Skip to content
  • Tue. Jun 30th, 2026

  • CONTACT US
  • TERMS AND CONDITIONS
  • PRIVACY POLICY
  • LIGI KUU TANZANIA LIVE

Latest Post

Rais Samia: Tuache utegemezi, tujitegemee kwa rasilimali zetu TIPER yakabidhi gawio serikalini Sh Bil 15 Shangwe la ubingwa Yanga Vuta nikuvute Moshi, meya amvaa mbunge kuhusu matumizi ya ardhi Hii hapa sababu Chaumma kumkataa Mwalimu
MWANANCHI

Rais Samia: Tuache utegemezi, tujitegemee kwa rasilimali zetu

June 30, 2026 mjombazecoder
HABARILEO

TIPER yakabidhi gawio serikalini Sh Bil 15

June 30, 2026 mjombazecoder
HABARILEO

Shangwe la ubingwa Yanga

June 30, 2026 mjombazecoder
MWANANCHI

Vuta nikuvute Moshi, meya amvaa mbunge kuhusu matumizi ya ardhi

June 30, 2026 mjombazecoder
MWANANCHI

Hii hapa sababu Chaumma kumkataa Mwalimu

June 30, 2026 mjombazecoder
  • Latest
  • Popular
  • Trending
Rais Samia: Tuache utegemezi, tujitegemee kwa rasilimali zetu
MWANANCHI
Rais Samia: Tuache utegemezi, tujitegemee kwa rasilimali zetu
TIPER yakabidhi gawio serikalini Sh Bil 15
HABARILEO
TIPER yakabidhi gawio serikalini Sh Bil 15
Shangwe la ubingwa Yanga
HABARILEO
Shangwe la ubingwa Yanga
Vuta nikuvute Moshi, meya amvaa mbunge kuhusu matumizi ya ardhi
MWANANCHI
Vuta nikuvute Moshi, meya amvaa mbunge kuhusu matumizi ya ardhi
Cameroon separatists to pause fighting ahead of Pope visit
LTV ENGLISH NEWS
Cameroon separatists to pause fighting ahead of Pope visit
Samia kutunukiwa shahada ya heshima Nigeria
HABARILEO
Samia kutunukiwa shahada ya heshima Nigeria
Klabu ya Fountain Gate FC imethibitisha rasmi kumteua Fred Felix Minziro “Majeshi” kuwa Kocha Mkuu mpya, akichukua nafasi ya Moh…
Klabu ya Fountain Gate FC imethibitisha rasmi kumteua Fred Felix Minziro “Majeshi” kuwa Kocha Mkuu mpya, akichukua nafasi ya Moh…
Trump anakabiliwa na chaguzi ‘mbaya’ au ‘mbaya zaidi’ kuhusu Iran: Jenerali wa IRGC
HABARI ZA KIPEKEE
Trump anakabiliwa na chaguzi ‘mbaya’ au ‘mbaya zaidi’ kuhusu Iran: Jenerali wa IRGC
Rais Samia: Tuache utegemezi, tujitegemee kwa rasilimali zetu
MWANANCHI
Rais Samia: Tuache utegemezi, tujitegemee kwa rasilimali zetu
TIPER yakabidhi gawio serikalini Sh Bil 15
HABARILEO
TIPER yakabidhi gawio serikalini Sh Bil 15
Shangwe la ubingwa Yanga
HABARILEO
Shangwe la ubingwa Yanga
Vuta nikuvute Moshi, meya amvaa mbunge kuhusu matumizi ya ardhi
MWANANCHI
Vuta nikuvute Moshi, meya amvaa mbunge kuhusu matumizi ya ardhi
HABARI ZA KIPEKEE

Ripoti: Watu milioni 83 watalazimika kuhama makazi yao ifikapo mwaka wa 2026

May 13, 2026 mjombazecoder

Idadi ya watu waliokimbia makazi yao ndani ya nchi zao kutokana na migogoro na machafuko imeongezeka katika mwaka uliopita ikilinganishwa na watu waliokimbia makazi yao kutokana na majanga ya asili,…

TUKO SWAHILI NEWS

Alice Riang’a: Upasuaji wa maiti wataja kilichomuua mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha JOOUST

May 13, 2026 mjombazecoder

Matokeo ya uchunguzi wa maiti yanaonyesha Alice Riang'a, mwanafunzi wa JOOUST, alipata jeraha lililosababishwa na kifaa butu. Mpenzi wake yuko kizuizini.

