Kocha Malindi ataka rekodi mpya ZPLÂ
KOCHA Msaidizi wa Malindi, Mohamed Salah ‘Richkard’ amesema mabadiliko iliyofanya timu hiyo msimu wa 2025-2026 yanalenga mambo makuu mawili ambayo ni kuuza wachezaji kimataifa na kuweka rekodi ya kuchukua ubingwa…