Babu Owino asema ataondoka ODM na kugombea ugavana wa Nairobi kupitia chama kipya: “Nawahakikishia”
Mbunge Babu Owino alidokeza kuondoka ODM, akisema chama kipya kinaundwa huku akitarajia kiti cha ugavana wa Nairobi mwaka wa 2027 na urais siku zijazo.
Kimani Ichung’wah bila haya amvaa Irungu Kang’ata ambaye amevunja ndoa na UDA: “Siasa za unafiki”
Kiongozi wa Wengi katika Bunge la Kitaifa Kimani Ichung'wah alimkosoa Gavana Irungu Kang'ata kwa kuondoka UDA, akifichua mivutano na unafiki katika siasa za Kenya.
Je, unaujua ugonjwa wa Hantavirus unaoenezwa na panya
Kisa kimoja cha hantavirus kimethibitishwa, huku visa vingine vitano vikiendelea kufanyiwa uchunguzi, WHO imesema.
Wito vyuo vikuu kutafsiri sera za elimu jumuishi kivitendo
Kituo cha kwanza cha rasilimali kwa watu wenye ulemavu (DIRC) nchini Sudan Kusini...
Waasi wa ADF wametekeleza uhalifu mkubwa mashariki ya Congo: Ripoti
Waasi wa ADF Mashariki ya Jamhuri ya kidemokrasia ya Kongo wametekeleza uhalifu mkubwa dhidi ya bindamu, hii ni kwa mujibu wa Shirika la kimataifa la kutetea haki za binadamu, Amnesty…
Mali: Kanali Assimi Goita achukua nafasi ya Waziri wa ulinzi
Kiongozi wa kijeshi wa Mali, Assimi Goita, amechukua nafasi ya Waziri wa ulinzi kufuatia kifo cha aliyekuwa Waziri wake wa ulinzi, Sadio Camara aliyeuawa katika mashambulizi ya waasi juma moja…
Iran na Marekani zashambuliana kwenye mlango wa bahari wa Hormuz
Makubaliano ya kusitisha vita kwa muda kati ya Iran, Israel na Marekani yameonekana kugonga mwamba Jumatatu baada ya pande hizo hasimu kushambuliana kwenye mlango wa bahari wa Hormuz huku taifa…
Mtalaa mpya ulivyobadili mbinu za kutathmini ujifunzaji darasani
“Tunaomba kwenye mafunzo haya mkazo uwe namna ya kutunga maswali yanayoendana na mtalaa mpya,”...
Ubingwa EPL utaamuliwa lini?
Baada ya sare yao dhidi ya Everton, kiwango cha juu kabisa cha alama ambacho Manchester City wanaweza kufikia msimu huu ni 83. Kuna mazingira ubingwa unaweza kuamuliwa mapema zaidi
Marekani yashambulia boti saba za Iran huko Hormuz
Operesheni hiyo ni sehemu ya mpango wa Marekani unaoitwa “Project Freedom”, ambao kwa mujibu wa Rais Trump unalenga kusaidia meli zilizokwama na wafanyakazi wake baharini kuondoka salama katika Mlango bahari…
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Mei 4, 2026
Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa... The post Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt. Samia Suluhu Hassan ameahidi kuendeleza ushirikiano wa muda mrefu uliopo kati ya Tanzania na Kenya huku akitaja maeneo muhimu ya mashirikiano…
Serikali yaongeza kasi mapambano dhidi ya Ukimwi
DODOMA: Serikali imeongeza kasi ya mapambano dhidi ya VVU na UKIMWI kwa kuimarisha ushirikiano wa kimkakati na Taasisi ya EGPAF, hatua inayolenga kutokomeza kabisa maambukizi kutoka kwa mama kwenda kwa…
Tume ya Madini yaridhishwa na ukusanyaji wa maduhuli
DODOMA: KAMISHENI ya Tume ya Madini imeridhishwa na kasi ya ukusanyaji wa maduhuli katika Sekta ya Madini kupitia Tume ya Madini, hatua inayotoa matarajio ya Serikali kuvuka lengo la kukusanya…
🔴JIJI LETU KUTOKA DAR ES SALAAM: MEI 04, 2026
🔴JIJI LETU KUTOKA DAR ES SALAAM: MEI 04, 2026 (Feed generated with FetchRSS)
🔴MCHEZO SUPA: KWA NGUVU YA BUKU USIKAE KINYONGE: MEI 04, 2026
🔴MCHEZO SUPA: KWA NGUVU YA BUKU USIKAE KINYONGE: MEI 04, 2026 (Feed generated with FetchRSS)
“Uelewa wa watu kisiasa Tanzania ni mkubwa, ila wana uvumilivu, sasa mimi nafikiri tusichukue nafasi ya uvumilivu tukaacha mambo…
