🔴TAARIFA YA HABARI YA USIKU NOVEMBA 11, 2025 -MBUNGE WA ILALA MUSSA ZUNGU ACHAGULIWA SPIKA WA BUNGE
🔴TAARIFA YA HABARI YA USIKU NOVEMBA 11, 2025 -MBUNGE WA ILALA MUSSA ZUNGU ACHAGULIWA SPIKA WA BUNGE
🔴TAARIFA YA HABARI YA USIKU NOVEMBA 11, 2025 -MBUNGE WA ILALA MUSSA ZUNGU ACHAGULIWA SPIKA WA BUNGE
#HABARI: Serikali imeanza kumkata shilingi milioni mbili kila siku mkandarasi anayejenga barabara za lami zenye urefu wa kilometa kumi na saba, zinazogharimu zaidi ya bilioni nane kwa Manispaa ya Geita…
#HABARI: Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Wakili Amon Mpanju amesema Serikali inaendelea kuimarisha mazingira ya utendaji kazi kwa watumishi wa umma…
Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Shinyanga, Dkt. Luzila John amesema mtindo mbaya wa ulaji wa chakula umechangia ongezeko la magonjwa yasiyo ya kuambukiza yanayosababisha vifo vya…
#HABARI: Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam Novemba 25, mwaka huu inatarajia kutoa uamuzi mapingamizi mawili yaliyowasilishwa na mawakili wa upande wa utetezi kwa watuhumiwa 22 waliopanga…
Wadau wa kilimo wamezitaka serikali za Tanzania, Kenya na Uganda kutimiza malengo ya sera za kilimo misitu ili kuwasaidia wananchi wa nchi hizo kuondokana na umaskini na kukabiliana na athari…
🔴HAPA NA PALE KUTOKA TANGA: 11 NOVEMBA, 2025 - WAKULIMA WATUMIA MKOJO WA SUNGURA KUTIBU MNYAUKO
LICHA ya kukusanya pointi nane kwenye mechi sita walizocheza wakishinda mbili, sare mbili na vipigo viwili, Kocha Mkuu wa Mbeya City, Malale Hamsini amelia na washambuliaji na walinzi wa timu…
LICHA ya kukusanya pointi nane kwenye mechi sita walizocheza wakishinda mbili, sare mbili na vipigo viwili, Kocha Mkuu wa Mbeya City, Malale Hamsini amelia na washambuliaji na walinzi wa timu…
NAHODHA wa Mtibwa Sugar, Erick Kyaruzi amesema licha ya kutoruhusu mabao mengi katika mechi tano walizocheza, lakini kuna uhaba wa mabao ya kufunga akieleza kuwa siku 14 walizonazo kabla ya…
WAKATI New Stone Town ikishikilia rekodi ya kupoteza mechi zote saba ilizocheza katika Ligi Kuu Zanzibar (ZPL), Chipukizi imepata ushindi wa kwanza msimu huu.
KOCHA wa 15 de Agosto ya Guinea ya Ikweta, Sinforosa Eyang Nchama amesema anatamani kuandika historia ya kubeba ubingwa akiwa na kikosi hicho kinachoshiriki kwa mara ya kwanza kwenye mashindano…
Mchezaji wa JKT Queens, Elizabeth Chenge amesema msimu huu amepanga kufanya vizuri ili kujihakikishia nafasi ya kucheza kwenye kikosi hicho kilichojaa nyota wakali.
BAADA ya kutoka sare ya bila kufungana dhidi ya Gaborone United ya Botswana kwenye mechi ya kwanza wa Kundi B Ligi ya Mabingwa Afrika kwa Wanawake, JKT Queens sasa wana…
MSHAMBULIAJI wa Yanga Princess, Jeaninne Mukandayisenga amesema kama wachezaji wana kiu ya kunyakua ubingwa wa Ligi Kuu ya Wanawake na kuandika historia kwa mara ya kwanza.
Makamu wa Rais mstaafu, Dkt. Philip Mpango, ameonya kuwa Tanzania inakabiliwa na vitisho vikubwa vinavyotokana na mabadiliko ya tabianchi, ambavyo vinaendelea kuhatarisha maisha ya wananchi na ustawi wa Taifa. Akizungumza…
#HABARI: Wanafunzi 8 wa Shule ya Sekondari Mwembesongo iliyopo Manispaa ya Morogoro, wamekamatwa na Sungungusungu kwa kushirikiana walimu wa shule hiyo kwa madai ya kutoroka na kujificha katika kichaka kilichopo…
BARAZA la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) Novemba 11, 2025 limefanya ziara maalum nyumbani kwa Makamu wa Rais mstaafu Dk Philip Isdor Mpango, eneo la Mayamaya mkoani…
#HABARI: Mbunge wa Tunduru Kaskazini Mh. Ado Shaibu Ado amembana Mbunge wa Ilala, Hassan Zungu juu ya nafasi ya Bunge atakaloliongoza katika kuimarisha demokrasia nchini Tanzania hasa kwa kufufua mchakato…
MKUU wa Mkoa wa Arusha CPA Amos Makalla amekutana na kuzungumza na Balozi Mdogo wa Kenya mkoani humo Balozi David Maina, wakikubaliana kuendelea kuimarisha mahusiano ya pande hizo mbili kupitia…
KURA 378 kati ya kura 383 zilizopigwa zimempa ushindi Mbunge wa Ilala kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mussa Azzan Zungu, kuwa Spika wa nane wa Bunge la Jamhuri…
WAAMUZI wawili kati ya watatu waliochezesha mechi ya Ligi Kuu Zanzibar (ZPL), kati ya Chipukizi na New Stone, Is'haka Yona Thomas (mwamuzi wa kati) na Saleh Khalfan Mohamed (mwamuzi msaidizi…
🔴MEZA HURU- UONGO UNA FAIDA AU HASARA? / NOVEMBA 11, 2025
