🔴HABARI ZA SAA, SAA SITA NA DAKIKA 55….MACHI 17, 2026
🔴HABARI ZA SAA, SAA SITA NA DAKIKA 55....MACHI 17, 2026
🔴HABARI ZA SAA, SAA SITA NA DAKIKA 55....MACHI 17, 2026
#KUMBUKIZI: Leo ni Machi 17, 2026, Miaka 5 imetimia tangu kuondoka kwa aliyekuwa Rais wa Awamu ya tano, Hayati Dkt. John Pombe Magufuli. Kwenye video hii, tunamkumbuka akiwa ziarani wilayani…
"Mhe.Magufuli alitufundisha mengi, wengi tunayaishi na tunaendelea kumuenzi na tunaendelea kumuombea," Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Mstaafu (CDF), Jenerali Venance Mabeyo. Powered by #MCHEZOSUPA JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO…
#HABARI: Mahakama ya Wilaya ya Usambara, mkoani Tanga, Machi 16, 2026 imetoa hukumu ya kifungo cha miaka 30 jela kwa mtuhumiwa Nassir Masunga (29), dereva na mkazi wa Kange, baada…
#HABARI: Wakazi wa Kata ya Karema, iliyopo mwambao wa Ziwa Tanganyika mkoani Katavi, wanaojishughulisha na shughuli za uvuvi, kilimo pamoja na biashara, wameeleza matumaini yao makubwa kufuatia ujenzi wa meli…
🔴HABARI ZA SAA, SAA NNE NA DAKIKA 55....MACHI 17, 2026
#KUMBUKIZI: Leo ni Machi 17, 2026 imetimia miaka 5 tangu kuondoka kwa aliyekuwa Rais wa Awamu ya tano, Hayati Dkt. John Pombe Magufuli. Kwenye video hii, tunakumbuka ziara yake mkoani…
#HABARI: Mstahiki Meya Manispaa ya Ubungo, Lawrence Mlaki amekabidhi madawati 2000 katika shule 30 za msingi zilizopo katika manispaa hiyo na shule iliyokabidhiwa kwa niaba ya shule zote ni Shule…
#HABARI: Mwanaume mmoja anayefahamika kwa jina la Kange Hamis (45) mkazi wa Kata ya Kiloleni Manispaa ya Tabora amekamatwa na kushikiliwa na Polisi kwa tuhuma za kutumia majina ya viongozi…
🔴KUMEKUCHA KISHINDO: ..MACHI 17, 2026
Jeshi la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro linamshikilia Mwenyekiti wa Kijiji cha Mlangoni, Wilaya ya Siha, Ezekiel Mloli kwa tuhuma za kumpa ujauzito mwanafunzi wa kidato cha nne katika moja ya…
🔴HABARI ZA SAA, MBILI NA DAKIKA 55....MACHI 17 2026
Rais wa Marekani, Donald Trump, amezihimiza nchi kama China na Japan kushiriki katika kulinda usalama wa Strait of Hormuz, akieleza kuwa Marekani inanufaika kwa kiwango kidogo sana na mafuta yanayopita…
🔴KUMEKUCHA MICHEZO: ....MACHI 17 , 2026
🔴KUMEKUCHA: FURSA ZA UWEKEZAJI MKOA WA TANGA .MACHI 17, 2026
🔴MAGAZETI: MANUSURA AJALI ZIWANI, WASIMULIA DAKIKA ZA KUTISHA ZILIVYOKUWA.MACHI 17 2026
Baadhi ya viongozi wa dini kushirikiana na raia wa kigeni kusambaza vipeperushi vyenye kuhamasisha mapenzi ya jinsi moja. Je, wachukuliwe hatua za kisheria ?
