Nafisa anavyokamata soko kwa aina 12 za chai, ya nazi ikitamba
Jiji la Tanga, linalosifika kwa upepo mwanana wa bahari na mandhari ya minazi, limeendelea...
Raphael Tuju alazwa katika Karen Hospital chini ya ulinzi mkali wa polisi
Waziri wa zamani Raphael Tuju amelazwa katika ICU baada ya polisi kudaiwa kumtendea visivyo. Kiongozi wa Wiper Kalonzo Musyoka alilaani ukatili dhidi ya Tuju.
Mapitio ya #MAGAZETI leo Machi 25, 2026 kwenye
Mapitio ya #MAGAZETI leo Machi 25, 2026 kwenye #MorningTrumpet #UTV108 #AzamTVUpdates (Feed generated with FetchRSS)
Tunachokifahamu kuhusu ‘utata’ wa mazungumzo ya Marekani na Iran
Kauli za pande zote mbili zinapingana, huku Trump akisisitiza kwamba mazungumzo "yanaendelea" kati ya Marekani na Iran na kwmaba Iran inaonyesha utayari mkubwa wa kufikia makubaliano, lakini viongozi wa Tehran…
Eritrea kurejea katika mechi za kufuzu Afcon baada ya miaka 18
Nchi ya Eritrea juma hili itamaliza miaka 18 ya kujitenga na Kombe la Mataifa ya Afrika wakati watakapowakaribisha Eswatini katika jiji la Morocco la Meknes kwa ajili ya mechi ya…
Magazeti ya Kenya: Miili 33, wakiwemo watoto 25, yapatikana katika kaburi la halaiki Kericho
Magazeti ya kila siku yanaangazia Matatizo ya kiafya ya Raphael Tuju akiwa chini ya ulinzi wa polisi huku kukiwa na mgogoro wa mal. Pia ufukuaji wa miili 33 Kericho.
Baghdad inavipa vikosi vyake ‘haki ya kulipiza kisasi na kujilinda’
Nchini Iraq, mamlaka imetoa “haki ya kulipiza kisasi na kujilinda” siku ya Jumanne jioni kwa Kikosi cha wanamgambo wa zamani cha Hachd Al-Chaabi na vikosi vya usalama ili kukabiliana na…
Mikoa ya Kanda ya Ziwa sambamba na mikoa ya Tabora na Singida kwa pamoja inatajwa kuwa na tishio la ugonjwa wa Polio baada ya ta…
Mikoa ya Kanda ya Ziwa sambamba na mikoa ya Tabora na Singida kwa pamoja inatajwa kuwa na tishio la ugonjwa wa Polio baada ya tafiti kubaini uwepo wa vimelea vya…
Flaqo akanusha madai anachumbiana na Tiktoker wa Rongai Cindi, awachamba wambeya: “Uongo haufai”
Mchekeshaji mkongwe Flaqo azungumzia uvumi wa kuchumbiana na Cindi, afichua huzuni ya zamani, na kufafanua dhana potofu zinazozunguka maisha yake ya faragha.
Mikakati kumaliza changamoto ya umbali wa shule Fukayosi yaanza -3
Changamoto ya baadhi ya wanafunzi kutembea umbali mrefu katika Kata ya Fukayosi, iliyobainishwa...
Iran: Walinzi wa mapinduzi watangaza kurusha makombora Israel, Bahrain, Kuwait, na Jordan
Walinzi wa Mapinduzi wa Iran wametangaza siku ya Jumatano, Machi 25, kwamba wamerusha makombora kuelekea Israel, Kuwait, Bahrain, na Jordan, kulingana na televisheni ya serikali (IRIB). Imechapishwa: 25/03/2026 – 05:28…
Fuatilia mahojiano maalumu Muda huu na aliyekuwa Mkurugenzi wa Shirika la utangazaji TBC, Dkt
Fuatilia mahojiano maalumu Muda huu na aliyekuwa Mkurugenzi wa Shirika la utangazaji TBC, Dkt. Ayub Rioba Chacha kwenye #MorningTrumpet #UTV108 #AzamTVUpdates (Feed generated with FetchRSS)
Ghana yataka biashara ya utumwa kutambuliwa kama uhalifu mkubwa
Baraza la nchi wanachama za Umoja wa Mataifa, hivi leo litapiga kura kuhusu azimio lililowasilishwa na Ghana kuhusu kutambua biashara ya utumwa barani Afrika kama ‘uhalifu mkubwa dhidi ya binadamu’,…
Iran: Ruksa kwa ‘vyombo visivyo vya uadui’ kupita kwenye Mlango-Bahari wa Hormuz
Tehran inaeleza kama sharti kwamba “hawashiriki au kuunga mkono vitendo vya uchokozi dhidi ya Iran,” katika taarifa iliyotumwa kwa Shirika la Kimataifa la Usafiri wa Baharini (IMO). Imechapishwa: 25/03/2026 –…
Miili ambayo haijachukuliwa KNH: Hospitali yazipa familia siku 7 kuchukua maiti 480
Hospitali ya Kitaifa ya Kenyatta imetoa siku 7 kwa familia kuchukua miili 480 ambayo imehifadhiwa hapo kwa muda mrefu, ikionya huenda ikachukua hatua ya kuzika
Wananchi wa vijiji vya Ntinga na Chindi kata ya Msangano mkoani Songwe waliokuwa wakilazimika kuvuka mto Nkana kwa kutumia mitum…
Wananchi wa vijiji vya Ntinga na Chindi kata ya Msangano mkoani Songwe waliokuwa wakilazimika kuvuka mto Nkana kwa kutumia mitumbwi huku wakitozwa gharama kubwa wameondokana na adha hiyo kufuatia ujenzi…
Israel na Iran zashambuliana vikali, Trump adai mazungumzo yanaendelea
Akizungumza na waandishi wa habari Ikulu ya White House, Trump alisema Iran inaonesha utayari mkubwa wa kufikia makubaliano, wakati ambapo mashambulizi ya makombora kati ya Iran na Israel yakiendelea.
