Samia, Kagame wakubaliana kukuza biashara na uwekezaji
Tanzania na Rwanda zimeapa kuimarisha uhusiano na ushirikiano wa kiuchumi, huku Rwanda, kwa...
UDSM seeks Harvard University’s partnership in the use of AI for research, and data analysis
DAR ES SALAAM: THE University of Dar es Salaam (UDSM) has initiated strategic partnership discussions with Harvard University aimed at strengthening the use of Artificial Intelligence (AI) in education, research,…
Tanzania envisions tourism boost in ATCL’s direct flights to Seychelles
DAR ES SALAAM: TANZANIA’S national carrier, Air Tanzania Company Limited, has officially launched direct flights from Dar es Salaam to Seychelles, in an event led by the Minister of Transport,…
Tanzania banks on religious bodies for moral values and social cohesion to develop
MAFINGA: THE Tanzania government has pledged to continue working closely with religious institutions in strengthening moral values, social cohesion, and maintain peace as a foundation for the sustainable national development.…
Ben Oluoch: Maswali yaibuka mjane wa seneta wa zamani wa Migori akipika mandazi barabarani
Mjane wa marehemu seneta Ben Oluoch anapika mandazi kujikumu, na kuzua maswali kuhusu hali yake ya kifedha huku kukiwa na stahili za pensheni na maoni ya umma.
Yanga yagoma kuingia vyumbani, yatumia mjengo wa kifahari
Katika hali iliyozua gumzo miongoni mwa mashabiki na wadau wa soka, kikosi cha Yanga kimetumia...
CRDB Insurance yavuna faida ya Sh4.4 bilioni, kutoa gawio kwa kila hisa
Kampuni ya Bima ya CRDB Insurance imetangaza kupata faida baada ya kodi ya Sh4.4 bilioni kwa...
ACT- Wazalendo wakutana kutathmini hali ya kisiasa, SUK
Mwenyekiti wa ACT-Wazalendo, Othman Masoud Othman, ameongoza kikao cha dharura cha Kamati Kuu...
Miundombinu utalii kuimarishwa AFCON 2027
ARUSHA: WAKALA wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) kwa kushirikiana na wadau wa maendeleo ya utalii ikolojia wameanza kuimarisha miundombinu ya utalii na uwekezaji wa kuongeza maeneo ya malazi ili…
Dabi haina kipengele ,uwanja hauna kipengele Nani analia leo?
Dabi haina kipengele ,uwanja hauna kipengele Nani analia leo? (Feed generated with FetchRSS)
Waziri Mkuu, Dkt Mwigulu Lameck Nchemba, amewataka wananchi wa Wilaya ya Makambako mkoani Njombe na Watanzania kwa ujumla kuilin…
Waziri Mkuu, Dkt Mwigulu Lameck Nchemba, amewataka wananchi wa Wilaya ya Makambako mkoani Njombe na Watanzania kwa ujumla kuilinda na kuithamini miradi ya Umwagiliaji inayotekelezwa na Serikali kwa kuwa ni…
Funguo yawekeza mabilioni biashara bunifu kwa vijana
Mkuu wa Maliasili kupitia Ujumbe wa Umoja wa Ulaya, Lamine Diallo (katikati) akizindua rasmi...
Vikwazo 10 vinavyowasubiri wafanyabiashara Tanzania, Kenya
Wakati Tanzania na Kenya zikitarajiwa kufanya jukwaa la uwekezaji na biashara kesho Jumatatu...
UCHAMBUZI WA DANIEL MJEMA: Rais Samia sio wa kwanza kuteua mpinzani, tuache nongwa
Kumekuwa na mijadala katika mitandao ya kijamii nchini, baadhi ya wachangiaji wakihoji hatua ya...
Ile jioni ya mechi ndo hiyooo mnune!
DAR ES SALAAM; MECHI ya Simba dhidi ya Yanga Ligi Kuu Tanzania Bara itachezwa Jumapili Mei 3, 2026 kuanzia saa 12 jioni, Ilikuwa inaonekana mbali sana. Ipo hivi Mei 3,…
Uhuru Kenyatta: Wakenya Wamuombea Rais Mstaafu Baada ya Kufichua Alikuwa Mgonjwa
Aliyekuwa rais Uhuru Kenyatta alifichua kuwa aliugua baada ya safari, jambo lililozua wasiwasi miongoni mwa Wakenya waliomiminika kwenye mitandao wakimuombea.
