Watumishi 11 Halmashauri ya Mbogwe wafukuzwa kazi
Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Wilaya ya Mbogwe, mkoani Geita, limefikia uamuzi wa...
Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Wilaya ya Mbogwe, mkoani Geita, limefikia uamuzi wa...
HALI ya sintofahamu imeibuka kwa wachezaji nyota wa kikosi cha Azam FC, baada ya kudaiwa kukumbwa na tatizo la kupumua kwa shida, lililotokea tangu mechi yao ya Ligi Kuu Bara…
Dhamira ya Tanzania ya kuongeza idadi ya kaya zinazotumia nishati safi ya kupikia inategemea...
Kampuni ya Vodacom Tanzania imetangaza kuongezeka kwa faida katika mwaka wa fedha ulioishia...
Wakati Mkutano wa Tatu wa Bunge la Bajeti ukitarajiwa kuendelea kesho, wiki hii inatarajiwa...
KIGOMA: Waziri wa Nishati, Deogratius Ndejembi ameeleza kutoridhishwa na utekelezaji wa mradi wa kuzalisha umeme katika Mto Malagarasi Wilaya ya Uvinza mkoani Kigoma unaotekelezwa na kampuni ya DONGFANG Electric International…
TUZO za Baraza la Michezo la Taifa (BMT), ambazo hutolewa ili kutambua mchango wa wanamichezo bora nchini, zimefanyika usiku wa Mei 9, 2026 katika ukumbi wa The Super Dome Masaki…
Una ‘stresi’? Za mapenzi, ugumu wa maisha ama chochote. Fanya hivi, kama huna akaunti ya Insta...
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Said Mtanda amelitaka Jeshi la Polisi Nchini kuimalisha doria za mitandaoni ili kuwabaini waharifu wanaotumia mitandao kuibia wananchi. Mtanda ametoa maelekezo hayo kwenye maadhimisho ya…
GEITA: SERIKALI imekemea tabia ya ufugaji holela wa wanyama aina ya punda usiozingatia huduma, makazi na malazi stahiki kwa wanyama hao hali inayopelekea kuhatarisha afya, usalama na maisha ya punda…
KIUNGO wa Yanga Princess, Maimuna Hamis 'Mynaco' amesema ushindani uliopo katika kikosi hicho ndiyo siri inayowafanya wachezaji wote kuongeza kiwango na kuwania nafasi kila wanapocheza.
GEITA: SERIKALI imeidhinisha mtandao wa barabara mpya zenye urefu wa Km 985.28 katika Wilaya ya Nyang’hwale mkoani Geita zitakazohudumiwa na Wakala wa Barabara Mjini na Vijijini (TARURA). Meneja wa TARURA…
KIUNGO wa Simba Queens, Vivian Corazone amesema malengo yake msimu huu ni kubeba Kombe la Ligi Kuu ya Wanawake ili arejee kucheza michuano ya Afrika.
Kupitia Ukurasa wake wa Mtandao wa Kijamii wa X (Zamani Twitter), Mkurugenzi wa kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na binafsi (PPPC), David Kafuila ametoa ujumbe maalumu wa…
MSHAMBULIAJI wa Simba Queens, Jentrix Shikangwa ameendelea kuandika historia ya kipekee baada ya kufikisha jumla ya mabao 60 ndani ya misimu minne, takwimu zinazoendelea kumuweka kwenye orodha ya wachezaji hatari…
KAIMU Kocha Mkuu wa Ceasiaa Queens, Sultan Juma amesema kukosekana kwa wachezaji wawili wa kigeni, Anita Adongo na Diana Cherono, ni pigo kubwa kwa timu hiyo kutokana na mchango waliotarajiwa…
LIGI ya Championship imebakisha mechi sita kumalizia msimu huu wa 2025-2026, huku ushindani ukiongezeka kwa kila timu kutokana na mahitaji mbalimbali, hususani kwa zile zinazotafuta nafasi ya kupanda Ligi Kuu…
“Mama anapofariki, familia haipotezi mtu mmoja tu, inapoteza msingi wake,” ameeleza Kindness Ngoh, mkunga anayefanya kazi na Shirika la Umoja wa Mataifa la Idadi ya Watu na Afya ya Uzazi,…
MWANZA: MKUU wa Wilaya ya Kwimba mkoani Mwanza, Ng’wilabuzu Lúdigija, amesistiza umuhimu wa kusimamia kwa ukaribu utekelezaji wa miradi ya maendeleo na kuhakikisha miradi yote inayotekelezwa katika maeneo mbalimbali inakamilika…
MBARARA: TANZANIAN wheeler Randeep ‘Sanny’ Birdi beat a contingent of Ugandan rivals to win the National Rally Championship (NRC) title in the Shell V-P Pearl of Rally staged over the…
SHINYANGA: Mkazi wa kijiji cha Ishinabulandi kata ya Samuye Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga Kulwa Malale amesema Msaada wa kisheria wa Mama Samia Legal Aid alivyoelezwa na kupewa ushauri amefarijika…
DJIBOUTI: THE Minister for Foreign Affairs and East African Cooperation, Mahmoud Thabit Kombo, represented Tanzanian President Samia Suluhu Hassan at the inauguration ceremony of Djibouti President Ismaïl Omar Guelleh, held…
DAR ES SALAAM: ALPHONCE Simbu was named the Best Male Athlete of the Year 2025 at the National Sports Awards held at the Superdome. His outstanding performances in athletics helped…
Rais wa Urusi Vladimir Putin alitumia sherehe za kila mwaka za Siku ya Ushindi nchini mwake kuhalalisha vita vyake dhidi ya Ukraine na kushutumu NATO, katika hotuba yake aliyoitoa kwenye…
Vyombo vya habari vya Kizayuni vimekiri kushindwa jeshi la utawala wa vamizi wa Israel kukabiliana na ndege zisizo na rubani za harakati ya Hizbullah.
