Ghasia za Oromia zazidi kuathiri raia Ethiopia
Wakati serikali ya Ethiopia ikiendeleza operesheni kali za kijeshi dhidi ya waasi katika eneo la Oromia, mzozo huo unaendelea kuwaathiri pakubwa raia, huku pande zote zikilaumiwa kwa ukiukwaji wa haki…
Wakati serikali ya Ethiopia ikiendeleza operesheni kali za kijeshi dhidi ya waasi katika eneo la Oromia, mzozo huo unaendelea kuwaathiri pakubwa raia, huku pande zote zikilaumiwa kwa ukiukwaji wa haki…
Rais wa Iran Masoud Pezeshkian amemuagiza Waziri wa Mambo ya Nje Abbas Araghchi kufanya "mazungumzo ya haki na usawa" na Marekani.
Waziri wa Usalama wa Ndani nchini Marekani Kristi Noem ametangaza kwamba kila afisa wa Usalama wa Shirikisho aliyeko Minneapolis atalazimika kuvaa camera. Maafisa hao ni pamoja na wa uhamiaji na…
Urusi imeshambulia miundombinu ya nishati ya Ukraine mapema hii leo, na kukata huduma ya usambazaji wa joto kwenye zaidi ya majengo 1,000 ya makazi mjini Kyiv, huku kiwango cha joto…
Ujumbe wa kulinda amani wa Umoja wa Mataifa nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo utapeleka timu yake ya kwanza kutathmini usitishwaji wa mapigano kati ya serikali na waasi wa AFC/M23.
Ujumbe wa kulinda amani wa Umoja wa Mataifa nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo utapeleka timu yake ya kwanza kutathmini usitishwaji wa mapigano kati ya serikali na waasi wa AFC/M23.
Hali ya usalama katika baadhi ya vijiji vya Ukingo wa Magharibi imeendelea kuwa mbaya huku wakaazi wakikabiliwa na ongezeko la vitendo vya uonevu, unyanyasaji na mashambulizi kutoka kwa walowezi wa…
Hali ya usalama katika baadhi ya vijiji vya Ukingo wa Magharibi imeendelea kuwa mbaya huku wakaazi wakikabiliwa na ongezeko la vitendo vya uonevu, unyanyasaji na mashambulizi kutoka kwa walowezi wa…
Wafanyabiashara wa India wanaouza nje bidhaa zao wamelipongeza tangazo la Rais wa Marekani Donald Trump, kuhusu makubaliano ya biashara kati ya Marekani na India, na ahadi ya kupunguza ushuru wa…
Wafanyabiashara wa India wanaouza nje bidhaa zao wamelipongeza tangazo la Rais wa Marekani Donald Trump, kuhusu makubaliano ya biashara kati ya Marekani na India, na ahadi ya kupunguza ushuru wa…
Miji ya Ukraine ya Kiev na Kharkiv kwa mara nyingine imeshambuliwa kwa makombora na droni za Urusi usiku wa kuamkia leo wakati duru ya pili ya mazungumzo ya pande tatu…
Miji ya Ukraine ya Kiev na Kharkiv kwa mara nyingine imeshambuliwa kwa makombora na droni za Urusi usiku wa kuamkia leo wakati duru ya pili ya mazungumzo ya pande tatu…
Rais wa Shirikisho la Soka Duniani FIFA Gianni Infantino amesema anataka marufuku ya miaka minne dhidi ya Urusi kushiriki katika mashindano ya kimataifa iondolewe, akidai hatua hiyo "haijafanikisha chochote."
Rais wa Shirikisho la Soka Duniani FIFA Gianni Infantino amesema anataka marufuku ya miaka minne dhidi ya Urusi kushiriki katika mashindano ya kimataifa iondolewe, akidai hatua hiyo "haijafanikisha chochote."
Mjumbe Maalum wa Rais wa Marekani, Steve Witkoff, anafanya ziara nchini Israel huku kukiwa na ongezeko la mvutano kati ya Marekani na Iran kuhusiana na kitisho cha kukabiliana kijeshi kwa…
Waziri wa Mambo ya Kigeni wa Ujerumani, Johan Wadephul, amekanusha tuhuma za Urusi kwamba uungaji mkono wa nchi yake kwa Ukraine unatokana na kisasi kutokana na kushindwa utawala wa Kinazi…
Mahakama moja nchini Bangladesh imemuhukumu waziri mkuu wa zamani aliyepinduliwa kwa maandamano ya umma, Sheikh Hasina, kifungo cha miaka kumi jela kwa ufisadi wa ardhi.