Ugonjwa wa Hantavirus wabainika kwenye meli ya kitalii, vifo vitatu hadi sasa
Shirika la Umoja wa Mataifa la Afya Duniani, WHO limethibitisha Jumapili Mei 03, 2026 kuwa linazo taarifa na linasaidia kushughulikia tukio la afya ya umma kuhusu ugonjwa wa Hantavirus ulioripotiwa…
Mashambulizi dhidi ya vyombo vya habari yanapokuwa ya kawaida, uhuru huanza kudorora – Kamishna Haki za Binadamu UN
Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa, Volker Türk, ametoa onyo kali kupitia ujumbe wake kwa ajili ya maadhimisho ya mwaka huu wa 2026 ya Siku ya…
Ruth Odinga amhimiza askofu kuwaleta pamoja waanzilishi, wadhamini wa ODM kutatua zogo linalochemka
Mbunge Ruth Odinga alitoa wito wa kuwepo kwa umoja wa ODM akiwataka viongozi wa makanisa kuunganisha makundi yanayozozana kwa mustakabali wa urithi wa Raila Odinga.
Serikali yanoa viongozi wa afya kuinua ubora wa huduma
Serikali ya Tanzania imeanza kuimarisha uwezo wa uongozi katika sekta ya afya kupitia awamu ya...
Kenya inavyopambana kudhibiti “wahuni na silaha” huku hofu ya vurugu za kisiasa ikiongezeka nchini Kenya
Historia ya Kenya ya kutumia makundi ya kihalifu yaliyoungwa mkono kisiasa inaanzia miaka ya mapema ya 1990, wakati mfumo wa vyama vingi uliporejeshwa.
Mratibu Simba Queens afichua kinachowabeba WPL
MRATIBU wa Simba Queens, Selemani Makanya ameweka wazi mafanikio ya timu hiyo kukaa kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu ya Wanawake yanatokana na mipango waliyojiwekea tangu mwanzo wa msimu.
Vita ya ubingwa WPL: Simba Queens yakaa kileleni, Yanga Princess yaivuta shati
LICHA ya Simba Queens kuendelea kusalia kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu ya Wanawake msimu wa 2025/26, kuna presha ya kuwania ubingwa kwa Yanga Princess na JKT Queens zinazoendelea kukimbiza…
Mahakama yamgomea DPP muda wa kukata rufaa
Mahakama Kuu, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam imekataa ombi la Mkurugenzi wa Mashitaka Nchini...
‘Jamii kuimarisha upendo kwa watoto yatima na wanaoishi mazingira magumu’
Watanzania wametakiwa kuwakumbuka watoto yatima na wanaoishi kwenye mazingira magumu kwa...
Mwinyi Zahera aipa Ruangwa Queens mchongo wa Kubaki WPL
ALIYEWAHI Kocha wa zamani wa Ruangwa Queens, Mwinyi Zahera amesema ili timu hiyo isalie Ligi Kuu msimu ujao, inapaswa kufanya mambo mawili.
Simba Queens, Yanga Princess zampa akili kocha Ceasiaa
KAIMU Kocha Mkuu wa Ceasiaa Queens, Sultan Juma amesema kukutana na Simba Queens na Yanga Princess ni somo kubwa kwa kikosi chake licha ya kupoteza michezo hiyo.
Tanzania kuanza uvunaji gesi ya helium, mkataba wasainiwa
Serikali imesaini mkataba wa mradi wa kimkakati wa uchimbaji na uvunaji wa gesi ya helium kwa...
Mabula ageuka lulu Azerbaijan, ofa Sh2 bilioni yatua mezani
BAADA ya kuenea tetesi za huenda Kiungo wa Taifa Stars, Alphonce Mabula akaondoka Shamakhi FC ya Ligi Kuu ya Azerbaijan mwishoni mwa msimu, amesema bado anatafakari kuhusu ofa zinazokuja mezani.
Iran yalaani vikali shambulio la kigaidi dhidi ya khatibu wa Haram ya Bibi Zainab (AS)
Iran imelaani vikali shambulio la kigaidi lililotokea katika eneo la Sayyida Zainab mjini Damascus, ambalo limepelekea kuuawa shahidi Sayyid Farhan Hassan Al‑Mansour, mmoja wa wanazuoni wa Kiislamu na khatibu wa…
Wataka kamera Daraja la JP Magufuli
Viongozi wa vyama vya upinzani wameitaka Serikali kupitia Wakala wa Barabara Tanzania...
Clara Luvanga atikisa soko la usajili Saudi Arabia
KUTOKANA na kiwango anachoendelea kuonyesha mshambuliaji wa Kitanzania, Clara Luvanga anayekipiga Al Nassr ya Saudi Arabia, kimeifanya menejimenti yake kutamba.
IRGC: Hakuna dola linaloweza kudhoofisha azma ya taifa la Iran
Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) limelishukuru taifa la Iran kwa kusimama kidete kuilinda nchi na msimamo wake imara wa Kiislamu kupitia maandamano ya kuonyesha umoja na mshikamano…
Mpanja apambana na presha ya ubingwa Uganda
KIUNGO mshambuliaji wa She Corporate FC ya Ligi Kuu ya Wanawake Uganda, Husna Mpanja amesema mechi mbili zilizosalia kwenye ligi zinawabana na kuwapa presha kubwa kwenye harakati za kuwania ubingwa.
