Rais Putin aapa kujibu shambulio la Ukraine kwenye shule Luhansk
Idadi ya watu waliouawa katika shambulio la Kyiv kwenye shule moja katika eneo la linalokaliwa na Urusi Mashariki mwa Ukraine imefikia 10. Imechapishwa: 23/05/2026 – 13:17 Dakika 1 Wakati wa…
Bruno Fernandez atwaa tuzo ya Mchezaji Bora EPL
Nahodha wa Manchester United, Bruno Fernandes, leo Jumamosi, Mei 23, 2026 ametangazwa kuwa...
Uganda yathibitisha visa vitatu vipya vya Ebola
Uganda imethibitisha visa vitatu vipya ya Ebola, na kufikisha idadi ya watu walioambukizwa kuwa watano tangu kuripotiwa kwa kisa cha kwanza cha Ebola katika taifa hilo la Afrika Mashariki Mei…
Wawakilishi wataka mbinu mpya kutangaza utalii Zanzibar
Mwakilishi wa Wingwi, Kombo Mwinyi Shehe (ACT Wazalendo) amesema ipo haja Serikali kupitia...
Regional drive challenges dangerous pesticide dependency
A MAJOR regional initiative aimed at transforming agricultural practices across East Africa is set to begin through a three-year project focused on reducing dependence on Highly Hazardous Pesticides (HHPs) and…
Baraza la Famasi lasitisha utambuzi wahitimu kozi ya mwaka mmoja
Baraza la Famasi ni taasisi ya Serikali iliyo chini ya Wizara ya Afya, yenye jukumu la kusajili...
Yanga return to league summit
DAR ES SALAAM: YOUNG Africans returned to the top of the Mainland Premier League table after cruising to a convincing 3-0 victory over Singida Black Stars at KMC Complex in…
Alice Riang’a: Matukio ya kihisia yashuhudiwa Kisii wakati mwanafunzi wa JOOUST aliyeuawa akizikwa
Mwanafunzi wa JOOSUT Alice Riang’a, alipatikana ameuawa baada ya kutoweka. Alizikwa katika Kaunti ya Kisii, na kuzua huzuni miongoni mwa familia na marafiki.
Key road projects gain funding boost
DODOMA: THE National Assembly yesterday approved a 2.5tri/- budget for the Ministry of Works after the government outlined plans to accelerate implementation of strategic road projects and strengthen financing mechanisms…
James Orengo adai maisha yake yako hatarini, asema chochote kikimtokea wamuulize IG Kanja
Gavana wa Siaya James Orengo Anadai Maisha Yake Yako Hatarini Baada ya Serikali Kuondoa Walinzi Wake, Akidai Uwajibikaji Kutoka kwa IG wa Polisi.
Govt seeks to ease fuel price pressure
DAR ES SALAAM: THE government is taking measures to ensure that fuel prices do not continue rising at an alarming rate and heavily burden citizens and the overall economy. Minister…
Rais Samia kuzingua programu ya mazingira Dodoma
ARUSHA: Rais wa Dk Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuzindua Programu ya Kitaifa ya Mageuzi ya Kimkakati ya Mazingira Endelevu Tanzania jijini Dodoma katika kilele cha siku ya Mazingira Duniani Juni…
Wadau watahadharisha athari sintofahamu SUK Zanzibar
Wachambuzi wa siasa wanaeleza kuwa kuchelewa kwa makubaliano kati ya Chama cha Mapinduzi (CCM)...
State tightens grip on reserved local business space
DODOMA: THE government has strengthened control over the involvement of foreign nationals in businesses reserved for Tanzanians as part of efforts to protect local enterprises and create more employment opportunities.…
TZ exports hit 26.3tri/-
DODOMA: TANZANIA has registered export earnings of 26.3tri/- over the past year, attributed to continued government efforts to improve the business environment, expand external markets and enhance the competitiveness of…
Pasta ashangiliwa kuwakanyaga shingo viongozi wa ODM Linda Ground, Wetang’ula: “Tumechoka”
Karipio kali la mchungaji katika mazishi ya Mama Doris Okello mjini Kisumu lilizua shangwe, likiwalenga viongozi kuhusu hasira ya umma. Wito ni mabadiliko ya maana.
COLUMN: MIND YOUR LANGUAGE. Pedestrians are also road users
DAR ES SALAAM: The Speech by the Minister for Works when presenting his proposed Budget to Parliament recently, struck a chord with me and my students of “Financing Infrastructure Development”,…
TISEZA requests global football icon to promote Tanzania investment internationally
DAR ES SALAAM: THE Tanzania Investment and Special Economic Zones Authority’s (TISEZA) Director General, Mr Gilead Teri has requested a globally renowned football legend, former England and Manchester United Captain,…
PPAA pushes digital reforms in public procurement
DODOMA: The Public Procurement Appeals Authority (PPAA) is planning to enhance the module for submitting and handling complaints and appeals in the National e-Procurement System of Tanzania (NeST) by integrating…
SUA kutekeleza miradi ya utafiti ya Sh bilioni 3.4
MOROGORO: CHUO Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) kimeanza utekelezaji wa miradi mipya 12 ya utafiti yenye jumla ya thamani ya Sh bilioni 3.4. Miradi hiyo ni yenye lengo la…
Makurutu wa Polisi waliofukuzwa chuoni wawashtaki manyapara wao, wadai waliwapachika mimba
Mawakili Danstan Omari na Shadrack Wambui wanataka mahakama kuingilia kati, wakisema kwamba haki za kazi za mwajiri na haki za kiutawala za haki zilikiukwa.
