Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) imemkabidhi mwanautalii na mtangazaji wa vivutio vya utalii wa Oman, Khalid Hamed Al Barwani ‘Ubal…
Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) imemkabidhi mwanautalii na mtangazaji wa vivutio vya utalii wa Oman, Khalid Hamed Al Barwani ‘Ubalozi wa Hiyari wa Utalii wa Tanzania’. Hatua hiyo inafuatia mafanikio…