HABARI ZA KIPEKEE

Bolton: Trump amenaswa katika mtego wa kujitengenezea wa Iran

May 13, 2026 mjombazecoder

Mshauri wa zamani wa Usalama wa Taifa wa Marekani amesema: Donald Trump, Rais wa nchi hiyo, amenaswa katika mtego wa kujitengenezea mwenyewe wa Iran.

HABARI ZA KIPEKEE

Yamal apongezwa kwa kupeperusha bendera ya Palestina katika sherehe ya ubingwa wa Barça

May 13, 2026 mjombazecoder

Nyota wa timu ya soka ya Barçelona, Lamine Yamal, alimeonyesha kitendo cha kupigiwa mfano kwa kupeperusha bendera ya Palestina wakati wa sherehe ya ubingwa wa timu hiyo kama ishara ya…

TUKO SWAHILI NEWS

Joy Wanjiru: Maelezo mapya yafichua alipokuwa binti wa Nyeri aliyetoweka wiki 5, sababu ya kutoweka

May 13, 2026 mjombazecoder

Joy Wanjiru yuko salama baada ya kutoweka kwa zaidi ya wiki tano. Aliungana tena na familia yake huku maelezo ya alikokuwa na kwa nini alitoroka nyumbani yakiibuka.

MWANANCHI

Hatima ya Mourinho kurejea Real Madrid kujulikana Jumatatu

May 13, 2026 mjombazecoder

Hatima ya kocha Jose Mourinho kurejea tena Santiago Bernabeu kuinoa Real Madrid, imeendelea...

MWANASPOTI

Dodoma Jiji yapania kuivuruga Yanga kwenye mbio za ubingwa

May 13, 2026 mjombazecoder

BINGWA mtetezi wa Ligi Kuu Bara, Yanga SC, leo anaingia uwanjani ugenini kupambana na Dodoma Jiji, katika mechi yenye hesabu kali.

HABARILEO

Mabaraza ya usuluhishi yatakiwa kutanguliza maridhiano

May 13, 2026 mjombazecoder

KAGERA: Utatuzi wa migogoro kwa njia mbadala (ADR) umeendelea kutajwa kuwa suluhisho muhimu katika kuimarisha amani na mshikamano katika familia na jamii, huku wananchi wakihimizwa kutumia njia za mazungumzo na…

MWANASPOTI

Che Malone atikisa Algeria

May 13, 2026 mjombazecoder

BEKI wa kimataifa wa Cameroon, Che Malone Fondoh, ametajwa kuwa Mchezaji Bora wa Kigeni wa Ligi Kuu ya Algeria 'Algerian Ligue 1' msimu wa 2025-2026, baada ya kuwa na kiwango…

MWANANCHI

Sare ilivyosogeza mbele ubingwa wa Ronaldo Saudi Arabia

May 13, 2026 mjombazecoder

Nyota wa soka duniani, Cristiano Ronaldo, alionekana mwenye majonzi makubwa baada ya ndoto ya...

HABARILEO

Kiswaga atahadharisha mabadiliko tabianchi

May 13, 2026 mjombazecoder

DAR ES SALAAM: Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Maji na Mazingira, Mhe. Jackson Kiswaga, ameeleza kuwa licha ya Serikali kuwekeza kiasi kikubwa cha takriban Sh trilioni 4…

MWANANCHI

MCL yazindua mwongozo wa matumizi ya akili unde katika uhariri

May 13, 2026 mjombazecoder

Mwongozo huo unaweka misingi, kanuni na viwango vya usimamizi vitakavyoongoza matumizi yenye...

