Ufaransa yafuzu nusu fainali ya kombe la dunia, yaiondoa Morocco
Wachezaji wa timu ya taifa ya Ufaransa, Kylian Mbappe na Ousmane Dembele, usiku wa kuamkia leo walifunga magoli muhimu yaliyotamatisha safari ya wawakilishi pekee wa Afrika waliokuwa wamesalia kwenye fainali…