Magazetini: Ruto amvaa Gachagua, azima madai kuwa ndiye aliyemletea kura za Mlima Kenya 2022
Kagua siasa zinazobadilika Kenya huku mvutano ukiongezeka baada ya vurugu kusambaratisha mkutano wa Linda Mwananchi na kuelekea uchaguzi wa 2027.
Kagua siasa zinazobadilika Kenya huku mvutano ukiongezeka baada ya vurugu kusambaratisha mkutano wa Linda Mwananchi na kuelekea uchaguzi wa 2027.
Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu amedai kwenye Fox News siku ya Jumapili, Julai 5, kwamba baadhi ya vijiji vya Wakristo kusini mwa Lebanon vimeomba Israel “viunganishwe.” Hakuvitaja vijiji hivyo.…
Nchini Mali, kufuatia mashambulizi yaliyoratibiwa katika miji kadhaa siku ya Jumamosi, Julai 4, mapigano yameanza tena Jumapili, Julai 5, katika mji wa kaskazini wa Anéfis kati ya jeshi la Mali—linaloungwa…
Ripoti ya hivi karibuni kutoka kwa Kundi la Wataalamu wa Umoja wa Mataifa kuhusu Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inaangazia kuongezeka kwa mapigano karibu na Minembwe, katika nyanda za juu…
Ushindi huo unaifanya England kufuzu robo fainali ikiwa bado haijapoteza mchezo wowote katika...
Ripoti ya Kundi la Wataalamu wa Umoja wa Mataifa kuhusu Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, iliyowasilishwa kwa Kamati ya Vikwazo ya Umoja wa Mataifa, inatoa tathmini mchanganyiko kuhusu operesheni ya…
Maafisa hao wameonekana kwa wingi katika maeneo mbalimbali ikiwa ni pamoja na kwenye mizunguko ya barabara na mitaa katika jiji kuu la kibiashara la Dar es Salaam na miji mingine.
Iran haitawahi kuacha azma yake ya kutafuta haki na kulipiza kisasi dhidi ya wauaji wa Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu, Shahidi Ayatullah Ali Khamenei (Mwenyezi Mungu amrehemu), zaidi ya miezi…
Msemaji wa harakati ya Muqawama ya Jihad Islami ya Palestina amesisitiza kuhusu “matamanio matukufu” ya Kiongozi Shahidi wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Seyyed Ali Khamenei, akisema kuwa nguvu ya Mhimili…
Shirika la Umoja wa Mataifa la Hali ya Hewa (WMO) limetangaza kuwa hali ya mkondo joto baharini au El Nino imeanza katika ukanda wa kitropiki wa bahari ya Pasifiki na…
Nigeria imesema kuwa raia wake wawili wameuawa nchini Afrika Kusini "wakati ambapo raia wa kigeni wanaendelea kulengwa isivyo haki" nchini humo.
Ujumbe kutoka Algeria ambao ni sehemu ya kamati ya ngazi ya juu ya amani na usalama ya Umoja wa Afrika umewasili nchini Sudan Kusini kutathmini hatua zilizopigiwa katika mpango wa…
Kufuatia mashambulizi mapya yaliyoratibiwa na wanajihadi wa kiislamu na washirika wao waasi wa Tuareg nchini Mali, jeshi la nchi hiyo linaonekana kutishwa zaidi na kutengwa kuliko wakati mwingine wowote katika…
Real Madrid inaandaa ofa kubwa kwa ajili ya Michael Olise, Tottenham inafikiria kumsajili Rafael Leao, huku Newcastle ikimnyatia Angelo Stiller.
Idadi ya kesi zilizothibitishwa za ugonjwa wa Ebola katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) imevuka 1,500 siku ya Ijumaa, baada ya maambukizi mapya zaidi ya 40 kuripotiwa, kulingana na…
Mamia kwa maelfu ya raia wa Iran wakiwemo wageni, hivi leo wanatarajiwa kujitokeza katika barabara ambazo msafara uliobeba mwili wa aliyekuwa kiongozi wa juu wa taifa hilo, Ayatollah Ali Khameni,…
🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI, JULAI 06, 2026 (Feed generated with FetchRSS)
Huko Gitega, Mji mkuu wa kisiasa wa Burundi, mashauriano kati ya viongozi wa upinzani na viongozi wa kidini kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na Rais Évariste Ndayishimiye, ambaye pia…
Shirika la Kimataifa la Uhamiaji (IOM) limetahdharisha kuwa mji wa El-Obeid nchini Sudan, ambao ni makao makuu ya Jimbo la Kordofan Kaskazini, unaweza kukumbwa na hatima sawa na ile iliyoupata…
Haaland alifunga bao la kwanza kwa kichwa dakika ya 80, baada ya kumzidi ubabe beki Gabriel...
Mazishi ya Khamenei ni ukumbusho mwingine wa mabadiliko yaliyoikumba Iran, lakini uongozi wake mpya unalenga nini?