"Uelewa wa watu kisiasa Tanzania ni mkubwa, ila wana uvumilivu, sasa mimi nafikiri tusichukue nafasi ya uvumilivu tukaacha mambo ya msingi ya kuyafuata" Hammad Rashid - Mwenyekiti Mstaafu wa Chama…
“Watanzania walikuwa hawajui kumetokea nini, hawajui hatima yao iko nini, Watanzania wanapenda sana amani na utulivu katika nchi…
"Watanzania walikuwa hawajui kumetokea nini, hawajui hatima yao iko nini, Watanzania wanapenda sana amani na utulivu katika nchi" Hammad Rashid - Mwenyekiti Mstaafu wa Chama cha ADC. Powered by #MCHEZOSUPA…
“Tunaipongeza tume kwa kazi iliyokifanya, imefanya kazi ya kisayansi, walijitahidi sana kuacha siasa, wakaangalia uhalisia wa ki…
"Tunaipongeza tume kwa kazi iliyokifanya, imefanya kazi ya kisayansi, walijitahidi sana kuacha siasa, wakaangalia uhalisia wa kila jambo lilivyotokea" -Hammad Rashid - Mwenyekiti Mstaafu wa Chama cha ADC. Powered by…
Vifo vya kushtua vyaibua hofu
Matukio hayo yameibua maswali miongoni mwa wananchi kuhusu chanzo na mazingira ya vifo hivyo...
Marais Dkt. Samia Suluhu Hassan na mwenzake wa Kenya, Dkt
Marais Dkt. Samia Suluhu Hassan na mwenzake wa Kenya, Dkt. William Ruto wamekutana jijini Dar es Salaam na kukubaliana kuondoa vikwazo vya kibiashara visivyo vya kikodi hadi kufikia mwishoni mwa…
Watatu Chaumma wajitokeza kumrithi Lukuvi Isimani
Kikao hicho kinatarajiwa kufanyika katika ofisi za Makao Makuu ya chama hicho zilizopo...
Wafanyabiashara wapigia chapuo ushirikiano Kenya, Tanzania
Rostam amesema majadiliano kati ya mataifa hayo yanapaswa kuhamia kutoka kwenye biashara ya...
Ruto: Tanzania itazivuka changamoto zake
Kauli ya Dk Ruto, inakuja miezi saba tangu zilipotokea ghasia nchini wakati na baada ya...
Rommy3D awataja Bacca, Diarra kama nguzo muhimu Yanga
Baada ya dabi ya Kariakoo kati ya Simba na Yanga iliyopigwa jana Jumapili kwenye Uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo jijini Dar es Salaam kumalizika kwa sare ya mabao 2-2, mpiga…
MSHIKEMSHIKE: Baada ya Simba na Yanga kutoka nguvu sawa katika Dabi ya Kariakoo; Je, ni kitu gani kimekuvutia zaidi kwenye mchez…
MSHIKEMSHIKE: Baada ya Simba na Yanga kutoka nguvu sawa katika Dabi ya Kariakoo; Je, ni kitu gani kimekuvutia zaidi kwenye mchezo huo?. Tuandikie maoni yako hapa na sisi tutayasoma kwenye…
Taasisi ya Wakaguzi wa ndani Tanzania inaungana na vuguvugu la kimataifa la ukaguzi wa ndani katika kuadhimisha mwezi maalum wa …
Taasisi ya Wakaguzi wa ndani Tanzania inaungana na vuguvugu la kimataifa la ukaguzi wa ndani katika kuadhimisha mwezi maalum wa Mei katika uhamasishaji wa ukaguzi wa ndani kwa lengo la…
Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimetoa kauli rasmi kufuatia ripoti ya Tume ya Uchunguzi ßiliyoundwa kuchunguza matukio ya ghasia yal…
Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimetoa kauli rasmi kufuatia ripoti ya Tume ya Uchunguzi ßiliyoundwa kuchunguza matukio ya ghasia yaliyotokea Oktoba 29, 2025, kikisisitiza kulinda umoja wa kitaifa na mustakabali wa…
Tanzania, Uturuki zasaini mkataba wa kuepusha utozaji kodi mara mbili
Tanzania na Uturuki zimesaini mkataba wa kuepusha utozaji kodi mara mbili (DTA), hatua...
#NBCPL Magoli yote matatu…
#NBCPL Magoli yote matatu…. Aliyejifunga na Marco Mhilu na kuipa Mbeya City bao la ushindi. Tazama alichokifanya. FT: TZ Prisons 1-2 Mbeya City. Burudani zinaendelea LIVE #AzamSports1HD #NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL…
Wafanyabiashara Dodoma wagoma kuhamishwa, halmashauri yafafanua
Gondwe amesema kwa mujibu wa wafanyabiashara hao, fidia hizo zinatokana na usumbufu walioupata,...
