Eswatini yawapokea wahamiaji 11 waliofukuzwa kutoka Marekani
Serikali ya Eswatini imesema, imewapokea wahamiaji wengine 11 wenye asili ya Afrika, waliofukuzwa kutoka nchini Marekani. Imechapishwa: 09/07/2026 – 16:52 Dakika 1 Wakati wa kusoma Matangazo ya kibiashara Soma yanayofuata…