Upigaji wa piano huhitaji takribani miaka kumi au zaidi ili mtu aweze kuwa mtaalamu wa chombo hicho cha muziki
Upigaji wa piano huhitaji takribani miaka kumi au zaidi ili mtu aweze kuwa mtaalamu wa chombo hicho cha muziki. Hata hivyo, imeelezwa kuwa watu wengi kwa sasa wanatumia piano bila…
Wenza maarufu na mtego wa kuishi maisha feki
Wenza maarufu kama wasanii, wanamichezo au viongozi, hulazimika kuishi si tu kwa ajili yao...
Waasi wa Houthi wathibitisha shambulio la pili la kombora dhidi ya Israel
Waasi wa Houthi wa Yemen wanasema wamefanya shambulio la pili katika sehemu za kusini mwa Israel leo.
Why Tanzania’s security industry must go green
WHEN we talk about security, one is often tempted to picture armed guards, patrol vehicles and surveillance cameras. Traditionally, the role of security has been narrowly defined as the protection…
‘Rijali’ hashindi mitandaoni kutoa mipasho
Zamani, sifa kuu ya mwanaume rijali ilikuwa ni busara, utulivu, na uwezo wa kumeza maneno hata...
Niger: Serikali yapiga marufuku kusambaza picha za wapokeaji wa chakula au misaada ya kijamii
Nchini Niger, ni marufuku kusambaza picha za watu wanaopokea misaada, kama vile michango ya chakula. Shirika la taifa la Mawasiliano (ONC) linakumbusha vyombo vya habari na tovuti kuhusu sheria hii.…
DRC: Uchafuzi wa mazingira Kolwezi na tishio la uchafuzi wa mionzi
Serikali ya DRC inasema iko macho kutokana na hatari ya uchafuzi wa mionzi katika maeneo ya migodi huko Lualaba (kusini-mashariki). Suala lilitawala kikao cha baraza la mawaziri lililokutana siku ya…
Ugonjwa wa uti wa mgongo huua takriban watu 260,000 duniani kote kila mwaka
Karibu watu 260,000 huuawa na ugonjwa wa uti wa mgongo kila mwaka duniani kote. Hii ni kulingana na utafiti uliochapishwa siku ya Jumamosi, Machi 28, katika Jarida la The Lancet…
RSF: Ni vigumu kufanya kazi ya uandishi wa habari, mashariki mwa DRC
Shirika la Waandishi wa HabariWasio na Mipaka (RSF) limechapisha ripoti siku ya Alhamisi, Machi 26, kuhusu hali ya uandishi wa habari katika eneo la Maziwa Makuu. Imechapishwa: 29/03/2026 – 06:58…
Kenya: Karibu tani 8,000 za chai zimekwama Mombasa kutokana na vita vya Mashariki ya Kati
Uchumi wa Kenya uko katika msukosuko kutokana na vita vya Mashariki ya Kati. Chama cha Biashara ya Chai Afrika Mashariki (East African Tea Trade Association – EATTA) kilitangaza siku ya…
Iran yatafakari kujiondoa mkataba wa nyuklia wa NPT
Ripoti zinaonyesha kuwa suala la kujiondoa katika Mkataba wa Kuzuia Uenezaji wa Silaha za Nyuklia (NPT) sasa limewekwa katika ajenda ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
Rais wa Iran, aonya kuwa Israel inalenga kueneza vita katika kanda ya Asia Magharibi
Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, ameonya katika mazungumzo yake ya simu na Waziri Mkuu wa Pakistan, kuhusu malengo hatari ya utawala wa Kizayuni wa Israel ya kupanua vita…
Rais wa Iran, aonya kuwa utawala wa Kizayuni unalenga kuenza vita kaktika kanda
Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, katika mazungumzo ya simu na Waziri Mkuu wa Pakistan, ameonya kuhusu malengo hatari ya utawala wa Kizayuni wa Israel ya kupanua vita hadi…
Kenya: Uchunguzi unaendelea baada ya kugunduliwa kwa kaburi la ajabu la watu wengi
Nchini Kenya, uchunguzi wa miili huko Kericho unaendelea. Kaburi la watu wengi liligunduliwa mwishoni mwa wiki iliyopita katika mji huu mdogo magharibi mwa nchi. Vijana, walioajiriwa kama wachimba makaburi na…
Tetesi za soka Jumapili:Newcastle bado wana nia na Trafford
Newcastle United itaendelea na nia ya kumsajili James Trafford, 23, ikiwa mlinda lango huyo wa Uingereza ataamua kuondoka Manchester City.
Safari ya Sarah Mullally kufikia kilele cha uongozi wa Kanisa la Anglikana duniani
Safari yake kufikia kilele hicho ni hadithi ya kuvutia ya mwanamke aliyeanza maisha kama...
