đź”´HABARI ZA SAA, SAA TATU NA DAKIKA 55….MACHI 16, 2026
đź”´HABARI ZA SAA, SAA TATU NA DAKIKA 55....MACHI 16, 2026
đź”´HABARI ZA SAA, SAA TATU NA DAKIKA 55....MACHI 16, 2026
#HABARI: Mahakama ya Wilaya ya Wanging'ombe Mkoa wa Njombe, imemhukumu kifungo cha miaka 20 jela Moses Batista Msemwa Samsoni (24) Mkazi wa Kijiji cha Mawindi Wanging'ombe, kwa kosa la kujaribu…
#HABARI: Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Nkasi Mkoani Rukwa, Afraha Hassan, amesema Serikali inakusudia kuweka uzio wa umeme wenye thamani ya shilingi Billioni 7 katika Kata tano, zinazozunguka…
đź”´KUMEKUCHA KISHINDO: STADI KWENYE MASOKO KIDIJITALI....MACHI 16, 2026
đź”´HABARI ZA SAA, SAA MBILI NA DAKIKA 55....MACHI 16, 2026
đź”´KUMEKUCHA MICHEZO: YANGA KUSHINDWA KUTAMBA MBELE YA AZAM...MACHI 16, 2026
#HABARI: Moto ambao chanzo chake hakijabainika mara moja, umeteketeza zaidi ya vibanda 20 vya wafanyabiashara katika eneo la Garden lililopo Posta, ndani ya Manispaa ya Iringa. Moto huo ambao umetokea…
đź”´BODABODA AJIRA YA MAELFU YAGEUKA UHALIFU/ SIMBA HAINA MPANGO WA KUMTOA CAMARA
#SWALILAKIPIMAJOTO: Kitendo cha Mkuu wa Mkoa wa Tabora kufuta vibali vyote vya uvunaji wa miti ya uchomaji mkaa mpaka utaratibu endelevu wa kutunza mazingira utakapowekwa. Je, Mikoa mingine iige?"
đź”´TAARIFA YA HABARI ASUBUHI MACHI 16, 2026
‎#HABARI: Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini imekagua Kituo cha Kupokea na Kupoza Umeme cha Mpomvu mkoani Geita leo Machi 15, 2026, ili kuona maendeleo ya miradi…
đź”´TAARIFA YA HABARI SAA MBILI .. MACHI 15, 2026 - MAWASILIANO YA BARABARA KIGOMA, MIKUMI, YAREJEA
‎#HABARI: Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Ukonga, Jerry Silaa, amewaasa waumini wa dini ya Kiislamu kuwalea watoto katika misingi ya kumcha Mungu ili kuwakinga na matendo maovu. Akizungumza katika mashindano…
‎#HABARI: Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati, Dkt. James Mataragio, ameiagiza Mamlaka ya Udhibiti Mkondo wa Juu wa Petroli (PURA) kuimarisha shughuli za utafutaji wa mafuta na gesi asilia ambazo…
‎#HABARI: Majeruhi wa mwisho kati ya 11 waliosalimika kwenye ajali ya boti katika Ziwa Tanganyika, Bwana Lawi Filemoni, ameruhusiwa leo kutoka Hospitali ya Rufaa Maweni mkoani Kigoma. Bwana Filemoni amerejea…
‎#HABARI: Wananchi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga mkoani Pwani wamepongeza hatua ya Serikali kutenga zaidi ya hekari 20,000 katika maeneo matatu kwa ajili ya uanzishaji wa kongani za viwanda.…
".....jingine ambalo tunaipongeza Serikali kupitia kwako Mheshimiwa Waziri baada ya maboresho kumekuwa na ongezeko kubwa sana la mapato, mapato yameongozeka lakini huduma zinazotolewa Kwa wananchi sasa zimekuwa bora, wanaotumia bandari…
"....tunajua sana changamoto ya chuo hiki na tunafahamu umuhimu wa eneo hili kwa upande wa bandari....maamuzi tumeshafanya na TPA wanaenda kuchukua eneo hili na wao ndio wanaenda kujenga chuo huko…
đź”´HAPA NA PALE KUTOKA MOROGORO, MACHI 15, 2026
‎#HABARI: Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC) imeiagiza Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) kuimarisha huduma katika mikoa ya…
‎#HABARI: Mwanamke mmoja mwenye ulemavu na mkazi wa Jiji la Mbeya anayeishi katika mazingira magumu, ametoa ombi la kipekee la kupatiwa mtaji wa shilingi elfu tano ili aweze kuanza biashara…
‎#HABARI: Mbunge wa Kisarawe, Suleiman Jafo, amewataka Watanzania kudumisha amani na mshikamano kama msingi mkuu wa maendeleo ya taifa. Akizungumza kama mgeni rasmi katika mashindano ya 13 ya kuhifadhi Qur’aan…
‎#HABARI: Serikali imepeleka kiasi cha Shilingi Trilioni 1.57 katika Mkoa wa Kilimanjaro kwa ajili ya shughuli za Maendeleo na Huduma kwa wananchi ikiwemo Miradi ya Elimu, Afya, Barabara na Shughuli…
‎#HABARI: Afisa Usafirishaji mkoani Tabora, aliyetambulika kwa jina la Kimwaga Rashid Kimwaga (40), ameuawa na watu wasiojulikana usiku wa kuamkia leo katika mtaa wa Usule, Kata ya Mbugani. Katika tukio…
#HABARI: Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Arusha na Mwenyekiti wa Bunge, Mhe. Cecilia Daniel Paresso, ametoa msaada wa mbao zenye thamani ya shilingi milioni mbili na laki tano kwa…
