KMC rasmi imeshuka daraja baada ya misimu nane Ligi Kuu
Klabu ya Soka ya Manispaa ya Kinondoni (KMC FC) imeshuka rasmi daraja na itashiriki Ligi ya Champion-ship msimu ujao baada ya kudumu kwa misimu minane mfululizo katika Ligi Kuu Tanzania…
Klabu ya Soka ya Manispaa ya Kinondoni (KMC FC) imeshuka rasmi daraja na itashiriki Ligi ya Champion-ship msimu ujao baada ya kudumu kwa misimu minane mfululizo katika Ligi Kuu Tanzania…
Mke wa Rais Rachel Ruto alionekana akitokwa na machozi wakati wa misa ya kuwaaga wanafunzi 16 wa Utumishi Girls waliopoteza maisha katika moto wa kutisha wa bweni
Taarifa za awali zinaeleza kuwa dereva huyo alihisiwa kubeba dawa za kulevya aina ya mirungi...
Fahamu sababu FIFA waliwachagua Shakira na Burna Boy kutumbuiza ulimwengu kwa wimbo rasmi wa World Cup 2026, Dai Dai, na jinsi unavyobeba ujumbe wa umoja duniani.
Fahamu sababu FIFA waliwachagua Shakira na Burna Boy kutumbuiza ulimwengu kwa wimbo rasmi wa World Cup 2026, Dai Dai, na jinsi unavyobeba ujumbe wa umoja duniani.
Zaidi ya shilingi milioni 300 zimetumika kujenga jengo la wagonjwa wa nje (OPD), maabara, vyoo pamoja na mnara wa maji katika Kituo cha Afya Namwawala kilichopo Halmashauri ya Wilaya ya…
Shirika la kuhudumia viwanda vidogo (SIDO) limelenga kuwafikia vijana zaidi ya 600 kutoka mikoa 26 nchini kwalengo la kuwapa mikopo ili kuendeleza shughuli zao na kujikwamua kiuchumi Akizungumza mkoani Morogoro…
Wanafunzi kutoka vyuo vikuu vitano mkoani Mbeya wanatarajiwa kushiriki mashindano ya ubunifu...
Changamoto ya mikopo na madeni imeibuka kuwa moja ya vichocheo vikubwa vya msongo wa mawazo na...
Mjadala huo unatarajiwa kuwa kiini cha Jukwaa la Mwaka la Mashirika Yasiyo ya Kiserikali (NGOs)...
Hazina ya Taifa imetenga KSh bilioni 428 kwa serikali za kaunti, huku Nairobi ikiongoza kwa kupokea KSh bilioni 22.1. Baini jinsi kaunti mbali mbali zilipata mgao.
Dk Jingu anachukua nafasi ya Profesa Elisante Gabriel ambaye amestaafu utumishi wa umma.
Makole amesema endapo mgonjwa ataanza kutumia dawa bila kufahamu chanzo cha tatizo lake...
Soko la uhamisho la Ligi Kuu limevunjika rekodi, huku Chelsea, Man City, na Liverpool zikiongoza. Gharama za uhamisho zafikia pauni milioni 130 kwa Isak.
Dk Janeth amesema endapo yatatokea majanga yoyote ya kiafya timu hiyo ndiyo itakuwa mstari wa...
Dodoma. Wananchi nchini wametakiwa kuwa waangalifu wanapotoa taarifa zao binafsi kwa taasisi...
Karibu mashirika 100 ya mazingira yametoa wito kwa wenyeji wenza wa mkutano wa hali ya hewa wa COP31 nchi za Uturuki na Australia “kuongoza kwa mfano” kwa kushughulikia utegemezi wao…
Huenda Dunia isingemshuhudia mshambuliaji wa Mexico, Raul Jimenez akifunga bao la pili jana...
Urejeaji wa huduma za ndege unatarajiwa kufungua fursa mpya za biashara, utalii na uwekezaji...
Wamesomewa mashtaka yao na mawakili wawili wa Serikali, Titus Aaron na Cathbert Mbilingi kwa...
Polisi jijini Kinshasa, hivi leo walitumia mabomu ya machozi, risasi za moto na mpira kuwatawanya mamia ya wafuasi wa upinzani waliokuwa wakijaribu kuandamana kuelekea nje ya bunge la kitaifa. Imechapishwa:…
Akizungumza kabla ya kukabidhi tuzo hizo, Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Dk Saitore...
Vyama vya Makandarasi na Watoa Huduma Shirikishi Tanzania (Tucasa) vimetoa maazimio saba ya...
Ruge amebainisha kuwa makosa hayo ni kinyume na kifungu cha 28 (1) cha Sheria ya kuzuia na...
