Serikali yajibu azimio la kamati Bunge la Ulaya kuhusu msaada wa Tanzania
Wakati Kamati za Mambo ya Nje na Maendeleo za Bunge la Ulaya zikipitisha mapendekezo...
Wakati Kamati za Mambo ya Nje na Maendeleo za Bunge la Ulaya zikipitisha mapendekezo...
Oduor Ong'wen, mkurugenzi mtendaji wa ODM, alishiriki kuhusu hali yake ya afya baada ya upasuaji wa ubongo huku wafanyikazi wa Chungwa House wakimtembelea.
Kikosi cha wachezaji 26 wa England tayari kipo Marekani kwa ajili ya kufanya maandalizi ya...
Leo joto kali la mwezi Juni katika barabara za Tehran halikuweza kupunguza hamasa na shauku ya wananchi waliojitokeza kushiriki katika “Ugeni wa Ghadir wa Kilomita 10”.
Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imezindua kampeni ya “Tunakuona Mbali” yenye lengo la kuwawezesha Watanzania kufikia malengo yao ya maendeleo kupitia huduma rasmi za kifedha, huku ikichochea ujumuishaji wa…
Katibu wa Wizara ya Elimu ya Msingi Julius Bitok amewasihi wakuu wa shule kutowalazimishaa wanafunzi mitihani ikiwa hawako tayari kuepiusha wimbi la machafuko.
Kituo cha afya cha Chanika kilichopo wilaya ya Ilala Jijini Dar e salaam kimepata ithibati ya kitaifa na kimataifa ya kutoka Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) baada ya…
DAR ES SALAAM: Tanzanian businesses are expanding across Africa. From agriculture and manufacturing to logistics and services, more companies are entering regional markets, securing new customers and building cross-border partnerships.…
Baadhi ya vijana wa bodaboda na bajaji katika Wilaya ya Karatu mkoani Arusha, wameeleza kuwa...
Watu 871 wanashikiliwa na Polisi Mkoa wa Mbeya kwa tuhuma mbalimbali ikiwepo mauaji, kujeruhi...
Jeshi la Polisi mkoani Njombe linamtafuta Leonola Madilo, mkazi wa Mtaa wa Lunyanywi, kwa...
BAADA ya kuipeleka Tanzania kwenye Fainali za Kombe la Dunia la Vijana chini ya miaka 17 zitakazofanyika nchini Qatar, Kocha Mkuu wa Serengeti Boys, Elieneza Nsanganzelu, amesema kazi kubwa iliyobaki…
Wataalamu wa afya, watunga sera, watafiti na wadau wa sekta ya afya wamesisitiza umuhimu wa...
Jeshi la Polisi Kamisheni ya Zanzibar kupitia Idara ya Upelelezi wa Makosa ya Jinai Zanzibar...
TANZANIA Prisons inaendelea kujifua kwa ajili ya mechi tano zilizobaki, huku kocha mkuu wa timu hiyo Shedrack Nsajigwa akitangaza msako mpya wa pointi tatu kila mchezo ili kuihakikishia timu hiyo…
MENEJA wa timu ya Malindi, Ramadhan Sanga amekubali yaishe kwa timu yake kushuka daraja msimu huu huku akisema wana mikakati madhubuti ya kurejea Ligi Kuu Zanzibar (ZPL). Amesema wanakwenda kucheza…
Wizara ya Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo imeainisha vipaumbele tisa kwa mwaka wa fedha...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imewahukumu Watanzania 35 kulipa faini ya Sh50,000, kila mmoja...
WAKATI Geita Gold ikisaka pointi tatu pekee kurejea tena Ligi Kuu, Kocha Mkuu wa timu hiyo, Zuberi Katwila amesema hataisahau Championship ya msimu huu, huku akifichua siri kwa timu hiyo.
MICHUANO ya Mataifa ya Afrika kwa vijana chini ya miaka 17 (AFCON U17), imefikia tamati Juni 2, 2026, huku ikishuhudiwa Serengeti Boys ikikosa ubingwa baada ya kufungwa na Senegal kwa…
Wakati akiwa bado anatumikia adhabu ya miezi 50 ya kifungo jela, rapa na mfanyabiashara mkubwa...
Maafisa wa upelelezi kutoka EACC walivamia nyumba ya Afisa Mkuu wa Kaunti ya Nairobi, na kupata pesa taslimu KSh 65.3 milioni huku uchunguzi wa ufisadi ukiendelea.
Mashahidi 42 na vielelezo 88 vinatarajiwa kutolewa mahakamani katika kesi ya kusafirisha na...
Katika hatua inayolenga kuunganisha tiba ya uraibu na uwezeshaji wa kiuchumi, Mamlaka ya...
