Kukaribia mwisho wa kisiasa wa Starmer na kuzidi kupata nguvu Iran
Pars Today - Magazeti ya Uingereza yameripoti kwa wingi habari inayosisitiza kuwa, kusambaratika kisiasa Waziri mkuu wa nchi hiyo Keir Starmer kumekaribia.
Pars Today - Magazeti ya Uingereza yameripoti kwa wingi habari inayosisitiza kuwa, kusambaratika kisiasa Waziri mkuu wa nchi hiyo Keir Starmer kumekaribia.
Waziri Mkuu wa zamani wa Qatar ameeleza katika mahojiano marefu aliyofanyiwa na televisheni ya Al Jazeera kwamba, Mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran uko mara zaidi hivi sasa kuliko…
Wizara ya Ulinzi ya Iran imesema maadui, Marekani na Uzayuni, wanapaswa kukubali haki halali za taifa la Iran, au wasubiri kushindwa tena katika nyanja za kidiplomasia na katika uwanja wa…
Chuo Kikuu cha Kimataifa cha al-Mustafa kimetangaza kuwa ushiriki, uwezeshaji na ushirikiano wa UAE katika vita vya hivi karibuni vya Marekani na utawala ghasibu wa Israel dhidi ya Iran ni…
Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron anakabiliwa na upinzani mkali baada ya kukatiza kikao cha mjadala katika kongamano la Africa Forward Summit nchini Kenya akiwataka hadhirina wanyamaze kimya.
Viongozi wa imani za dini walifanya maandamano ya amani ya Jumatatu ya Maadili (Moral Monday) nje ya Ikulu ya White House dhidi ya 'vita visivyo vitakatifu' katika eneo la Asia…
Ghana imetangaza kwamba imeanzisha mchakato wa kuwahamisha takriban raia wake 300 kutoka Afrika Kusini kufuatia wimbi la maandamano dhidi ya wageni.
Idadi ya watu waliokimbia makazi yao ndani ya nchi zao kutokana na migogoro na machafuko imeongezeka katika mwaka uliopita ikilinganishwa na watu waliokimbia makazi yao kutokana na majanga ya asili,…
Mshauri wa zamani wa Usalama wa Taifa wa Marekani amesema: Donald Trump, Rais wa nchi hiyo, amenaswa katika mtego wa kujitengenezea mwenyewe wa Iran.
Nyota wa timu ya soka ya Barçelona, Lamine Yamal, alimeonyesha kitendo cha kupigiwa mfano kwa kupeperusha bendera ya Palestina wakati wa sherehe ya ubingwa wa timu hiyo kama ishara ya…
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Sayyid Abbas Araghchi, amesema kuwa msimamo wa Marekani wa kutaka masharti ya kupita kiasi pamoja na mienendo yake mingine inayodhoofisha juhudi za diplomasia…
Rais wa Kenya, William Ruto, ametoa wito kwa Afrika kupewa uanachama wa kudumu katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa, takwa ambalo limeungwa mkono na Katibu Mkuu wa Umoja…
Spika wa Bunge la Iran, Mohammad Bagher Qalibaf, amesema kuwa majeshi ya Jamhuri ya Kiislamu yako katika hali ya juu kabisa ya utayari wa kivita na yako tayari kutoa jibu…
Uchunguzi mpya wa maoni unaonyesha kuwa asilimia 66 Wamarekani wanaamini kuwa Rais Donald Trump ameshindwa kutoa hoja iliyo wazi kuhusu vita vya kichokozi vya na Marekani na Israel dhidi ya…
Mkuu wa Shirika la Hija na Ziara la Iran amesema kuwa takribani Wairani 24,000 tayari wamewasili nchini Saudi Arabia kwa ajili ya ibada ya Hija mwaka huu, ambapo kati yao…
Harakati ya Hizbullah ya Lebanon imesema imefanya operesheni 20 za kijeshi dhidi ya vikosi vamizi vya Israel katika maeneo ya kusini mwa Lebanon, huku mapigano yakiendelea licha ya makubaliano ya…
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa António Guterres amshuhudia uwekezaji mkubwa wa Umoja wa Mataifa wenye thamani ya karibu dola milioni 340 katika ofisi yake katika mji mkuu wa Kenya,…
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araghchi, amejadiliana na mawaziri wa mambo ya nje wa Saudi Arabia na Misri kuhusu maendeleo muhimu katika mchakato wa kidiplomasia kati ya…
Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron amesema Paris haijawahi kufikiria kupeleka vikosi vya kijeshi vya Ufaransa katika Mlango-Bahari wa Hormuz bila uratibu na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, wakati mvutano unaochochewa…