First specialists from Namtumbo start work: Mantra Tanzania builds the project together with local personnel
NAMTUMBO: One of the largest mining projects in the country’s history is unfolding in southeastern Tanzania. Mantra Tanzania Ltd. – operator of the Mkuju River uranium project and a subsidiary…
Hukumu za Ibada ya Hija- Ihram
Baada ya miaka mingi na kuwa mbali na Makka, Mtume Muhammad (saw) na Masahaba wake walielekea katika eneo hilo kwa ajili ya kufanya ibada ya Umra katika mwaka wa 6…
Mashariki ya Kati: Iran inaishutumu Marekani kwa ‘misimamo inayokinzana’ inayovuruga mazungumzo
Iran imeishutumu siku ya Jumamosi, Mei 23, Marekani kwa kuhujumu mazungumzo ya kukomesha vita kwa “misimamo inayokinzana na madai ya mara kwa mara.” Mambo haya “yanavuruga mchakato wa mazungumzo yanaoongozwa…
Mastaa Bongo wanavyogawana kipato na ndugu
Katika kiwanda cha burudani, mafanikio ya msanii mara nyingi huonekana kupitia jukwaani, kwenye...
Utaratibu usio wa kawaida nyuma ya mafanikio ya Salah
Safari ya Salah inaonyesha kiwango cha kipekee cha kujitolea, uvumilivu na shauku.
Zambia: Sheria mpya za kidijitali zinawatia wasiwasi waandishi wa habari
Nchini Zambia, sheria mpya kuhusu usalama wa mtandaoni na uhalifu wa kimtandao zinasababisha wasiwasi miongoni mwa waandishi wa habari na watetezi wa haki za binadamu. Sheria hizi zilizopitishwa mwezi Aprili…
Alice Riang’a: Mpenzi wa mwanafunzi wa JOOST aliyeuawa ahudhuria maziko, kihisia aomboleza kwa picha
Alice Riang'a, mwanafunzi wa JOOUST aliyeuawa, aliomboleza katika mazishi yake ya hisia huko Kisii, ambapo mpenzi wake alishiriki kumbukumbu za dhati.
Mali: JNIM yashambulia vijiji vitano karibu na Bandiagara, zaidi ya ishirini wauawa
Nchini Mali, vijiji vitano katika mkoa wa Bandiagara, katikati mwa nchi, vimeshambuliwa siku ya Alhamisi alasiri, Mei 21, 2026. Kundi linalodai kuunga mkono Uislamu na Waislamu (JNIM), linalohusishwa na Al…
Drake atema nyongo kupitia albamu zake tatu
Rapa kutokea Canada anayefanya shughuli zake Marekani, Drake (39) ni kama ameamua kutema nyongo...
Aden Duale athibitisha hakuna kisa cha Ebola Kenya, aimarisha utayari katikati ya mlipuko
Waziri wa Afya Aden Duale amethibitisha matokeo hasi ya vipimo vya Ebola kwa washukiwa watatu Kenya, akihimiza umakini mkubwa kutokana na hatari za kikanda.
Govt clears Liganga, Mchuchuma deal
DODOMA: THE government has finalised negotiations with investor Shudao Investment Group Company Limited (SDIG) for the implementation of the long-awaited Liganga Iron Ore and Mchuchuma Coal projects, marking a major…
Jiandaeni kukaza mikanda ni kubaya, Musalia Mudavadi awaonya Wakenya: “Ndio ukweli huo”
Waziri Mkuu Musalia Mudavadi ameonya kuhusu ugumu wa kiuchumi, akitoa mfano wa migogoro ya kimataifa ambayo inaweza kusababisha bei ya juu ya mafuta, mfumuko wa bei.
Mlipuko wa gesi kwenye mgodi wa makaa ya mawe nchini China waua watu 82
Mlipuko wa gesi kwenye mgodi wa makaa ya mawe katika jimbo la kaskazini mwa China la Shanxi umeua watu wasiopungua 82 na makumi ya watu kukwama chini ya ardhi, vyombo…
Magazeti ya Kenya: Madai yaibuka ya mbinu chafu ya Ruto katika mazungumzo kuhusu mgomo wa matatu
Magazeti ya Kenya mnamo Mei 23 yanaonyesha msukosuko wa kisiasa, migomo ya uchukuzi, kuongezeka kwa mvutano wa Muswada wa Fedha, na vizuizi bandia vya polisi.