IDHAA YA DUNIA RFI SWAHILI

DRC: Marekani inapendekeza muswada kuwaadhibu wale wanaodhoofisha makubaliano ya Washington

May 13, 2026 mjombazecoder

Vikwazo dhidi ya jeshi la Rwanda, vikwazo dhidi ya viongozi wa AFC/M23, vikwazo dhidi ya Joseph Kabila. Vipi ikiwa vikwazo vingekuwa chombo kikuu cha kutekeleza makubaliano ya Washington yaliyosainiwa kati…

TUKO SWAHILI NEWS

Magazeti ya Kenya, Mei 13: Waiguru aonyesha dalili za kushuka wilbaro ya Ruto na kumfuata Gachagua

May 13, 2026 mjombazecoder

Gavana wa Kirinyaga Anne Waiguru ameomba msamaha kutokana na kuondolewa madarakani kwa aliyekuwa Naibu Rais Gachagua, akikiri hali hiyo imeathiri siasa Mlima Kenya.

IDHAA YA DUNIA

Kombe la Dunia 2026: Kibarua kinachoikabili FIFA na Marekani kuhakikisaha ushiriki wa Iran

May 13, 2026 mjombazecoder

Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Marco Rubio tayari amesema wachezaji wa soka wa Iran wanakaribishwa katika mashindano hayo, japo ameonya kuwa watu binafsi walio na uhusiano na IRGC…

MWANANCHI

Sh34 bilioni kusaidia vijana, wanawake Afrika Mashariki

May 13, 2026 mjombazecoder

Hatua hiyo inalenga kuongeza upatikanaji wa huduma jumuishi za kifedha kwa makundi maalum ya...

MWANANCHI

Dalili njema vita ya Urusi na Ukraine, wachambuzi wanena

May 13, 2026 mjombazecoder

Soma hapa...

IDHAA YA DUNIA RFI SWAHILI

Baada ya mkutano wa Nairobi, Emmanuel Macron atua Ethiopia, nchi ‘rafiki’

May 13, 2026 mjombazecoder

Siku moja baada ya mkutano wa kiuchumi kati ya Afrika na Ufaransa jijini Nairobi, rais Emmanuel Macron amewasili Ethiopia leo Jumatano, Mei 13, 2026. Atakutana na Waziri Mkuu Abiy Ahmed,…

LTV ENGLISH NEWS

MPs hail plan for new Muhimbili National Hospital

May 13, 2026 mjombazecoder

DODOMA: MEMBERS of Parliament have welcomed government’s plans to undertake a major transformation of the health sector through the construction of a new Muhimbili National Hospital (MNH), describing it as…

TUKO SWAHILI NEWS

Makubwa: Mwanamke akutwa akiishi, kulala na wanaume 2 katika nyumba moja: “Mmoja ni mumewe”

May 13, 2026 mjombazecoder

Viongozi na wazee wamengilia kati baada ya Judith, anayeishi na waume wawili kukabiliwa na mvutano baada ya kurejea kwa mumewe halali aliyedhaniwa alikufa.

LTV ENGLISH NEWS

New agreement to strengthen food security

May 13, 2026 mjombazecoder

DAR ES SALAAM: FARMERS in major food producing regions are set to benefit from subsidised farming equipment and modern storage technologies following a new partnership between Cooperative Bank Tanzania Plc…

LTV ENGLISH NEWS

Africa eyes shared prosperity

May 13, 2026 mjombazecoder

NAIROBI: TANZANIA has urged African countries to harness their abundant natural resources to build a strong and resilient continental economy, while advocating for global multilateralism that upholds mutual partnerships and…

IDHAA YA DUNIA RFI SWAHILI

Ufaransa kuchukua ‘hatua’ katika UN kuhusu nafasi yake katika Mlango-Bahari wa Hormuz

May 13, 2026 mjombazecoder

Ufaransa itachukua hatua katika Umoja wa Mataifa kupendekeza mfumo wa ujumbe usioegemea upande wowote na wa amani ili kulinda Mlango-Bahari wa Hormuz, Emmanuel Macron ametangaza katika mahojiano na TV5, France…

MWANANCHI

NEMC Yapanda Miti 3,000 Shule za Kibaha Kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi

May 13, 2026 mjombazecoder

Miti 3,000 imepandwa katika shule 10 za msingi na sekondari Wilaya ya Kibaha, Mkoa wa Pwani...

