Experts back tax relief measures
DAR ES SALAAM: THE government’s decision to abolish or reduce 374 fees and levies is expected to stimulate business growth, attract investment, create jobs and widen Tanzania’s tax base, economists…
Mining revenue hits 1.338tri/-
DAR ES SALAAM: THE country’s mining sector has generated 1.338tri/- in governmen t revenue this financial year, surpassing the 1.2tri/- target, Minister for Minerals Anthony Mavunde said yesterday. Launching the…
‘No compromise on security’
IKUNGI: PRIME Minister Dr Mwigulu Nchemba has said the government will continue safeguarding peace, security and the nation’s resources, warning that it will not tolerate acts that threaten the country’s…
Serikali imesema haijauza wala haijakabidhi rasilimali za misitu au maliasili za Tanzania kwa mataifa ya nje kupitia makubaliano…
Serikali imesema haijauza wala haijakabidhi rasilimali za misitu au maliasili za Tanzania kwa mataifa ya nje kupitia makubaliano ya biashara ya kaboni, ikisisitiza kuwa hatua zinazoendelea zinalenga kuongeza manufaa ya…
Halmashauri ya Wilaya ya Songea imeweka mikakati ya kutekeleza mapendekezo ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CA…
Halmashauri ya Wilaya ya Songea imeweka mikakati ya kutekeleza mapendekezo ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kwa lengo la kufuta hoja za ukaguzi zilizosalia, kuimarisha uwajibikaji…
CAG Kichere: Rudisheni fadhila shule mlizosoma
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere amewataka Watanzania...
DIPLOMASIA YA MADINI
MAHENGE — Kabla hata mgodi wa kinywe wa Mahenge haujaanza kuzalisha tani moja ya madini, dalili za mabadiliko tayari zinaonekana katika Wilaya ya Ulanga. Zaidi ya wananchi 1,200 waliopisha mradi…
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), leo Juni 27, 2026 imefanya mbio na Matembezi ya Shukrani kwa Mlipakodi katika mikoa yote nchin…
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), leo Juni 27, 2026 imefanya mbio na Matembezi ya Shukrani kwa Mlipakodi katika mikoa yote nchini ikiwa ni sehemu ya shughuli za kuelekea uyoaji wa…
Mtibwa Sugar mguu mmoja ndani Championship, Prisons ikifufuka
Tanzania Prisons imejiweka katika nafasi nzuri ya kupambana kubaki Ligi Kuu Tanzania Bara baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Mtibwa Sugar katika mchezo uliopigwa Uwanja wa…
Vita ya ubingwa Yanga, Simba inavyosubiri majibu ya mwisho
Matokeo hayo yameifanya Yanga iendelee kuongoza msimamo wa Ligi ikifikisha pointi 72 huku Simba...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amewahakikishia wananchi wakiwamo wageni kutoka nje ya nchi, usalama wa kutosha…
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amewahakikishia wananchi wakiwamo wageni kutoka nje ya nchi, usalama wa kutosha katika Maonyesho ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es Salam…
Kilimanjaro yaweka mkakati kumaliza kesi za jinai ndani ya miezi mitatu
Amesema tayari mkoa umeanza kupunguza muda wa usikilizwaji wa mashauri ya jinai hadi chini ya...
Okello akoleza pati la ubingwa, Diarra akibeba tuzo kipa bora
PATI la ubingwa wa tano mfululizo wa Yanga wa Ligi Kuu Bara linazidi kunoga baada ya nyota wa timu hiyo, Allan Okello, kufunga mabao matatu (hat -trick) katika ushindi wa…
Okello akoleza pati la ubingwa, Diarra aongoza kwa ‘Cleen Sheets’
PATI la ubingwa wa tano mfululizo wa Yanga wa Ligi Kuu Bara linazidi kunoga baada ya nyota wa timu hiyo, Allan Okello, kufunga mabao matatu (hat -trick) katika ushindi wa…
Simba yaendelea kukomalia ubingwa, ikiifumua Singida
Simba imeendelea na harakati yake ya kuusaka ubingwa wa Ligi Kuu Bara baada ya kuichapa Singida Black Stars kwa mabao 2-0 katika mchezo uliopigwa leo, Jumamosi, Juni 28, 2026 kwenye…
TFS Shinyanga yaja na utalii wa ikolojia kuongeza mapato
Shinyanga. Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) Shinyanga ameanzisha utalii wa ikolojia...