TFS boosts bee products value chain
TABORA: THE Tanzania Forest Services Agency (TFS) is advancing value addition and marketing of bee products to boost beekeepers’ income and sustain the country’s leading position in Africa’s beekeeping sector.…
Dalali Aliyemliza baba mbele ya watoto wake kwa kupiga mnada malori 2 naye alizwa mahakamani
Mdalali Eliud Chai Wambu amefungwa jela miezi sita kwa kuuza malori 2 ya mfanyabiashara wa Thika Rufus Kiretai kinyume cha sheria ilhali madeni yalikuwa yamelipwa
Nadharia tatu kuhusu uwezekano wa kutokea mwisho wa dunia
Hizi ni baadhi ya nadharia maarufu kuhusu jinsi mwisho wa dunia au ulimwengu unaweza kuwa katika siku za mbali sana zijazo, ikiwa kweli kutakuwa na mwisho kabisa.
Ebola DRC: Hospitali ya CBCA Virunga Goma inajaribu kurekebisha vituo vyake vya afya
Kwa usaidizi wa Shirika lisilo la kiserikali la Medical Corps, taasisi hiyo katika mji mkuu wa mkoa wa Kivu Kaskazini unayodhibitiwa na wasi wa AFC/M23 imeanzisha mzunguko mpya wa kuwapima…
Miaka 10 ya Rosa Ree katika muziki inaongea
Msanii wa Hip Hop Bongo, Rosa Ree, (31), ifikapo Novemba 2026 atasherehekea kutimiza miaka 10...
DRC: Nchi jirani zaweka vikwazo vya usafiri kutokana na ugonjwa unaofanya hali kuwa mbaya zaidi
Katika juhudi za kuzuia kuenea kwa virusi vya Ebola kwa raia wake, Uganda imetangaza kusitisha usafiri wote wa anga na ardhini na nchi jirana ya DRC, huku Rwanda ikiamua kupiga…
Zanzibar tightens Ebola surveillance
ZANZIBAR: THE Zanzibar government has intensified public health surveillance and control measures at all entry points following fresh outbreaks of the Ebola Virus Disease (EVD) reported in the Democratic Republic…
Rubio ajaribu kutuliza Nato juu ya mabadililo ya wanajeshi wake kupelekwa Ulaya
Rubio ameingilia kati baada ya Rais Donald Trump kusema kwamba Marekani itatuma wanajeshi zaidi nchini Poland, wiki moja baada ya mpango wa kupeleka wanajeshi nchini humo kufutwa.
Mali: Raia wanaendelea kuuawa na wanajihadi wa JNIM Tonka, karibu na Timbuktu
Abdoul Salam Maïga, mwalimu wa Quran katika madrasa huko Tonka, amepigwa risasi hadharani na wanajihadi wa JNIM siku ya Alhamisi, Mei 21. Mamo mwezi Novemba mwaka uliyopita, mji huuulioko katikati…
Senegal: Rais Bassirou Diomaye Faye amfuta kazi Waziri Mkuu Ousmane Sonko
Rais wa Senegal Bassirou Diomaye Faye amemfuta kazi Waziri wake Mkuu, Ousmane Sonko, jioni ya Mei 22, 2026. Tangazo hilo lilitolewa kwenye kituo cha televisheni cha RTS muda mfupi kabla…
Katika jiji la Kisumu nchini Kenya, nywele zilizokuwa zikitupwa mitaani na kuchafua mazingira sasa zimegeuka kuwa chanzo cha ubu…
Katika jiji la Kisumu nchini Kenya, nywele zilizokuwa zikitupwa mitaani na kuchafua mazingira sasa zimegeuka kuwa chanzo cha ubunifu na kipato baada ya kundi la wanawake kuzisuka na kutengeneza mikeka…
Hadithi ya msichana aliyebakwa na sheikh aliyekuwa ‘akimtibu’
Kila mara alipomfanyia vibaya msichana, alimwambia asimweleze mtu yeyote, na alikuwa akimfuatilia kwa karibu, akimtisha kwamba baadhi ya watu wa familia yake wangeweza kuumizwa.
Rais Pezeshkian awataka wataalamu wa mahusiano ya umma kuvunja vikwazo vya vyombo vya habari vya Kizayuni
Rais Masoud Pezeshkian anasema wataalamu wa mahusiano ya umma wanapaswa kuchukua jukumu muhimu katika kuongeza uelewa wa umma, ikizingatiwa kwamba vyombo vya habari vya Kizayuni vinawazuia watu kuona na kujua…
Mkuu wa ujasusi wa Trump ajiuzulu kwa mashinikizo ya White House kuhusu vita haramu dhidi ya Iran
Mkurugenzi wa Ujasusi wa Kitaifa (DNI) wa Rais wa Marekani, Donald Trump, Tulsi Gabbard, amejiuzulu kutokana na shinikizo kubwa la Ikulu ya White House baada ya kupinga vikali vita haramu…