Vita vya Mashariki ya Kati: Iran yaapa kulipiza kisasi cha kifo cha Ali Larijani
Katika siku ya kumi na nane ya vita vya Mashariki ya Kati, mashambulizi ya anga ya Israeli na Marekani yanaendelea kusakama miji mikuu ya Iran na Lebanon. Siku ya Jumanne…
Wadau wataka bajeti zaidi kukabili uhaba wa maabara nchini-3
Kuongeza uwekezaji katika elimu na kutengeneza maabara zinazotembea, zimetajwa kuwa miongoni...
DRC-Rwanda: Washington yataka kuanzisha tena mazungumzo kati ya Kinshasa na Kigali
Ingawa imejikita sana katika vita vya Iran, Marekani inataka kuanzisha tena mazungumzo kuhusu mgogoro kati ya Rwanda na DRC. Ili kuwarudisha kwenye meza ya mazungumzo viongozi wa nchi hizo mbili,…
Mkuu wa jeshi la Iran atishia kulipiza kisasi mauaji ya Larijani
Mkuu wa jeshi la Iran Amir Hatami ametishia kuanza kulipiza kisasi "madhubuti" kwa mauaji ya mkuu wa usalama Ali Larijani katika shambulio la anga la Israel.
CAF yafuta ubingwa wa Senegal kama washindi wa taji la AFCON 2025
Shirikisho la soka barani Afrika CAF, limefuta ushindi wa Senegal kama mabingwa wa taji la AFCON waliloshinda mwezi Januari, na kukabidhi ubingwa wa wapinzani wao Morroco ambao sasa ni mabingwa…
Congo Brazaville : Rais Nguesso aibuka mshindi wa uchaguzi wa urais
Kiongozi wa muda mrefu nchini Congo Brazaville Denis Sassou Nguesso, amechaguliwa tena kuendelea kuongoza muhula wa tano, baada ya kupata asilimia 95 ya ushindi, baada ya uchaguzi wa urais uliofanyika…
Ubelgiji: Mwanadiplomasia wa zamani kufika mahakamani kuhusu mauaji ya Lumumba
Mwanadiplomasia wa zamani wa Ubelgiji atafikishwa mahakamani hivi karibuni mbele ya mahakama ya jinai ya Brussels kwa kuhusika kwake katika maamuzi yaliyosababisha mauaji ya Patrice Lumumba. Imechapishwa: 18/03/2026 – 04:39Imehaririwa:…
Tetesi za Soka Ulaya: Arsenal yamtaka Goretzka wa Bayern
Brighton wana hamu ya kukamilisha mkataba na Cologne kwa winga wa Ujerumani mwenye umri wa miaka 19 Said el Mala baada ya mchezaji huyo kubadilisha mawakala
Uchaguzi Mkuu wa Congo Brazzaville unavyoibua mjadala wa demokrasia
Kura zinaendelea kuhesabiwa huko Congo Brazzaville kufuatia uchaguzi wa rais uliofanyika jana...
Wakulima kuamua kuwafukuza wafugaji kwenye Kijiji
Wakulima kuamua kuwafukuza wafugaji kwenye Kijiji. Je, hatua hiyo itamaliza mgogoro kati yao kuhusu maeneo ya malisho ?
🔴TAARIFA YA HABARI ASUBUHI MACHI 18, 2026
🔴TAARIFA YA HABARI ASUBUHI MACHI 18, 2026
Ligi ya Mabingwa Ulaya: Arsenal, PSG zatinga robo fainali, Chelsea, Man City nje
Arsenal , PSG, Real Madrid na Sporting Lison zimefuzu robo fainali ya ligi ya mabingwa Ulaya, zinasubiri kuona kama Liverpool, Barcelona zitafanikiwa kuzifuata leo
CAF yaivua Senegal Ubingwa wa AFCON 2025, yaipa Morocco
Uamuzi huo unafuatia rufaa iliyowasilishwa na Shirikisho la Mpira wa Miguu Morocco (FRMF)...
CAF yaivua Senegal Ubingwa wa AFCON 2025 ikiipa Morocco mezani
Kamati ya Rufaa ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) jana Jumanne, Machi 17, 2026...