AFISA Madini Mkazi wa Mkoa wa Simiyu, Mayigi Makolobela, amesema mkoa huo umeendelea kufanya vizuri katika ukusanyaji wa mapato yatokanayo na Sekta ya Madini, ambapo makusanyo ya robo ya kwanza…
#HABARI: Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche, ametoa kauli ya kwanza mara baada ya kukaa mahabusu kwa takriban siku 21. Heche amesema kwa kipindi hicho…
HABARI ZA SAA, SAA SABA NA DAKIKA 55, NOVEMBA 11, 2025
TANGA ni miongoni mwa mikoa ya mwanzo kabisa nchini kuwa na viwanda vikubwa vya uzalishaji tangu miaka ya 1960. Miongoni mwa viwanda hivyo ni Kiwanda cha Saruji cha Tanga, Amboni…
#MEZAHURU: Ni kweli tabia ya kusema UONGO ni tatizo la kisaikolojia au? #SaaTisaKamiliMchana
BAADA ya upangaji wa makundi ya road to BAL Elite 16 kufanyika, wababe wa kikapu nchini, Dar City imeshauriwa kusajili nyota wengine wapya wenye uzoefu ili waisaidie kutimiza lengo la…
Tazama mchakato mzima wa kuchaguliwa kwa Spika wa Bunge la 13 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambapo Mbunge wa Jimbo la Ilala, Mussa Azzan Zungu amefanikiwa kuchaguliwa kuwa Spika.…
Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani (FIFA) limemteua Mtanzania Baraka Kizuguto kuwa Mratibu Mkuu wa mechi za mchujo wa kuwania kufuzu Kombe la Dunia 2026 kwa kanda ya Afrika ambazo…
DODOMA : WABUNGE wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo wameapishwa kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. The post Wabunge waapishwa mjini Dodoma first…
#HABARI: Mbunge Mteule wa Ilala, Mussa Azzan Zungu, ameibuka mshindi wa nafasi ya Spika wa Bunge la 13 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania baada ya kupata kura 378 kati…
DODOMA: Mbunge Mteule wa Jimbo la Ilala, Dar es salaam Mussa Azzan Zungu ameibuka mshindi wa kinyang’anyiro cha Kiti cha Uspika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Zungu…
WADAU mbalimbali wa maendeleo kwa nyakati tofauti wanazungumzia nafasi na umuhimu wa nguvukazi ya vijana kujenga nyumba yao (taifa), badala ya kuibomoa. Katika mazungumzo na gazeti la HabariLEO kwa nyakati…
DODOMA : BUNGE la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limemchagua Mussa Azzan Zungu kuwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania baada ya kupata kura 378 kati ya…
#HABARI: Mbunge Mteule wa Jimbo la Uyole kupitia Chama Cha Mapinduzi Dkt. Tulia Ackson ameibua shangwe Bungeni jijini Dodoma alipokuwa akijitambulisha wakati wa zoezi la wabunge wote kujitambulisha likiendelea leo…
Mbunge wa jimbo la Ilala na aliyekuwa Naibu Spika wa Bunge la 12, Mussa Azzan Zungu amechaguliwa kuwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania baada ya kupitia…
Hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika kwa Wanawake kuendelea leo kwa mechi za Kundi A. FC Masar walipata sare mchezo uliopita wakati De Agosto walipoteza, saa 10:00 jioni timu…
“TUMELETA vifaa vya kisasa na vya kutosha zikiwemo mashine zaidi ya 20 za kuchimba kwenye maji na tumeongeza wataalamu kutoka Ulaya na nchi nyingine za Afrika ili kupata taarifa nzuri…
ARUSHA: Jiji la Arusha linajiandaa kuwa mwenyeji wa Mkutano wa Kwanza wa Afrika wa Akili Mnemba (Africa Premier AI Conference – APAIC 2025) utakaofanyika kuanzia Novemba 24 hadi 27, 2025,…
#HABARI: Mbunge wa Ilala Mussa Zungu akijinadi mbele ya wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuomba ridhaa ya kuchaguliwa kuwa Spika. Katika bunge lililopita, Zungu alikuwa Naibu…
MGOMBEA wa nafasi ya uspika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Democratic Party (DP), Chrisant Ndege ameahidi kuligeuza Bunge hilo kuwa la maendeleo kwa kufanya…
MBEYA: Mwakilishi wa Katibu Tawala wa Mkoa wa Mbeya, Simon Parmet, ameipongeza Wizara ya Nishati kwa kutoa elimu kwa Maofisa Dawati kuhusu matumizi ya nishati safi ya kupikia. Hatua hiyo…
KATIKA gazeti la HabariLEO kuna habari kuhusu biashara ndani ya Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) kupanda hadi kufikia thamani ya Dola za Marekani bilioni 38.2 katika robo ya pili ya…
RIYADH: Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii, Dk Hassan Abbasi akifuatilia mjadala wa matumizi ya akili mnemba (Artificial Inteligence) katika Sekta ya Utalii kwenye Mkutano wa 26 wa Baraza…
🔴BUNGE LA 13 UCHAGUZI WA SPIKA UNAANZA, YUMO ZUNGU NA WENZAKE |NOVEMBA 11, 2025