Iran yaangusha ndege nyingine ya kivita aina ya F 16 ya adui
Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu imesema operesheni hiyo lilitekelezwa kwa jina la siri “Ya Rasulullah” na kwa ajili ya kuwaenzi raia na watumishi waliouawa shahidi hivi karibuni walipokuwa…
Wananchi wa kijiji cha Ihalula mkoani Njombe wameomba ufanyike ufuatiliaji wa karibu wa kuwabaini wananchi wenzao wanaowapeleka …
Wananchi wa kijiji cha Ihalula mkoani Njombe wameomba ufanyike ufuatiliaji wa karibu wa kuwabaini wananchi wenzao wanaowapeleka watoto kufanya kazi kwenye maeneo ya miji badala ya kuwapeleka shule na wakati…
MAHUBIRI: Kanuni tano za Kimungu kushinda tamaa za mwili
Tamaa hizi zinaweza kumfanya mtu aishi maisha ya kushindwa, hatia na kujitenga na Mungu, lakini...
Millions lifted as Tanzania fund transforms vulnerable communities
MWANZA: FOR many years, access to basic social services such as healthcare facilities, education infrastructure and reliable community support programmes has remained a persistent challenge for low-income communities across Tanzania.…
Safari za majahazi kati ya Tanzania Bara na Zanzibar zimepangiwa ratiba maalumu ili kuendana na tahadhari ya hali ya upepo kufua…
Safari za majahazi kati ya Tanzania Bara na Zanzibar zimepangiwa ratiba maalumu ili kuendana na tahadhari ya hali ya upepo kufuatia mabadiliko ya hali ya hewa. Mamlaka ya Usafiri Baharini…
TASAF’s PSSN supports communities without political bias
DAR ES SALAAM: WE must agree that Tanzania has made remarkable strides in social protection, placing the welfare of vulnerable citizens at the forefront of national development. A case study…
Loan uptake remains low despite funds among small-scale traders
KAHAMA: SMALL traders and entrepreneurs are struggling to access government backed loans despite billions of shillings set aside to support their businesses, raising concerns over low uptake and existing barriers.…
Childcare centres boost market trade
NJOMBE: THE establishment of childcare centres in marketplaces is proving to be a national game-changer for mothers in the informal sector, providing a blueprint for how urban trade can be…
Road project to ease Kigamboni transport
DAR ES SALAAM: A MAJOR road construction project in Kigamboni is set to ease transport challenges, reduce vehicle operating costs and open up new opportunities for residents, as the government…
Co-ops told to boost bank stake
DODOMA: THE government has directed capital-strong cooperative societies to double their minimum share contribution in the Co-operative Bank of Tanzania from five per cent to 10 per cent by April…
Crime drops by 10 pc nationwide
DODOMA: CRIME in the country has declined by 10 per cent, according to new statistics released by the Tanzania Prisons Service, pointing to an overall reduction in the number of…
Scientists test new TB adherence tech
DAR ES SALAAM: SCIENTISTS are testing a smart electronic pillbox to help tuberculosis (TB) patients keep up with their treatment, as efforts continue to improve recovery rates and prevent drug-resistant…
Celebrating life of service
DAR ES SALAAM: PRESIDENT Samia Suluhu Hassan yesterday said the death of Minister William Lukuvi has left a vacuum in seasoned leadership at a critical time when Tanzania faces economic…
Fuel stocks stable despite global tensions
DAR ES SALAAM: The government has assured Tanzanians of steady fuel availability, with current reserves sufficient to last between two and three months despite ongoing global supply pressures. The reassurance…
#MzizimaDerby ni ya moto siku zote…
#MzizimaDerby ni ya moto siku zote…. Hii ni ile iliyopita ya Desemba 7, 2025; Je, unajua ijayo ya Aprili 5, 2026 itakuwaje?? Usikubali kupitwa na burudani ya aina hii… Lipia…
Vijana mkoani Tanga wametakiwa kuchangamkia fursa zilizopo katika maeneo yao ili kujikwamua kiuchumi na kujiletea maendeleo
Vijana mkoani Tanga wametakiwa kuchangamkia fursa zilizopo katika maeneo yao ili kujikwamua kiuchumi na kujiletea maendeleo. Wito huo umetolewa na Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Tanga, Ramadhan Ally Omary, wakati…
#WSL Arsenal kama kawaida yao…!!