Kususa kwaiponza Senegal, CAF yaipa Morocco ubingwa wa AFCON 2025
Katika uamuzi wa kushangaza uliotolewa siku 58 baada ya mechi, bodi ya rufaa ya CAF imesema Senegal imekiuka kanuni na hivyo "inachukuliwa kuwa imepoteza mchezo huo kwa kufungwa 3-0," na…
SENEGAL ‘YAPOKWA’ UBINGWA WA AFCON 2025
SENEGAL 'YAPOKWA' UBINGWA WA AFCON 2025 Senegal wamevuliwa Ubingwa wa Afrika #AFCON2025 na badala yake CAF imewapa Morocco Ubingwa huo. Uamuzi huo umetolewa usiku huu kufuatia rufaa ya Morocco waliolalamikia…
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Machi 18, 2025
Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa Publishers... The post Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania…
Bosco Bitanda: Majonzi huku familia ikitizama miili ya mfanyabiashara maarufu Uganda na wanawe 2
Afrika Mashariki inaomboleza mfanyabiashara mashuhuri Bosco Ssenyonjo, almaarufu Bosco Bitanda, ambaye alifariki katika ajali na watoto wake wawili mnamo Machi 16.
🔴JIJI LETU KUTOKA DAR ES SALAAM: MACHI 17, 2026
🔴JIJI LETU KUTOKA DAR ES SALAAM: MACHI 17, 2026
Azam FC tayari iko Kigoma na jioni ya leo imepiga tizi kwenye Uwanja wa Kajuna, ikiwa ni sehemu ya maandalizi kuelekea mchezo wa…
Azam FC tayari iko Kigoma na jioni ya leo imepiga tizi kwenye Uwanja wa Kajuna, ikiwa ni sehemu ya maandalizi kuelekea mchezo wao wa Ligi Kuu ya NBC dhid ya…
JULIO: “…kuna jambo zuri vijana wangu watafanya”
JULIO: “…kuna jambo zuri vijana wangu watafanya”. Mashujaa FC yahitimisha mazoezi yake kwenye Dimba la Lake Tanganyika Kigoma, ikiwa ni maandalizi kuelekea mchezo wao dhidi ya Azam FC na tayari…
YANGA SC: “…hali ya uwanja ni nzuri”
YANGA SC: “…hali ya uwanja ni nzuri” Yanga yapiga tizi lake la mwisho kwenye Uwanja wa Sheikh Amri Abeid Arusha tayari kuwakabili TRA United, mchezo wa ligi kuu ya NBC…
Simba yaifuata Pamba Jiji, wakati Pamba Jiji nao wakiendelea kujifua katika mazoezi makali kuelekea mchezo wao wa Machi 19, 2026…
Simba yaifuata Pamba Jiji, wakati Pamba Jiji nao wakiendelea kujifua katika mazoezi makali kuelekea mchezo wao wa Machi 19, 2026 kwenye Dimba la CCM Kirumba. Baadhi ya wachezaji wa Pamba…
#HABARI: Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Bw
#HABARI: Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Bw. Emmanuel Tutuba, amewakaribisha na kuwatoa hofu wawekezaji wa kimataifa katika sekta ya fedha nchini Tanzania, huku akisisitiza kuwa mazingira ya uwekezaji…
#HABARI: Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya TAMISEMI, Mhe
#HABARI: Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya TAMISEMI, Mhe. Florent Kyombo, ameipongeza Ofisi ya Waziri Mkuu (TAMISEMI) kwa usimamizi thabiti wa miradi ya kimkakati ya TACTIC jijini Arusha.…
Kampuni zenye hisa chache za Serikali zapewa mwelekeo mpya kufanikisha Dira 2050
Kampuni ambazo Serikali ina umiliki wa hisa chache zimetakiwa kujiendesha kwa misingi ya...
Lindi yapanda miti milioni moja kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi
Jumla ya miti milioni moja na laki mbili imepandwa katika maeneo mbalimbali ya Mkoa wa Lindi...
Zoya: Binti wa miaka 14 anayepigania wasichana kubaki shuleni
Methali isemayo “penye nia pana njia” inaakisi vyema safari ya Zoya-Fatimah Dewji (Zoya)...
Hali ya sintofahamu inazidi kulikumba jiji la Mbeya na viunga vyake, huku likighubikwa na matukio mbalimbali ya uhalifu ikiwemo …
Hali ya sintofahamu inazidi kulikumba jiji la Mbeya na viunga vyake, huku likighubikwa na matukio mbalimbali ya uhalifu ikiwemo mauaji, unyang’anyi wa kutumia silaha, wizi na upigaji nondo, ambayo yameongeza…
YAS yafuturisha wanafunzi zaidi ya 1,000 Zanzibar
Zaidi ya wanafunzi 1,000 kutoka Chuo Kikuu cha SUMAIT na Karume Institute of Science and...
Raphael Tuju afuguka asema alimuoa mwanamke MKalenjin baada ya talaka ya kwanza
Waziri wa zamani Raphael Tuju anakabiliwa na kufukuzwa katika mali yake kutokana na mgogoro wa kifedha wa muongo mmoja na benki, akidai vitisho na njama dhidi yake.
