Kwa nini Tanzania inahitaji biashara imara za kilimo?
Kwa muda mrefu kilimo kimekuwa nguzo muhimu ya uchumi wa Tanzania. Mamilioni ya Watanzania...
Tanzania, Italia kuimarisha uwekezaji kilimo
DAR ES SALAAM: Serikali ya Tanzania na Serikali ya Italia zimeanza hatua mpya ya kuimarisha ushirikiano katika sekta ya kilimo kwa lengo la kuongeza thamani ya mazao ya kibiashara, hususan…
CAWM-Mweka introduces new courses to boost conservation, tourism skills
KILIMANJARO: AS global efforts to tackle climate change and conservation challenges intensify, the Moshi-based College of African Wildlife Management, Mweka (CAWM-Mweka) in Kilimanjaro has taken a major step forward by…
Yonazi: Govt determined to tackle business environment challenges
DAR ES SALAAM: THE government, through the Tanzania National Business Council (TNBC), has reaffirmed its commitment to resolving challenges in Tanzania’s business environment to attract both local and foreign investment,…
Iran yamnyonga jasusi wa shirika la ujasusi la Israel, Mossad
Mahakama ya Iran imetangaza mapema Jumatano kwamba imemnyonga mtu aliyepatikana na hatia ya kufanya ujasusi kwa maslahi ya utawala haramu wa Israel.
Zanzibar moves to tackle youth unemployment
ZANZIBAR: CHALLENGES in coordinating youth employment programmes, weak labour data systems and limited economic empowerment facilities remain key obstacles facing Zanzibar’s youth development sector, Minister for Youth, Employment and Economic…
“Israel inadanganya, Iran haitutishii”: Afisa wa ujasusi aliyeteuliwa na Trump ajiuzulu kwa sababu ya vita na Iran
Mkuu wa Kituo cha Kitaifa cha Kupambana na Ugaidi nchini Marekani amejiuzulu baada ya kufichua yanayojiri nyuma ya pazia kuhusu vita vya nchi hiyo na Israel dhidi ya Iran.
Seneta wa Marekani: Trump ni mpumbavu/ Panetta: Utawala wa Iran umekita mizizi, ni imara
Seneta wa chama cha Democratic cha Marekani amemtaja rais wa nchi hiyo kuwa ni mjinga kwa kufuata kibubusa sera za utawala wa Kizayuni wa Israel.
Kagera RC calls for peace, compassion during Ramadan
KAGERA: KAGERA Regional Commissioner (RC), Colonel Ramadhan Kido has urged Muslims and all Tanzanians to increase prayers, charitable acts and good deeds throughout the holy month of Ramadan, while praying…
#MEZAHURUl: Je ni kitu kinachangia watu wengi kubadilika KITABIA BAADA YA MAFANIKIO..?
#MEZAHURUl: Je ni kitu kinachangia watu wengi kubadilika KITABIA BAADA YA MAFANIKIO..? -Weka maoni yako
Zanzibar strengthens global ties, public communication in first 100 days
ZANZIBAR: ZANZIBAR government has intensified regional and international engagement, strengthened public communication and improved records management systems during the first 100 days of President Dr Hussein Ali Mwinyi’s second-term administration.…
Governance inefficiencies, the invisible killer in Kenya
NAIROBI: EXTERNAL disruptions can lead to economic decline at certain points in a nation’s history. Additionally, there are cases where decline is self inflicted—gradual, painful and alarmingly normalised. Currently, many…
Slot ataka ushindi Ulaya kuituliza Liverpool
Meneja wa Liverpool, Arne Slot, amekiri kuwa amefanya makosa kadhaa msimu huu kufuatia matokeo...
#HABARI: Rais wa Jamhuri ya Congo, Denis Sassou Nguesso, mwenye umri wa miaka 82, ameshinda wa uchaguzi wa urais kwa kupata asil…
#HABARI: Rais wa Jamhuri ya Congo, Denis Sassou Nguesso, mwenye umri wa miaka 82, ameshinda wa uchaguzi wa urais kwa kupata asilimia 94.82 ya kura. Matokeo hayo yametangazwa kupitia televisheni…
🔴HABARI ZA SAA, NNE NA DAKIKA 55….MACHI 18 2026
🔴HABARI ZA SAA, NNE NA DAKIKA 55....MACHI 18 2026
#HABARI: Ujenzi wa Jengo jipya la Ubalozi wa Tanzania nchini Kenya, uliotarajiwa kukamilika katika kipindi cha miaka mitatu umef…
#HABARI: Ujenzi wa Jengo jipya la Ubalozi wa Tanzania nchini Kenya, uliotarajiwa kukamilika katika kipindi cha miaka mitatu umefikia asilimia 23, huku kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mambo ya…
Panga pangua ya Samia
Rais Samia Suluhu Hassan ameendelea kuimarisha safu yake ya utendaji kwa kufanya uteuzi...