Afisa mwandamizi wa harakati ya Ansarullah nchini Yemen ameonya kuwa Marekani italazimika kubeba dhima ya madhara ya kukataa mapendekezo mapya ya Iran ya kumaliza vita, kufuatia matamshi ya kupinga yaliyotolewa…
Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa anasema kuwa "wafursa" walipanga mashambulizi dhidi ya wahamiaji dhidi ya wageni huku akitaka kuzihakikishia nchi nyingine za Afrika, ambazo zimeelezea wasiwasi wake kuhusu raia…
China imepinga vikali vikwazo vipya vilivyowekwa na Marekani dhidi ya kampuni zake tatu kwa madai ya kusaidia shughuli za kijeshi za Iran, na imeahidi kulinda biashara zake dhidi ya hatua…
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema: Marekani inaendelea kung'ang'ania fikra na mawazo ya utawala wa Israel.
Iran imewasilisha mpango kamili wa kukomesha vita vya uchokozi wa Marekani na Israel, ikisisitiza kulipwa fidia kamili kwa uharibifu wa vita na kuondolewa vikwazo vyote.
Vyombo vya habari vya Kizayuni vimekiri kushindwa jeshi la utawala wa vamizi wa Israel kukabiliana na ndege zisizo na rubani za harakati ya Hizbullah.
Ripoti za kuongezeka vifo baina ya mahujaji waliokwenda Saudi Arabia kutekeleza ibada ya Hija kumezua wasiwasi na taharuki baina ya viongozi na wasimamizi wa ibada hiyo.
Zambia imeishutumu hadharani Marekani kwa kuunganisha kifurushi cha afya kilichopendekezwa cha dola bilioni 2 na matakwa kupewa data na madini na muhimu, ikisema baadhi ya masharti yaliyoambatanishwa na makubaliano hayo…
Mamia ya waungaji mkono wa uongozi wa serikali ya kijeshi ya Mali Jumamosi walijumuika katika uwanja wa michezo katika mji mkuu, Bamako ili kuthibitisha uungaji mkono wao kwa serikali ya…
Serikali ya Niger imetangaza kusimamisha shughuli za vyombo tisa vya habari vya Ufaransa siku ya Ijumaa, ikieleza kuwa hatua hiyo imechukuliwa kutokana na “usambazaji wa mara kwa mara wa maudhui…
Kamanda wa Kikosi cha Anga cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran (IRGC) amesema makombora ya kisasa pamoja na droni za kivita za Iran tayari zimeelekezwa dhidi…
Mchezaji chipukizi wa tenisi kutoka Iran, Hana Shabanpour, amejiondoa katika fainali ya mashindano ya J60 Turkey World Tour siku ya Jumapili baada ya kukataa kucheza dhidi ya mpinzani aliyekuwa akiwakilisha…
Harakati ya Mpambano ya Kiislamu ya Palestina Hamas imelaani ongezeko la uhalifu na ukiukwaji wa haki za wafungwa wanawake wa Kipalestina wanaoshikiliwa katika magereza ya Israel, ikisema kwamba mateso ya…
Kwa uchache watu 70, wengi wao wakiwa raia, wameuawa katika shambulio lililofanywa na watu wenye silaha waliohusishwa na wanamgambo wa CODECO, kaskazini mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
Takwimu zilizorekodiwa katika mipaka ya Iran zinaonyesha kuwa wakati wa vita vya siku 40 vilivyoanzishwa na Marekani na utawala wa Kizayuni dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Wairani 630,000…
Katika hali isiyo ya kawaida na ya nadra kuwahi kushuhudiwa, wajumbe 29 wa Baraza la Wawakilishi la Marekani wamemwandikia barua Waziri wa Mambo ya Nje Marco Rubio wakiitaka Washington ifichue…
Shirika la Ujasusi la Marekani limekiri kuwa Iran ina uwezo wa kuhimili athari za mzingiro wa nchi hiyo kwa miezi kadhaa, na pia ina hifadhi kubwa ya makombora na ndege…
Julius Malema, kiongozi wa chama cha upinzani cha Economic Freedom Fighters (EFF) nchini Afrika Kusini, amemtaka Rais Cyril Ramaphosa wa nchi hiyo ajiuzulu haraka iwezekanavyo na taratibu za kumfungulia mashtaka…
Justin Wolfers, profesa wa uchumi katika Chuo Kikuu cha Michigan, katika makala ya New York Times, amekadiria gharama ya vita vya Marekani dhidi ya Iran kuwa trilioni kadhaa za dola.