IDHAA YA DUNIA RFI SWAHILI

Mashambulizi kusini mwa Lebanon yaua watu 13, kulingana na Wizara ya Afya

May 13, 2026 mjombazecoder

Wizara ya Afya ya Lebanon imetangaza katika taarifa siku ya Jumanne kwamba watu 13 waliuawa katika mashambulizi ya anga ya Israel yaliyolenga maeneo matatu kusini mwa Lebanon. Imechapishwa: 13/05/2026 –…

IDHAA YA DUNIA RFI SWAHILI

Rais Museveni ameapishwa kuongoza Uganda kwa muhula wa saba

May 13, 2026 mjombazecoder

Nchini Uganda, rais Yoweri Museveni, ambaye amekuwa madarakani kwa miaka 40, ameapishwa tena kuongoza nchi hiyo kwa muhula mwingine wa miaka mitano baada ya kutangazwa mshindi wakati wa uchaguzi mkuu…

MWANANCHI

Vifo vya wakosoaji vinavyolipaka ‘damu’ jina la Paul Kagame

May 13, 2026 mjombazecoder

Soma zaidi hapa...

IDHAA YA DUNIA RFI SWAHILI

Australia iko tayari kujiunga na misheni ya ‘ulinzi mkali’ wa Mlango-Bahari wa Hormuz

May 13, 2026 mjombazecoder

Australia imejitolea kwa misheni ya “isiyo na upande wowote na ya amani” iliyopendekezwa na Ufaransa na Uingereza ili kulinda Mlango-Bahari wa Hormuz, Waziri wa Ulinzi Richard Marles amesema leo Jumatano.…

IDHAA YA DUNIA RFI SWAHILI

China yaitaka Pakistan ‘kuongeza juhudi za upatanishi’ kati ya Iran na Marekani

May 13, 2026 mjombazecoder

Waziri wa Mambo ya Nje wa China Wang Yi ameitaka Pakistan “kuongeza juhudi zake za upatanishi” kati ya Tehran na Washington, shirika la habari la serikali la Xinhua limeripoti. Waziri…

IDHAA YA DUNIA RFI SWAHILI

Washington yatathmini gharama ya vita kwa karibu dola bilioni 29

May 13, 2026 mjombazecoder

Pentagon imetathmini upya gharama ya vita nchini Iran hadi sasa kwa karibu dola bilioni 29 za Marekani, afisa mkuu wa anayehusika na masuala ya fedha ametangaza siku ya Jumanne wakati…

TUKO SWAHILI NEWS

Picha: Yoweri Museveni aapishwa kwa muhula wa 7 mtawalia kuwa rais wa Uganda

May 13, 2026 mjombazecoder

Museveni aapishwa kwa muhula wa saba kama rais wa Uganda huku mwanawe Muhoozi Jukumu muhimu la Kainerugaba katika tukio hilo lazua mjadala wa urithi.

IDHAA YA DUNIA RFI SWAHILI

Mashariki mwa DRC: Baada ya kujiondoa Uvira, AFC/M23 yashikilia ngome yake kuu yaKamanyola

May 13, 2026 mjombazecoder

Kundi la waasi wa AFC/M23 limejiondoa Jumanne, Mei 12, na kupiga kambi umbali wa zaidi ya kilomita 70 kutoka Uvira, jiji lililoko mashariki mwa nchi ambalo ilikuwa imelikalia kwa muda…

IDHAA YA DUNIA RFI SWAHILI

Ghana kuwaondoa raia wake 300 wanaoishi nchini Afrika Kusini

May 13, 2026 mjombazecoder

Ghana imetangaza kuwa itawarudisha raia wake 300-wanaoishi nchini Afrika Kusini, kufuatia ongezeko la visa vya wageni kushambuliwa. Imechapishwa: 13/05/2026 – 06:00Imehaririwa: 13/05/2026 – 06:25 Dakika 1 Wakati wa kusoma Matangazo…

MWANANCHI

NIKWAMBIE MAMA: Elimu sahihi ni nguzo ya maendeleo

May 13, 2026 mjombazecoder

Soma hapa...

