Standard Chartered zakwama mahakamani dhidi ya IPTL
Mahakama Kuu ya Tanzania, Kitengo cha Biashara, Dar es Salaam, imekataa ombi lililowasilishwa...
Mahakama Kuu ya Tanzania, Kitengo cha Biashara, Dar es Salaam, imekataa ombi lililowasilishwa...
Angalau watu 36 wameuawa tangu siku ay Jumanne, Mei 5, katika mashambulizi kadhaa ya waasi wa ADF, wanaohusishwa na kundi la wanajihadi la Islamic State, kaskazini mashariki mwa Jamhuri ya…
Katika mbio za maisha ya kila siku, binadamu amejikuta akijikita zaidi katika kutafuta...
Amos Kimunya anastaafu kutoka siasa baada ya kuondolewa mashtaka ya matumizi mabaya ya ofisi, akiapa kuwapa ushauri vijana na kushiriki uzoefu kutoka kwa kazi yake.
Mendesha boda boda huko Kebirigo, kaunti ya Nyamira alilia sana baada ya pikipiki yake mpya kuibiwa, na kusababisha huruma na hisia kali mtandaoni.
Iran imedai kushambulia meli za kijeshi za Marekani karibu na bandari ya Chabahar kujibu mashambulizi ya Marekani dhdi ya meli zake mbili karibu na Mlango bahari wa Hormuz pamoja na…
Katika miaka ya karibuni, Urusi imetumia makombora ya balistiki ya masafa ya kati kushambulia maeneo nchini Ukraine.
Soma zaidi hapa...
Rais wa DR Congo Félix Tshisekedi amedokeza uwezekano wa kutafuta muhula wa tatu ofisini, akitoa mfano wa kutokuwa na utulivu na ucheleweshaji wa uchaguzi.
Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa... The post Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo…
Wakulima wa Pamba kutoka Wilaya ya Kishapu Mkoani Shinyanga, wameishukuru serikali ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa usaidizi wake mkubwa katika sekta ya kilimo cha Pamba kwa kutoa mbegu,…
🔴JIJI LETU KUTOKA DAR ES SALAAM: MEI 07, 2026 (Feed generated with FetchRSS)
🔴MCHEZO SUPA: KWA NGUVU YA BUKU USIKAE KINYONGE: MEI 07, 2026 (Feed generated with FetchRSS)
"Je haya mafuta wakati suluhisho hili linatafutwa hii akiba ilitumika lini, haya mafuta yaliyopanda bei yametoka wapi na kuna akiba, lakini Serikali inachukua kodi, Serikali Ina mfuko wa dharura, imekabiliana…
"Tunashauri Serikali ipunguze kodi kwa Wafanyabiashara, ikifanya hivyo itapunguza makali ya mafuta,” Furaha Bundala - Mwenyekiti waendesha Bajaji Ilala. Powered by #MCHEZOSUPA JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA: - Tuma 1000…
#MALUMBANO: "Sisi mafuta yanafikia hapa kwetu, hizi kodi nyingi ambazo wameweka, tozo na kodi ndio ambazo zinaleta matatizo kwa sababu sisi mafuta yanafikia hapa, mimi nashauri hizi kodi zingesimama kwanza…
Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar wameitaka Serikali kuongeza nguvu katika kilimo cha...
Familia ya baharia Mchama Maregesi aliyeuawa katika shambulio lililofanywa dhidi ya meli aliyokuwa akifanya kazi kwenye eneo lenye mgogoro wa kiusalama la Mlango wa Hormuz wameiomba serikali kuwasaidia kuupata mwili…
Mwili wa James Temba uliokutwa bila kichwa ukielea kwenye Mto Msimbazi jijini Dar es Salaam umezikwa kijijini kwao Tela Mande -Old Moshi mkoani kilimanjaro. Enos Masanja amehudhuria maziko hayo. Mhariri…
Nahodha wa Real Madrid, Fede Valverde ataukosa mchezo dhidi ya Barcelona ‘El Classico’ Jumapili...
DAR ES SALAAM: Tanzanian opposition politician Doyo Hassan Doyo has called for African countries to strengthen regional political and legal systems while questioning the credibility of global institutions such as…
Gavana wa Kiambu Kimani Wamatangi amedokeza huenda asitafute kuchaguliwa tena kupitia tiketi ya UDA, akipa kipaumbele chaguo za wafuasi na rekodi yake ya maendeleo.