Kenya: Miili 33 yafukuliwa kutoka kwa kaburi la pamoja Kericho
Nchini Kenya, karibia miili 33 imefukuliwa kutoka katika kaburi la pamoja katika kaunti ya Kericho kwenye mkoa wa bonde la ufa. Watu wawili wakiwa tayari wanashikiliwa na polisi wakuhusishwa na…
William Ruto azindua miradi ya mabilioni ya pesa Siaya kuimarisha uchumi wa Ziwa Victoria
Rais William Ruto alizindua miradi ya mabilioni huko Siaya ili kukuza uchumi wa Ziwa Victoria, kuboresha uvuvi, na kuunda ajira, na kuhakikisha maendeleo jumuishi.
WARIDI WA BBC: ‘Namlea mwanangu anayenitegemea saa 24 bila kupumzika’
Mwezi mzima wa Machi unatambulika kuwa wa kitaifa katika uhamasishaji wa tatizo la kupooza kwa ubongo.
Vuguvugu la Niko Kadi lashika kasi huku vijana wakimiminika IEBC kujiandikisha kupiga kura
Vuguvugu la vijana Kenya almaarufu "Niko Kadi", linalenga kura 18M kufikia 2027 ili kumtoa Ruto na utawala wake na kuharibu mfumo wa siasa za wanasiasa waliozoeleka.
Safari ya maisha ya mwanadamu ni hadithi inayosisimua na kuleta mchanganyiko wa hisia na unapomuona akiwa mtu mzima au mzee basi…
Safari ya maisha ya mwanadamu ni hadithi inayosisimua na kuleta mchanganyiko wa hisia na unapomuona akiwa mtu mzima au mzee basi tambua ni kweli 'Amekwepa mishale mingi'. Akiwa na miaka…
Kericho: Hofu yaongezeka baada ya miili 33 ikiwemo ya watoto kupatikana katika kaburi la halaiki
Miili thelathini na tatu imepatikana katika kaburi la halaiki Kericho, ambapo mamlaka hapo awali ilikuwa imegundua miili 14. 25 ni ya watoto na 8 ni ya watu wazima.
Tetesi za soka Ulaya: Tonali kuzitosa Man Utd, Man City kwenda Italia
Kiungo wa Newcastle, Sandro Tonali, anataka kurejea Italia licha ya kuvutiwa na klabu za Manchester, Ben White anaweza kuondoka Arsenal, na kocha wa Bournemouth, Andoni Iraola, anatazamwa na klabu nyingine…
Salah atangaza kuondoka Liverpool
Mshambualiaji Mohamed Salah (33), leo Jumanne ametangaza rasmi kuwa ataachana na Liverpool...
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mussa Azzan Zungu (Mb) leo Machi 24, 2026 amekagua ukumbi wa Bunge ambao umef…
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mussa Azzan Zungu (Mb) leo Machi 24, 2026 amekagua ukumbi wa Bunge ambao umefanyiwa maboresho ya kuwekewa mfumo wa kisasa wa…
FIFA SERIES | “….Yusuph Kagoma tumemuacha Dar es Salaam”
FIFA SERIES | “….Yusuph Kagoma tumemuacha Dar es Salaam” Kikosi cha wachezaji 23 wa Taifa Stars kimewasili salama Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kigali nchini Rwanda, tayari kwa maandalizi…
ALLY KAMWE: “…
ALLY KAMWE: “…. Yanga itarudi kutoa kichapo”. Meneja Habari na Mawasiliano wa Yanga SC, Ally Kamwe amefafanua sababu za kumuongeza Abdihamid Moalin kuwa kocha msaidizi, akiweka wazi kuwa uamuzi huo…
FIFA SERIES | Baadhi ya wanahabari walioko Kigali nchini Rwanda kwa ajili ya michuano ya FIFA Series wanaeleza kuridhishwa na ma…
FIFA SERIES | Baadhi ya wanahabari walioko Kigali nchini Rwanda kwa ajili ya michuano ya FIFA Series wanaeleza kuridhishwa na mapokezi huku wakitoa tathmin kuhusu vikosi vya timu zao pamoja…
Nairobi: Raphael Tuju akimbizwa Karen Hospital baada ya hali yake kuzidi kuwa mbaya
Afya ya waziri wa zamani Raphael Tuju ilizidi kuzorota alipokuwa akipelekwa katika Mahakama ya Kibera kufuatia kukamatwa ghafla. Alikimbizwa Karen Hospital.