TUKO SWAHILI NEWS

Linet Toto alizwa na wimbo wa “2Tam”, video yapepea wakazi wa Bomet wakiimba na kusifu jina lake

May 13, 2026 mjombazecoder

Linet Toto aliangua kilio huku wakazi wa Bomet wakiimba "2Tam" katika video iliyosambaa. Alionyesha uhusiano wake wa kihisia na nia ya kutaka muhula wa pili.

IDHAA YA DUNIA

Trump: lazima tufikie makubaliano na Iran ama tutaiangamiza

May 13, 2026 mjombazecoder

Rais wa Marekani Donald Trump amesema wakati akiondoka kuelekea nchini China kuwa hahitaji msaada wa Beijing kumaliza vita dhidi ya Iran.

MWANANCHI

TADB yazindua mkakati wa kilimo himilivu dhidi ya tabianchi

May 13, 2026 mjombazecoder

Mkakati huo wa TADB Green Agri-Finance Strategy 2025–2027 unalenga kuimarisha kilimo endelevu...

ASTV TANZANIA ITVBONGO

🔴MAGAZETI: .. MEI 13, 2026

May 13, 2026 mjombazecoder

🔴MAGAZETI: .. MEI 13, 2026 (Feed generated with FetchRSS)

TUKO SWAHILI NEWS

Washukiwa wa mauaji ya kasisi Nakuru walimwibia mwathiriwa mwingine KSh 600k kutoka akaunti ya benki

May 13, 2026 mjombazecoder

DCI inawahusisha washukiwa wa mauaji ya kasisi wa PCEA Julius Ndumia na genge maarufu. Inasemekana walimwibia mwathiriwa mwingine KSh 600k kutoka akaunti ya benki.

MWANANCHI

FYATU MFYATUZI: Turidhiane, kuridhika bila kuridhishana

May 13, 2026 mjombazecoder

Soma zaidi hapa...

MWANANCHI

Wadau washauri hatua mpya kudhibiti kelele masokoni -3

May 13, 2026 mjombazecoder

Soma zaidi hapa...

IDHAA YA DUNIA

Waridi wa BBC: Mariam na safari ya kufua kusaka $15,000 za kupandikizwa figo

May 13, 2026 mjombazecoder

Mariam anasema kwamba mama yake yuko tayari wakati wowote kujitolea figo ili kuokoa maisha yake,lakini hadi sasa hajafanikiwa kupata kiasi cha pesa kinachotakiwa ili kufanikisha upandikizaji huo.

IDHAA YA DUNIA

Mariam na safari ya kufua kusaka $15,000 za kupandikizwa figo

May 13, 2026 mjombazecoder

Mariam anasema kwamba mama yake yuko tayari wakati wowote kujitolea figo ili kuokoa maisha yake,lakini hadi sasa hajafanikiwa kupata kiasi cha pesa kinachotakiwa ili kufanikisha upandikizaji huo.

IDHAA YA DUNIA

Je, tunapaswa kuwa na wasiwasi kiasi gani kuhusu hantavirus?

May 13, 2026 mjombazecoder

Abiria kutoka kwa meli ya watalii iliyokumbwa na mlipuko wa virusi vya hantavirus wamehamishwa na kupelekwa katika nchi zao kujitenga na kupokea matibabu ikiwa ni lazima.