Baadhi ya wananchi wa Manispaa ya Morogoro wameeleza wasiwasi wao kuhusu usalama wa afya...
Wakili wa Rigathi Gachagua, Njeri Maina, aliiambia mahakama kwamba Bunge lilikiuka Katiba wakati wa mchakato wa kumshtaki Gachagua na ushiriki wa umma.
Wadau wa sekta ya ujenzi wa meli nchini wametaka kuwepo kwa udhibiti madhubuti ili kuondoa...
Mwanamume kijana Mkenya amezua mjadala mtandaoni baada ya kusalimisha gari lake kwa benki kihisia wakati marejesho ya mkopo yalipokuwa magumu sana kuyamudu.
Chama cha Mapinduzi (CCM), kimepanga kujifanyia tathmini ili kujiboresha kiutendaji, kimuundo...
Happy Birthday @yusufbakhresa (Feed generated with FetchRSS)
Uteuzi wa Katibu Mkuu wa chama cha NCCR- Mageuzi, Evaline Munisi, kuwa mbunge na naibu waziri...
Mbunge wa Viti Maalumu, Asha Baraka ameiomba Wizara ya Elimu kuangalia upya utaratibu wa elimu...
Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC), limekutana na kufanya kikao na wadau wa ujenzi wa meli jijini Mwanza kwa lengo la kuhamasisha uwekezaji katika ujenzi wa meli na vyombo…
Mwili wa mwanafunzi wa chuo cha usimamizi wa fedha (IFM) JAMES TEMBA aliefariki dunia kwa kukichwa na kisha mwili wake kutupwa mto msimbazi jijini Dar es salaam umezikwa leo nyumbani…
Familia ya baharia Mtanzania, Mchama Mongu aliyefariki dunia baada ya meli aliyokuwa akihudumu...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro limeanza uchunguzi wa tukio la kijana aliyedaiwa kushushwa...
Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma), kimesema badala ya wadau kupinga ripoti ya Tume ya...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Mkoa wa Pwani kimesema kasoro zilizobainishwa...
Mahakama Kuu Masjala Ndogo ya Songea imebatilisha uamuzi wake wa awali uliotolewa Desemba 29...
Leo dunia inaadhimisha siku ya nywila 'password' ikiwa ni kumbukizi na jukwaa la kutoa elimu kuhusu umuhimu wa nywila kwa ajili ya kulinda taarifa muhimu binafsi na za umma ambazo…
Uteuzi wa Katibu Mkuu wa chama cha NCCR- Mageuzi, Evaline Munisi, kuwa mbunge na naibu waziri...
Simba imeuhama Uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo na sasa itautumia Uwanja wa KMC Complex kwa...
Uhaba wa makazi bora na yenye staha nchini umeendelea kuwa changamoto kubwa, huku ikielezwa kuwa Tanzania ina upungufu wa nyumba zaidi ya milioni tatu. Aidha, mahitaji mapya ya nyumba yanakadiriwa…
Mwombolezaji Leah Ngowi, anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 60 mkazi wa Kiboriloni wilayani...
UONGOZI wa Mtibwa Sugar, uko katika hatua za mwisho za kuachana na kocha mkuu wa timu hiyo, Mkenya Yusuf Chippo ikidaiwa ni kutoridhishwa na mwenendo wa kiuchezaji wa kikosi hicho…
UONGOZI wa Mtibwa Sugar, uko katika hatua za mwisho za kuachana na kocha mkuu wa timu hiyo, Mkenya Yusuf Chippo ikidaiwa ni kutoridhishwa na mwenendo wa kiuchezaji wa kikosi hicho…
IKIWA ipo mkiani mwa msimamo wa Ligi Kuu Bara ikikusanya pointi tisa baada ya mechi 21, KMC sasa inaingia kwenye vita ya mwisho ya kujiokoa isishuke daraja zikisalia mechi tisa…
Maumivu ya ongezeko la bei ya nauli sasa yanahamia katika usafiri wa majini kwa watu wanaofanya...
WEKUNDU wa Msimbazi, Simba SC, wametangaza rasmi kuhama kutoka Uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo uliopo Mbweni na kuhamishia michezo yao ya nyumbani kwenye Uwanja wa KMC Complex, Mwenge, Dar es…