Tushikamane – Chalamila
DAR ES SALAAM: wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amewataka wananchi kuendelea kushirikiana na kuimarisha mshikamano bila kujali tofauti za kidini zilizopo kati yao ili kujenga taifa la…
Baringo: Mbunge William Kamket ampoteza kitinda mimba wake, Wakenya wamfariji
Rais William Ruto alituma risala zake za rambirambi kwa familia ya mbunge wa Tiaty William Kamket kufuatia kifo cha mwanawe wa miaka 13, Bill Junior Ballot.
Marekani kuishambulia Cuba
Cuba imekuwa kwenye ajenda ya Trump kwa muda mrefu. Rais huyo wa Marekani mara nyingi amekuwa akisema kwamba wataishughulikia Cuba baada ya kufanikisha malengo yao Iran.
Bajeti barabara MUHAS kutua bungeni, kamati yatoa maagizo
DAR ES SALAAM: KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Elimu, Utamaduni na Michezo imeahidi kuwasilisha bungeni suala la ujenzi wa barabara zinazoingia na kutoka Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi…
Ali Larijani, Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Iran, ameuawa Shahidi
Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran limetangaza kuuawa shahidi kwa katibu wake, Ali Larijani, kufuatia shambulio la maadui, ambao ni Marekani na utawala wa…
Nguesso ashinda tena urais Congo-Brazzaville kwa asilimia 95
Kwa ushindi huo ushindi huo Nguesso mwenye umri wa miaka 82 ataendeleza utawala wake ambao...
Watoto 832,000 Mara kupata chanjo ya polio
Kampeni hiyo itahusisha mikoa ya kanda ya ziwa ambayo ni Mara, Mwanza, Shinyanga, Kagera...
Kuuawa Ali Larijani: Mbunifu wa itikadi na usalama wa Iran
Bw. Larijani, ambaye aliuawa usiku akiwa na umri wa miaka sitini na minane, pamoja na mwanawe, Morteza, na watu wengine kadhaa, alikuwa mwanasiasa mkongwe na ishara muhimu ya nguvu za…
🔴HABARI ZA SAA, MBILI NA DAKIKA 55….MACHI 18 2026
🔴HABARI ZA SAA, MBILI NA DAKIKA 55....MACHI 18 2026
Senegal: Wanajeshi 3 wafariki wakati wa operesheni dhidi ya biashara haramu Casamance
Askari watatu wa Senegal wamefariki na wengine watatu wamejeruhiwa siku ya Jumanne asubuhi, Machi 17, katika ajali wakati wa operesheni za kuharibu mashamba ya bangi huko Casamance, karibu na mpaka…
Wajumbe wa ODM Nairobi wamudhinisha Winnie Odinga kuwa naibu kiongozi wa chama
Viongozi wa ODM wanapendekeza kufanyia marekebisho katiba ya chama kuunda wadhifa wa naibu wa nne wa kiongozi Winnie Odinga akiidhinishwa kuziba pengo la Raila
#HABARI: Mkuu wa Jeshi la Iran Amir Hatami ametishia kuanza kulipiza kisasi “madhubuti” kwa mauaji ya mkuu wa usalama Ali Larija…
#HABARI: Mkuu wa Jeshi la Iran Amir Hatami ametishia kuanza kulipiza kisasi "madhubuti" kwa mauaji ya mkuu wa usalama Ali Larijani katika shambulio la anga la Israel. "Kwa wakati na…
New cargo ships to boost regional growth, incomes
KATAVI: THE completion of four large cargo ships at Karema Port is seen as a transformative economic opportunity for the residents of Rukwa, Katavi, Kigoma, and other regions bordering Lake…
Arsenal kukipiga na Sporting CP robo fainali Ulaya
Mabao mawili kutoka kwa Eberechi Eze na Declan Rice, yameisaidia Arsenal kupata ushindi wa 2-0...
