Taarifa potofu na athari zake kwenye uchaguzi wa Tanzania
Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29 nchini Tanzania unakaribia huku wadau wa habari, wanasiasa na wapiga kura wenyewe wakitahadharisha juu ya taarifa potofu zinazoweza kubadili mtazamo wa watu kuhusu wagombea.