Katika kutambua na kuenzi mchango wa hayati John Pombe Magufuli, serikali imeahidi kutoa shilingi milioni 100 kwa ajili ya kukam…
Katika kutambua na kuenzi mchango wa hayati John Pombe Magufuli, serikali imeahidi kutoa shilingi milioni 100 kwa ajili ya kukamilisha ujenzi wa makumbusho yake yaliyopo kando ya kaburi lake wilayani…
Kutana na Athumani Shamte, kijana ambaye maisha yake yaligeuka ghafla kutoka ndoto za uchumi hadi safari ya sheria, baada ya kut…
Kutana na Athumani Shamte, kijana ambaye maisha yake yaligeuka ghafla kutoka ndoto za uchumi hadi safari ya sheria, baada ya kutumikia kifungo cha miaka minne jela kwa kosa la unyang’anyi…
Rais Mwinyi apongeza mtandao kwa kuchochea mageuzi ya kidijitali
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Hussein Ali Mwinyi, ameipongeza...
Kufuatia vita inayoendelea baina ya mataifa ya Marekani, Israel na Iran, athari zimeanza kuonekana katika eneo la usafiri wa ang…
Kufuatia vita inayoendelea baina ya mataifa ya Marekani, Israel na Iran, athari zimeanza kuonekana katika eneo la usafiri wa anga na upatikanaji wa bidhaa kwa wafanyabiashara nchini. #AzamTVUpdates Mhariri |…
Ni simanzi na majonzi kwa ndugu na jamaa wa Athumani Nyanza, kijana anayedaiwa kuuawa na mwili wake kufukiwa katika shimo kando …
Ni simanzi na majonzi kwa ndugu na jamaa wa Athumani Nyanza, kijana anayedaiwa kuuawa na mwili wake kufukiwa katika shimo kando ya nyumba yake iliyopo mtaa wa Lubakaya, Chanika -…
Wakenya washangaa William Ruto, Rigathi Gachagua wanavyoumbuana hadharani: “Below standards”
Rais William Ruto na naibu wake wa zamani Rigathi Gachagua wamekuwa wakirushiana matusi mazito mitandaoni tena hadharani, na kuzua hasira miongoni mwa Wakenya.
Ulega aagiza ndege kutua Shinyanga, akihimiza miradi kukamilika kwa wakati
Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega ameagiza kutolewa kwa kibali cha kuruhusu ndege kutua wakati...
Makamu wa Rais, Balozi Daktari Balozi, Emmanuel Nchimbi anatarajiwa kufungua, madhimisho siku ya Misitu Duniani na Kampeni ya up…
Makamu wa Rais, Balozi Daktari Balozi, Emmanuel Nchimbi anatarajiwa kufungua, madhimisho siku ya Misitu Duniani na Kampeni ya upandani miti Kitaifa Machi 19, inayotarajiwa kufanyika Mkoani Lindi, ambapo inaelezwa hadi…
TRA United v Yanga mechi za kimkakati
MSAKO wa pointi tatu kwa Yanga unaendelea leo huku ikiwa na wimbi kubwa la mastaa majeruhi ambapo wameongezeka wengine wanne na kufikia sita, baada Clement Mzize na Dickon Job kuwa…
Shahidi adai picha ya Rais, nembo ya Brela zilimshawishi awekeze kampuni ya Vanilla
Mkondya na Rweyemamu wakabiliwa na mashtaka 126 yakiwemo ya kuendesha biashara ya upatu...
Kocha Pamba afungua ‘code’ ya Simba
WAKATI Pamba Jiji ikijipanga kuipokea Simba SC, kocha wa kikosi hicho, Francis Baraza amesema kazi kubwa waliyonayo ni kuwashika wekundu hao pabaya.
Mwanamume aliyeiacha familia miaka 26 iliyopita awaomba kumkubalia arudi: “Nataka kufia nyumbani”
Maulid, aliyeiacha familia yake miaka 26 iliyopita, anaomba msamaha na upatanisho anapopambana na TB. Kwa sasa ana ombi la dhati, majuto na masomo ya maisha.
JKT Tanzania yakomaa na mambo manne
KATIKA kipindi hiki kirefu ambacho JKT Tanzania haina mechi ya mashindano, kocha mkuu wa kikosi hicho, Ahmad Ally ameweka wazi mpango wao kuhakikisha hawatoki kwenye mstari.
Nyota Coastal Union kimeeleweka
STRAIKA wa Coastal Union, Abdulkarim Segeja, amesema licha ya kuanza vibaya msimu huu, lakini kwa sasa timu imeonesha mabadiliko na mechi zilizobaki mkakati wao ni kutopoteza pointi.