Video iliyopepea inaonyesha muda mfupi kabla ya ajali ya matatu ya Komarock jijini Nairobi, ikiangazia wasiwasi wa dharura juu ya kuendesha gari bila uangalifu
Mchakato wa kumtafuta mwigizaji atakayechukua nafasi ya James Bond umeanza rasmi chini ya...
Rais Samia Suluhu Hassan ametunukiwa Shahada ya Heshima na Chuo Kikuu cha Urafiki wa Watu wa...
Bodi ya Kahawa Tanzania (TCB) imesema itaendelea kushirikiana na wadau wa sekta ya kahawa...
Kauli ya mbunge kupitia Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Mohamed Simai Said mbunge kupitia...
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Mojtaba Khamenei amesema mahasimu wa Iran wamegeukia mbinu za "vita vya mseto" baada ya kushindwa vibaya mbele ya vikosi vya ulinzi vya…
Wananchi wa Iran wa matabaka mbalimbali wameshiriki katika marasimu mbalimbali ya maadhimisho ya kumbukumbu ya mwaka wa 37 tangu kufariki dunia Imam Ruhullah Musavi Khomeini (M.A) Muasisi wa Jamhuri ya…
Wakati mamlaka zikiendelea kuongeza umakini na kuimarisha maandalizi ya kukabiliana na ugonjwa...
Chama cha Mawakala wa Forodha Tanzania (TACAS) kimesema pendekezo la ada ya asilimia 4.5 ya...
Nchini Madagascar, mashauriano ya kitaifa, yaliyoahirishwa mara kwa mara tangu mwanzo wa mwaka, yamesogezwa mbele tena mnamo Juni 3. Kanali Michaël Randrianirina, rais wa sasa wa Madagascar, alitumia fursa ya…
Baraza la mawaziri wa afya wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) limekubaliana kuoanisha...
Shirika la Kimataifa la Nishati ya Atomiki (IAEA) lilisema wakati huo kwamba Iran ndiyo nchi pekee isiyo na silaha za nyuklia duniani iliyofikia kiwango hicho cha juu cha urutubishaji.
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amelaani vikali kuuawa kwa Sajenti Milovan Jovanović, mlinda amani kutoka Serbia aliyekuwa akihudumu katika Kikosi cha Mpito cha Umoja wa Mataifa nchini…
Shirika la Umja wa Mataifa la afya Duniani, WHO, limesema chakula kisicho salama kinaendelea kuwa tishio kubwa kwa afya ya umma duniani, kikisababisha takribani wagonjwa milioni 866 na vifo milioni…
Kufuatia changamoto zinazoongezeka kutokana na mabadiliko ya tabianchi, kupanda kwa gharama za mbolea na ushindani wa masoko ya kikanda, nchi ya Rwanda imeanza kutekeleza mkakati mpya wa kuimarisha sekta ya…
Wakazi wa Kaunti ya Ezo katika jimbo la Equatoria Magharibi nchini Sudan Kusini wameelezea furaha na matumaini mapya baada ya walinda amani wa Umoja wa Mataifa kufanikiwa kufika katika eneo…
Shirika la Umoja wa Mataifa la Mazingira UNEP limesema kuwa licha ya ongezeko la joto duniani kuendelea kutishia sayari, maendeleo ya teknolojia safi yanatoa matumaini mapya katika juhudi za kukabiliana…
Mlinda amani wa Umoja wa Mataifa anayehudumu nchini Lebanon amefariki dunia mapema leo Alhamisi baada ya makombora ya mizinga kulenga eneo lake la kazi karibu na Marjayoun kusini mashariki mwa…
Polisi walifika katika Shule ya Upili ya Alliance mnamo Alhamisi asubuhi na kuanza uchunguzi kubaini kiini cha jaribio la kuchoma taasisi hiyo na washukiwa wakuu.
Nchini Guinea, uteuzi wa maafisa kadhaa katika nafasi mbalimbali unawasilishwa kama kupandishwa cheo, lakini ambalo pia linaweza kutafsiriwa kama kuwaweka mbali baadhi ya maafisa na siasa ya nchi: miongoni mwa…
Faith Koskei alifariki katika ajali ya barabarani akielekea Utumishi Girls Academy. Familia yake ilishiriki huzuni yao na kutaka haki itendeke kufuatia moto huo.
Mashirika ya ndege ya duniani, yanayokutana Brazil kuanzia Juni 6 kwa ajili ya mkutano wao, yana wasiwasi mwingi wa kushiriki kuhusu mustakabali wao wa hivi karibuni: bei kubwa za mafuta,…
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Mohammad Baqer Qalibaf amesema Iran si tena shabaha ya vitisho rahisi vya maadui, akiongeza kuwa uzoefu wa vita viwili vya Marekani…
Shirika kuu la haki za binadamu la Iran limelaani mwenendo wa jamii ya kiimataifa wa kutochukua hatua za kushughulikia uhalifu wa ukatili unaofanywa dhidi ya watoto, likitaka kutiliwa maanani kimataifa…