Mgombea ubunge jimbo la Kigoma Kusini kupitia CCM, Nuru Kashakali, ameahidi kuchimba kisima cha maji kwa fedha binafsi katika ki…
Mgombea ubunge jimbo la Kigoma Kusini kupitia CCM, Nuru Kashakali, ameahidi kuchimba kisima cha maji kwa fedha binafsi katika kijiji cha Katete, kata ya Ilagala, pamoja na kuboresha huduma za…