Baada ya Ghana, Nigeria pia yamwita balozi wa Afrika Kusini kuhusu mashambulizi ya chuki dhidi ya wageni
Wimbi jipya la mashambulizi ya chuki dhidi ya wageni, linalowalenga wahamiaji wa Kiafrika na biashara zao huko Afrika Kusini linatishia kuteteresha uhusiano wa nchi hiyo na nchi nyingine za Afrika.