UN yataka kuachiliwa huru wanaharakati wa Global Sumud Flotilla
Umoja wa Mataifa umeitaka Israel iwaachilie mara moja wanaharakati wawili wa meli za misaada ya kibinadamu kwa ajili ya watu wa Ukanda wa Gaza wanaoshikiliwa bila mashtaka; na vilevile kuchunguzwa…