#WSL Arsenal kama kawaida yao…!! FT: Arsenal 5-2 Tottenham Burudani ilikuwa LIVE #AzamSports3HD #WomenSuperLeague #WSL #LigiKuuEnglandWanawake #Arsenal #Totenham #ArsenalTottenham (Feed generated with FetchRSS)
Serikali yaeleza hali ya upatikanaji umeme
DAR ES SALAAM: Serikali imeeleza kuwa hali ya upatikanaji wa mafuta nchini bado ni shwari, huku bei zikiwa himilivu, ambapo mafuta yaliyopo yanatosheleza kwa kipindi cha miezi miwili hadi mitatu.…
Kwa saa moja kila mwaka Dunia huzima taa kuanzia katika majengo makubwa ya miji hadi nyumba ndogo za vijijini kwa lengo la kukum…
Kwa saa moja kila mwaka Dunia huzima taa kuanzia katika majengo makubwa ya miji hadi nyumba ndogo za vijijini kwa lengo la kukumbushana umuhimu wa kutunza sayari yetu. Tukio hili…
Nyeri: Watu 4 wafariki katika ajali baada ya lori lililobeba mbao kugongana na matatu
Watu wanne wamethibitishwa kufariki baada ya kuhusika katika ajali mbaya ya barabarani Nyeri Jumamosi jioni, Machi 28. Ajali hiyo ilihusisha lori na matatu.
MAPUMZIKO | #WSL
MAPUMZIKO | #WSL HT: Arsenal 3-1 Tottenham. Iko LIVE #AzamSports3HD #WomenSuperLeague #WSL #LigiKuuEnglandWanawake #Arsenal #Totenham #ArsenalTottenham (Feed generated with FetchRSS)
Timu ya Dar City imeendelea kung’ara kwenye Ligi ya Kikapu Afrika inayoendelea nchini Afrika Kusini kwa kushinda mchezo wake wa …
Timu ya Dar City imeendelea kung’ara kwenye Ligi ya Kikapu Afrika inayoendelea nchini Afrika Kusini kwa kushinda mchezo wake wa pili mfululizo, safari hii ikiwa ni zamu ya Nairobi City…
Iran yamchekelea Muhoozi anayesema anaweza kuichafua Tehran ndani ya siku 14: “Africa’s got talent”
Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imejibu Madai ya Muhoozi Kainerugaba kwamba Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Uganda linaweza kuiteka Tehran ndani ya wiki mbili.
Rigathi Gachagua ampuuza Dennis Itumbi, akataa kujibu swali kumhusu: “Bloga chekechea”
Naibu Rais wa zamani Rigathi Gachagua alimpuuza Dennis Itumbi, na akataa kujibu madai katika mahojiano ya podikasti, huku ubabe wa kura ya urais 2027 ukitanuka.
Serikali yamaliza mgogoro wafanyabiashara wa filamu Mbeya
Serikali ya Jiji la Mbeya kwa kushirikiana na Bodi ya Filamu nchini imemaliza mgogoro uliokuwa...
#SportPesaLeague: Goli la kujifunga la David Leon KIMUNGUI na header ya Rogers Ouma, ndiyo ushindi wa Kakamega Homeboyz wakiwa u…
#SportPesaLeague: Goli la kujifunga la David Leon KIMUNGUI na header ya Rogers Ouma, ndiyo ushindi wa Kakamega Homeboyz wakiwa ugenini kwenye Dimba la Kasarani Annex, dhidi ya Posta Rangers. Magoli…
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Tanga imefanikiwa kuokoa kiasi cha shilingi milioni 12 ambacho kilik…
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Tanga imefanikiwa kuokoa kiasi cha shilingi milioni 12 ambacho kilikuwa katika hatari ya kufanyiwa ubadhilifu, wakati wa utekelezaji wa mradi…
Utafiti wabaini changamoto za usalama na ujumuishaji shuleni
Matokeo ya utafiti huo yanaonesha kuwa, licha ya uwepo wa sera, mifumo na miongozo ya usalama...
TPDC: Kuna mafuta yakutosha miezi mitatu, yatapanda bei
Kwa upande wa dizeli, amesema akiba iliyopo ni lita 55.74 milioni, yaliyowasili ni lita 122.8...
Waandishi wa habari kadhaa wa Lebanon wauawa katika shambulio la Israeli
Vita vya Mashariki ya Kati vimeingia mwezi wake wa pili leo Jumamosi, Machi 28, 2026, bila dalili zozote za kupungua, huku Israel na Iran zikiendelea kushambuliana kwa mabomu. Angalau waandishi…
Wajumbe wa Baraza Kuu la Wafanyakazi wa Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA), wamekumbushwa kuzingatia misingi na …
Wajumbe wa Baraza Kuu la Wafanyakazi wa Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA), wamekumbushwa kuzingatia misingi na kanuni za maadili ya utumishi wa umma katika utekelezaji wa…
Madaktari sita wapata ajali ya gari, wanusurika kifo
Madaktari hao walikuwa wanatoka kutoa huduma kwenye kambi ya matibabu ya kibingwa katika...