Idadi ndogo ya Wapalestina wameruhusiwa kurejea kwenye Ukanda wa Gaza kutokea Misri, baada ya kungojea kwa muda mrefu kufunguliwa kwa kituo cha mpakani cha Rafah.
Rais wa zamani wa Marekani, Bill Clinton, amekubali kujitokeza mbele ya Bunge kutoa ushahidi kwenye uchunguzi wa muhalifu wa ngono na ubakaji, Jeffrey Epstein.
Majeshi ya Urusi yameishambulia tena miji miwili mikubwa ya Ukraine mapema leo na kusababisha madhara makubwa kwa majengo na miundombinu ya nishati, lakini hadi sasa hakuna taarifa yoyote ya vifo.
Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Matumaini mapya yaangaza Gaza baada ya kufunguliwa kwa kivuko cha Rafah / Miji ya Ukraine ya Kiev na Kharkiv kwa mara nyingine imeshambuliwa kwa makombora…
Mamlaka ya Kitaifa ya Kudhibiti Ukame (NDMA) imetoa tahadhari kwenye takriban kaunti tisa, huku Kaunti ya Mandera ikiwa katika hatua moja kabla ya kutangazwa rasmi kuwa inakabiliwa na hali ya…
Shirika la habari la Iran Tasnim, limesema waziri wa mambo ya nchi za nje wa taifa hilo Abbas Araghchi, anatarajiwa kukutana na mjumbe maalum wa Marekani Steve Witkoff kwa mazungumzo.
Mkuu wa kamati ya wataalamu iliyoundwa kushughulikia uongozi katika Ukanda wa Gaza Ali Shaath amesema hatua ya Israel kufungua kivuko maalum cha Rafah ni ishara ya matumaini kwa wapalestina wanaoishi…
Rais wa Marekani Donald Trump amesema nchi yake inajadiliana na uongozi wa Cuba ili kufikia makubaliano muhimu.Hata hivyo rais huyo hakueleza zaidi kuhusu makubaliano anayotarajia kupata kutoka huko.
Wakati mvutano kati ya Marekani na Iran ukiendelea kushika kasi, China inaibuka kama mhusika mkuu katika mvutano huo. Je, Beijing itaenda kwa umbali gani kuiunga mkono Iran?
Dirisha la usajili wa majira ya baridi linatarajiwa kufungwa leo Jumatatu katika ligi kubwa za Ulaya, na klabu zina saa machache tu kuboresha vikosi vyao kwa ajili ya hatua za…
Rais wa Iran Masoud Pezeshkian ameagiza kuanza kwa mazungumzo ya nyuklia na Marekani, baada ya Rais Donald Trump wa Marekani kusema alikuwa na matumaini kwamba makubaliano hayo yatafikiwa ili kuepusha…
Ikulu ya Kremlin imethibitisha kuwa duru ijayo ya mazungumzo na Ukraine pamoja na Marekani juu ya uwezekano wa kumalizika kwa vita itafanyika baadaye wiki hii huko Abu Dhabi.
Marekani inaendelea kutawala teknolojia ya akili mnemba, huku China ikiongeza kasi kwa kutengeneza mifumo ya gharama nafuu na kupanga kujenga uchumi unaotegemea Akili Mnemba katika siku zijazo.
Jamii ya Maasai ina utajiri mkubwa wa mila na tamaduni za kiasili. Wanawake wa Kimasai wa Laikipia Kenya, wanauenzi utamaduni huo kwa kuwakaribisha watalii wanaopata fursa ya kuishi kama wao…
Nchini Tanzania, majaji na mahakimu wametakiwa kutokutumia dhana ya uhuru wa mahakama kama kisingizio cha kuficha uzembe, upendeleo au maamuzi yasiyo ya haki wanaposhughulikia kesi mbalimbali.
