UN Women: Haiti yafungua nyumba salama kwa wanawake na wasichana manusura wa ukatili
Haiti imefungua makazi yake ya kwanza salama yanayoungwa mkono na serikali kwa jili ya wanawake na wasichana manusura wa ukatili, hatua ambayo Shirika la Umoja wa Mataifa la Masuala ya…