Azimio jipya la Baraza Kuu la UN; Msimamo wa kimataifa dhidi ya utawala wa Kizayuni
Sambamba na Israel kukiuka usitishaji vita katika Ukanda wa Gaza, Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa limepitisha azimio jipya linaloitaka Tel Aviv kutekeleza uamuzi wa Mahakama ya Kimataifa ya Haki…