikosi hicho kitarudi kwenye ubora wake licha ya kupoteza mechi iliyopita.
LICHA ya kuachana na kikosi cha KMC, kocha Marcio Maximo amesema bado anaiombea dua njema timu hiyo ibaki Ligi Kuu Bara.
KOCHA wa Taifa Stars, Miguel Gamondi ametangaza kikosi cha wachezaji 25 akiwemo kipa Aishi Manula wa Azam kujiandaa na michezo miwili ya FIFA Series 2026 ambayo itachezwa Kigali nchini Rwanda.
Naibu Mufti Mkuu wa Zanzibar, Sheikh Mahmoud Mussa Wadi amesema ili kupata maelezi bora ya jamii inatokana na malezi bora ya pamoja kwa watoto na vijana katika kujenga misingi kwenye…
Kuelekea Maadhimisho ya Siku ya Misitu Duniani sambamba na Kampeni ya Kitaifa ya Upandaji Miti,...
Mratibu wa Kibinadamu wa Umoja wa Mataifa nchini DRC, Bruno Lemarquis, amewasili Goma, mji mkuu wa jimbo la Kivu Kaskazini, siku ya Jumanne, Machi 17, 2026. Mji huu uko chini…
Halmashauri tisa za Mkoa wa Mtwara zimetakiwa kuongeza kasi ya upandaji miti ili kufikia...
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imetangaza mpango wa kutoa ajira 1,300 kwa wataalamu wa sekta...
#HABARI: Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima, amesisitiza kuwa matumizi ya teknolojia ya kidijitali katika mfumo wa Mahakama ni nyenzo muhimu ya kuimarisha upatikanaji wa haki kwa…
🔴HAPA NA PALE KUTOKA PEMBA, MACHI 18, 2026
Rais Samia Suluhu Hassan amesema Serikali haina budi kikusanya kodi kwani nchi haiwezi kuendelea bila fedha. Kwa mujibu wa Rais Samia, hatuwezi kufanya chochote kama kodi haitokusanya ikiwamo shughuli za…
Kufuatia uamuzi wa Bodi ya Rufaa ya Shirikisho la Soka la Afrika (CAF) wa kuivua timu ya taifa ya Senegal, Lions of Teranga, Ubingwa wa AFCON 2025 na kuipa ubingwa…
ZANZIBAR: RELIGIOUS leaders have called for a stronger moral upbringing of children and youth, stressing early religious guidance as key to building a disciplined and responsible society. Deputy Mufti of…
Rais Samia Suluhu Hassan amesema Serikali itadhibiti mianya ya ukwepaji wa kodi. Aidha, Rais Samia amesisitiza kuwa Udhibiti huo utaongeza ufanisi wa makusanyo ya kodi nchini. Amesema hayo akizungumza na…
#HABARI: Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limezindua rasmi matumizi ya ndege nyuki (drones) ili kuboresha ukaguzi wa miundombinu ya umeme nchini. Hatua hiyo ni sehemu ya mikakati ya shirika kutumia…
#HABARI: Serikali imeingilia kati mgogoro wa umiliki wa ardhi unaohusisha wawekezaji wa kigeni katika Sekta ya Utalii wilayani Arumeru, mkoani Arusha, kwa kutuma timu ya wataalamu wa ardhi kufanya uhakiki…
Vijana hao wenye umri kati ya miaka 19-20 ni wakazi wa Kijiji cha Shimbi Masho, Kata ya Kwa...
Zaidi ya asilimia 70 ya wafanyakazi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili ni wanawake, hatua...
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan, amesema Serikali itaendelea kushirikiana na sekta binafsi ili kuharakisha ukuaji wa uchumi wa nchi. The post ‘Hakuna misaada tukusanye…
Mvutano wa kijeshi kati ya Israel na Iran umeingia hatua mpya kufuatia madai ya Israel kuwa...
Mahakama yasitisha unyakuzi wa mali ya Tuju ya Dari, hivyo basi kuhifadhi hali ilivyo akipinga uhalali wa mnada ili kusimamisha uhamisho na kulinda haki za umiliki
MOROGORO: THE Tanzanian government has pledged to find a lasting solution to recurring floods in Morogoro Region, with plans to invest in major infrastructure projects to protect lives and property.…