Hatibu wa Swala ya Ijumaa ya leo mjini Tehran amesema: "Adui wa taifa haelewi lugha ya mazungumzo wala lugha ya kusitisha mapigano, bali anaelewa lugha ya mabavu, ambayo majeshi yetu…
Gavana Susan Kihika alimfokea Seneta Tabitha Karanja baada ya seneta huyo kudai maisha zaidi yangeokolewa iwapo kaunri ya Nakuru ingekuwa na magari yake ya zimamoto
Sherehe hizo zimehudhuriwa na viongozi mbalimbali wakiwamo mawaziri, magavana na naibu magavana...
Nyota wa zamani wa soka wa Misri na mchambuzi wa masuala ya michezo, Mohamed Aboutrika, ameibua wimbi kubwa la majibizano na mijadala kwenye mitandao ya kijamii, baada ya kukosoa sera…
DAR ES SALAAM: Bodi ya Mikopo a Elimu ya juu (HESLB) imetoa tuzo kwa taasisi 11 zinazofanya vizuri katika kutoa taarifa za wanufaika wa mikopo hali inayoongeza kasi ya ukasanyaji…
MAREKANI: Serikali ya Tanzania imeeleza mafanikio makubwa iliyoyapata katika kuimarisha ustawi na ujumuishwaji wa watu wenye ulemavu, huku ikisisitiza umuhimu wa kuongeza upatikanaji wa vifaa na teknolojia saidizi ili kuwawezesha…
NEW YORK: TANZANIA has outlined significant progress in advancing the participation, representation, and empowerment of persons with disabilities in leadership and governance structures at a high-level debate held at the…
DODOMA: STUDENTS pursuing a Bachelor’s Degree in Disaster Risk Management at the University of Dodoma (UDOM) have undertaken a field study visit to key government disaster management facilities as part…
Duniani kuna aina zaidi ya 800 ya ng'ombe wa maziwa.Walakini kuna ng’ombe ambao hutoa maziwa kiwango kidogo na wengine kiwango kingi kutegemea na aina zao.
ARUSHA: THE government has renewed its call for strict adherence to integrity and professional ethics within the public service, saying it remains central to effective service delivery and the successful…
DAR ES SALAAM: PRESIDENT Samia Suluhu Hassan has challenged Tanzania’s financial sector to ensure that economic growth delivers tangible improvements in people’s lives, saying banking and monetary reforms should be…
"Nilipoambiwa nichague kiungo chochote cha mwili wa mwanangu nikazike, nilihisi dunia imesimama.
DAR ES SALAAM: THE Higher Education Students’ Loans Board (HESLB) has awarded 11 institutions that perform well in providing information on loan beneficiaries, which speeds up loan collection. Speaking during…
DCI imekanusha madai yaliyopepea mitandaoni yakidai kwamba mwanamume mmoja wa Kihindi alikiri kulipwa KSh 300 milioni ili kumtilia sumu Raila Odinga
ALGERIA: Diplomacy often unfolds through carefully choreographed ceremonies, but occasionally a ceremonial moment signals something more consequential, precisely a strategic intent to redefine and deepen relations between nations. Such was…
DAR ES SALAAM: PRESIDENT Samia Suluhu Hassan has urged the Bank of Tanzania (BoT) to enhance its capacity to anticipate economic trends, warning that rising global political and economic shocks…
MTWARA: MAMLAKA ya Udhibiti Mkondo wa Juu wa Petroli Nchini (PURA) imesema hadi sasa tanzania imeshagundua kiasi cha gesi asilia futi za ujazo trilioni 57.54 katika maeneo mbalimbali nchini ikiwemo…
DAR ES SALAAM: THE country’s gold reserves have climbed to 27.5 tonnes, worth about Sh10trn, marking a strong boost to foreign exchange stability and economic resilience as the Bank of…
Rais wa Iran, Masoud Pezeshkian, amesema kwamba taifa litalinda uhuru na mamlaka yake ya kitaifa licha ya kuongezeka vitisho na mashinikizo.
Misa ya wafu katika Uwanja wa Gilgil iliwaenzi wanafunzi 16 wa Utumishi Girls Academy waliouawa katika moto wa bweni, na kuibua huzuni kubwa za kutoka moyoni.
Migogoro ya ardhi imeendelea kuwa moja ya changamoto kubwa zinazowakabili wananchi, hali...
Katika bajeti hiyo, Serikali imeonesha maeneo ya kimkakati na jinsi ambavyo bajeti hiyo...
Rais wa Nigeria, Bola Ahmed Tinubu, ametangaza leo Ijumaa kwamba "magaidi" wasiopungua 13,000 waliuawa nchini Nigeria mwaka jana, akisisitiza kwamba idadi ya vifo vinavyotokana na uasi wa kutumia silaha nchini…
DAR ES SALAAM: Tanzanian football fans are set to enjoy a range of activities ahead of the FIFA World Cup 2026 as excitement builds towards the global football showpiece. As…
Imani ya Watanzania katika uwekezaji katika masoko ya mitaji Tanzania imeendelea kujidhihirisha...
🔴MEZA HURU: TABIA ZA KUFANIKIWA...JUNI 12, 2026 (Feed generated with FetchRSS)