FIFA SERIES | Kuelekea michuano ya FIFA Series nchini Rwanda, leo Gift Macha anatupitisha kwenye mambo usiyoyajua kuhusu Uwanja …
FIFA SERIES | Kuelekea michuano ya FIFA Series nchini Rwanda, leo Gift Macha anatupitisha kwenye mambo usiyoyajua kuhusu Uwanja wa Amahoro, ukiwa ni mmoja kati ya viwili vitakavyotumika. ✍️ @amosimasokotz…
Zaidi ya raia 500 waliuawa Kordofan Sudan kati ya mwezi Januari na machi
Umoja wa Mataifa umesema zaidi ya raia 500 waliuawa nchini Sudan kati ya mwezi Januari na Machi, wakiwa kutoka eneo la Kordofan, kutokana na vita vinavyoendelea nchini humo. Imechapishwa: 24/03/2026…
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda amesema Serikali imeanza mazungumzo na UNESCO pamoja na uongozi wa K…
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda amesema Serikali imeanza mazungumzo na UNESCO pamoja na uongozi wa Kampuni Mama inayomiliki Faceebok, Instagram na WhatsApp (META) ili Lugha ya…
Wakala wa Sesko akataa jina la ‘super sub’
Sesko, aliyesajiliwa kwa dau linalokadiriwa kufikia Pauni 74 milioni akitokea RB Leipzig...
Madereva bodaboda Tabora watoa mwelekeo mpya wa usafiri
Chama cha Madereva Bodaboda Mkoa wa Tabora umewaonya wanachama wake kutobeba abiria wanaokwenda...
Makabiliano yaendelea mashariki ya kati licha ya madai ya Trump ya mazungumzo
Siku moja baada ya rais Donald Trump kutangaza kuwa Marekani inasitisha kushambulia vituo vya nishati vya Iran kwa siku tano ili kupitisha mazungumzo, jeshi la Marekani na Israeli limeendeleza mashambulio…
Sekta binafsi zaitwa kuwekeza kwenye soka
WAZIRI wa Mawasiliano, Teknolojia ya Habari na Ubunifu Zanzibar, Mudrik Ramadhan Soraga, ametoa wito kwa sekta binafsi kudhamini ligi za soka kutoka madaraja ya chini.
Zanzibar yaahidi makubwa mchezo wa Kabaddi duniani
BAADA ya kushindwa kufanya vizuri katika mashindano ya dunia ya Kabaddi Wanawake, timu ya taifa ya Zanzibar imesema inajipanga upya ili wakati ujao ifike mbali zaidi.
Gamondi ataja mawili Stars ikienda Rwanda
KOCHA wa Timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’, Miguel Gamondi amesema kikosi chake kipo katika maandalizi mazuri kuelekea mashindano ya FIFA Series, akisisitiza lengo kuu ni kujenga timu yenye…
Orengo Atoa Kauli ya Kimafumbo Baada ya Kumkaribisha William Ruto Huko Siaya: “Niko na Siasa Zangu”
Rais William Ruto na gavana wa Siaya James Orengo walikubaliana kuendelea kutekeleza majukumu yao tofauti ya kisiasa wakati wa uzinduzi wa gati ya Usenge.
Chadema ni suala la muda kama ‘ndiyo’ au hapana
Hatima ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kuendelea kuzuiwa kufanya shughuli za...
M23 waliwazuia na kuwatesa raia kwenye kontena mashariki ya DRC
Waasi wa M23 walitumia kontena zilizokuwa na mwangaza au sehemu za kuruhusu hewa kupita kuwazuia raia wa kawaida na waaandishi wawili wa habari na kuwatesa, Mashariki mwa DRC. Imechapishwa: 24/03/2026…
William Ruto ajibu masaibu ya Raphael Tuju, amshauri atafute marafiki waaminifu ili kuokoa mali yake
Rais Ruto aliwakashifu washirika wa Raphael Tuju kwa kumpotosha, akihimiza uungwaji mkono wa kweli badala ya unyonyaji wa kisiasa na kukataa madai ya upinzani.
Mwenyekiti kitongoji auawa K’njaro, mtuhumiwa akimbia na kichwa chake
Kamanda wa Polisi mkoani humo (RPC), Simon Maigwa amethibitisha kutokea kwa tukio hilo ambalo...