#HABARI: Mbunge wa Tunduru Kaskazini, Ndugu Ado Shaibu, amekutana na kufanya mazungumzo na wanafunzi wa vyuo vikuu wanaotoka wilayani Tunduru katika kikao kilichofanyika jana Machi 14, 2026, jijini Dodoma. Katika…
#HABARI: Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo imeiagiza Wakala wa Vipimo (WMA) kuhakikisha mita zote za umeme na maji zinahakikiwa kikamilifu kabla ya kufungwa kwa…
#HABARI: Wakazi na Wafanyabiashara wa mazao ya misitu katika Mikoa ya Mtwara, Lindi, na Ruvuma, wameipongeza Serikali kupitia Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) kwa mikakati thabiti ya uhifadhi…
đź”´TAMASHA LA MICHEZO: MACHI 15, 2026
#HABARI: Kufuatia chapisho lililowekwa katika mitandao siku chache zilizopita, clip iliyobeba maombi ya Wananchi wa Vigwaza Pwani kwenda kwa Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu…
#HABARI: Katika kuimarisha mshikamano na mahusiano mema kazini, wanajumuiya wa Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) mkoani Morogoro wamekutana pamoja katika hafla ya Iftar iliyoandaliwa chuoni hapo. Baadhi ya…
#KIPIMAJOTO: “Tafiti Tanzania hapa zimefanyika nyingi kadhaa na serikali kwa kushirikiana na mashirika binafsi wamefanya tafiti kama moja imetoka jana kubwa kuhusiana na hali ya malezi na maendeleo ya awali…
đź”´JIJI LETU KUTOKA DAR ES SALAAM: FEBRUARI 27, 2026
#KIPIMAJOTO: “Ukuaji wa mtoto upo katika vipengele gani?.....Kwanza tunaanza na ukuaji wa kimwili ukuaji wa mwili kwa macho tunaona kila mtu atashuhudia kuongezeka kwa mtoto kimwili…………………..” Powered by #MCHEZOSUPA JINSI…
đź”´MCHEZO SUPA: BADILISHA FEBRUARI YAKO KWA BUKU TU..FEBRUARI 27, 2026
#KIPIMAJOTO: “Malezi yanapishana kama nilivyosikia kwa mtaalam alivyoelezea, mimi binafsi jinsi ninavyolea Watoto wangu kuna muda wa kusoma kuna muda wa kucheza na pia pengine hatukujua hicho kitu…….” Powered by…
#HABARI: Watumishi kutoka Idara na Vitengo mbalimbali vya Wizara ya Nishati wamepongeza kasi kubwa ya utekelezaji wa Mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki (EACOP), ambao sasa umefikia…
#HABARI: Mawasiliano ya Barabara Kati ya Vijiji vya Karema na Itetemya, Kapalamsenga, na Ikola wilayani Tanganyika mkoani Katavi, yamekatika kufuatia mvua iliyonyesha kusomba daraja linalowaunganisha, hali iliyolazimu wananchi kuvuka kwa…
#HABARI: Mvua zilizonyesha majira ya jioni katika maeneo mbalimbali ya Mkoa wa Morogoro, zimesababisha maji kufunika barabara katika eneo la Melela Kololo, kwenye barabara Kuu ya Morogoro – Iringa. Hali…
#HABARI: Viongozi wa Upinzani nchini Kenya wameikosoa Serikali ya Rais William Ruto, baada ya kubainika kuwa kiongozi wa kundi la waasi la Rapid Support Forces la Sudan -RSF, Mohamed Hamdan…
#HABARI: Mamlaka ya Ziwa Victoria na Mamlaka ya Ziwa Tanganyika, Maziwa ambayo yanazungukwa na nchi zaidi ya sita Afirika Mashariki na Kati, wamesaini mkataba wa makubaliano utakaolenga kusaidiana katika maswala…
#KIPIMAJOTO: CHANGAMOTO ZA MALEZI KWA WATOTO HAPA NCHINI. JE, JAMII INAWAJIBIKA IPASAVYO?
#HABARI: Ziara ya Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba Jijini Arusha, imewazindua watendaji na kujikuta wakibaini ujenzi wa shule ya ghorofa usio na vibali na watoto kulazwa katika bweni wakati ujenzi…
"Mfuko wa maendeleo ya Jimbo ulianzishwa kutetea maendeleo ya Majimbo ya uchaguzi, kuanzia mwaka 2020 hadi mwaka 2026 fedha za mfuko wa Jimbo zilizopokelewa Zanzibar ni Tsh. bilioni 8.434, lengo…
đź”´TAARIFA YA HABARI USIKU FEBRUARI 27- 2026 - MAWASILIANO YA BARABARA KATAVI YAKATIKA
#HABARI: Mradi wa maji katika Kijiji cha Nyani, Kata ya Mafizi, umefikia asilimia 70 ya utekelezaji, jambo lililomfanya Mbunge wa Kisarawe, Dkt. Selemani Jafo, kuonyesha kuridhishwa na kasi ya mkandarasi…
#HABARI: Serikali imetoa wito kwa wananchi waliokamilisha taratibu za mirathi na kupata haki zao kurejea mahakamani kufunga rasmi mashauri hayo ili kupunguza mlundikano wa kesi zinazoonekana bado ziko wazi. Naibu…
đź”´HAPA NA PALE KUTOKA NJOMBE, FEBRUARI 27, 2026 -