ASTV TANZANIA ITVBONGO

Wanaotoa elimu ya afyamitandaoni bila kuwa na vibali vya utaalam wa fani hizo

May 13, 2026 mjombazecoder

Wanaotoa elimu ya afyamitandaoni bila kuwa na vibali vya utaalam wa fani hizo. Je, wadhibitiwe kukomesha uholela katika masuala ya afya za watu ? (Feed generated with FetchRSS)

ASTV TANZANIA ITVBONGO

🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI …MEI 13, 2026

May 13, 2026 mjombazecoder

🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI ...MEI 13, 2026 (Feed generated with FetchRSS)

MWANANCHI

WasafiBet yatoa zawadi kupitia kampeni ya Jet X

May 13, 2026 mjombazecoder

Mwelekeo huo umejidhihirisha kupitia kampeni ya ‘Upendo Unalipa na Jet X’ iliyoendeshwa na...

MWANANCHI

Saa 48 za mshikemshike Chadema Arusha, Mbeya

May 13, 2026 mjombazecoder

Soma zaidi hapa...

HABARI ZA KIPEKEE

Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran: Msimamo wa Marekani ndio kikwazo kikuu kumaliza vita

May 13, 2026 mjombazecoder

Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Sayyid Abbas Araghchi, amesema kuwa msimamo wa Marekani wa kutaka masharti ya kupita kiasi pamoja na mienendo yake mingine inayodhoofisha juhudi za diplomasia…

IDHAA YA DUNIA RFI SWAHILI

Rais Macron atangaza uwekezaji wa Mabilioni ya pesa kwa bara Afrika

May 13, 2026 mjombazecoder

Wito wa kuheshimiana ulitawala Mkutano wa Afrika Forwad kati ya Ufaransa na Kenya, huku Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron akitangaza uwekezaji mpya na kusema uhuru utakuwa muhimu katika ushirikiano ambao…

Posts pagination

1 … 150 151 152 … 1,022

Recent Posts

  • Rais Samia: Tuache utegemezi, tujitegemee kwa rasilimali zetu
  • TIPER yakabidhi gawio serikalini Sh Bil 15
  • Shangwe la ubingwa Yanga
  • Vuta nikuvute Moshi, meya amvaa mbunge kuhusu matumizi ya ardhi
  • Hii hapa sababu Chaumma kumkataa Mwalimu

Recent Comments

  1. EdithUrili on Cameroon separatists to pause fighting ahead of Pope visit
  2. Nancyurike on Cameroon separatists to pause fighting ahead of Pope visit
  3. ChaelLah on Cameroon separatists to pause fighting ahead of Pope visit
  4. TrickSit on Cameroon separatists to pause fighting ahead of Pope visit
  5. Larryverse on Cameroon separatists to pause fighting ahead of Pope visit

Archives

  • June 2026
  • May 2026
  • April 2026
  • March 2026
  • February 2026
  • January 2026
  • December 2025
  • November 2025
  • October 2025
  • September 2025
  • August 2025
  • June 2025
  • August 2024
  • July 2024
  • May 2023
  • June 2016

Categories

  • ASTV TANZANIA
  • CRI SWAHILI
  • DW SWAHILI
  • HABARI ZA KIPEKEE
  • HABARILEO
  • IDHAA YA DUNIA
  • ITVBONGO
  • LTV ENGLISH NEWS
  • MAGAZETI
  • MWANANCHI
  • MWANASPOTI
  • RFI SWAHILI
  • TRT SWAHILI
  • TUKO SWAHILI NEWS
  • TZSPORTS
  • Uncategorized

You missed

MWANANCHI

Rais Samia: Tuache utegemezi, tujitegemee kwa rasilimali zetu

June 30, 2026 mjombazecoder
HABARILEO

TIPER yakabidhi gawio serikalini Sh Bil 15

June 30, 2026 mjombazecoder
HABARILEO

Shangwe la ubingwa Yanga

June 30, 2026 mjombazecoder
MWANANCHI

Vuta nikuvute Moshi, meya amvaa mbunge kuhusu matumizi ya ardhi

June 30, 2026 mjombazecoder

Proudly powered by WordPress | Theme: Newsup by Themeansar.

  • Home
  • CONTACT US
  • LIGI KUU TANZANIA LIVE
  • PRIVACY POLICY
  • TERMS AND CONDITIONS