Bangili imepotea, Firaz ni kama akili zinaruka, Fuatilia THE PRICE leo saa 3:00 usiku
Bangili imepotea, Firaz ni kama akili zinaruka, Fuatilia THE PRICE leo saa 3:00 usiku. #AzamTWO
Bangili imepotea, Firaz ni kama akili zinaruka, Fuatilia THE PRICE leo saa 3:00 usiku. #AzamTWO
''Sina tuzo hata moja na sijui kwanini'' Sultan Tamba. Usikose kutazama ALAMA kila Alhamisi saa 2:00 usiku kupitia #SinemaZetuHD ukiwa na @sophiamgaz
Mwamuzi wa Kimataifa wa Mali, Boubou Traoré, ameripotiwa kuondolewa katika orodha ya waamuzi watakaosimamia mechi zilizosalia za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2025 zinazoendelea Morocco. Mbali na Traoré, mwamuzi…
Sehemu ya hotuba ya Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan akifungua Kkutano Mkuu wa mwaka wa Chama Cha Mahakimu na Majaji Tanzania (TMJA) Tambukareli jijini Dodoma. #kilichoborakabisa
Devran anataka nusu ya mali, Yusuf na Jemo bado wanasaka kazi. Usikose kutazama 6 of Us leo saa 2:00 usiku. #AzamTWO
Azam Mfaume Julajula - Mkulima wa Korosho na Mwenyekiti wa Chama Kikuu cha Ushirika MAMCU - Mtwara. #LiveOnClouds360 #Clouds26Nyoosha
Ubalozi wa Marekani nchini Iran siku ya Jumatatu umetoa taarifa mtandaoni ya onyo la usafiri ikiwataka raia wa Marekani kuondoka Iran mara moja huku machafuko yakiendelea kusambaa kote nchini humo.…
Azam Mfaume Julajula - Mkulima wa Korosho na Mwenyekiti wa Chama Kikuu cha Ushirika MAMCU - Mtwara akielezea sababu ya kushuka kwa bei ya zao la korosho. #LiveOnClouds360 #Clouds26Nyoosha
Kwanini si kwenye tamthiliya, sikiliza majibu ya Sultan Tamba Usikose kutazama ALAMA kila Alhamisi saa 2:00 usiku kupitia #SinemaZetuHD ukiwa na @sophiamgaz
Unadhani huu ukaribu utazaa mahusiano na hatimaye ndoa Usikose kufuatilia tamthiliya ya The PRICE kila Jumatatu hadi Ijumaa kuanzia saa 3:00 usiku. #AzamTWO
Azam Mfaume Julajula - Mkulima wa Korosho na Mwenyekiti wa Chama Kikuu cha Ushirika MAMCU - Mtwara amesema kuwa kwa zamani wakulima wengi wa Korosho hawakuzingatia maendeleo tofauti naa ilivyo…
Mtaalam wa masuala ya saikolojia, Kalungu Charles, ametaja dalili za unyog’onyevu (Depression) kuwa ni pamoja na kujitenga na watu, hasira za mara kwa mara, kupoteza umakini na hamu ya kula,…
Kiongozi wa upinzani wa Venezuela na mshindi wa Tuzo ya Amani ya Nobel, María Corina Machado, atakutana na Rais Donald Trump siku ya Alhamisi, Ikulu ya Marekani imethibitisha. Ziara hiyo…
Unafahamu kuwa nchi ya Israel lilikuwa jangwa tupu? Wamewezaje kutoka hapo mpaka kuwa kinara wa Kilimo Biashara Fuatilia makala hii iliyoandikwa na kusomwa na @marcel__kitabu #LiveOnClouds360 #Clouds26Nyoosha
Zaidi ya wanafunzi 600 wakiwemo wanaoishi mazingira magumu wa Kata ya Kalangalala Manispaa ya Geita Mkoani Geita wamepatiwa vifaa vya shule na Diwani wa Kata hiyo kwa ajili ya kuanza…
Michuano ya NMB Mapinduzi Cup 2026, yanafikia tamati leo kwa mechi ya fainali kupigwa. AzamFC dhidi ya Yanga SC katika dimba la Gombani Pemba. Mechi hii itachezwa saa 10:30 jioni…
Mapitio ya #MAGAZETI leo januari 13, 2026 kwenye #MorningTrumpet #UTV108 #AzamTVUpdates (Feed generated with FetchRSS)
Hatimaye sura imeonekana, maskini Bala
kuna kitu Admin nimeona vipi nyie mmeona pia🙌
Huyu Devran anaonekana ana msimamo sana #AzamTWO
Kampuni ya Azam Marine leo imezindua rasmi boti yake mpya na ya kisasa ya Kilimanjaro IX, ikiwa ni sehemu ya mkakati wa kampuni hiyo kuboresha huduma za usafiri wa baharini…
Iliwahi kuandikwa katika shairi maarufu 'Kama unataka mali, utaipata shambani', ingawa watu wengi huamini mali hiyo ni mazao pekee lakini fumbo hilo linaweza kuwa na maana ya 'utajiri mtambuka unaojumuisha…
#PichaYanguSeries | Mzee Maega
Matokeo ya upimaji wa taaluma kitaifa kwa wanafunzi wa darasa la nne ka shule za msingi na kidato cha pili kwa shule za sekondari yametakiwa kutumi ana Wizara ya Elimu…
VIKOSI vya Ulinzi na Usalama vya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania na Vikosi Vya Idara Maalimu za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kwa Pamoja vimefanya Matembezi Maalumu ya Kuadhimisha kutimia…
Mbote kwenye kibano cha watesi wake wengine, atajinasuaje? Baba Mussa bado suala la mwanaye linamtesa.