Magufuli remembered as patriotic, principled, God-fearing leader
CHATO: RETIRED national leaders have remembered the late President Dr John Magufuli as a patriotic, righteous, courageous, God-fearing, and principled leader who enforced accountability and ensured public funds were judiciously…
JPM’S FIFTH DEATH ANNIVERSARY: VP urges selflessness, courage
CHATO: VICE-PRESIDENT Ambassador Dr Emmanuel Nchimbi has called on all Tanzanians to embrace selflessness, courage and self-reliance as guiding principles in honouring the legacy of the late President Dr John…
Sporting ilivyopindua meza kibabe, Bodo ikishindwa kushika bomba
Pale katika Uwanja wa José Alvalade jijini Lisbon nchini Ureno mbele ya mashabiki 49,155...
Magazetini: Walimu 44k TSC Wako Hatarini Kupoteza Kazi baada ya Mahakama Kubatilisha Uajiri Wao
Zaidi ya walimu 43k huenda wakapoteza kazi baada ya Mahakama ya Rufaa kuharamisha mpango wa mafunzo wa TSC, hivyo kuiacha tume hiyo katika tatizo la kifedha na sera
Vinicius atupia mawili Etihad, Man City ikiumaliza mwendo Ulaya
Kadi nyekundu ya kipindi cha kwanza kwa nahodha, Bernardo Silva iligeuka kuwa pigo kubwa, huku...
Matiang’i amjibu William Ruto kufuatia matamshi ya lishe na ushauri wa kupiga tizi: “Sikuli kwako”
Aliyekuwa Waziri wa Usalama wa Ndani Fred Matiang'i alitetea jinsi anavyokula baada ya Rais William Ruto kuwashauri viongozi wa upinzani kufikiria kupiga tizi.
#MICHEZO: Bodi ya Rufaa ya Shirikisho la Soka Afrika (CAF) Machi 17, 2026 imetoa uamuzi mzito kwa kuinyang’anya Senegal ubingwa …
#MICHEZO: Bodi ya Rufaa ya Shirikisho la Soka Afrika (CAF) Machi 17, 2026 imetoa uamuzi mzito kwa kuinyang’anya Senegal ubingwa wa Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2025. Kwa mujibu…
Rais wa Cuba aahidi ‘upinzani usioweza kusababisha madhara’ kufuatia vitisho vya Donald Trump
Rais wa Cuba Miguel Diaz-Canel ameahidi siku ya Jumanne, Machi 17, “upinzani usioweza usioweza kusababisha madhara” dhidi ya vitisho vya Donald Trump vya kutaka kuchukua udhibiti nchi hiyo. Imechapishwa: 18/03/2026…
Tabianchi: Ripoti ya Chuo kikuu yaorodhesha kesi 25 za uvujaji mkubwa wa Methane mwaka 2025
Chuo Kikuu cha California kimechapisha orodha ya kesi 25 za uvujaji mkubwa wa methane ulioonekana kutoka angani katika vituo vya mafuta na gesi mwaka jana. Haijulikani sana kama CO2, gesi…
🔴KUMEKUCHA MICHEZO: ….MACHI 18 , 2026
🔴KUMEKUCHA MICHEZO: ....MACHI 18 , 2026
PSG yaitupa nje Chelsea ikiisubili Liverpool au Galatasaray
Chelsea imepata kichapo kizito katika mechi mbili za mtoano Ligi ya Mabingwa Ulaya, ikipoteza...
Emmanuel Macron akataa wito wa Donald Trump wa kulinda Lango la Hormuz
Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron amesema siku ya Jumanne kwamba Ufaransa haitashiriki katika “operesheni za kukomboa Lango la Hormuz katika muktadha wa sasa.” Hata hivyo, amebainisha kwamba “mara hali itakapokuwa…
AFCON 2025: Morocco yatangazwa mabingwa baada ya CAF kuipokonya Senegal ushindi
Morocco imepewa kombe la AFCON 2025 baada ya uamuzi wa kihistoria uliobatilisha ushindi wa Senegal kutokana na kushindwa kwao wakati wa mechi ya fainali yenye utata.
Jinsi maji yanavyogeuka silaha ya vita vya Israel na Marekani dhidi ya Iran
Kadiri vita vinavyopanuka na kuhusisha nchi jirani za Ghuba, wachambuzi wengine wanabaini kuwa kuna rasilimali nyingine nyeti ambayo imekuwa ikilengwa: maji.
Vita vya Mashariki ya Kati: Iran yaapa kulipiza kisasi cha kifo cha Ali Larijani
Katika siku ya kumi na nane ya vita vya Mashariki ya Kati, mashambulizi ya anga ya Israeli na Marekani yanaendelea kusakama miji mikuu ya Iran na Lebanon. Siku ya Jumanne…