Tanzania’s shipping industry raises the anchor in style
MWANZA: FOR more than half a century, Tanzania’s national shipping company has ferried passengers and cargo across the country’s Great Lakes, quietly connecting communities, supporting trade and serving as a…
Mwanamke adakwa akituhumiwa kutupa mtoto chooni
Taarifa za awali zinaeleza kuwa mwanamke huyo, ambaye ni mama wa watoto wanne, alikuwa...
Wakulima 17 wameuawa na watu wenye silaha Magharibi mwa Nigeria
Wakulima 17 wameuawa Kaskazini Magharibi mwa nchi ya Nigeria, baada ya kushambuliwa na watu wenye silaha. Imechapishwa: 27/06/2026 – 15:57 Dakika 1 Wakati wa kusoma Matangazo ya kibiashara Soma yanayofuata…
Venezuela: Idadi ya watu waliopoteza maisha katika tetemeko la ardhi yaongezeka
Nchini Venezuela idadi ya watu waliopoteza maisha kutokana na matetemeko mawili ya ardhi yaliyotokea wiki hii jijini Caracas, imefikia karibu Elfu Moja, wakati huu waokoaji wa Kimataifa wakiendelea kutawafuta watu…
Baadhi ya watu wenye ulemavu katika halmashauri ya mji wa mbinga mkoani ruvuma ambao wamenufaika na mkopo wa asilimia 10 unaotok…
Baadhi ya watu wenye ulemavu katika halmashauri ya mji wa mbinga mkoani ruvuma ambao wamenufaika na mkopo wa asilimia 10 unaotokana na mapato ya ndani wametakiwa kuchangamkia fursa ya kuomba…
Ni mwaka mmoja tangu kutiwa saini kwa mkataba wa amani kati ya DRC na Kigali
Hali ya usalama bado ni mbaya, Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, ikiwa ni mwaka mmoja kamili tangu kutiwa saini kwa mkataba wa amani kati ya serikali ya Kinshasa…
Siku moja baada ya Serikali kulielekeza Jeshi la Polisi nchini kusitisha utoaji wa vibali kwa vyama vya siasa kwa ajili ya mikut…
Siku moja baada ya Serikali kulielekeza Jeshi la Polisi nchini kusitisha utoaji wa vibali kwa vyama vya siasa kwa ajili ya mikutano ya hadhara na mikusanyiko mbalimbali, Jumuiya ya Umoja…
Vijana watuzwa Sh30 milioni bunifu za kukabili upotevu wa nishati
Vikundi vitatu vya wabunifu vinavyotoa suluhisho za kupunguza upotevu wa nishati na maji...
South Africa 2026 FIFA World Cup Squads: Full Team Preview
Explore the South Africa 2026 FIFA World Cup squads, key players, possible lineup, tactics, and...
TASAC showcases maritime investment in Algeria, boosts rescue capacity
DAR ES SALAAM: Tanzania is advancing its maritime diplomacy and investment drive as the Tanzania Shipping Agency (TASAC) takes part in the 57th International Algiers Exhibition (FIA 2026), aimed at…
Aliyehukumiwa miaka 15 kwa kukutwa na heroini aachiwa huru
Imeeleza kuwa ucheleweshaji huo ulidhoofisha uaminifu wa ushahidi wa mashahidi wa mashtaka na...
Wazazi CCM waahirisha sherehe kufuatia zuio la mikutano ya hadhara
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dodoma, Maganya amesema tarehe mpya ya sherehe hizo...
TMIC 2026 to boost mining investment in Tanzania
DAR ES SALAAM: PREPARATIONS are underway for the Tanzania Mining Investment Conference (TMIC 2026), a major event expected to attract global investors and strengthen the mining sector’s contribution to Tanzania’s…
Tanzania, Serbia assess progress of their cooperation projects in efforts to bolster economic ties
DAR ES SALAAM: THE Acting Director of the Department for Europe and the Americas at the Ministry of Foreign Affairs and East African Cooperation, Ellen Maduhu, has met and held…
Uhuru Torch Relay launches a 2.6bn/- Magamba tourism project in Tanga
LUSHOTO: THE uhuru Torch Relay leader, Wazo Mwang’onda, has laid the foundation stone for the construction of Magamba Eco Forest Lodge Ltd, a TZS 2.5 b/- eco-tourism project being implemented…
Pasta achana mbuga baada ya kuvamiwa na nyoka ghafla akikemea mapepo katika nyumba ya muumini
Jamaa alitoa KSh 5000 kisha Pasta akaanza maombi huku akizunguka kila pande ya boma hilo. Alipofika nyuma ya nyumba, nyoka walijitokeza ghafla na kumshambulia
Serikali yakumbushwa ubia na sekta binafsi kuimarisha elimu ya amali
Serikali imekumbushwa kuimarisha ushirikiano na sekta binafsi katika utoaji wa elimu ili...