Shangazi Mwaija akajionea vihoja vya kufungia mwaka 😅
Je Bala atafanikiwa kuona sura ya Sophia, Osman ashindwa kujizuia. Ni OTTOMAN kuanzia saa 4:00 usiku , usikose kufuatilia uhondo wa tamthilia hii. #AzamTWO
Wakati leo ikiadhimishwa miaka 62 ya mapinduzi Zanzibar, mabadiliko mengi ya kiuchumi na kijamii yanatajwa kufikiwa ikiwamo maendeleo na haiba ya visiwa hivyo.
Huyo Awadh mwenyewe chizi, ‘mbili kasorobo’ 🤣😅
Huyu Firaz akili zake anazijua yeye, Usikose kufuatilia THE PRICE leo saa 3:00 usiku. #AzamTWO
Ilibidi Bibie acheke tu 🤣😅 #KombolelaSeries #KombolelaSeason2
Karibu uwe sehemu ya kipindi cha Morning Trumpet kwa kuweka comment yako, umewahi kusikia juu kiasi cha juu cha kutunza nyumbani kwako na una maoni gani? Tuandikie maoni yako na…
AFCON NUSU FAINALI Wamebakia wababe wanne.. Je, timu gani kutinga fainali? Kwa kifurushi cha shilingi 28,000 unatazama michezo hii. #AFCON25 #Azamtvsports
Nawanda amemdaka yuleeee aliyemtia fedheha 🙌
Fainali NMB Mapinduzi Cup ni Dar es Salaam Derby, AzamFC dhidi ya Yanga SC. Mechi hii itapigwa Januari 13, 2026. Mechi hii itapigwa kuanzia saa 10:30 jioni na kuruka mbashara…
Serikali ya Zanzibar, kwa kushirikiana na wadau mbalimbali, imeanza kufanya maboresho ya miundombinu ya usafiri wa baharini na kuchochea ukuaji wa uchumi wa visiwa hivyo kupitia ujenzi wa kituo kipya…
''Moja ya deni nililopata baada ya filamu ya #Girlfriend niligundua kuwa watu wanapenda sana hizi filamu'' Sultan Tamba alipokuwa akieleza miongoni mwa ALAMA zake alizowahi kuacha katika tasnia ya Filamu.…
Uwepo wa sokwe mtu pamoja na fukwe za kuvutia katika Hifadhi ya Taifa ya Mahale umeifanya kuwa moja ya vivutio muhimu vya utalii na chanzo kikubwa cha mapato kwa Serikali.…
Hashmet mzee wa kugeuza kibao kwa wengine, Fidan hataki ndoa ya Jemo. Uhondo wa tamthiliya hii ya 6 of Us ni kuanzia saa 2:00 usiku. #AzamTWO
Mmoja wa wapiganaji wakati wa Mapinduzi ya Zanzibar, Mzee Kombo, ameeleza namna alivyoshiriki moja kwa moja katika kufanikisha tukio hilo la kihistoria. Akiwa mfanyakazi wa umeme katika kinu cha Taa…
Huu ndo ulikuwa mwanzo wa Sultani Tamba katika uandishi wa hadithi ambazo zilikuza jina lake. Usikose kutazama ALAMA kila Alhamisi saa 2:00 usiku kupitia #SinemaZetuHD ukiwa na @sophiamgaz
Kampuni ya Azam Marine leo inatarajia kuzindua rasmi boti yake mpya na ya kisasa ya Kilimanjaro IX, ikiwa ni sehemu ya mkakati wa kampuni hiyo kuboresha huduma za usafiri wa…
Mapitio ya #MAGAZETI leo januari 12, 2026 kwenye #MorningTrumpet #UTV108 #AzamTVUpdates (Feed generated with FetchRSS)
#MapinduziDay #AzamTVBurudaniKwaWote (Feed generated with FetchRSS)
Huku kwa Mashavu jamani mbona hatari 😅🙌
Huku kwa Mashavu jamani mbona hatari 😅🙌
Hamad amlilia Mzee Kikala akiomba msamaha 🥶
kuna siri nyingi Melis asizojua #AzamTWO