Burundi itafanya uchaguzi wa rais Mei 3 mwaka ujao. Habari hiyo ilitangazwa Ijumaa na Tume ya Uchaguzi, wakati wa mkutano uliosusiwa na upinzani.
Mwakilishi wa Bunge la Ulaya ametoa wito wa kufanyika uchunguzi kuhusu mauaji yaliyofanywa na Marekani na Israel dhidi ya wasichana wa Shule ya Msingi ya Minab kusini mwa Iran, akisema…
Kufuatia mlipuko wa virusi vya Hanta au kwa kiingereza Hantavirus kuzua taharuki miongoni mwa umma kufuatia vifo vya watu watatu na wengine kadhaa wanapata matibabu, Shirika la Umoja wa Mataifa…
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Sayyid Abbas Araghchi, ameonya kuwa Marekani hukimbilia hatua za kijeshi za kiholela hasa pale suluhisho la kidiplomasia linapoonekana kuwa karibu, huku akisisitiza kwamba…
Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Masoud Pezeshkian, amesema kuwa ukoloni na unyonyaji havitakuwa na nafasi katika dunia ya kesho, akisisitiza tena dhamira ya Iran ya kuendeleza mahusiano ya…
Gazeti la Kiebrania Ma'ariv limeripoti kwamba Lebanon imekuwa kinamasi cha misukosuko na mawimbi makali, chenye gharama kubwa kwa Israel.
Msemaji wa zamani wa Wizara ya Ulinzi ya Marekani (Pentagon) amefichua kuwa: Majenerali waandamizi wa jeshi la nchi hiyo wana hofu kubwa kuhusu kuzungumzia vita vya maafa dhidi ya Iran.
Mkuu wa Idara ya Kisiasa ya harakati ya Hamas huko Gaza, amethibitisha kuuawa shahidi mwanawe, Azzam na rafiki yake, akisisitiza kuwa: Adui Mzayuni hawezi kupata maafikiano kwenye meza ya mazungumzo…
Wakati mjadala wa mzingiro wa Ukanda wa Gaza na kampeni za kimataifa za kuvunja mzingiro huo wa utawala wa kigaidi wa Israel dhidi ya Wapalestina wa eneo hilo ukiendelea, kundi…
Msemaji wa Kamandi ya Khatam alAnbiya ya Majeshi ya Iran amesema kwamba vikosi vya Iran vimetoa jibu la papo hapo na lenye nguvu kufuatia mfululizo wa mashambulizi ya kijeshi ya…
Rais Masoud Pezeshkian amesimulia kwa kina mkutano wake wa hivi karibuni na Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Seyyed Mojtaba Khamenei, akielezea hali ya kikao hicho pamoja na sifa…
Mwakilishi wa Kudumu wa Russia katika Umoja wa Mataifa, Vasily Nebenzya, amepinga vikali azimio lililopendekezwa na Marekani dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Baraza la Usalama. Amelitaja azimio…