Equity Bank, Sido enters into a strategic partnership to empower entrepreneurs
DAR ES SALAAM: EQUITY Bank Tanzania has joined hands with the Small Industries Development Organization (SIDO) in a bold strategic partnership designed to unlock the full potential of Micro, Small,…
Kadi mpya ya NMB kuwapatia wafanyabiashara mtaji bila dhamana
Kadi hiyo inamwezesha mfanyabiashara kupata mkopo wa hadi Sh50 milioni kulingana na sifa zake...
Morara Kebaso na Mbunge wa Borabu Patrick Osero wakamatana makoti, wazua kitimtim matangani
Morara Kebaso alikuwa akiwahutubia waombolezaji katika kaunti ya Nyamira alipochagua kuilaumu rekodi ya Mbunge wa Borabu Patrick Osero, na kusababisha mapigo.
Psychologists are the missing link in national development
MOROGORO: PSYCHOLOGISTS are increasingly becoming indispensable in protecting the wellbeing of individuals, families and communities as Tanzania navigates a rapidly changing world. Their role extends far beyond treating mental illness.…
Dk Mwinyi ataka mbinu mpya kupambana dawa za kulevya
Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi ameviagiza vyombo vinavyohusika na mapambano ya dawa za...
Muhimbili welcomes children with cleft lip for free specialist treatment
DAR ES SALAAM: MUHIMBILI National Hospital (MNH) has urged parents of children with cleft lip and palate to bring their children for treatment at no cost. To achieve this treatment,…
Araqchi azungumzia makubaliano ya Islamabad na mawaziri wenzake wa mambo ya nje
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araqchi, amefanya mfululizo wa mazungumzo kwa njia ya simu na mawaziri wa kutoka Pakistan, Misri, Falme za Kiarabu (UAE), Uingereza, na Romania,…
Government dismisses resource sale allegations
DODOMA: THE government has dismissed claims that Tanzania has sold or transferred its natural resources through carbon trading agreements, insisting that the framework in place is designed to strengthen regulation…
Iran yakemea hujuma ya Marekani kusini mwa nchi, yaitaja kuwa “ukiukaji wa wazi” wa MoU ya Islamabad
Iran imekemea mashambulizi ya hivi karibuni ya anga ya Marekani dhidi ya maeneo kadhaa kando ya pwani za kusini mwa nchi, ikiyataja kuwa “ukiukaji wa wazi” wa hati ya makubaliano…
Tanzania deepens the use of open source technologies to build digital freedom
NEW YORK: TANZANIA continues to use Open Source Technology as a key tool to accelerate digital transformation in the delivery of public services, build digital freedom and strengthen systems that…
Anne Waiguru azima miyeyusho mitandaoni kwamba mume alimtosa zamani: “Na hii baridi yote”
Anne Waiguru amejibu madai kwamba Kamotho Waiganjo alimwacha. Jubu lake la ucheshi limewaacha wengi mtandaoni wakimsifu na kumtakia mema katika ndoa yake.
Maandamano kote Lebanon kupinga makubaliano yanayoungwa mkono na Marekani na Israel
Maelfu ya wananchi wa Lebanon wamejitokeza mitaani katika miji na maeneo mbalimbali kupinga “makubaliano” yanayoungwa mkono na Marekani kati ya Lebanon na utawala wa Israel, huku wakiyataja kuwa tishio kwa…
Mlipuko wa Ebola waongeza mateso kwa wananchi wa mashariki mwa DRC
Wajumbe wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa wamejulishwa kuwa kuongezeka kwa mapigano, kuzorota kwa hali ya kibinadamu na mlipuko mpya wa Ebola kunazidi kuongeza mateso kwa wananchi wa…
Entrepreneurship, not donations, powers new hope in Iringa
IRINGA: POVERTY, unemployment and limited access to financial services continue to deny thousands of Tanzanians the opportunity to achieve their full economic potential. Across both rural villages and bustling urban…