Mkazi wa Tabata jijini Dar es salaam, Victoria Mkwizu, amejifungua pacha watano wakiwemo wakiume watatu na wa kike wawili
Mkazi wa Tabata jijini Dar es salaam, Victoria Mkwizu, amejifungua pacha watano wakiwemo wakiume watatu na wa kike wawili. Victoria amejifungua watoto hao Jumamosi ya juni 13 2026 katika hospitali…