🔴TAARIFA YA HABARI ASUBUHI MACHI 17, 2026
🔴JIJI LETU KUTOKA DAR ES SALAAM: MACHI 16, 2026
🔴MCHEZO SUPA: BADILISHA MACHI YAKO KWA BUKU TU.. MACHI 16, 2026
“Ni kweli sekta binafsi ndio injini ya uchumi, hii inatoa wito kwa mamlaka za Serikali, kuachana na kufanya vitu ambavyo sekta binafsi inaweza ikafanya….”Bw.David Kafulila-Mkurugenzi Mtendaji PPP #Dakika45 Powered by…
“..Kwa taarifa tu, ni kwamba asilimia 14 ya viwanja vya ndege duniani vinaendeshwa kwa utaratibu wa ubia kufikia mwaka 2023...na vinabeba asilimia 40 ya abiria wote duniani ..”Bw.David Kafulila-Mkurugenzi Mtendaji…
“...Mwisho wa siku Serikali inafanya maamuzi kwa niaba ya wananchi, wananchi wakipiga kelele wanapaswa kusikilizwa, kwenye kuwasikiliza inasaidia kule ndani mnapokuwa mnachakata kusikiliza hivi wakosoaji wa jambo hili wao mawazo…
#HABARI: Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia kamati yake ya kudumu Viwanda, Biashara, Kilimo limepongeza mafanikio yaliyotokana na kampeni ya kitaifa ya chanjo na utambuzi wa mifugo nchini…
🔴DAKIKA 45 NA ARETAS LYMO - DAVID KAFULILA - MKURUGENZI WA KITUO CHA UBIA (PPPC)....MACHI 16, 2026
#HABARI: Vyombo vya Dola mkoani Tabora vimesitisha mkutano wa kidini uliopangwa kufanyika Machi 19 hadi 22, uliotarajiwa kuongozwa na kiongozi kutoka Amerika Kaskazini. Hatua hiyo imechukuliwa baada ya kubainika usambazaji…
#HABARI: Wizara ya Maliasili na Utalii, kupitia Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) wilayani Nanyumbu, imetangaza kuwa uzalishaji wa mazao ya nyuki umeimarika kwa kasi na kufikia zaidi ya…
#HABARI: Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Kagera, Bw. Faris Buruhani, amekutana na waendesha bodaboda na wajasiriamali katika Stendi Kuu ya Biharamulo ikiwa ni sehemu ya mwendelezo wa Operesheni ya "Vijana…
"....kwa Wabunge ambao ni wapya kwenye Kamati hii hiki Chuo kina mabadiliko makubwa sana tofauti na kilivyokuwa huko nyuma na mara nyingi Watanzania wengi walipokuwa wanasikia NIT akili yao yote…
#HABARI: Mbunge wa Jimbo la Segerea (CHAUMMA), Mhe. Agnesta Kaiza, ametembelea Kituo cha Watoto Yatima cha Mwana Orphanage jijini Dar es Salaam, na kutoa msaada wa mahitaji mbalimbali yakiwemo chakula,…
#MICHEZO:Tuhuma za timu mbalimbali kuwa na tabia za kupulizia kemikali katika vyumba vya kubadilishia nguo za timu pinzani hazipaswi kupuuzwa. @hoseamchopa kupitia Kambi ya Michezo ya Radio One, amezungumza na…
#HABARI: Watu wawili wamefariki dunia na wengine wanne wa familia moja wamejeruhiwa baada ya kupigwa na radi wakati mvua kubwa inayoendelea kunyesha katika Kijiji cha Kilosa mpepo, wilayani Malinyi mkoani…
#HABARI: Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu, leo Machi 16, 2026 imefanya ziara katika Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania jijini Dar es Salaam (TCAA), na kujionea utendaji kazi…
"....Mheshimiwa Waziri tunaomba umsimamie Mkandarasi yapo malalamiko ya malipo ambayo yanatolewa kwa wafanyakazi ambayo si haki stahiki kwa hiyo ni vizuri mkakaa naye mkaangalia kwa upana mazingira ambayo anawalipa wale…
#HABARI: Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Angellah Kairuki, amesema mdahalo wa wadau kuhusu maji na jinsia ni fursa muhimu ya kuhakikisha wanawake, vijana na makundi maalum wanapata upatikanaji…
🔴HAPA NA PALE KUTOKA , MACHI 16, 2026
#HABARI: Jeshi la Polisi mkoani Morogoro limewakamata watu wawili kwa tuhuma za matukio hatarishi yanayohusisha bastola na kupiga risasi hovyo, yanayohatarisha usalama wa jamii. Kesi ya kwanza imehusisha Ibrahimu Ideva…
🔴MEZAHURU: HUDUMA YA AMBULANCE KWENYE AJALI ..MACHI 16, 2026
🔴HABARI ZA SAA, SAA NANE NA DAKIKA 55....MACHI 16, 2026
🔴HABARI ZA SAA, SAA SABA NA DAKIKA 55....MACHI 16, 2026
#HABARI: Mbunge wa Jimbo la Tunduru Kaskazini, Ado Shaibu Ado, amesema kuna haja ya wananchi wa Tunduru kuungana bila kujali tofauti za vyama vya siasa ili kuondokana na changamoto za…
🔴HABARI ZA SAA, SAA SITA NA DAKIKA 55....MACHI 16, 2026
#HABARI: Mtoto wa Hayati John Pombe Magufuli, Jesca Magufuli @jesca.jmagufuli akiambatana na vijana wa UVCCM wakiongozwa na Naibu Katibu Mkuu Tanzania Bara Mussa Mwakitinya, wametembelea Hospital ya Wilaya Chato, Mkoani…
#HABARI: Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini, Mhe. Subira Mgalu, amesema Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) inaendelea kutekeleza miradi mbalimbali ya kusambaza umeme…
🔴HABARI ZA SAA, SAA TANO NA DAKIKA 55....MACHI 16, 2026
🔴HABARI ZA SAA, SAA NNE NA DAKIKA 55....MACHI 16, 2026
#HABARI: Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Mheshimiwa Paul Christian Makonda, amemtembelea Mkuu wa Majeshi Mstaafu, Jenerali Venance Salvatory Mabeyo, nyumbani kwake jijini Dar es Salaam na kutumia nafasi…
#sisitumeanza @radioonetanzania @capitaldigitaltanzania
#MEZAHURU: Je ni kweli HUDUMA YA AMBULANCE KWENYE AJALI bado Watanzania hawana uelewa huo? -Weka maoni
#HABARI: Rais wa Marekani, Donald Trump, amesema kuwa mataifa mengine yanapaswa kujiunga na juhudi za kufungua Mlango wa Bahari wa Hormuz, akisisitiza kuwa Marekani haina faida ya moja kwa moja…