Watumishi wakumbushwa kuthamini mali za umma, muda wa kazi
Serikali imekemea tabia ya baadhi ya watumishi kutokujali na kuthamini rasilimali za umma...
Kocha Mlandege ‘achimba’ mkwara ZPL, anaitaka nne bora
KOCHA Msaidizi wa mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Zanzibar (ZPL), Mlandege, Sabri China amesema ushiriki wao katika Kombe la Muungano umekuwa kipimo kizuri kwa timu hiyo na imerudi kwenye ubora…
Iran: Majigambo ya Trump kuhusu uharamia ni ‘kukiri wazi’ jinai
Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imejibu kauli za Rais wa Marekani Donald Trump, ambaye amejigamba kuwa Jeshi la Wanamaji la Marekani limetekeleza operesheni “kama maharamia” katika mzingiro wa…
IRGC: Utekaji wa wanaharakati wa msafara wa misaada Gaza ni ‘ugaidi wa kimataifa’
Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) la Iran amelaani vikali hatua ya vikosi vya utawala haramu wa Israel kuzuia kwa nguvu meli…
Iran yasema: ‘Mpira uko upande wa Marekani’ yawasilisha mapendekezo kwa wapatanishi ili kukomesha vita vya US na Israel
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Anayehusika na Masuala ya Sheria na Kimataifa ameweka wazi msimamo rasmi wa Iran kuhusu juhudi zinazoendelea kufanywa kwa ajili ya kufikiwa mapatano…
Ripoti: Ukatili uliopangwa wa walowezi wa Israel dhidi ya Wakristo umefikia kiwango cha juu
Ukatili uliopangwa unaofanywa na walowezi Waisraeli dhidi ya Wakristo na jamii zisizo za Kiyahudi katika mji wa al-Quds (Jerusalem) unaokaliwa kwa mabavu umeongezeka kwa kiasi kikubwa.
Ripoti: Ukatili uliopangwa wa walowezi wa Israel dhidi ya Wakristo wafikia kiwango cha juu
Ukatili uliopangwa unaofanywa na walowezi Waisraeli dhidi ya Wakristo na jamii zisizo za Kiyahudi katika mji wa al-Quds (Jerusalem) unaokaliwa kwa mabavu umeongezeka kwa kiasi kikubwa.
Hamas: Takwa la kukabidhi silaha ni kisingizio cha Israel cha kukwepa wajibu
Mjumbe wa Idara ya Siasa ya Hamas, Mohammed Nazzal, amesema kuwa ombi la kukabidhiwa silaha za harakati hiyo ni kisingizio kinachotumiwa na utawala wa Kizayuni wa Israel ili kukwepa utekelezaji…
Baada ya Ghana, Nigeria pia yamwita balozi wa Afrika Kusini kuhusu mashambulizi ya chuki dhidi ya wageni
Wimbi jipya la mashambulizi ya chuki dhidi ya wageni, linalowalenga wahamiaji wa Kiafrika na biashara zao huko Afrika Kusini linatishia kuteteresha uhusiano wa nchi hiyo na nchi nyingine za Afrika.
Wasichana wawili Arusha watoweka mazingira ya kutatanisha
“Wako wapi?” Ndilo swali linaloendelea kuumiza vichwa vya ndugu na jamaa wa Kareen Marc Didas...
Respect defines Dar derby clash
DAR ES SALAAM: THE Dar Derby takes place today at Major General Isamuhyo Stadium, with both Simba and Young Africans coaches stressing the respect they have for each other ahead…
Mwenge kukagua miradi ya Sh bilioni 2 Mikindani
MTWARA: MIRADI ya maendeleo 7 yenye thamani ya Sh bilioni 2 iliyopo Manispaa ya Mtwara Mikindani inatarajiwa kupitiwa na Mwenge wa Uhuru 2026. Mwenge huo umepokelewa leo Mei 3, 2026…
WHO: Chanjo ya Malaria yaonyesha matumaini kwa watoto wa Cameroon
Baadhi ya akina mama nchini Cameroon wamesema kuwa wameshuhudia maboresho makubwa katika afya za watoto wao baada ya kutolewa chanjo ya kukabiliana na ugonjwa wa malaria.
Mtanzania mbaroni Kenya kwa tuhuma za mauaji ya mtoto
Raia wa Tanzania, Anthony Juma maarufu Kipara, anashikiliwa na vyombo vya dola nchini Kenya...
Kagame jets in Dar to further cement the Rwanda-Tanzania historic ties
DAR ES SALAAM: THE President of the Republic of Rwanda, Paul Kagame, has arrived in the country for a one-day working visit aimed at strengthening bilateral relations between Tanzania and…