Kwa mara ya kwanza katika historia Ujerumani inatumia bajeti kubwa zaidi kuliko hapo awali kwenye ununuzi wa silaha na vifaa vya kijeshi, na hii inajumuisha ndege za kivita zisizo na…
Mahakama nchini China imemuhukumu kifungo cha maisha jela aliyekuwa Waziri wa Sheria Tang Yijun baada ya kupatikana na hatia ya kupokea rushwa. Pia imemnyang'anya haki zake za kisiasa na kutaifisha…
Wakati serikali ya Ethiopia ikiendeleza operesheni kali za kijeshi dhidi ya waasi katika eneo la Oromia, mzozo huo unaendelea kuwaathiri pakubwa raia, huku pande zote zikilaumiwa kwa ukiukwaji wa haki…
Kocha mpya wa Eintracht Frankfurt, Albert Riera, ameanza rasmi majukumu yake huku akiahidi kuiboresha timu na kuwarejesha wachezaji katika ubora wao.
Mabasi mengi na treni zinazopita mitaani zimeanza mgomo wa siku nzima wa kitaifa leo Jumatatu nchini Ujerumani, ulioitishwa na chama kikubwa cha wafanyakazi cha Verdi.
Mahakama ya Bangladesh imemhukumu Waziri Mkuu wa zamani Sheikh Hasina, miaka 10 Jela kwa makosa ya ufisadi. Uamuzi huo umetokea wakati serikali ya mpito ikijitayarisha kwa uchaguzi unaoatarajiwa kufanyika Februari…
Waziri wa mambo ya nchi za nje wa Uingereza Yvette Cooper, amesema atatumia ziara yake nchini Ethiopia kuzungumzia mikakati ya kuwazuwia wahamiaji huko kufika Uingereza.
Maafisa wa usalama wa Misri na Israel wamesema kivuko muhimu cha Rafah kinachopakana na Misri Kusini mwa Ukanda wa Gaza, kimefunguliwa.
Iran imesema imewaita mabalozi wote wa Umoja wa Ulaya waliopo ndani ya Jamhuri hiyo ya kiislamu, kupinga hatua ya Umoja huo, kukiorodhesha kikosi maalum cha walinzi mapinduzi kama kundi la…
Iran imesema Jumatatu kwamba inataraji mpango mkakati wa mazungumzo na Marekani kuhusu nyuklia huenda yakakamilika katika siku chache zijazo, wakati Rais Donald Trump akitishia kuivamia kijeshi.
Kivuko cha mpaka cha Rafah kati ya Gaza na Misri kimefunguliwa tena leo kuwezesha kupita kwa muda kwa idadi ndogo ya watu.
Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo inaomboleza kufuatia maafa ya watu zaidi ya 200 yaliyotokea kwenye maporomoko ya tope ya migodi ya Rubaya. Manusura wanatibiwa na familia nyengine zinajiandaa kwa maziko.
Mashambulizi ya droni za Urusi yameua raia na kulenga hospitali nchini Ukraine, huku Ukraine ikishambulia Belgorod nchini Urusi. Haya yanajiri wakati pande hizo mbili zikithibitisha duru nxingine ya mazungumzo nchini…
Jumuiya ya wanawake nchini Uganda imeshtumu vikali utawala wa Uganda chini ya Rais Yoweri Museveni kwa kile wanachotaja kuwa, hila za kuwakandamiza na kuwatesa wanawake wanasiasa na hata wake za…
Zaidi ya watu 300 wanaotambuliwa kama "wafungwa wa kisiasa" wameachiliwa nchini Venezuela ndani ya siku 30 tangu kupinduliwa na kutekwa kwa Rais Nicolas Maduro na majeshi ya Marekani mwezi mmoja…
Israel imesema itaufunguwa tena mpaka muhimu kati ya Ukanda wa Gaza na Misri kupitia kituo cha Rafah hivi leo, siku moja baada ya kutangaza kuakhirisha hatua hiyo.
Waziri wa Mambo ya Kigeni wa Iran, Abbas Araghchi, amesisitiza umuhimu wa kujengeana imani kwa ajili ya mazungumzo na Marekani wakati mataifa hayo mawili yakiwa kwenye mzozo unaotishia vita kamili…
Chama cha Waziri Mkuu wa Japan, Sanae Takaichi, kinatazamiwa kupata ushindi mkubwa kwenye uchaguzi wa wiki ijayo kwa mujibu wa uchunguzi wa maoni uliochapishwa jioni ya Jumapili (Februari 1).