DAR ES SALAAM: ALPHONCE Simbu has been honored with the Athlete Recognition Award for his outstanding contribution to promoting Tanzania’s national image on the international stage. The celebrated long-distance runner…
Aliyewahi kuwa kocha wa Simba, Fadlu Davis ambaye kwa sasa anainoa Raja Casablaca ya Morocco...
KIUNGO wa Tanzania, Malaika Meena ameanza kuonyesha kiwango kikubwa katika soka la wanawake Ulaya baada ya kupata muendelezo mzuri tangu ajiunge na Ipswich Town Women kwa mkopo akitokea Bristol City…
BEKI wa Kitanzania, Abdulmalik Kajuna anayekipiga Psalms 105 FC inayoshiriki Ligi Daraja la pili Kenya amesema tofauti kubwa kati ya ligi ya huko na Tanzania ni fedha.
HUENDA Tanzania ikaandika historia ya kuwa na wachezaji wawili, baada ya mshambuliaji kinda Juma Sagwe kuelezwa anafanya majaribio kwenye kikosi cha Goztepe.
Aliahirisha kwenda hospitali kwa takriban wiki sita, ila alipomuona daktari wa familia, aliambiwa huenda ni saratani.
Ripoti za kuongezeka vifo baina ya mahujaji waliokwenda Saudi Arabia kutekeleza ibada ya Hija kumezua wasiwasi na taharuki baina ya viongozi na wasimamizi wa ibada hiyo.
Zambia imeishutumu hadharani Marekani kwa kuunganisha kifurushi cha afya kilichopendekezwa cha dola bilioni 2 na matakwa kupewa data na madini na muhimu, ikisema baadhi ya masharti yaliyoambatanishwa na makubaliano hayo…
KUTOKANA na kiwango kikubwa anachoendelea kukionesha winga mbongo, Hasnath Ubamba katika kikosi cha FC Masar, uongozi wa klabu hiyo umeanza mchakato wa kumboreshea mkataba wake kabla ya kumalizika mwaka 2027.
Mamia ya waungaji mkono wa uongozi wa serikali ya kijeshi ya Mali Jumamosi walijumuika katika uwanja wa michezo katika mji mkuu, Bamako ili kuthibitisha uungaji mkono wao kwa serikali ya…
Zaidi ya viwanja 300 vilivyotolewa na Serikali kwa wananchi wa Wilaya ya Kusini, Mkoa wa Kusini...
DAR ES SALAAM: Digital investment transactions through the partnership between Mixx by Yas and the Dar es Salaam Stock Exchange (DSE) have surged from 840m/- to 6.9bn/- within a year,…
Mara nyingine mimi huwa najiuliza mwenyewe: “Hivi ndo kweli nishazeeka” Lakini vitabu vya...
Serikali ya Niger imetangaza kusimamisha shughuli za vyombo tisa vya habari vya Ufaransa siku ya Ijumaa, ikieleza kuwa hatua hiyo imechukuliwa kutokana na “usambazaji wa mara kwa mara wa maudhui…
Kamanda wa Kikosi cha Anga cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran (IRGC) amesema makombora ya kisasa pamoja na droni za kivita za Iran tayari zimeelekezwa dhidi…
Mchezaji chipukizi wa tenisi kutoka Iran, Hana Shabanpour, amejiondoa katika fainali ya mashindano ya J60 Turkey World Tour siku ya Jumapili baada ya kukataa kucheza dhidi ya mpinzani aliyekuwa akiwakilisha…
Wakazi wa Kimanga, Dar es Salaam, wataanza kukumbana na adha ya usafiri kuanzia kesho baada ya...
DAR ES SALAAM: Kongamano maalumu lililowakutanisha wanawake kutoka sekta mbalimbali limefanyika ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya Siku ya Mama Duniani, kwa lengo la kujadili na kujifunza masuala mbalimbali yanayohusu…
DAR ES SALAAM: THE Oryx Energies Tanzania’s operations have contributed 1.2tri/- to the nation’s Gross Domestic Product (GDP) over the four-year period from 2021 to 2024. This substantial contribution underscores…
Wengi wa wanandoa, japo si wote, hujiona wao ni bora na sahihi kuliko wenzao. Hii si kweli na...
Wakati dunia ikiadhimisha siku ya mama leo, mijadala ya upendo, heshima na shukrani kwa...
Mara nyingi wengi wetu tumekuwa katika uhusiano na wapenzi wetu lakini hali sio kama ile ya...
Harakati ya Mpambano ya Kiislamu ya Palestina Hamas imelaani ongezeko la uhalifu na ukiukwaji wa haki za wafungwa wanawake wa Kipalestina wanaoshikiliwa katika magereza ya Israel, ikisema kwamba mateso ya…
Katika maisha ya mwanadamu, mapenzi ni hisia ya asili inayotufanya tuhisi kushikamana...