Leo ni Jumatatu tarehe 21 Muharram 1448 Hijiria, sawa na tarehe 16 Julai 2026.
Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa... The post Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo…
Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, amewatoa wasiwasi wananchi kuhusiana na madai dhidi ya matumizi ya fedha za mikopo ya Serikali na kueleza kuwa ushahidi wa matumizi ya mikopo hiyo uko…
Uwekezaji mkubwa uliofanywa na Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika sekta ya elimu umeendelea kuleta matokeo chanya kwa wananchi, huku ujenzi wa Shule…
DODOMA: THE government has reaffirmed its commitment to strengthening the cooperative sector as a key driver of Tanzania’s economic transformation, pledging to deepen reforms aimed at improving governance, expanding digital…
#HABARI: Mrisho Hassan Nambwenya mwenye umri wa miaka 13 mwanafunzi wa kidato cha kwanza shule ya sekondari ya Mikindani, amefariki kwa kuzama Baharini na mwili wake kupatikana baada ya msako…
DAR ES SALAAM: Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) umeendelea kuimarisha juhudi za kupanua wigo wa hifadhi ya jamii nchini kwa kuwahamasisha wananchi waliojiajiri kujiunga na Hifadhi Skimu,…
#HABARI: Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Madini, Msafiri Mbibo, ametembelea Kijiji cha Madini, ambacho kimekuwa gumzo kubwa katika maonesho yanayoendelea ya Kibiashara ya Kimataifa ya Sabasaba na kupata fursa ya…
#HABARI: Viongozi mbalimbali wa dini nchini wamewataka wananchi kuendelea kudumisha amani na mshikamano wakitaifa kwa kutokukubali kufuata mkumbo wa kuhamasishwa kufanya vurugu na matukio ya uvunjifu wa amani ya Julai…
Afisa wa IEBC Betty Rotich alifariki katika ajali kwenye Barabara ya Nakuru-Eldoret. Familia ilisimulia majeraha aliyopata baada ya kuutambua mwili wake.
Jeshi la Polisi limewahakikishia Watanzania kuwa hali ya usalama nchini inaendelea kuwa shwari, huku likisema limeimarisha ulinzi kwa kushirikiana na vyombo vingine vya ulinzi na usalama kuelekea maadhimisho ya Sikukuu…
Chama cha ACT -Wazalendo kimewaasa vijana kufanya siasa za mapambano ya kutafuta haki, lakini...
SERIKALI imezindua Mwongozo wa Mpango Jumuishi wa Usimamizi wa Huduma za Usafi wa Mazingira, ikieleza kuwa hatua hiyo ni sehemu ya jitihada za kuimarisha usafi wa mazingira nchini, kulinda afya…
Makampuni ya Bakhresa Group yamepongeza maboresho ya Maonesho ya 50 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam, Sabasaba, huku yakiwahakikishia wateja kuendelea kupata huduma na taarifa kuhusu bidhaa mbalimbali…
Safari mpya za Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) kati ya Tanzania na Urusi zimeanza kupata mwitikio mkubwa wa abiria, hatua inayotarajiwa kuongeza idadi ya watalii na kuimarisha biashara kati ya…
Dar es Salaam. Rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron na Mkurugenzi wa Shirika la Afya Duniani...
Morocco ilifika Robo Fainali ya Kombe la Dunia la 2026 baada ya kuishinda Kanada 3-0, huku Azzedine Ounahi aking'aa. Gundua mapato yao na mambo muhimu ya mechi.
Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, amesema ujenzi unaoendelea wa barabara za mikoa ya Kusini ni...
Shukuru anadaiwa kumpiga na kitu kinachodhaniwa kuwa na ncha kali mkewe sehemu mbalimbali za...
Dar es Salaam. Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya limewakamata watu wanne, wakiwemo viongozi wa...
Mabao ya Said Naushad na Hijja Shamte yametosha kuiweka mazingira mazuri Mbeya City kufuatia ushindi wa 2-0 dhidi ya Tanzania Prisons katika mchezo wa mtoano 'Play Off' mkondo wa kwanza…
RAIS wa Heshima wa Simba na mwekezaji wa klabu hiyo, Mohamed Dewji 'Mo', amesema mafanikio ya kutwaa Kombe la CRDB yanapaswa kuwa chachu ya kuipeleka timu hiyo kwenye mafanikio makubwa…
DODOMA: THE government has called on cooperative societies to strengthen accountability, embrace digital technologies, and promote youth and women’s participation as part of efforts to build a peaceful and prosperous…
OFISA Habari wa Simba, Ahmed Ally, amefichua kuwa basi lao jipya la kisasa aina ya Iriza lililozinduliwa rasmi leo wakati wa paredi ya ubingwa wa Kombe la CRDB, limegharimu Sh1.5…
NAHODHA wa Simba, Shomary Kapombe amewashukuru mashabiki wa klabu hiyo kwa kujitokeza kwa wingi leo Jumapili katika paredi ya ubingwa wa Kombe la Shirikisho la CRDB, huku akisema sapoti hiyo…