Vita Iran: Tanzania yatangaza kupanda kwa bei ya mafuta
Serikali nchini Tanzania imetangaza bei mpya ya juu ya mafuta inayoanza kutekelezwa hii leo Jumatano tarehe mosi Aprili 2026.
Serikali nchini Tanzania imetangaza bei mpya ya juu ya mafuta inayoanza kutekelezwa hii leo Jumatano tarehe mosi Aprili 2026.
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Mojtaba Khamenei, ametoa shukrani zake kwa wanazuoni wa Kisunni katika Mkoa wa Kurdistan nchini Iran kufuatia ujumbe wao wa pole na mshikamano…
Kazi za uandishi wa vitabu ni nyenzo muhimu ya kukuza maarifa na lugha kwa hadhira lakini mwandishi mkongwe wa vitabu, Rachard Mabala anasema “ubunifu na usahihi wa lugha” ndio sababu…
Katika kipindi cha hivi karibuni, sura ya Zanzibar imebadilika kwa kasi kubwa kufuatia...
Tumeyashuhudia ya mwezi huu hasa siku ya Machi 8, ambayo ilikuwa siku rasmi ya Wanawake Duniani...
Balozi na mwakilishi wa Iran katika Umoja wa Mataifa amemwandikia barua Katibu Mkuu na Rais wa Baraza la Usalama la umoja huo, akilaani mashambulizi ya Marekani na utawala wa Kizayuni…
Waziri wa Mambo ya Nje amesema: Iran hadi sasa haijatoa jibu kwa mapendekezo 15 ya Marekani, na wala haijawasilisha sharti lolote.
Mwanamuziki wa Bongofleva, Diamond Platnumz, 36, kwa sasa anavuma na wimbo wake mpya, Happy...
Mke wa Rais Rachel Ruto alishiriki maarifa kuhusu imani, kesha za kila wiki Ikulu, na athari zake kwa uongozi wa Kenya wakati wa mahojiano nchini Marekani.
Mustakabali wa Mohamed Amin katika afisi ya Idara ya Upelelezi wa Makosa ya Jinai DCI unaning'inia huku kandarasi yake ya ajira ikitamatika Aprili 1
NI wanamuziki wachache wenye uthubutu wa kusema wimbo wake fulani ameandikiwa na mwenzake au...
AS the world faces an increasing wave of health emergencies, from infectious disease outbreaks to climate-related disasters, Tanzania is taking decisive steps to strengthen its preparedness and response systems. The…
Hassan Omar wa UDA amemshutumu Rais msaafu Uhuru Kenyatta kwa kuunga mkono upinzani kuhujumu utawala wa Ruto kwa propaganda na uingiliaji wa kisiasa.
Vita ya Mashariki ya Kati imeanza kung’ata nchini Tanzania kupitia ongezeko kubwa la bei za...
DAR ES SALAAM: ON paper, the progress is undeniable. More women are stepping forward to contest leadership positions, public awareness is growing and advocacy efforts are gaining momentum. Yet beneath…
Uzee ni hatua ambayo wengi huiogopa au kuichukulia kama mwisho wa mvuto na furaha ya maisha...
COASTAL UNION | Baadhi ya mashabiki wa Coastal Union mkoani Tanga wamesema wamejiandaa kuhakikisha wanaondoka na ushindi mbele ya mwenyeji wa mchezo huo Simba SC. Mechi hiyo ni kesho kuanzia…
SIMBA SC | Baadhi ya mashabiki wa Simba SC wameeleza matumaini yao kuelekea mchezo wao wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Coastal Union wakisema hamasa hiyo ni kutokana na…
Soma zaidi hapa...
Kuchimba akiba hiyo ya urani itakuwa moja ya "operesheni ngumu zaidi katika historia", afisa wa zamani wa ulinzi aliambia BBC.
Mfululizo wa milipuko mikubwa ilisikika kusini mwa jiji la Bujumbura, mji wa kibiashara wa Burundi katika ghala la risasi kwenye kambi ya kijeshi ya Musaga. Imechapishwa: 01/04/2026 – 06:10Imehaririwa: 01/04/2026…
Soma zaidi hapa...
Rais Masoud Pezeshkian anasema Iran ina "nia" ya kumaliza vita vya Marekani na Israel dhidi yake lakini hilo litatimia pale masharti kadhaa yatakapotimizwa.
Nchini Senegal, Rais Bassirou Diomaye Faye ametia saini sheria mpya inayopambana na vitendo vya mapenzi ya jinsia moja katika nchi hiyo ya Afrika Magharibi. Imechapishwa: 01/04/2026 – 05:33Imehaririwa: 01/04/2026 –…
Timu ya taifa ya mchezo wa soka ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, imefuzu kwenye fainali ya kombe la dunia, kwa mara ya kwanza, baada ya miaka 52. Imechapishwa: 01/04/2026…
Manchester City wanaongoza Manchester United katika kinyang'anyiro cha kumnasa Elliot Anderson, Mashetani Wekundu wapata uungwaji mkono katika harakati zao za kumnasa Sandro Tonali, huku Liverpool wakimtaka Francisco Conceicao kuchukua nafasi…
Bao pekee alilofunga Axel Tuanzebe katika mchezo wa mchujo dhidi ya timu ya Taifa ya Jamaica...
Bao pekee alilofunga Axel Tuanzebe katika mchezo wa mchujo dhidi ya timu ya Taifa ya Jamaica...