AFCON 2027: Makonda aanika ramani ya miundombinu bungeni
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk Samia Suluhu Hassan, tayari ameridhia na kutoa kiasi cha Dola za Marekani 30,000,000 (Sh78 milioni) kama ada ya uandaaji wa Fainali za…
Nyumba zabomolewa Mbagala kupisha ujenzi wa stendi
Wakizungumza kwa nyakati tofauti, wananchi waliobomolewa nyumba zao, akiwemo Riziki Robert...
#KariakooDerby ‘Saves’
#KariakooDerby 'Saves'. Yamefungwa magoli manne, lakini kuna kazi magolikipa wote wawili waliifanya kupunguza idadi ya magoli. Hizi hapa ni baadhi ya ‘saves’ kutoka kwenye Kariakoo Derby, Simba vs Yanga iliyopigwa…
Kihongozi: CCM kinaunga mkono ripoti ya Tume ya Uchunguzi
Amesema chama hicho kinaunga mkono mapendekezo yote yaliyotolewa na tume na kwamba Rais tayari...
Nigeria yatangaza mpango wa kuwaondoa raia wake nchini Afrika Kusini
Nigeria imetangaza mpango wa kuwarudisha nyumbani raia wake, kutoka nchini Afrika Kusini, wakati huu kukiwa na hofu kubwa ya kuendelea kwa wimbi la kuwashambulia wageni hasa Waafrika katika nchi hiyo.…
Waziri Mkuu awachorea ma-DPP ramani mpya ya vita dhidi ya uhalifu EAC
Waziri Mkuu amesema namna ambavyo uhalifu wa kimataifa hauna mipaka na kubainisha kwamba ni...
Waziri Mkuu awachorea ma-DPP ramani mpya wa vita dhidi ya uhalifu EAC
Waziri Mkuu amesema namna ambavyo uhalifu wa kimataifa hauna mipaka na kubainisha kwamba ni...
KVZ, JKU na Fufuni zapigana vikumbo kileleni ZPL
ULE msemo wa haiishi mpaka iishe unaanzia hapa kwa timu tatu zilizopo juu ya msimamo wa Ligi Kuu Zanzibar ambazo ni KVZ, JKU na Fufuni zilizotofautiana pointi moja tu.
MSIMAMO: Mambo bado sana… kimahesabu hata KMC anaweza kumaliza ligi akiwa ‘top four’
MSIMAMO: Mambo bado sana… kimahesabu hata KMC anaweza kumaliza ligi akiwa ‘top four’. #NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdates #Msimamo #Standing #LeagueTable #ImenogaZaidi (Feed generated with FetchRSS)
Korea Kusini: Meli ya Korea Kusini ‘inawaka moto’ baada ya ‘mlipuko’ katika Mlango wa Hormuz
“Mlipuko” uliofuatiwa na moto umekumba meli ya Korea Kusini katika Mlango wa Hormuz leo Jumatatu, Wizara ya Mambo ya Nje ya Korea Kusini imetangaza, ikiongeza kuwa hakukuwa na majeruhi ndani…
Mali: Kwanini Azawad Liberation Front (FLA) hawataki kuitwa magaidi?
Nchini Mali, kundi la Azawad Liberation Front (FLA) linalotaka kujitenga na kujitawala Kaskazini mwa Mali, linasema sio kundi la kigaidi, kama linavyotambuliwa na serikali ya kijeshi jijini Bamako, baada ya…
#NBCPL Wajelajela hali inazidi kuwa tete…!!!
#NBCPL Wajelajela hali inazidi kuwa tete…!!! FT: TZ Prisons 1-2 Mbeya City. Burudani zinaendelea LIVE #AzamSports1HD #NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdates #ImenogaZaidi #MbeyaDerby #DabiYaMbeya #PrisonsMbeyaCity (Feed generated with FetchRSS)
Mlandege yafufuka, yaitupa Zimamoto nafasi ya sita
KOCHA Mkuu wa Mlandege, Hassan Ramadhan 'Pele' amesema ushindi walioupata dhidi ya Zimamoto umefufua matumaini mapya ya timu hiyo kutetea taji lao la Ligi Kuu Zanzibar.
RDC: Maandamano ya kuunga mkono vikwazo dhidi ya Kabila yafanyika Kinshasa
Nchini DRC, chama cha rais wa nchi hiyo UDPS kimefanya maandamano katika mitaa ya Kinshasa. Uhamasishaji huo ulikuwa wa kuunga mkono vikwazo vya Marekani vilivyomlenga rais wa zamani Joseph Kabila,…