Watu wawili wamefariki dunia na wengine 15 wakijeruhiwa kufuatia tukio la vurugu lililotokea alfajiri ya leo mkoani Pwani likihu…
Watu wawili wamefariki dunia na wengine 15 wakijeruhiwa kufuatia tukio la vurugu lililotokea alfajiri ya leo mkoani Pwani likihusishwa na madai ya mgogoro wa ardhi unaodaiwa kudumu kwa muda mrefu…